KUMEKUCHA KWA MARAYAKWANZA RAIS MWINYI UZINDUZI MELI YA MAKONTENA MKOANI PEMBA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 вер 2024
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk, Hussein Ali Mwinyi ameizindua Meli ya kwanza ya Makontena katika Bandari ya Mkoani na kuwataka Wafanyabiashara kutumia fursa hiyo kuifungua Pemba kibiashara
    Rais Dk, Mwinyi ameshuhudia Meli ya AMU ONE ikishusha kwa mara ya kwanza Makontena katika Bandari ya Mkoani hatua alioielezea kuwa ni Mapinduzi makubwa katika sekta ya Usafirishaji hapa nchini.
    Rais Dk ,Mwinyi ametoa tamko hilo leo tarehe 30 Sept 2024 alipozungumza na wananchi eneo la Bandari kavu ya Mkoani, Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Pemba .
    Rais Dk, Mwinyi ameeleza kuwa kinachofanywa na Serikali hivi sio kuzikodisha Bandari bali ni kushirikiana na Sekta binafsi kuongeza tija na ufanisi katika Uendeshaji wa majukumu ya Bandari zote ziliopo nchini.
    Aidha amefahamisha kuwa hatua ya kuanza kushushwa kwa Makontena katika Bandari ya Mkoani kutarahisisha na kupunguza gharama za usafirishaji na kuwapunguzia mzigo wa gharama wafanya biashara.
    Rais Dk, Mwinyi ametoa wito kwa Wafanyabiashara kuacha kuendelea kuuza bidhaa kwa bei kubwa kwani hawana tena sababu ya kufanya hivyo.
    Amesisitiza kuwa kwa sasa mzunguko wa bidhaa kutoka nje kuja Pemba utapungua hivyo ni vema kwa wafanyabiashara wakajipanga kufanya biashara kwa ufanisi na kuuza kwa bei nafuu ili wananchi wanufaike.
    Rais Dk, Mwinyi ameeleza lengo la Serikali la kuendelea na Ujenzi wa Bandari,Barabara na Miundombinu Unguja na Pemba ni kufungua sekta tofauti za kiuchumi katika nyanja mbalimbali.
    Amewahakikishia wananchi wa Pemba kuwa Serikali inaendelea na mipango ya kukamilisha Ujenzi wa Uwanja wa ndege wa Pemba utakaoanza hivi karibuni, Ujenzi wa Bandari za Shumba na Wete na Bandari ya Mangapwani Unguja alioielezea kuwa itakuwa na uwezo wa kuhudumia Meli nyingi zaidi.
    Rais Dk, Mwinyi amefahamisha kuwa hatua hiyo ya kuifungua Bandari ya Mkoani utaendana na Ujenzi wa maghala ya Kuhifadhia bidhaa za wafanyabiashara ,Viwanda vidogo vidogo vya kuchakata bidhaa za Mwani na mazao ya Baharini, Majokofu kwa kuhifadhia bidhaa Baridi na kuwahimiza wananchi wa Pemba kuchangamkia fursa hizo.
    Wakati huo huo Rais Dk, Mwinyi ameshuhudia makabidhiano ya Bandari ya Mkoani Baina ya Shirka la Bandari na Kampuni ya Fumba Port Limited kwa ajili ya kuimarisha Uendeshaji.
    Waziri wa Mawasiliano,Miundombinu na Uchukuzi Dk,Khalid Salum Mohd amesema kumekuwa na mafanikio makubwa katika sekta ya Usafirishaji katika miaka minne ya Uongozi wa Dk, Mwinyi Hususani Pemba kwani miradi mikubwa ya Miundombinu ya Barabara ,bandari na Uwekezaji inaendelea kujengwa.
    Amefahamisha kuwa hivi karibuni timu ya wataalamu itafika Pemba kukamilisha mipango ya Ujenzi wa Barabara ya Mkoani hadi Chakechake na Kuwasisitiza wananch kuunga mkono juhudi hizo.
    Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Bandari Atif Ali Khamis ameeleza kuwa kuzinduliwa kwa Meli za kontena katika Bandari hiyo kutafanikisha bidhaa zinazotoka China kufika Pemba kwa Takriban siku 25.

