DENIS MPAGAZE: Historia Ya MANSA MUSSA / Bilionea Wa MALI Aliyesababisha Wazungu Wakatuvamia!
Вставка
- Опубліковано 8 лют 2025
- Sikiliza wimbo wa FUTURE DESTIN- TO'ETE kwa link hii
• Future Destin - TO'ETE...
KWA MATANGAZO:
WASILIANA NASI KUPITIA: +255659982764 au +255757886370
EMAIL: info@fomaentertainment.com
Follow Us On Instagram
/ ananiasedgartz
/ ananiasedgartv
/ ananiasedgartv
/ ananiasedgartv
SUBSCRIBE
bit.ly/2ZWGBXo
Copyright Disclaimer: Under Section 107 of the Copyright Act 1976, allowance is made for fair use for purposes such as criticism, comment, news reporting, teaching, scholarship, and research.
______________________________________________________________________________________________
SIMULIZI ZA MATUKIO: bit.ly/2XlNCzg
HISTORIA ZA VIONGOZI: bit.ly/3ezWg2X
ELIMU ZA UKOMBOZI: bit.ly/3eCOK7m
Unataka kutuunga mkono? Tuchangie chochote kuanzia Tsh 500 nakuendelea. Kiwango chochote ni kikubwa sana kwetu na tunathamini sana. Unawezakutuchangia ukiwa popote pale duniani.
Bofya hapa chini kutuchangia;
flutterwave.com/donate/uznwvj3q1jox
Brother 👏👏👏👏👏 kwa voice tu utabaki kilelen gonga like kama unamkubali ananias edgar🤝
Anae mkubali jamaaaa agonge like hapa!
Asante sana Denis na Edgar kwa kutufahamisha kuhusu historia hii muhimu kuhusu Africa.Kumbe waafrika ni watu wamekuwa na nguvu na akili tangu mwanzo,kinyume na vile wazungu walitufanya tuamini
Ananias Edgar unanifurahishaga tu kwa sauti yko tamuuuuuuuu
InshaaAllah siku 1 Africa itakua bara tishio
The magic voice with good historical big up bro
Wazungu weziii sana..yaan siwapend kwakuwa wao hawakupi kitu ila mpaka wakuibie chako..wanajifanya wema wakija kwetu tukifika kwao wanatuua..wanatutupia ndizi na kutufananisha na manyani au Magaidi.
Brother ww ni muislam usiseme kitu ambacho huna uhakika nacho au mambo ya kuhadithiwa hakuna mzungu anayeuwa watu mauwaji ni huko kwetu Afrika chukulia UCHAGUZI Huu Tanzania wangapi wamekufa kule Zanzibar kibao ukifika huko uko salama Sema ALHAMDULLILAH kila haki yako unapata ila kweli huwa wanavamia nchi na KUUWA lakini sio kwao
Denis mpagaze usikae mbali mzee channel inapoteza mvuto sana wengi tupo hapa kwajili yako
Huna mpinzani ananiss ni 🔥🔥🔥
Kudos mpagaze kwa kazi nzuri na ananias kwa simulizi taamu
Thank you my brother from another mother ✊✊
Kazi nzuri sana.IN TALENT WE TRUST
Kizazi cha leo Afrika tumeharibikiwa; hatutojikombowa kamwe unfortunately maana hakiri zetu zimekuwa mateka. Mara swag, mara bling bling nakadhalika. Isitoshe sasa, historia yetu hatuijuwi mpaka imefikia hata lugha zetu za asili haruzitamani tena. Ewe Mungu nusuru kizazi hiki. Amina.
You are doing a good job,kudos from kenya, kiswahili kitamu sana
Ukiona mtu anamsifia mzungu ujue ni mjinga wa kuzaliw maana nilianza kujua kuwa mzungu hakuwa mwema kwetu nikiwa darasa la tano hadi leo namchukia mkoloni ee Mungu ni samehe.
Vizuri sana!!Sasa jambo la mwisho badilisha hilo jina
Iitakalo sadifu unachosema…Kwa maana jina linamaana kubwa sana katika namna ya kuishi,lina wakikisha utawala
@@rafathealfa2237 ndiyo…. Nina jina jinga la mzungu pia…. 😓
The magic voice, magic historical count~down and marvelous presentantion❤❤❤🎉🎉🎉
Well done bro if we will put history so clear it will help us
Hivi Mkuu unaishi wapi? Uelewa wako wa historia ni mkubwa mno. Nikisikiliza simulizi zako nakumbuka kitabu kilichoandikwa na mwanahistoria toka Guyana, Walter Rodney cha How Europe Underdeveloped Africa and How Africa developed Europe. Afrika tunapaswa kutoka usingizini, kukubali na kupenda vilivyo vyetu. Lazima tujipende na wanawake wetu waache ujinga wa kujichubua ili waonekane weupe. Lazima viongozi wetu waachane na misaada ya wazungu ili tupambane wenyewe na kujiendeleza hata kama ni kutoka jasho la damu. Uwezo tunao, tunahitaji tu kujiamini.
