THE STORY BOOK : MFALME SULEIMAN, NABII ALIYEPENDELEWA KILA KITU NA MUNGU
Вставка
- Опубліковано 8 лют 2025
- 𝕎𝔸𝕋ℂℍ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝕋𝕍 📺
𝗔𝗭𝗔𝗠-𝟰𝟭𝟭 | 𝗗𝗦𝗧𝗩 𝟮𝟵𝟲 | 𝗭𝗨𝗞𝗨-𝟬𝟮𝟴
𝗦𝗧𝗔𝗥𝗧𝗜𝗠𝗘𝗦-𝟰𝟰𝟰 & 𝟯𝟯𝟯 | 𝗖𝗢𝗖𝗢𝗡𝗨𝗧 𝗧𝗩-𝟮𝟬 |𝗗𝗼𝗱𝗼𝗺𝗮𝗖𝗮𝗯𝗹𝗲-𝟭𝟭𝟯
𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
𝕃𝕀𝕊𝕋𝔼ℕ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝔽𝕄 📻
𝟴𝟴.𝟵 𝗗𝗔𝗥 𝗘𝗦 𝗦𝗔𝗟𝗔𝗔𝗠 📻 | 𝟭𝟬𝟰.𝟭 𝗗𝗢𝗗𝗢𝗠𝗔 📻 | 𝟵𝟰.𝟱 𝗔𝗥𝗨𝗦𝗛𝗔 📻
𝔽𝕆𝕃𝕃𝕆𝕎 𝕌𝕊 𝕆ℕ:
𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2020 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Mwaga like kama zote. Jamal unatisha kaka tunapata elimu bora kabisa
Allah aendelee kukupa afya uzima na uhai hakika tunayajua ambayo hatukuyakuta si Wala wazazi wetu walio tangulia mbele ya haqi shukran sana kwa kazi nzuri
King SULEIMAN....Inshaallah for your good story
Jamal, historia za biblia ni nzuri sana. Na kizazi hichi watu wengi hawasomi biblia na kupata hekima hizi. Naomba uendelee kuleta story za kutoka kwenye vitabu vya Mungu. Be blessed brother!
ua-cam.com/video/npcwCL1zTz0/v-deo.html🎥🙏
Asante
Kabisaaa
.
Mh
Neema ya Mwenyezi Mungu iwe nawe daima my Brother Jamal, Amin.
Jamal April you are the best. I like your way of narrating these ancient stories and in good voice and Swahili. Pongezi sana
Nakubali brother Jamal Mustapha Jamal April Professor. Mm hupendelea kurejea ile ya dan cooper.
"Upo mkasa maaruf sana, mkasa ambao gaidi mmoja aliyefahamika kwa jina la Dan cooper aliyeiteka ndege ilyo na abiria 36 ndani yake ....."
Congratulation Jamal for best teaching of people in the world through blessed ancient stories of King Solomon life. Wisdom and good governance is power of beloved God. Let's respect and recognize the power of true God.
Alichokifanya Mungu kwa familia hii nijema YeYe anauwezo kwa kuchagua mwema au mubaya kwa mapenzi yake .Amen
Ubarikiwe san ndgu yetu, mungu akuongezee maarifa na akufunulie vingi vilivyo vyema na vyenye kheri ili Jamii izid kunufaika kupitia ww. “Aamin”
Naomba pitia hapa pia kuangalia simulizi zangu tafadhali.👇
CHANZO NA SIRI YA VITA YA SOMALIA NA AL-SHABAAB....
ua-cam.com/video/TANus7_Uasg/v-deo.html
Nimependa sana alivyomalizia . Mungu azidi kukujaza hikima na maarifa ndugu jamal
Hatimaye Mfalme Suleiman mwana wa Daudi..... Big up Profesa
Mungu akupe miaka mingi uwende lee kutufundisha brother
Jamani mi nimwana familia mpya wa #the stor book. Na nimebahatik kuw wakwanza ku comment so naomb mnikalibish kwa like. P1 jamal april
Ivi mnao omba like mnazipekaga wapi
Kama like zina hela tuambie nasi tuanze kuziomba,,au unafrah tu kuona umepata like nying huo ni umama
Suleiman alhamdulillah inshallah mwenyezi Mungu awe nawewe popote ulio pepon
Naaam kweli mambo mengi sasahivi nimaludio duh......... Professor jamar saluuti mungu azidi kukupa nguvu juu ya kazi yako
Naangalia na mimi tuliyoandikiwa lakini hatukusoma hiii ni sawa behind the scene kwenye movie funua yaliyojificha ....... Respect Brother kunywa soda ntalipa
Bro uko vizuri safi sana nimesikiliza kwa umakini mno
Mungu azidi kukuongezea hiki kipawa
Naomba pitia hapa pia kuangalia simulizi zangu tafadhali.👇
CHANZO NA SIRI YA VITA YA SOMALIA NA AL-SHABAAB....
ua-cam.com/video/TANus7_Uasg/v-deo.html
What a captivating and salivating story telling skills Jamal!