КОМЕНТАРІ • 109

  • @salummussa9871
    @salummussa9871 23 години тому +3

    Huyu ndo mh mwinyi mtajua kama hamjui huyu kalelewa na Mzee wa hapa kazi TU ,, kalelewa na Mzee wa masoga Mzee wa siasa lakini kapita mikono mingi anajua na atatuvusha NDANI ya muda mfupi makubwa makubwa sana ameyafanya ,, iwe Jua iwe mvua yeye ndo rais Tena 5 years panapimajaaliwa

  • @tushutv8611
    @tushutv8611 День тому +3

    Alhamdulillah naamn Pemba sas inaend kuimarika

  • @Ablahisaid
    @Ablahisaid День тому +2

    Tutaona km itakuwa rahisi ndio tunavyomba isijekua yashushwa hapa ikawa hali kw makodi

  • @Ibrahim-st3uo
    @Ibrahim-st3uo День тому +1

    ALLAAHU Akubarik Rais wetu aendelee kukupa tawfiq

  • @Mohd-wl1tc
    @Mohd-wl1tc 12 годин тому +2

    😂😂😂😂😅😅😅😅kwanz nicheke bandari kwele jamn hiv kumbe sisi baado niwajinga mno eti

  • @mukhtaromar-g5p
    @mukhtaromar-g5p 16 годин тому +3

    Hebu musitutanie jengeni hio bandari kwanza au hilo kontena mutalisgusha kwenye hayo maji ya bahari

    • @hamadfaki7625
      @hamadfaki7625 15 годин тому

      @@mukhtaromar-g5p bora kuliko za kuliko ku judge usichokijua Kwan ww ulisha wahi kuona sehemu ya kushusha pakawekwa makontena

    • @omarissamashaallahpresiden2920
      @omarissamashaallahpresiden2920 11 годин тому

      ​@@hamadfaki7625 ww hujui kitu nyamaza

  • @allymaha-tv5lf
    @allymaha-tv5lf 20 годин тому +2

    Picha nyengine na ujenzi. Tuta mtawadanganya hao hao vifuu tundu waliokuwa hawajatoka nje ya bara la Africa na kuziona bandari shenzi types

    • @salehkhamis-ob8ln
      @salehkhamis-ob8ln 6 годин тому

      Acha chuki ww nyie ndio mlokua hamsapoti maendeleo ya nchi

  • @binmasoud4150
    @binmasoud4150 23 години тому +1

    Imejengwa upande gani kwani iyo bandari!

  • @mukhtaromar-g5p
    @mukhtaromar-g5p 16 годин тому +3

    Suali langu jamani hilo kontena litakaa wapi. Kwenye tuta hilo mana mm sioni bandari ya kontea. Hapo kiukwel

    • @hamadfaki7625
      @hamadfaki7625 15 годин тому

      @@mukhtaromar-g5p pale tuna shusha natunaweka palipokua na stand ya zaman ndio mana stand imeondilewa kwalengo lakueka makontena

    • @omarissamashaallahpresiden2920
      @omarissamashaallahpresiden2920 11 годин тому

      ​@@hamadfaki7625 stand ya zamani unapajua ww hujui mkoani pale hapana stand Ile ni Baarbara

    • @salma0000
      @salma0000 7 годин тому

      ​@@hamadfaki7625ndio maana magari hayaruhusiwi kushusha wasafiri bandarini, nchi haimalizi mateso

    • @AbdillahSOthman
      @AbdillahSOthman 4 години тому

      @@mukhtaromar-g5p kati ya contena na stand watu wakapata urahisi wa kupanda gari bora nini. Kwann wasiweke contena kipitacho ili kuwa rahisishia wasafiri kupada gari pale.

