Salama Na HAJI Ep 52 | ALIYE KUTWIKA NDIYE ATAKAYE KUTUA PART 1

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 219

  • @nasserhabsi9309
    @nasserhabsi9309 3 роки тому +10

    Haji manara Nashukuru kwa kujijulisha..
    Wewe bila kuzungumzia history yako wewe mwenyewe waonyesha umtundu..
    Asante manara mungu awe nawe 👍👍👍

  • @nathanamon6876
    @nathanamon6876 3 роки тому +12

    Leo mapema tu wanasimba yan like basi wadau

  • @Paplick9
    @Paplick9 3 роки тому +47

    Aya wanangu wa Simba twende like apaa

  • @rukiakhamsin9220
    @rukiakhamsin9220 3 роки тому +5

    Masha Allah, mr hajji manara Allah Azidi kukuongoza ,na akufunguliye Njia katika maisha yako mabrook

  • @francistsii5135
    @francistsii5135 3 роки тому +3

    Haji Manara mtu bingwa sana more blessing to you jah

  • @christianmichael5331
    @christianmichael5331 3 роки тому +5

    Semaji la Dunia ndani ya kipindi bora kabisa Yahstonetown

  • @oyay2821
    @oyay2821 3 роки тому +24

    Huyu Haji Manara mimi nazipenda mbwembwe zake, yuko vizuri

  • @rukiakhamsin9220
    @rukiakhamsin9220 3 роки тому +1

    Masha Allah ,daa salama wewe ni mtangazaji mashuury nikupendaye na unafaa kabisa katika jamii,mabrook

  • @bhaleeali8459
    @bhaleeali8459 3 роки тому +6

    daah kweli HAJI ni mwanamichezo ana full details za vilabu vyetu vya TZ

  • @sumayaishengoma4543
    @sumayaishengoma4543 3 роки тому +2

    Haji akli kubwa Mungu akuweke mdogo wangu .Salama Hongera sana unafanya kazi nzuri sana. Vijana tusipo okota kitu kwa Hawa maginius wanakuja humu coz basi kuna mengi yakujifunza kwa kila anayekuja hapa.

  • @SaidSaid-bq6mk
    @SaidSaid-bq6mk 3 роки тому +2

    Huyu jamaaa mwenyez mungu azidi kumlinda mana nnachokusifu haji mana ww una roho ya kipekeee kwa sababu umepita madrasa na umesoma ni binaadam km sio wakamilifu lkn ww ni mtuu wa pekee sana mana naongea lkn ww sjui nikuelezeeje brooo nakukubali sana

  • @mr.chaula4943
    @mr.chaula4943 3 роки тому +3

    Haji we ni wakipekee sana naikubali sana kaz yako umeifanya nifurahie sana kushabikia simba

  • @ashooraashoora1180
    @ashooraashoora1180 3 роки тому +3

    Mashaa'Allah Hajji Allah akuzidishie subraa na afya njema yarabiy

  • @salmashahbal9306
    @salmashahbal9306 3 роки тому +3

    Hajji hupendi hela😀😀😀hutaki kua bakhresa wala moo😀😀😀nime tabasamu na kucheka interview yote😀😀😀nime enjoy sana hajji na salama

  • @mozasaid3869
    @mozasaid3869 3 роки тому +1

    Kumsema mtu kwa ulemavu wake ni ujinga ! Kwa sababu mwenyezi mungu kaumba watu tofauti ! Achana nao!

  • @abdulkhalim5564
    @abdulkhalim5564 3 роки тому +2

    Mashallah Hajj very good orator .Much respect talented Manara.

