DENIS MPAGAZE: Mfahamu Mwanamalundi / Mwanaume Aliyekausha Miti kwa Kidole Wanawake Wakapata Kuni!!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 жов 2024
  • EMAIL US : sales@fomaentertainment.com
    Follow Us On Instagram
    / ananiasedgartz
    / ananiasedgartv
    / ananiasedgartv
    / ananiasedgartv
    SUBSCRIBE
    bit.ly/2ZWGBXo
    Copyright Disclaimer: Under Section 107 of the Copyright Act 1976, allowance is made for fair use for purposes such as criticism, comment, news reporting, teaching, scholarship, and research.
    ______________________________________________________________________________________________
    SIMULIZI ZA MATUKIO: bit.ly/2XlNCzg
    HISTORIA ZA VIONGOZI: bit.ly/3ezWg2X
    ELIMU ZA UKOMBOZI: bit.ly/3eCOK7m

КОМЕНТАРІ • 378

  • @SangaliPower
    @SangaliPower 2 місяці тому +21

    Tuliopo hapa 2024 tujuane kwa like kwa fundi ananias

  • @simonballu1124
    @simonballu1124 2 роки тому +72

    leo nimeamini huyu jamaa anasimuliaga vitu vya kweli mana sehemu aliyoitaja ni kwetu na hizo sehemu zipo tukienda kuchunga tulikuwaga tunaona hizo nyayo za mwanamalundi pia kuna mwamba mwingine alikuwa anaitwa chalya naye historia yake inasisimua pia stori ya ibamba ngulu nilisimulia na mama yangu mzazi, keep it up bro unafanya utafiti wa kina hii habari ni ya kweli kabisa.

    • @SAMISAI.
      @SAMISAI. 11 місяців тому +2

      Nikutafute unipeleke🙏

    • @nassibu-hy5ny
      @nassibu-hy5ny 11 місяців тому +4

      Nichek mi nkupeleke kwenye nyayo zake utaona na mti alioukausha

    • @KiyumbiEmmanuel-zc4hv
      @KiyumbiEmmanuel-zc4hv 9 місяців тому

      Ukitaka kuyajua maeneo yote haya ya mwanamalundi nitafute nikupeleke

  • @herbertlevery13
    @herbertlevery13 2 роки тому +19

    Ukweli ni kwamba sisi tulikuwa na manabii na wazungu waliwauwa manabii wetu ili kuwatangaza wa kwao na ss waafrica tumeferi ktk hill kwa zipo baraka ktk kuwatangaza manabii zenu na mbaya zaidi mmegeuza majina yao kuwa mizimu lakini wazungu wanawaita watakatifu shtuken waafrika

    • @mooh_silver_tz
      @mooh_silver_tz 2 місяці тому +1

      Hawana uwelewa kabisa me nawahurumia sana

  • @kamobcooler1077
    @kamobcooler1077 2 роки тому +13

    Watu wengi hapa kuna kitu hawakijui (1)-Kabuli la huyu Jamaa lipo Kijiji kimoja kinaitwa SEKE IDIDI (SHINYANGA) mpk Sasa lipo

  • @fatumaligome4584
    @fatumaligome4584 2 роки тому +9

    Nikirudi tz nitakutafuta nipate vitabu vyako kaka ni kwa ajili ya watt wangu hupenda sana kusoma vitabu vya histor ya waliotangulia

  • @mosesmaganga1490
    @mosesmaganga1490 2 роки тому +7

    Mimi nimesoma mwakilyambiti secondary school hiyo history ni ukweli mtupu mpka kwao mwana malundi napajua mwakubiringa

  • @ibraton4071
    @ibraton4071 2 роки тому +7

    unachosema kweli....yule jamaa aliwalisha watu kibao kwwa mikate miwili....lakina mwanamarundi anakausa mti wanamuona mshirikina yule wa israel ni uwezo wa mungu africa banaa

  • @princessmunii2530
    @princessmunii2530 2 роки тому +7

    Omg nimesoma wasomi huru gerezani, ukombozi wa fikra, na tumbo lisiloshiba na leo nimekusikiliza bila kujua ni wewe mtunzi wa vile vitabu😥 naamini tutaikomboa jamii kwa juhudi zetu sote tukiwa wawazi!!