  • @mohamedothman678
    @mohamedothman678 День тому +1

    Pemba htaukaenda kuwatulia

  • @salummussa9871
    @salummussa9871 23 години тому +1

    Mwinyi oyeeeeeee❤❤❤❤

  • @salummussa9871
    @salummussa9871 23 години тому +1

    Mwinyi Tena ❤❤❤❤❤

  • @SamahyraOmarKassimSamomar
    @SamahyraOmarKassimSamomar 5 годин тому

    Na mwisho akapewa mtu binafsi aliendeshe bandari letu 😅😅😅😅😂😂😂😂

  • @utaani1
    @utaani1 20 годин тому

    Katika viongozi wote walokaa madarakani ni huyu pekee anaetuletea maendeleo kwenye visiwa vya Zanzibar

  • @abdallah2676
    @abdallah2676 9 годин тому

    Bandari ndogo wapanue na kuijenga sijaona nafasi pale ya pirika zakushushwa kwa kontena

  • @salma0000
    @salma0000 7 годин тому

    Anayajua mapembe au anasema tu, anafkiri watu wananunua mapembe kwa kupenda, shenz!

  • @dulaomar5537
    @dulaomar5537 7 годин тому

    Hatutaki Jango la Abiria tunahitsji barabara chake mkoani

  • @HarithSalim-l1x
    @HarithSalim-l1x 9 годин тому

    Barabara Tuu imewashinda mkoani chake hakuna llte

  • @SamahyraOmarKassimSamomar
    @SamahyraOmarKassimSamomar 5 годин тому

    Media ccm nimeliona bandari booonge la bandari duh 😂😂😂😅😅😢

  • @MasnamussaPp
    @MasnamussaPp 12 годин тому

    Hio ni bandari au tuta tu😂eti meli ya contena kontina gani hio ya h1bora hata kashab la Pakistan ni kubwa😂haya basi yashusheni hayo makontena ktk maji yazame😂😂😅

  • @RidhiwaniKombo-k4f
    @RidhiwaniKombo-k4f 7 годин тому

    Hongera Dr mwinyi 5 kwako ni lazima ili tufike mbali zaidi

  • @AaAa-vm8bb
    @AaAa-vm8bb 10 годин тому

    Hio ndio meli ya container au pantoni tumeziona meli na zisizo kua meli zinazo tajwa

  • @MuzneOthman-l7i
    @MuzneOthman-l7i 16 годин тому

    TATIZO SIO BANDARI TATIZO NI UDHAIFU WA NAFSI WA HAO WAFANYA BIASHARA NA WENGI WAO NDIO HAO HAO.IANDIKWE BEI YA BIDHAA LEO NA MWAKANI TAREHE KAMA YA LEO TUONE HUU UPUNGUFU AU NAFUU YA BEI ZA BIDHAA ITAKAYOPATIKANA.

  • @jokhasaid429
    @jokhasaid429 9 годин тому

    Hongera mheshimiwa Hussen Mwinyi

  • @MattarMohammed-f5v
    @MattarMohammed-f5v 15 годин тому

    Hii kuzinduwa ina maana gani kwa ccm na Serikali yake? Naona hawana kazi wanajihangaisha tu

  • @kassimsuleiman6720
    @kassimsuleiman6720 День тому +1

    Hamna shukran watu mmekuwa kama banii israili kwanza bii musa kila mmachofanyiwa ni dhambi

    • @AbdillahSOthman
      @AbdillahSOthman 21 годину тому +1

      Kwa lipi, meli au ? Kwani watu wana shida na kuja meli au wana shida na dhiki ya kupanda kwa gharama za bidhaa km ww ukipewa urais utaangalia kuleta makontena au utaangalia namna gani ya kupunguza ukali wa maisha na upatikanaji wa fedha kwa urahis watu wakawa na maisha standard?

