Filamu ya kustaajabisha!! Nimetoka kuitazama mda sio mrefu kwenye netflix. Chuki ni uharibifu, Tuunge mkono kwa moyo wote kwa kazi kubwa na nzuri inayofanywa na ndugu yetu (Mr.Idris) na timu yake. 🔥🔥🔥
Hey Idris I think ur what u are shida ilikuwa moja mchezo na hukuwa umejitambua Ila sasa hivi ur that gentle man . mwanaume ni kazi na kujipambania love u 🥰 from kenya ningesikia Raha ukifika Bollywood coz they're now leading
Yaani ndio nakaa sasa na glass ya wine 🍷 (it's Friday night) niiangalie hiyo movie ya Idris ..Wow! So proud of him; Tanzania 🇹🇿 kwa ujumla tunapata sifa kweli. Thanks SNS ✌️
My wife (mmarekani) Played it bila hata kumbuambia.. its a good movie 🎬 kwa kweli. Japo we need improvement kwenye content ya mahudhui and passion (Just room for improvement) I give it 8/10
Idrisa nakukubali kaka movie 🍿🎥 nimeiyona zuri sana Bru idrisa nakufatilia toka kitambo sana. Inavitu vingi unavyo kk tunasumbiri movie 🍿 nyingine tena na tena...
Netflix original a project created by or with Netflix's major involvement. Netflix film(not original) refers to any film that is on the Netflix platform
kama unamkubaii idris tupia like hapa😇😇😇😇😇
Filamu ya kustaajabisha!! Nimetoka kuitazama mda sio mrefu kwenye netflix. Chuki ni uharibifu, Tuunge mkono kwa moyo wote kwa kazi kubwa na nzuri inayofanywa na ndugu yetu (Mr.Idris) na timu yake. 🔥🔥🔥
Kijana wa kitanzania tunajivunia ww kaka wetu❤❤❤❤
Idriss is a treasure kwenye movie industry ya Tanzania
Hey Idris I think ur what u are shida ilikuwa moja mchezo na hukuwa umejitambua Ila sasa hivi ur that gentle man . mwanaume ni kazi na kujipambania love u 🥰 from kenya ningesikia Raha ukifika Bollywood coz they're now leading
Fredrick the philanthropist 🙌 Idris with them talent 😩❣️🔥 always funny piaa 😂
Idriss namkubali sana kwenye hizi mambo, na interview zake ziko Bomba.
Salute kwako Idris wewe ni mshindi
🤣🤣🤣🤣 Idris
I love you 😗 💕
Mungu ambarik kwakweli make nimuonapo tu lazima nicheke ata kama hajaongea😅😅😅
Yaani ndio nakaa sasa na glass ya wine 🍷 (it's Friday night) niiangalie hiyo movie ya Idris ..Wow! So proud of him; Tanzania 🇹🇿 kwa ujumla tunapata sifa kweli. Thanks SNS ✌️
I love the movie!!!. You guys did an amazing job!!!!. Love from USA ❤❤❤❤❤
Matured Idris is giving kwakweli..... champ on champ
😂😂huyu jamaa huanga fun sanaa😆😆🇰🇪🔥
Hongera sana IDS
Hapo anazngua sana hamalizi project
My wife (mmarekani) Played it bila hata kumbuambia.. its a good movie 🎬 kwa kweli. Japo we need improvement kwenye content ya mahudhui and passion (Just room for improvement) I give it 8/10
Kwa kweli yuko juu
Idrisa nakukubali kaka movie 🍿🎥 nimeiyona zuri sana Bru idrisa nakufatilia toka kitambo sana. Inavitu vingi unavyo kk tunasumbiri movie 🍿 nyingine tena na tena...
Ivi unaingaliaje huko Netflix unalipia nijuze my
Kazi nzuri sana
This guy got talent on exploring different things..
Movie ni nzuri sana nimeiangalia
Idris one of the best ever
Eti kiss la basata
Great interview, but I don't understand by what he said Neflix original and not original.. I watched it,it's so impressive..bravo Idris
Netflix original a project created by or with Netflix's major involvement. Netflix film(not original) refers to any film that is on the Netflix platform
Idriss I see you far in this industry! Kudos👍
God bless u bro
@immamk 😅
Film 📽️ ndaipata vipi
Energetic
Congratulations 🎉 Idris 💪🏾
Big up idris 🔥from 🇺🇸
Kama kiss 💋 flan ivi la basata LOL 😆 😂 🤣 #Idris_You_Kill_It
Kisss la basataaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Lakini awajaongeya Kiswahili sana
sultanga
Aache ungese bana sasa anakimbia nini…
Duh kiss la BASATA 😅😅
Idris sultan 💪
Idriss so funny 🤣🤣
😍😍😍💪
Panama 🇵🇦
idris idris idris🤣🤣🤣
Inaitwaje hiyo
Married to work
Danga Inaoneshwa Chanell gan?
Sichokagi kumsikiliza idrisi
KISS LA BASATA AHHAHAHAAH
kiss flan la basata😀
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️👍
😂😂😂😂😂
@idrissultan we jamaa
😂😂huyu jamaa huanga fun sanaa😆😆🇰🇪🔥