    • @kulwalugata7232
      @kulwalugata7232 2 роки тому

      Kuna anani s edga na Denis mpagaze mmoja mwandishi mwingine msimuliaji

  • @frankwilbard5775
    @frankwilbard5775 2 роки тому +12

    Ndani ya story yako tunapata story nyingine ndogondogo nzuri sana asanteee

  • @munawwar.akachwamba
    @munawwar.akachwamba 2 роки тому +22

    Historia imebeba mengi , tuitafute historia, tujitambue.
    Shukran kwa uchambuzi wenu .

  • @mecksonmasaki5463
    @mecksonmasaki5463 Рік тому +4

    napenda sana stori zako lakini ni story za juzi tuu nataka unipe story ya chief mangungo na baba yake masaki . habari zao zipo hata makaburi yao lakini yamefichwa na watu wamejua

  • @princemajinge2206
    @princemajinge2206 2 роки тому +10

    Ujinga wa kupalamia vya watu ndiyo unatughalimu,Viva wasukuma,harafu mnatuchukulia et washamba.

    • @likimaro6
      @likimaro6 11 місяців тому

      Haiondoi ushamba wenu 🤣🤣

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 2 роки тому +8

    Wasukum wanapend ndege 🤣 ndio maan hata hayat JPM 💔 alizinunua kwa wingi 👏

  • @peterkisomezi1101
    @peterkisomezi1101 2 роки тому +13

    Pamoja brother big up

  • @primestar5922
    @primestar5922 2 роки тому +7

    Mwanamalundi ni shujaa wa Africa nzima.

  • @deniccgabriel6153
    @deniccgabriel6153 2 роки тому +5

    Tunashukuru Sana naona na wewe kama mkombozi wa fikra zetu waafrika

  • @herbertogaro7270
    @herbertogaro7270 2 роки тому +9

    Great voice, narration and metaphors....kiswahili kitukuzwe

  • @paschalsafari9747
    @paschalsafari9747 Рік тому +1

    Lakini kabla Brian deacon mwigizaji wa filim ya Yesu hajazaliwa ! Picha za Yesu Kristo zilikuwepo... Fuatilia kisa cha mwanamke Veronica aliyeachiwa kumbu kumbu ya picha ya Yesu kwa muujiza kupitia kitambaa chake mara baada ya kuupunguza uso wa Yesu wakati wa mateso yake.....

  • @aguerowakujidai6509
    @aguerowakujidai6509 2 роки тому +8

    Kakah iachie sisi tuenjoi leo mana kitambo sana tumeisubiri hii

    • @godwin6325
      @godwin6325 2 роки тому

      Noma sana, yani ile Historia ya Tanzania ingefundishwa mashuleni wewe ndiye ungekuwa mtu muhimu sana.

  • @joycesengo3976
    @joycesengo3976 2 роки тому +10

    Wasukuma tunapenda ndege ndio maana JPM alizinunua Kwa wingi sikupingi 💃💃💃

    • @mpokimwakisimba692
      @mpokimwakisimba692 2 роки тому

      Za masiku Joyce?? Umepotea Sana... Uje upande ndege😋😃

  • @justblackcode
    @justblackcode 2 роки тому +5

    Nimependa madoido uloyatia katikati usimulize wako😍, hadi nimeishare kwenye status yangu 🇰🇪♥️

  • @tatukigua5456
    @tatukigua5456 Рік тому +4

    Kweli kaka Denis watoto wa sikuizi wanaingilia paka maongezi ya watu wazima

  • @christopherdimagaaaikopouw916
    @christopherdimagaaaikopouw916 2 роки тому +8

    Nimeipenda sana hii ni kumbukumbu nzur zinatukumbusha Asili yetu tuliko toka Ananias tuletee na simulizi za mwamba wengine wa tz

  • @matthewkimaro8695
    @matthewkimaro8695 Рік тому +6

    Chapa kazi Wadau, tunapenda simuulizi zenu katika mambo mbalimbali. Diaspora ya Watanzania UK

  • @thobiasmathias139
    @thobiasmathias139 2 роки тому +2

    Porojo zako nawe!

