UKWELI WA KUSHTUSHA KUHUSU ASKARI AONEKANA AKIWA AMESHAFARIKI. ZANZIBAR

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 17

  • @HassanAbdillah-e6l
    @HassanAbdillah-e6l Місяць тому

    Asante mkuu

  • @AleiHadji-js3ed
    @AleiHadji-js3ed Місяць тому

    Innalilahi wainna ilayhi Rajiun 😢😢😢😢😮 ziraili ana Njia nyingi za kumtoa mtu roho muhuma hua mkubwa

  • @Nassor2377
    @Nassor2377 Місяць тому +2

    Mbona hasemi kua alikutikana ma majeraha yakupigwa

  • @qasimmafuta
    @qasimmafuta Місяць тому

    TIFU TV mbona hamkuenda kuwahoji Wanafamilia moja kwa moja?
    Au ndo mdomo koma Watoto wananitegemea?

  • @salyali7807
    @salyali7807 Місяць тому +2

    Si ajabu wamemmaliza wenyewe ... ndio CCM hiyo

  • @abdullkhamis5406
    @abdullkhamis5406 Місяць тому

    Nilikua na hamu ya kujua hiyo tarehe Tisa (9) /8/ 2024 baada ya kua haonekani ilichukuliwa hatua gani ya kutafutwa, Polisi lina nyanzo nyingi sana za kutafuta mtu ikiwemo Uncle John. Lakushangaa baada ya muda Maiti ilionekana hapa hapo alipopotea. Mtihani huu.

  • @TatuJuma-eg9mu
    @TatuJuma-eg9mu Місяць тому +1

    Allahu aalam

    • @isaliisu3408
      @isaliisu3408 Місяць тому +3

      Funguweni na majadala ya uchunguzi wa watu 21 waliofariki katika kipindi cha uchaguzi 2020

  • @KipembaAli
    @KipembaAli Місяць тому

    Et kaonekana na cm kumamayooo Acha uongo kuma si mseme tu kama mume muuwa wenyenu Hmna la kusema tukawaamin

  • @fahadbabuy
    @fahadbabuy Місяць тому

    Waandishi wa habari wawili😂😂😂😂 na body guard anahama hama!!! Mara analinda mara yupo kwenye kiti😂😂😂😂 AKILI MTU WANGU😂😂

  • @hassnsalim5156
    @hassnsalim5156 Місяць тому

    Shida sana

  • @hashimalihamad3477
    @hashimalihamad3477 Місяць тому

    Hapo hatuja faham kitu bob

  • @hassanhedew2992
    @hassanhedew2992 Місяць тому +2

    Unguja hapotei mtu

  • @Lundege_Hips
    @Lundege_Hips Місяць тому

    KICHWA CHA HABARI ASKARI AMEJITEKA

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl Місяць тому

    Allahu akibarr.

  • @iddiali8057
    @iddiali8057 Місяць тому

    Chakula