    • @omarissamashaallahpresiden2920
      @omarissamashaallahpresiden2920 10 годин тому

      Kasome banii israil walikuwepo wena na waovu waovu ndio walioanzisha dini zao za kiyahudi wema ndio waliomfata Musa ,banii israil wema waliomfata mtume Muhammad swala llahu alaihi wasalam

  • @haroubhbm5728
    @haroubhbm5728 11 годин тому

    Meli ya makontena au kimeli cha makontena😊

  • @mfalmenajjash2128
    @mfalmenajjash2128 11 годин тому

    Tunafunguwa bandar ila barabara bado mbavu

  • @omarissamashaallahpresiden2920
    @omarissamashaallahpresiden2920 11 годин тому

    Nje ya nchi [ mombasa kenya ]

  • @omarissamashaallahpresiden2920
    @omarissamashaallahpresiden2920 10 годин тому

    Kama mapembe matamu na wewe kula

  • @MkungwaNgwarumbwa
    @MkungwaNgwarumbwa 22 години тому +3

    Ndio kwa Dk Mwinyi anatosha anachaguliwe 🖐 tena...

    • @hafidhhemed1514
      @hafidhhemed1514 15 годин тому +1

      Hatumtaki Wazanzibar, tunataka mamlaka kamili ya nchi yetu

  • @brytonmnyama6562
    @brytonmnyama6562 14 годин тому

    afadhali japo kdg lkn ni nafuu

  • @salehkhamis-ob8ln
    @salehkhamis-ob8ln 6 годин тому

    Safi sana kiongoz

  • @MakameMufadhil
    @MakameMufadhil 13 годин тому

    Raisi mungu akubariki

  • @abdallasheha4173
    @abdallasheha4173 День тому +2

    Mtafute wa kumfanyia usanii

  • @KahlanMainoo
    @KahlanMainoo 5 годин тому

    Mwana kuku lala hio, 2025 hio vitazinduliwa mpaka visivofaa kuzinduliwa. Tutaona mengi tu

  • @YassirRashidjuma
    @YassirRashidjuma 12 годин тому

    MashaAllah

  • @AhmedShaame-f1d
    @AhmedShaame-f1d 13 годин тому

    Neema za pemba

  • @MussaMussa-v4x
    @MussaMussa-v4x 15 годин тому

    Ivi unazani wabara watatuachia tunufaike? Mimi nahisinilamda tuhilo akiondoka Mama hamna jambo tena hapo.

    • @salma0000
      @salma0000 7 годин тому

      Washenzi watakuja na sheria mpya hilo tuta turudie kupita na mikokoteni yetu tu

  • @AbdallahJuma-wb8lq
    @AbdallahJuma-wb8lq 20 годин тому

    Mbona,wewe,hodari,znz,mambo,mengi,yamebadilika,maana,umetuletea,mpaka,kura,yamapema

  • @omarissamashaallahpresiden2920
    @omarissamashaallahpresiden2920 10 годин тому

    Tangu azaliwe hajawahi kula mapembe kama matamu waambie watumishi wako wakupikie japo siku moja

  • @R10_Rajab
    @R10_Rajab 22 години тому +1

    Soon Waunguja wote tunakwenda zetu Pemba kuanza maisha mapya tunawaachia Unguja wakae wao maana wanakimbia kwao wanakwenda Unguja so tutawaachia soon InshaAllah nitakwenda kutafuta kiwanja changu Makangale huko au kojani nijenge bonge la mjengo kisha nioe mtoto wa kipemba kama hawatonibagua then natulia zangu Pemba mjuba

  • @salummussa9871
    @salummussa9871 23 години тому +1

    Hata mfanye Nini mwinyi ndo chaguo letu ,, kashindwa maalimu selfu nani ataiweza ccm

    • @MkasiAli-v6w
      @MkasiAli-v6w 22 години тому

      Mungu

    • @AbdillahSOthman
      @AbdillahSOthman 21 годину тому

      Muda wake ukifika Mungu atamueka anaetaka. Dhulma haidumu.