  • @arveengeorge9577
    @arveengeorge9577 2 роки тому +6

    Huyu ndio Yesu asee maana kaacha nyayo zake juu ya mawe kaka

  • @prof.oduoroduor6471
    @prof.oduoroduor6471 2 роки тому +16

    huo usimulizi wako uko juuuuuuuuuuuuu saaaaaaaaana>>> You are a great narrator bro.. so catchy

  • @coronacermak7099
    @coronacermak7099 2 роки тому +28

    Hongera sana. Kupitia hii simulizi, Leo nimewasimulia watoto wangu kuhusu Mwanamalundi. Maana baba yao anapenda sana kuwasimulia kuhusu Legend stories za tamaduni yake ya Czech au Ulaya. Sasa na mimi nilivyoisikia hii nimewasimulia. Mtoto wangu wa Kiume amefurahia pale kamba ya kunyonga ilipokatika na Mwanamalundi alipojamba na wasukuma wakapata Ng'ombe wao 😆☺️. Unasauti nzuri sana yakusimulia, inanikumbusha David Attenborough akivyokuwa msimulizi mzuri kwenye makala za historia na wanyama. Endelea hivyo hivyo, kizazi chetu tunajikomboa kifikra.

    • @yassinchachalika2446
      @yassinchachalika2446 2 роки тому +1

      ,

    • @matthewkimaro8695
      @matthewkimaro8695 Рік тому

      Umefanya vema sasa Dada. Vijana hawa wanafanya kazi nzuri sana katika kusimulia vizazi vijavyo historia za mashujaa wetu wa Tanzania. Nimekulia Tanzania kwa miaka 30 lakini sikuweza kusikia simulizi hizi. Inanikumbusha kipindi cha miaka ya 90 ambapo tulikuwa tunasikiliza kwenye redio RTD kipindi cha “mama na mwana” saa 8 kamili mchana.

  • @Madsan-q7i
    @Madsan-q7i 11 місяців тому +1

    Mwanamalundi alikua mchawi nlishafuatilia habari yake

  • @mbayomaikoakzahi9400
    @mbayomaikoakzahi9400 2 роки тому +2

    Hawa washkaji uwa nawasiikiliza uzalendotu ila kwamachungu mengi sana hawa majaa wameni kula hela yangu eti watanitumia kitabu paka kitabu akijafika mwezi wa6 hivi nikiwahandikia eti bado kunatatizo kwelii tatizo lisiohisha kwamyiezi yotehiyoo

    • @AnaniasEdgarTV
      @AnaniasEdgarTV  2 роки тому

      Hello pole sana.
      Tafadhali tunaomba ututumie namba yako whatsapp +255659982764 kwa msaada zaidi.>

  • @bogoheidaso2628
    @bogoheidaso2628 2 роки тому +12

    Nakumbuka sana nikiwa mtoto tulikua tunaambiwa mwanamalundi alikua kilima viazi ASUhi jioni anachimba viazi anaanza kura

  • @makeresiapawa7947
    @makeresiapawa7947 2 роки тому +4

    Hii sio historia sahihi ya Mwanamalundi- ng'wanamalūndi.
    huyu jamaa hajazungumzia tumboni mwa mama yake, bali ni mjukuu wa Igulu yaani JISHOSHA.

    • @silverybuluma
      @silverybuluma 2 роки тому

      Igulu bugomola ni nan?

    • @ernestlameck5523
      @ernestlameck5523 2 роки тому

      Eee bhana na hyo alie kua anaacha alama ya miguu kwenye mawe ni ibhamba ngulu cyo n'gwanamalund navyo jua Mimi lakin

  • @Delux698
    @Delux698 10 місяців тому +3

    Salute san kiongoz unatufundish vitu tusivyovijua, mung akuongoze....

  • @manp.....7694
    @manp.....7694 2 роки тому +15

    Denis nakuelewa san mkuu. Keep up kutupa vitu vitamu havichosh kuskilza, unatufundsha vtu vng sana kuhus maisha na historia ya watu weusi. Nakuombea sik moja uje kua kiongoz Mkubwa katka hii nchi naamini utakua kam JPM kwa philosophy na mtzamo wako dhid ya Whites.