  • @mbwanadavid4371
    @mbwanadavid4371 3 роки тому +9

    "Sitaki pesa Mimi kwanza Nina Aleji nazo" Haji Sande Manara

  • @costantinedraxler3629
    @costantinedraxler3629 3 роки тому +13

    Very very positive and smart

  • @khamisrubea5083
    @khamisrubea5083 3 роки тому +1

    Salama ulivomuuliza haji kuhusu uzeru zeru wake nimejiskia vibaya kweli

  • @mypredictiontoday6818
    @mypredictiontoday6818 2 роки тому

    Salama irudiwe haji manara akiwa semaji la YANGA💛💛💛💚💚💚

  • @ibramrzebra1675
    @ibramrzebra1675 2 роки тому +2

    Finally Manara in the house

  • @mwakalelienterprises6860
    @mwakalelienterprises6860 3 роки тому +15

    HAPO SASA NMEKUMBUKA WAKATI WADOGO KWA NINI TULIKUA TUNAIMBA
    🎵🎶SANDE NA MPILA SANDE NA MPILA GOOOO🎶
    KUMBE NDIO ALIKUA BABA AKE HAJI😃😃😃

  • @tunuabuu6569
    @tunuabuu6569 3 роки тому +2

    Mashallah msemaji wa simba wa viwango👏👏👏👏👏

  • @beatricetenywa4367
    @beatricetenywa4367 3 роки тому +6

    Napenda sana confidence ya Haji safi sana kuwa albino hakujakupa unyonge bali umekupa kitu cha ziada🤗

  • @rubenmkilima4681
    @rubenmkilima4681 3 роки тому +12

    Salama lini utatuletea PROFESA JAY

  • @owlbig
    @owlbig 3 роки тому +4

    Nilikua naisubiri sanaa iyi interview ❤️🇧🇮😌

  • @hussnattwalibu2250
    @hussnattwalibu2250 3 роки тому

    Nimeipenda hiyo show haji yuko vizuri

  • @FatmaMohamed-qf4ff
    @FatmaMohamed-qf4ff 3 роки тому +6

    The best interview 👌🏾

  • @yusufumbwene5669
    @yusufumbwene5669 2 роки тому

    Baba yako hakuwahi kumfikia Zamoyoni Mogela " Golden Boy"

  • @paschalbq3494
    @paschalbq3494 3 роки тому +6

    Great aunt salama and i'm the biggest fan of your channel, i wish to have chats with you and itakuwa mimi na salama...i think you have many things to tell us about you na sisi tu learn pia from you ccy...heshima yako

  • @jkOmar2024
    @jkOmar2024 3 роки тому +3

    Umeuwa 👍👍👍👍👍👍👍

  • @johnthomas1973
    @johnthomas1973 3 роки тому +4

    Hahaha interview kalii san napendaa kukaa na matajirii

  • @nasserhabsi9309
    @nasserhabsi9309 3 роки тому +20

    Salama mie napenda saana kuomba kuangalia vipindi vyako lkn kitu cha ziada unapokuwa una kipindi chako cha "SALAMA NA" iwepo namba ya simu ya WhatsApp ili tuwe tunachangia mawazo na Maswali...
    Nashukuru saana.. ✔️✔️

  • @fortunathabarabara8471
    @fortunathabarabara8471 3 роки тому +3

    Wow I'm happy to see Jessica again ❤

  • @rukiakhamsin9220
    @rukiakhamsin9220 3 роки тому +2

    Hapo pa stevenyerere nimecheka hatari🤣🤣🤣🤣🤣🤣,jamani hajji nyange 🤣🤣🤣🤣

  • @embeothman3631
    @embeothman3631 3 роки тому +6

    Mi ni shabiki mkubwa wa Yanga, ila namkubali sana Manara... Allah akufanyie wepesi uje YANGA!...