Hii sauti ya edger imekaa vizuri sana
👍thanks brother for your insipiration
Hii saut imekua nadra sn sahiv kuisikia daaahhhh
Bro uko vizuri
Sijui anakwama wap saiv kun ka kijana kweny hi acount lakin hatukaelew
Edgar get us history of bitcoins in swahili
Nzuri sana kaka
Kaka ahsante upo vizuri sana
Alafu hatujawahi fundishwa Haya mambo kwenye history wazungu walitumaliza sana kwenye kutufundisha dini trust me maana walijua system yetu tulijengwa kutengeneza wealth and think wealthy hawa wazungu wakatuletea dini mambo ya Kusali na kusahau kazi tumebaki mafala
merci pour votre recherche grand frère, tu nous donnes le goût de s'unir nous qui sommes africains , je suis de la RDC, félicitations
From congo Brazzaville
@코카콜벳cccb01닷com speak English
kaz nzuri
Thank you genius 🙏🙏
Munaoanda history hizi nimiongon mwa dhahabu Za Africa "zitunze jaman"
Uko vizuri kaka
Appreciate your work Ananias
My brother
Nitafurahi sana kama utatuletea historia ya akina wale walio taka kumpindua Aliyekuwa Raiai wa tanzania Julius Kambarage nyerewre. Na watanzania walio teka ndege
Daaaah Ebhana eeeeh, Ananias Edigar kunywa peps ya barid kwa bill yangu
pepsi utamuua taratibu sababu soda ni sumu
Each one teach one....!!!
Shukran
Nishagundua wazungu ndio waliokuwa wanakufa wazungu toka zamani chakushangaza wao ni wasafi na wasomi lkn ndo wanakufa mpaka leo #AFRIKA_SIMAMA
Nakubali sana makala zako
hongela sana
Mzee baba upo sawa sawa
Nzur sana
Masha Allah 🔥🔥🔥💞💞✊🏾🌍🌍❤❤❤ila nafasibando ipo nikuamk
Hadithu nzuri. Ila matangazo yanaboa
Masha"Allah Masha"Allah
Pamoja sana
Brother tuliku mic mnoooooo....unatupa afya ya ubongo
Mambo ni🔥🔥🔥🔥🔥
Hongera sana
Daah niimiss sana sauti yako
Wajina wangu me mansa j b
Siku afrika tukiacha kuoneana wivu kusalitiana sisi kwa sis ndo tutatoboa tunajua tatizo letu lakin tunaliendeleza ata nchi zetu nyingi zinasalitiwa na waafrika wenyewe mwafrika ukimpa v8 ya bure anasaliti na kuuza siri zote za nchi yake 😢😢
Nice
Dah tunamiss hiii voice uliyemuachia hata halet raha
MASHALLAH 🔥🔥🔥🔥
ANDIKA STORY YA LUANDA MAGERE
Kaka We,Historia Zako Kuhusiana Na Dunia Uaga Zani Punga Roho Sana
SAFI ANANIAS
Jamaaa unajuaa sana
Hii sauti adim sanaa
Nanias na mpagaze please msijekuwa kama mtiga na jamali....
Kwanini Italy!? Kuna mwenye Jibu hapa..!?
@코카콜벳cccb01닷com 🤣🤣🤣 kwaiy ndo umejibu ama 🤔🤔
Mhelaganza Ng 'home ndio jina Asilia
Ukielezeaga wewe mwenyewe ndo nasikilizaga
Hiii ni kwa ajiri ya wakali tu
Huyu sheikh mansa mussa alikua ni billionaire
Ukosai kuabalisha umma
Zamn kuchinjwa kitu cha kadaiw tuu Eee Mungu hii isije ikarud tena kwa karne hii
Hii chaneli niliipenda sana ila siku hizi mjomba kaingia mitini. Acha kupotea hvyo wewe ndie ulietuleta hapa.
Kweli kaka.
KONGOLE!!
Mukuuu Ananias
Africa Ni sehemu ya Kipekee Kwa kila jambo
💪🔥🔥🔥
Nimepend unavyosimulia... Lkn unamix historia nyingi...chagua hadith moja mzee
Who else search this after seeing blueprint ya Rosa ree?😂😂😂
Huu ndio ujinga wetu afrika ety kitu mpaka amri atowe mzungu
Agiza nakuja kulipa bro.
The truth
NAKU HESHIMU XANA KAKA UKO LIVE SANAAAA
Wazungu wasengee sanaa😅😅😅😅mamae zaoooo
Tuna safili kwa ungo na fisi
Sadock
Kuna story hazinogi usiposimulia ww 😈
Ivi kwanini hatufunguki kwA maono haya?
Hilo ndo swali kubwa la kujiuliza. Kwa nini hatubadiliki pamoja na kuelezwa haya?
Namba niulize swali,hivi Swala LA kutahiliwa lilianza mwaka gani na Kwanini tunazaliwa hatujatahiliwa lakini unakuja kutahiliwa?????
Sawa kaka
Chumvi👌👌👌👌
Namba za simu ni ngapi?
Haha...bro mpk umekuwa doctor
Nilimis sauti
❤️
Nikweli tunapelekwa na wazungu kwamfano hapa petu tz kunwatu mungu anawaibua nasayans lakin serekali haiwasapoti kisa hawajui inglish 😂
Wazungu sio watu kabisa
Wao ni panya
Tuletee siku moja ya mfalme edipode
I just like your content. Its super!!! Please TULETEE story ISMAILA MOMPHA. SCAMMER FROM NIGERIA. Friend to HUSHIPUPPI.
Ananias kwa kwelii ww jembee😅😅😅
Kakaaaa wekibokooooo haupingwiiii
Kaka unatisha
Bro umetsha kwakwel
Ulipo nipo
IKO SAWA MANA USHAHIDI NI HUU UGONJWA WA CORONA
WAAFRIKA WENGI WANASUBIRI UKOMBOZI KUTOKA KWA WAZUNGU !