Keep it up bro.
Jamal mungu akupe khery za dunia na akulinde na maadui ajae kwa ubaya asikufikie uishi kwa aman tukumbushe mungu atakulipa khery # nakubali kazi yko# Omar
Waooooo kwamara yakwanza nafunguwa ukurasa wa comment. Jamani naomba like zangu🙏💪
chukua
Umeona hii?
👇🤔👇
ua-cam.com/video/xRuuX0u64Cc/v-deo.html
Umekua ugari uo
Simchenzo
We chawa
Great 👌 much respect from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Maneno yenye busara jamal profesa lazima tumshukuru Allah kwa uzima Alhamdulillah🤲🤲🤲
Naomba pitia hapa pia kuangalia makala zangu tafadhali.👇
CHANZO NA SIRI YA VITA YA SOMALIA NA AL-SHABAAB
ua-cam.com/video/TANus7_Uasg/v-deo.html
waaaah😙
Yuko vizuri
@@crypto7-t1y m
@@crypto7-t1y o
Jamal you're an inspiration to many,God bless you boss.
Jamali always you Do good meen, we appreciate your efforts in Kenya 🇰🇪...........
"Givers have to set limits because takers never do"....
a very nice ending
Thankyou for a good story
Jamal April, professor.You mentors me when it comes to story telling.Thanks for the way I take it from you
Uko vizuri sana bro nimekukubali sana kwa Leo, kuna aya moja kwenye Biblia takatifu inasema ombeni chochote kwa jina langu na mtapewa manake kwenye maombi yako be specific and accuracy!
vyema kabisa
Rafiki katika Bwana Mungu wa Mbinguni, nashukuru sana kwa hii stori. Aise Mungu akubariki sana.
Astaghfirullah... Haikuwa kwa mitume wa mungu kufanya dhambi munazowsingizia.... Doh... Eti daud alizini... Subhanallah.... Mimi kama muislamu namtetea mtume wa Allah..
Ametakasika alllah
Daudi alizizini kubali yaishe😅😅
Wewe nikuma
Hujui kitu kaa kimya ,hujui maandiko unajitia aibu
Daudi Hakuwa Nabii Alikuwa Mfalme Katika Enzi za Utawala wake Israeli ilikuwa nanabii alie itwa Nathan Hivyo ndivyo Wayahudi wanatuambia
I love you guys,you are doing a Big good job.may God bless you.i'm a french speaker and i love so much the story book
French huh?
@@bedechorray5482 .ll
Sawa Jamal Asante kwa story nzuriii zenye mafundisho mazuri
Mungu akubariki professor nazidii jifunza mengi kila cku kupitia ww🙏🙏🙏
Huwa napenda sana kukufatiliya
Ur true professional jamali
The king 👑 of story's, murch respect 👏👏 from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Naomba pitia hapa pia kuangalia makala zangu tafadhali.👇
CHANZO NA SIRI YA VITA YA SOMALIA NA AL-SHABAAB
ua-cam.com/video/TANus7_Uasg/v-deo.html
Historia hizi zina vito vya maadili ya ajabu. Usuli wake ni asili ya ujio wa waja.
God bless you Brother.
LIKE kama unaamini Professor anatufundisha mengi mazuri tusio yajua
Unetisha
Simpendi ni muongo af ana masifa nafuu mtiga
@@dannyeliya9010 utakuwa una matatizo ya ubongo sifa gan sasa alizo nazo usiwe una sikiliza sasa
Weee Dani unafirwa kweli humpendi jamal cc tnampnda wewe kampnde mamaako
Ningekua na mtoto ningekuozesha bure professor
Asante MIE nakufatilia Hapa CONGO 🇨🇩🇨🇩🔥👍🏾👀nice videos keep it up my brother bless you we need more
well fed with ancient stories.....well done job....from kenya.
Mashallah kaka una kipaji hongera kwa kusimulia vzr
The great professor of all time
Thanks san Jamal. Elimu nzuri san
I have been learning alot of issues kupitia @The story book. Keep up kaka....
Sijawahi kukoment lakini leo nimeshindwa kuacha. Aksante sana Prof.