    • @agathathobias8690
      @agathathobias8690 3 роки тому

      Mpende tu akiwa Simba inatosha😄😄😄😄

    • @embeothman3631
      @embeothman3631 3 роки тому

      @@agathathobias8690 Angenoga zaidi km angekua Young Africans... Club kongwe zaidi Tz

    • @agathathobias8690
      @agathathobias8690 3 роки тому

      @@embeothman3631 😅😅😅pambaneni na msemaj wenu tuachien Manara wetu au wenu hana vigezo

    • @embeothman3631
      @embeothman3631 3 роки тому

      @@agathathobias8690 vigezo anavyo kama vyote, na ndo mana anawasumbua vichwa kwa namna fulani,,, ila manara namkubali tu lifestyle yake na kujiamini kwake... Kama angekua yanga nahisi angebarikiwa zaidi 😂 😂 😂

  • @Mike-xt9sb
    @Mike-xt9sb 3 роки тому +20

    Salama leta Diamond kwa show...we need him here

  • @aishamukandanga272
    @aishamukandanga272 3 роки тому +4

    Yaani huyu baba anaongea vizuri kweliiii

  • @balegadaffi4472
    @balegadaffi4472 3 роки тому

    Nipeni like mm ni mtoto wa mpango wa kando wa baba haji manara 🙏

  • @ashaasha6065
    @ashaasha6065 3 роки тому

    Daah safi sana hachoshi kumsikiliza

  • @prochesnorbert8720
    @prochesnorbert8720 3 роки тому +3

    Huyu jamaa ukimsikiliza kwa makini pamoja kuingea kwake sana ila anamadini mengi kichwani (mgodi unaotembea)

  • @annamichael1433
    @annamichael1433 3 роки тому +1

    Big love salama

  • @husseinmwakasala7565
    @husseinmwakasala7565 3 роки тому +1

    he deserves to be a superstar

  • @ramadhaniabdi9530
    @ramadhaniabdi9530 3 роки тому +5

    Haji Lazma Ashinde Tu Kwenye Mazungumzo Hakuna Kama Yy Hapa Tanzania Labda Msemaji Wa Serikal Tu

  • @nurukhalifa9413
    @nurukhalifa9413 3 роки тому +6

    Wastara jifunze kutoka kwa manara ni mlemavu lakin huwez mkuta analalamika lalamika kizembe oooh kisa mi mlemavu ooh mi mlemavu ndo kwanzaaa kaenda kuoa mke mrembo pisi kaliii kuliko hata mke wa mtu hasiye mlemavu. We dk moja nying sina mguu kisa mlemavu naachwa unaachwa sababu unapenda kuolewa kila asubuh na usiku😀😀😀

    • @pendondossy4181
      @pendondossy4181 3 роки тому

      Angeweza angejua hili

    • @26eleven35
      @26eleven35 3 роки тому +1

      Albinism sio ulemavu mpuuz wew

    • @shizaarfred4059
      @shizaarfred4059 3 роки тому

      Mh huyu s mlemavu kumbuka yy alizaliwa mzima hii inatokea tu na hakika angekuwepo sajuki asingekuwa anaumizwa

    • @nurukhalifa9413
      @nurukhalifa9413 3 роки тому

      @@26eleven35Albino ni watu wenye ulemavu wa ngozi mkoswa akili wewe😀😀😀😀😀😀

    • @nurukhalifa9413
      @nurukhalifa9413 3 роки тому

      @@shizaarfred4059 weeeee tena ndo angekuwepo sajuk ungeshangaa mtoto wa sajuki kasema ni wa nyange😀😀

  • @loseriansamwel4931
    @loseriansamwel4931 3 роки тому +1

    Salama sister na interview na beneficial

  • @kssubitomas9289
    @kssubitomas9289 3 роки тому +4

    Naomba uje umfanyie interview huyo Jesca nae apate platform kubwa kwa watu

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 3 роки тому +2

    Eti kwa mademu wanao ni jua walijua sio Mimi. Iki maanisha haikua style zako bro

  • @halimajuma7182
    @halimajuma7182 3 роки тому +2

    Safi kabsa

  • @robartifabiani6572
    @robartifabiani6572 3 роки тому +3

    Nomaaa like zangu tafadhali

  • @jacobnorbertchenga9465
    @jacobnorbertchenga9465 3 роки тому +2

    Yaani haji unasema sisi waskilizaji tunaweza tusielewa Daaah hujui kuwa ... Tupo waskilizaji wa Kipindi hiki ambao tuna yajua hayo hata kuwazidi ninyi