  • @richardboaz-mashagospel2346
    @richardboaz-mashagospel2346 6 місяців тому

    Utasikia mtumwa wa fikra anasema "shirk hiyo😂" Akili yake anaamini kila alichoambiwa na waarabu na mwingine utasikia Israel tu... Inabidi tujue siri ya haya mambo

  • @alvinus.m.r.rubambura5204
    @alvinus.m.r.rubambura5204 27 днів тому

    Anaitwa NG'WANAMALUNDI siyo Mwanamalundi!

  • @darasahistoria3773
    @darasahistoria3773 2 роки тому +1

    Historia ya mahoka wa YK92 ua-cam.com/video/yrXqXUFU0hM/v-deo.html

  • @kahemajohn9992
    @kahemajohn9992 2 роки тому +5

    Ni kweli yote. Mimi hapa nimeandika vitabu vitano. Lakini nimekosa wa kunifadhili kea sababu vinazungumzia mila na desturi za kiafrika

    • @prophetsayitv1541
      @prophetsayitv1541 2 роки тому

      Unahitaji ufadhiri Kama tshs ngapi,?
      Wafadhiri wapo wengi Sana.
      Hiyo unayofanya Ni Kazi Njema Sana.

  • @florentinilyimo9045
    @florentinilyimo9045 2 роки тому +3

    ur geniuz bro . napenda mawazo yako yani ningeeza ngefufua mizimu yote ya africa lets go back to where we belong

  • @barakahassani5769
    @barakahassani5769 11 місяців тому

    Kaka unatowa simlizi vizuli sana daa kwanza umetulia unavyo ongeza hatakama kunamtoto mdogo anakuelewa hatasisi kule kwetu songea kunamilima kati yahiyo milima mlima mmoja kwandani nikama nyumba nakunavyomba kabisa kasolo vitandatu napia kunachumba kimoja kinaishi lijoka likubwa sana ila halina ubaya namtu ila kama ukienda kwaubaya hauwezi pona piga uwa hautoboi sisi wakati tupo wadogo tulikuwa tunaenda kuliangalia nalinapete kubwa naniyasamani sana wazungu walienda wakataka kuleta mambo yao yaujangili chamoto walikiona kaka mambo nimengi sana kule kwetu

  • @compromiseboy7226
    @compromiseboy7226 2 роки тому +5

    Nasubiri simulizi hili leo

  • @tanialucas4579
    @tanialucas4579 2 роки тому +5

    Nimependa sana simulizi yako endelelea kupambazuwa waatu

  • @gidongailo7174
    @gidongailo7174 9 місяців тому

    Ila haujataja miaka. Nilitamani kujua alizaliwa mwaka gani na akafariki mwaka gani. Chlonology

  • @jichoulimwenguni47
    @jichoulimwenguni47 16 днів тому

    History ni nzuri kabisa nimeipenda ili kaburi lake lipo seke maeneoya hungumarwa sio simiyu.

  • @jacksonjoseph6990
    @jacksonjoseph6990 2 роки тому +4

    Safi. Tunatengene filamu yake sasa

  • @manp.....7694
    @manp.....7694 2 роки тому +2

    Annanias uje kunifundsha kusmulia story. I really appreciate unavosimulia.

  • @33-synchronized
    @33-synchronized 14 днів тому

    Usawa ndo unawapumbaza mwanaume atimize wajibu wake ndo maana sahz vdume mnaolewa.😂😂😂

  • @samwelmahwela9576
    @samwelmahwela9576 2 роки тому +3

    Nakubali good tuelimishe maana sasaivi vijana hatuna uasilia wetu

  • @Mushidebb
    @Mushidebb 9 місяців тому +1

    Yaani watanzania sis tuna vitu amazing na hatuvijui

  • @mwljuliuskiwovele
    @mwljuliuskiwovele 2 роки тому +6

    Mimi napenda sana simulizi ukisimuliwa na Ananias Edgar halafu iwe ndefu kama ile ya Thomas sankara,Mkwawa na Mirambo

  • @arveengeorge9577
    @arveengeorge9577 2 роки тому +1

    Mwamba alikuwa Mkushi mbona unaiponda Kushi kaka

  • @RAMADHANMOHAMEDMBESHI
    @RAMADHANMOHAMEDMBESHI Місяць тому

    Inabidi nikubaliane na mzee maana anataka niwe mganga na nimekatazwa kumpa laana au kumuapia mabaya