Naomba pitia hapa pia kuangalia simulizi zangu tafadhali.👇
CHANZO NA SIRI YA VITA YA SOMALIA NA AL-SHABAAB....
ua-cam.com/video/TANus7_Uasg/v-deo.html
Jamaal katika la baraka hakika umenena kweli. Tumshukuru Mungu kwa kuwa tulivyo na tuone katubariki kuwa tulivyo turidhike nae.
You are the king of story makers.....
Real love to you broo.
ua-cam.com/video/G-Gyz_cDU58/v-deo.html
Story nzuuri kaka asante kwa kutufafanulia tusiyoyajua zaidi kuhusu King solo
ubarikiwe Kaka napenda sana unavyo tupa historia
tamu na za ukweli kabisaaa,eeh Mungu utuepushe
na maovu tukiwa diniani kwasababu malipo ni hapa hapa duniani.
Iko pow kabisa allah akuongoze
Jamani hebu tuumize kichwa kuhusu maisha kua akina chifu wanatoa wapi pesa nasio kulilia coment
Bibilia imefika mbali sana kwa kuwazulia nabii wa mungu uongo. Eti mtume aliyeletwa kuwaongoza watu kwa mungu ni mzinzi Mara mlevi, Mara mshirikina kweli binaadamu sio perfect lkn mungu anapochagua mitume huchagua wenye nguvu katika ilimu, hekima, na mwili. Waandishi wapotofu wa bibilia.
Umesema kwel
Kongole sana kwako ndugu Jamal... hakika nimejifunza mengi kupitia uchambuzi wako wa hali ya juu sana... Mwenyezi Mungu akubariki
De proffesor jamal big up mwamb nakubal nakubal👊
jamaa ni na kukubali kwa kutuletea story book na voice 🙌🙌 tupe na nyingine
Kwa Hakika neno, lako lakufungia kipindi hua na liskiza kwa umakini mno hasa huku nikiwa nime tune ktk Bluetooth ya subwofer nakua Nakupata Bara bara, #UBARIKIWE 🙏
Mashallah big up Jamal
Umerudia kuangalia zaid ya Mara mbili hii story book gonga like twende sawa🙏
Mara ya nne narudia
MWENYEZ MUNGU ANAPOOMBWA JE? ANAOMBWAJE..
JAMAL PROF. BLESS🥂🤲
THE STORY BOOK ON #TRENDING tuifikishe top 10 wapendwa wa Jamal
Yes twasonga mbele na story nzuri ya king solomon like kama story unaamini iko bomba
Nabii Suleiman ana historia kubwa. Alikuwa Nabii Tajiri na Mwenye Uwezo Wa Kuamrisha Upepo.. Aliyopewa na mwenyezi Mungu. Alikuwa anaogopewa na majini
Suleiman hakuwa Nabii alikuwa Mfalme wa Israel enzi za utawala wake Nabii alikuwa Ahijah
Hapo mwisho professor ametoa somo kubwa sana, kiukwel limenigusa, barikiwa sana broo🙏
Hallelujah hallelujah I praise you Father Lord no one Like you Father
Usiache kusimulia story book, tunahitaji kila Mara uwe unatupatia, nakukubali sana Prof
Wi nuh man a king inna di earth dan Solomon 🤴🏽
Jamali thank you so much for program for story book
Mungu nipe Hekima kama za Solomon Ameen
Alishasema Hatatokea mwingine kama Suleiman. Fanya kazi, Tafuta pesa 😅
@@reganmrema😂😂😂
@@reganmrema duuu nimecheka kwa sauti jamanii
Oooh unasimlia vizur kak Mungu aendelee kukutia nguv na moyo wakutusimlia jamn
Ahsante Sana Kaka we ni zaid ya shule
Hakika Jamal anajua sana Mungu akubariki sana kaka hakika tunajifunza vitu sana kupitia story book
Tuliokoment huku bdo hatujalza kuskilza kwa sababu story ni tamu niachie like hapa
Jamal April, The Professor, you have already definitely said and defined the word Wisdom!!!,,, You already have it with you.let it be God's power Amen
Big Up My Brother Professor ✌ Ujawai Kosea Hapo Mwisho Nimekukubali
Hongera unajua kuadisia vizuri mpaka unanishangaza
Professor king of the story in the world
@@brotherh-elite1825 😅😅😅😅😅
Mtiga abdalah ndio great and king wa yii mamboo bana huyu anaiga tu na kuifikia ni ndotoo yule jmaa fundi
@@dannyeliya9010 shtuka ww Kama mtiga ndo Bora mbona hana ishu now
Naomba pitia hapa pia kuangalia makala zangu tafadhali.👇
CHANZO NA SIRI YA VITA YA SOMALIA NA AL-SHABAAB
ua-cam.com/video/TANus7_Uasg/v-deo.html
@@brotherh-elite1825 Naomba pitia hapa pia kuangalia makala zangu tafadhali.👇
CHANZO NA SIRI YA VITA YA SOMALIA NA AL-SHABAAB
ua-cam.com/video/TANus7_Uasg/v-deo.html
i love you #professajamal umeniliza kweli MOLA akuruzuku elimu na busara zaidi
Be blessed blessed jamal april
One of the best story
Asante nimejifunza mengi kuhusu Suleiman
ALLAH akubarik ww kijana mtanashati mwenye elimu usie na choyo ...