  • @sidrecksteven5741
    @sidrecksteven5741 3 роки тому +3

    Salama tafuta mtu mwenye historia ya ruge tujifuze vitu kuto kwenye historia iyo maana ruge ameongoza wengi sana na wengi wamempa lawala tunataka tujue maisha yake samahani kwa ili tunataka tujifunze

    • @aishajafa4139
      @aishajafa4139 3 роки тому

      Angalia kipindi cha zamani cha salama kinaitwa mkasi aliwahi kumuhoji ruge mwenywe

  • @blessedtabatasengelight
    @blessedtabatasengelight 3 роки тому

    Ur genius...u know what it is ....4sure

  • @johnthomas1973
    @johnthomas1973 3 роки тому

    Marafiki malofaaa Salam et na mmi

  • @davidmukebezi6694
    @davidmukebezi6694 3 роки тому +3

    I like the interview

  • @fatmakombo7584
    @fatmakombo7584 3 роки тому

    😃😃😃😃😃 unachekesha nä haji nyangeee

  • @samuelmahimbo863
    @samuelmahimbo863 3 роки тому +3

    “Am the #SNS’s Best #MVS”
    Simulizi na sauti 🔥🔥

  • @limbomambo9728
    @limbomambo9728 3 роки тому

    Salama mtoto mzuri sana wewe basi tu

  • @NR-ll4sr
    @NR-ll4sr 3 роки тому

    Haji 😁😁😁😁😁😁😁umempelekea babaako mashekh

  • @CoachHafidh
    @CoachHafidh 2 роки тому

    Haji kauwa hapo hapo ati kaongozana ma shehe kumi wakafanye kisomo nyumbani kumbe anaenda kumpakazia fazake😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🙈🙈

  • @chiamochichi558
    @chiamochichi558 3 роки тому +10

    Nimeipenda interview

    • @riikostar5950
      @riikostar5950 3 роки тому

      Ila kasema wageni wakaenda kuanzisha Yanga, hapo ilibidi aseme wagen wakabaki Yanga na wenyeji wakaenda kuanzisha Pan African ya akina Pete Tino

  • @TamuzaKale
    @TamuzaKale 3 роки тому +3

    "Anakaa banda la uwani huko NYAMINYONGWA!" ulipaswa uwe mwandishi wa RIWAYA pia! Hehehehee

  • @omarymakome3239
    @omarymakome3239 3 роки тому +3

    haji aliwai kunibrock kisa nilimwambia kuhusu mkewe kuwa kichwa wazi nilikaa na ista bila haji kwa muda mpaka nikaona insta haina thamani ndipo nikaamua kutengeneza account nyingine aisee haji ni supestar ila alinikosea sana ila nimesamehe

  • @nalliekessy4902
    @nalliekessy4902 3 роки тому

    Hii imetisha sanaa haji sioo😂😂😂😂🤝

  • @ujudiabdull9442
    @ujudiabdull9442 3 роки тому +2

    Mimi simpenzi wamipira lkn haji napenda vituko vyake...

  • @ydtv9167
    @ydtv9167 3 роки тому

    Aminia

  • @preciousjohn9405
    @preciousjohn9405 3 роки тому +1

    Yani salama sijutii mb zang kwa kwl naenjoy mnoo

  • @daudbusanji2586
    @daudbusanji2586 3 роки тому +1

    fnya ue unatuekea pia sos

  • @swalehesaad1143
    @swalehesaad1143 Рік тому

    Huyu ndio manara kabla hajalogwa

  • @alee4252
    @alee4252 3 роки тому

    Salama jabir hongera umejua kuteletea mtu.... fundi si wa mpira tu hata wakuongea anaitwa fundi😅😅😅😅

  • @jaafarjacka9272
    @jaafarjacka9272 3 роки тому +3

    Mwamba Manara

  • @musakogan
    @musakogan Рік тому +1

    Huo ndio ukweli wako Sasa YANGA umefuata NINI au ndio maokoto

  • @ramlajuma1598
    @ramlajuma1598 3 роки тому +4

    Manara tumeona cm bas tena khaa 🙄🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @saifalrashidy3269
    @saifalrashidy3269 3 роки тому +1

    Salama, ningependekeza interview ijao iwe ya MKOJANI Comedy ili tumfahamu kwa hamu...