  • @AntonySaida
    @AntonySaida 16 днів тому

    safi sana mwamba kwakusamini vyakwetu ama kweli umenikumbusha mbali sana ❤

  • @charlesmyamba8531
    @charlesmyamba8531 2 роки тому +9

    Story qalii Sana tunamisi saut yako ingekua kila siku

  • @RamMrisho-vp8jq
    @RamMrisho-vp8jq 7 днів тому

    Chefu nisionekane mbeya nikaja kusutwa bure😂

  • @JamesMsigara
    @JamesMsigara Місяць тому

    Kwel anacho simulia huyu jamaa kwenye jiwe la mwanza ameacha alama za unyayo wake

  • @JosephJuma-st3cu
    @JosephJuma-st3cu 8 місяців тому

    Ogopaaaa ni hatari nduhu tabu tutengwe

  • @venitarugemalila9290
    @venitarugemalila9290 Рік тому

    Ataulizwa maswali wewe nani?

  • @yustoyona857
    @yustoyona857 2 роки тому +1

    Sasa huyu jamaa si angekausha wakoloni wote

  • @LazaroLucasLucas-eu3lh
    @LazaroLucasLucas-eu3lh 10 місяців тому

    Ama kweli wewe ni mtu ulieteuliwa na Mungu kuja kutuamsha waafrika tuliolala kwa mda mrefu ENDELEA KUTUAMSHA WA AFRIKA

  • @BaldRainbow-kf4ph
    @BaldRainbow-kf4ph День тому

    mimi ni mrusi, nenafunza kiswahili waka moja. video hii ni kwanza video kwa kiswahili

  • @Eddyplatnumz700
    @Eddyplatnumz700 Рік тому +2

    Napenda kz yako ndugu mungu awe nawe kwakila jambo 🙏🙏

  • @luhajufilmstanzania
    @luhajufilmstanzania 2 роки тому +1

    Tulioko mwanza tunakipataje?

  • @idarusishabani7551
    @idarusishabani7551 2 роки тому +2

    Hangera sana mzee napenda sana kukusikiliza wana jaribu kukuigizaaa lakini wanafel kabsaa.

  • @andreageorge6407
    @andreageorge6407 11 місяців тому +1

    Mwanamalundi mwamba kweli kweli

  • @user-im7wv1dn
    @user-im7wv1dn 11 місяців тому

    Bojo nomanya muno munonga nyewe ndi wa gera mutuza kiziba eya bukoba missenyi

  • @Enzo-cp
    @Enzo-cp Місяць тому

    Khaaa ila Igulu alikuwa msumbufu nae 😂😂

  • @arveengeorge9577
    @arveengeorge9577 2 роки тому +1

    Bro tupe Really story usiongeze sana Chumvi nenda moja kwa moja

  • @adolfkimaro784
    @adolfkimaro784 2 роки тому +3

    safi sana story nzuri na inamafunzo kwa watu wa africa tunatakiwa kuthamii vya nyumbani na kuvaamini kabca maana ata leo ukikutana na msukuma halisi atakuambia mwanamalundi ni mchawi wa kutupwa

  • @mustafarbacar4161
    @mustafarbacar4161 2 роки тому +1

    Nilishelewa kidogo brother,good good🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @jumasalum-ty1tf
    @jumasalum-ty1tf 10 місяців тому

    cheefuuu😂😂😂😂😂

  • @paulomssapaulomssa
    @paulomssapaulomssa 18 днів тому

    Yaanikweli tnazipenda ndege.bwana

  • @Abdulrazaq-zk9id
    @Abdulrazaq-zk9id Місяць тому

    Dahhh😂😂😂😂 kujamba watu wakalalaa

  • @silverybuluma
    @silverybuluma 2 роки тому +3

    Alikua mtaalamu wa ngoma ya wigashe

  • @bish_daddiyao
    @bish_daddiyao 2 роки тому +2

    Kwa Uchambuzi tu Asante❤️🙏🏾🇰🇪

  • @shammoha5297
    @shammoha5297 2 роки тому +2

    Watoto wakiume hapo zamani, sashv wakike ndio wanaochunga mali za wazazi

  • @luhendesoloshija9502
    @luhendesoloshija9502 Рік тому +1

    Mwanalundi hajaenda singida buana ila ni meatu

    • @abasmasusu722
      @abasmasusu722 4 дні тому

      @@luhendesoloshija9502 Kaenda tena Iramba Maghalibi na history bibi yangu kanisimulia sana

