PEMBA SHUMBA MJIN WALIA SERIKAL WACHENI HILI ISIWE TENA KIKWAZO CHA KUANZA ALIFU KILA MWAKA ZANZIBAR

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 вер 2024
  • TOA MAONI YAKO KWA KUTUMA SMS AMA KUPIGA KWA KUTUMIA SIMU NAMBA 0773 95 35 31 AU 0777 94 54 74 AU 0777 37 37 87 FACEBOOK PAGE TIFU TV ZANZIBAR ,TIFU TV KIJAMII ZAID.
    #Tifutv #zanzibar #kijamiizaidi

КОМЕНТАРІ • 10

  • @lusakaone7782
    @lusakaone7782 3 місяці тому

    Hamna lolote hapo, wamekuja kutengeneza Per DM

  • @salahhddindasuvic6447
    @salahhddindasuvic6447 3 місяці тому

    Vyeti vya kuzaliwa vinatolewa Kila siku,tatizo hamuna muda wa kufaultilia , na Kila siku munatangaziwa maredioni , mtandaoni pia , tusilaumu serikali hata kidogo

  • @rashidomar2771
    @rashidomar2771 3 місяці тому

    Mimi hapa sielewi ,naona wananchi wameongea mengine na maofisa wa uhamiaji wanaongea mengine kabisa sasa hapa pataleta suluhisho lipi

  • @BinMussa-dz5lt
    @BinMussa-dz5lt 3 місяці тому

    Nimekunga mkono

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382 3 місяці тому

    MAWAZO YA WATANGANYIKA HAYAWEZI KUFANYA KAZI KWA ZANZIBAR!

  • @Omar-g9q9b
    @Omar-g9q9b 3 місяці тому

    CCM mbona munajifelisha kijinga

  • @abdallasheha4173
    @abdallasheha4173 3 місяці тому

    Sasa mbona la vitambulisho hamjalijibu

  • @princesaha3262
    @princesaha3262 3 місяці тому

    Wanazingua Sana serikali ya mapinduzi.

  • @salyali7807
    @salyali7807 3 місяці тому

    Watanganyika ndio tunawasujudia kupata vitambulisho ... Hasbiyallah waneemal wakeel