Naomba pitia hapa pia kuangalia simulizi zangu tafadhali.👇
CHANZO NA SIRI YA VITA YA SOMALIA NA AL-SHABAAB....
ua-cam.com/video/TANus7_Uasg/v-deo.html
@@crypto7-t1yasnte ila samahn hua sivutiw na mambo ya alshabab cjui kwnn
Asante kwa kunifunza maandiko kutoka kwa bibilia.Mungu akubariki
Kaka tunaomba uendelee na story izi.. japo kwa mwezi mara 3... maana utapata baraka kwa mungu pia..
Naomba pitia hapa pia kuangalia makala zangu tafadhali.👇
CHANZO NA SIRI YA VITA YA SOMALIA NA AL-SHABAAB.
ua-cam.com/video/TANus7_Uasg/v-deo.html
Hizi story zinanifanya kujua biblia sana nakuisoma kila mara
Kakangu jamal mungu alikupanga wisdom kwa wingi zaidi
Hata ww mtangazaji mungu Amekupa Hekima ya hal ya juu
Mungu Akubaliki Sana musimuliaji wetu jamal tunaomba Siku Utusimulie mkasa wa Ayubu
Nani anataka kuwa kama solomon dondosha like 👆
mimi hapa
Asante kwa story tamu Jamal...keep moving.
Kila siku najiuliza Hawa wanaoombaga like wanazifanyia Nini au Kuna faida kupata like
Huwa wanazibadili kuwa fedha wanapata kutumia
God bless you Jamal hakika unafanya kazi nzuri
Wow asante kipenzi nilikua sijui yote hayo 🇰🇪🇰🇪🇰🇪😍😍
Historia nzr sanaa, ubarikiwe, hio beat nimeipenda naipataje
Thanks for sharing this Great story. GOD Bless u Always.💙💜💚🤝👏👌🙏👍🏽👑💎👑
uwafumbue macho yao, na kuwageuza waiache giza na kuielekea nuru, waziache na nguvu za Shetani na kumwelekea Mungu; kisha wapate msamaha wa dhambi zao, na urithi miongoni mwao waliotakaswa kwa imani iliyo kwangu mimi.
Matendo ya Mitume 26:18
Nabii sleiman alikuwa ni Mtume wa Allah kama Issa, Mussa, Muhammad, Ibrahim na n.k.
Issa ni nan
Mnavyo muita nyiyi yesu na wazungu jesus warabu isa bin maryam alahy salam,
Habari ya Yesu unaijua lakini vile inatawanya hadi sisimizi wa pepo
Na kwenye historia cjawah ckia kuna nabii kazini au kazaliwa kwa zinaa cjui vitabu vya dini nyingine lkn QUR'AN tukufu NO
Nabii au mtume hawezi kuzini we sijui unayeitwa jamali mbona unahadithia vitu vya ajabu ilo balaa unalolitafuta litakushukia mtume WA mwenyezi mungu azini na mtume azaliwe kwa zinaa
I loved this Guy. .I still do... #youjamal
Quran inailezea vizyri sana hadithi ya Suleiman
Namwomba Mungu anijalie nipate mtoto wakiume
leo umefanya vizuri sana nimejifunza mengi bro
nakubali sana jamal huj ushauri wako mwisho baada ya story book
Jamali mustfa shukran my brother kwa story ya mfalme 👑 suleman 🙏🙏🙏
Maaana ulikua umetuonjesha kweny sehemu nyigine ila kwa hii hasante tuketee nyengine na nyengine tupo pamoja my brother
Sana
😍❤ watching from Mombasa ,Kenya...i love the storybook...big up professor
Uko vizuri professor ila mitume ya mungu wakikosea hukosea kwa mambo mema rekebisha apo
Suleiman hakua muovu Alikua mwema Sana na daudi hakua muovu Alikua mwema Sana na Wala hawakumuasi mungu na Wala hakufundisha watu uchawi na Wala hakua mzinzi