  • @rasakakaombwe
    @rasakakaombwe 2 місяці тому

    Huyu jamaa anasimuliya ukweli

  • @castoryrenatus
    @castoryrenatus 9 місяців тому

    Binafsi naomba sana km inawezekana serkali kwenye hili huyu mtu angeingizwa kwenye vitabu vya histori ya nchi, binafsi ninaomba walau nifike sehemu moja ambayo kuna maajabu yake nikaombe dua! Nikaombe kurithishwa hata robo ya utaalamu wake

  • @jonathanstephen-c9k
    @jonathanstephen-c9k 12 днів тому

    I appreciate your work bro

  • @sifaomary1490
    @sifaomary1490 2 роки тому +1

    Huyu alikuwa mwanga

  • @edwinruhangisa5704
    @edwinruhangisa5704 2 роки тому +1

    Zaman kulikuwaga na vitabu vya mwanamalundi siku izi havipatikani kabisa

  • @chrissjoel7752
    @chrissjoel7752 2 роки тому +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂 Edgar akianza kusimulia tu huwezi kuchoka kumsikiliza

  • @benneliasmahundi1112
    @benneliasmahundi1112 2 роки тому +1

    History inakubid uwe Makin kuitafakal maan mmmmmmmmh Asante

  • @JaphetMugini-wj6ow
    @JaphetMugini-wj6ow 10 місяців тому

    Sayansi ya kulima asubuhi na kesho ukavuna ingefanya taifa hili tusiwe na njaa kabisa. Kama tungezingatia haya , wizi , kuchukuwa mke au binti wa mtu na mengine yasingekuapo. Piga picha raha ambayo tungekuwa nayo

  • @Enzo-cp
    @Enzo-cp Місяць тому

    Ila huyu mwamba alikuwa noma

  • @JosephMwita-rt3ej
    @JosephMwita-rt3ej Місяць тому

    Amani iwe nanyi 🇹🇿💦🇹🇿

  • @uymm3954
    @uymm3954 2 роки тому +2

    Nimekupenda unavyo simulia 🙏😍💓

  • @sporttv5033
    @sporttv5033 12 днів тому

    Hapa ndo naelewa kwa nn dini zililetwa

  • @saidbakari2408
    @saidbakari2408 2 роки тому +1

    kaka una uwezo wa ajabu saaana tena sana maana nilianza kukufaham kitambo saaana kiukweli unatufunza mengi saaaana Mungu akubariki

  • @ZawadiKibela
    @ZawadiKibela 10 місяців тому

    Na zijua hizo sehem na nilifanya tambiko Hadi alipochimba BAO

  • @SubiraSalum-x6x
    @SubiraSalum-x6x 2 дні тому

    Asante sana kwa simulizi nzur

  • @33-synchronized
    @33-synchronized 14 днів тому

    Huyu ndo Yesu sasa wa kweli

  • @LeonJayson-x9j
    @LeonJayson-x9j 2 місяці тому

    Ety mti wa kuwanyongea Wahalifu, Aliyeandika alikua Mpemba niniii😂😂😂

  • @costerhoshan6755
    @costerhoshan6755 2 роки тому +1

    Umeamsha tuliokuw tumelala bro ila wewe hutolala Kama wasemavyo wajinga JAH BLESS🙏

  • @japheteliatosha4710
    @japheteliatosha4710 2 роки тому +1

    Naomba kupata mawasiliano ya msimulizi

  • @juma1hujukii642
    @juma1hujukii642 8 місяців тому

    Hakika mswahili alifeli kwatukuza vya weupe. Ndio maana Leo wenye chanjo wameittwa ng'ombe na mahakama za Marekani

  • @JohnAmos-qk3vx
    @JohnAmos-qk3vx 5 місяців тому +1

    Kweri kabisa

  • @ibugharib389
    @ibugharib389 2 роки тому

    Historia nzur na mafunzo tosha ndani yake , mengine SADIKI ukipenda hahaha huyo Ndio mtoto wa mpaganze pamoja kaka