  • @hulkahassan4463
    @hulkahassan4463 3 роки тому

    Manara kashindikana kwa kweli

  • @petroprenge8716
    @petroprenge8716 3 роки тому

    Am the #SNS’s Best #MVS

  • @aminanamoyo83
    @aminanamoyo83 3 роки тому

    🤣🤣🤣🤣eti sipendi pesa nina allege nazo 🤣🤣🤣🤣 I really like manara kwaajili ya Allah,asante salama kwa kutuletea huyu jamaa ❤🇨🇭🇹🇿

  • @susannesusie3217
    @susannesusie3217 3 роки тому +1

    Manara Ana fixi saaaana😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @peterkichochi7510
    @peterkichochi7510 3 роки тому

    Kweli Salama anakipaji kikubwa sana ila media hii ina njaa sana matangazo kama mvua. Watu wapo shule kwa sasa hatuna muda kuangalia matangazo kama mvua

  • @meddymaulid5176
    @meddymaulid5176 3 роки тому +2

    Ahsnte san salama kwa intavierw nzr

  • @dilipdab3714
    @dilipdab3714 3 роки тому

    Salamaa.mpambanaji.kweli.ww.bora.upojitowa.kule.bss

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 3 роки тому +1

    Nyaminyongwa dah!🤣🤣🤣🤣🤣

  • @mohamedkigedele4498
    @mohamedkigedele4498 3 роки тому

    Well said Haji

  • @mohamedkachapa4433
    @mohamedkachapa4433 3 роки тому +1

    Interview ya leo imenisisimua sana

  • @isayayohana6341
    @isayayohana6341 3 роки тому +1

    Dada salama lini utamleta kitale

  • @saidahj2543
    @saidahj2543 3 роки тому +2

    Mkeraji bado anatukera tu hata kwa interview 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @shizaarfred4059
    @shizaarfred4059 3 роки тому

    😀😀😀😀🎤🎤Steve kumbe ni lofa

  • @neemahenery5291
    @neemahenery5291 3 роки тому +2

    Yani kama yupo kwenye mechi😁😁😁

  • @yunusrnb5227
    @yunusrnb5227 3 роки тому +1

    Huyo JESICA namuelewa😋

  • @salumjumah5648
    @salumjumah5648 3 роки тому +1

    Buggati nilikuwa naisubr interview hii kwa hamu sana

  • @lastsimbatv1497
    @lastsimbatv1497 2 роки тому

    Salam plz muhoji meena ally

  • @dilipdab3714
    @dilipdab3714 3 роки тому +1

    Salamaa.lini.utaolewaa

  • @NR-ll4sr
    @NR-ll4sr 3 роки тому

    Nice talk

  • @hamedabashir9
    @hamedabashir9 3 роки тому +5

    Simba simba

  • @husnasaid8268
    @husnasaid8268 3 роки тому +3

    azam leo tunawalaza chaliiiii

  • @abubakarminya2329
    @abubakarminya2329 3 роки тому

    Salama tunataka tumuone joel nanauka au ezden j4

  • @Mo_Blaze
    @Mo_Blaze 3 роки тому

    Haji nyange 🤣🤣

  • @hamedabashir9
    @hamedabashir9 3 роки тому +3

    Eti mm nataka marafiki marofa🤣😂😂😂😂

  • @oyay2821
    @oyay2821 3 роки тому +2

    Salama leo ameitendea haki interview, maswali ya mpira aliomuuliza haji ndio angemuuliza Raisi kikwete mambo ya siasa na ccm

  • @thabitngangila8562
    @thabitngangila8562 3 роки тому +4

    Interview hii ni bora kuliko zooote