    • @utaani1
      @utaani1 20 годин тому

      Muhimu maendeleo, barabara, maji, umeme, na kodi iondoshwe kwenye vyakula na vifaa vya ujenzi

    • @hafidhhemed1514
      @hafidhhemed1514 15 годин тому +1

      Mungu anaiweza
      Yote hayo anayofanya Bado anaogopa uchaguzi. Atuwekee tume uhuru wapemba wamuoneshe kua hawarubuniki na vipande vya noti.
      Nyinyi msio jua kutofautisha maendeleo na mahitaji ya lazima ndo mnao fata mikumbo

    • @KahlanMainoo
      @KahlanMainoo 5 годин тому

      Chaguo LAKO ww Salim Musa, zlokupa mpaka ubunge... Huenda baada ikashinda bandari ya dar

  • @ShauriAli-o5y
    @ShauriAli-o5y День тому +1

    Baada kwenda mbele wameturudisha nyuma haya manunju

  • @KhadijaHussein-qn2ge
    @KhadijaHussein-qn2ge День тому +1

    Acheni kutudanganya haliyakua tunajua kwamba nchi yetu imetawaliwa na tanganyika kilakitu cha muungano usomanufaa kodizina kushanwa mara mbili halafu mzazibari anufaike kwa lipi acheni ujinga mungano gani tukitaka kitu mpaka tuwaombe huu utumwa na ujinga

  • @gangmore9091
    @gangmore9091 День тому +1

    Sasa hicho kitu gani tuta la muhogo munaweka zogo

  • @gangmore9091
    @gangmore9091 День тому +1

    Zanzibar imebdilika n kitu gani miaka 65 hali mbaya

  • @AbdallahJuma-wb8lq
    @AbdallahJuma-wb8lq 22 години тому +1

    Mwaka,wa,60,mnapigamatuta,yaviazi

  • @OmerSuley-gl7go
    @OmerSuley-gl7go День тому +3

    CCM miaka 60 mumeifisidi Zanzibar halaf leo mumeleta ety tuwasifu hivi cku zote mlikuwa wapi?

    • @saidal-hind5338
      @saidal-hind5338 День тому

      Ujinga tu naq yy kashamaliza 5 hakuna jambo maisha ndio haya haya

    • @hamadfaki7625
      @hamadfaki7625 День тому +1

      Nynyi muwapumbavu, Allah nibora zaid tunaemuas ila endapo utatubia na kufanya mema bc hubadilisha mabaya yako na kua mema vp nyiny mna angalia ujinga t amejidahid anapaswa kupongezwa achen chuki na hasad kama nikifisid hata huyo SEIF Hamad sharif alikuemo ktk wafisid wala hakuto kwa maslah ya wananch bl kwamaslah yake

    • @hamadfaki7625
      @hamadfaki7625 День тому +1

      Hata hivyo Allah asema asie shukuru kidogo hawez kudhukuru kikubwa tumshikuru Allah kwatulipo sipo tulipokua jana Lau mnadanganywa na siasa danganyweni

    • @hamadfaki7625
      @hamadfaki7625 День тому +1

      Kuna watu nikama wafuas wa Musa walineemeshwa kila neema ila hawakumshukuru Allah zaid ya kumkufuru polen kwanafs za aina hio

    • @SaidHassan-ot3un
      @SaidHassan-ot3un День тому

      @@hamadfaki7625 tena hili ndio umeona kubwa!umesahau kwamba bandari ni sehemu ya muungano?

  • @hafidhhemed1514
    @hafidhhemed1514 15 годин тому

    Kwa bandari gani, hilo tuta? Tutaona mengi hadi uchaguze 2025 umalizike

    • @FahadAbubakari
      @FahadAbubakari 12 годин тому

      Kila kitu hamtaki hata yalokua hayajafanyika Leo yakifika mnapinga ,

    • @hafidhhemed1514
      @hafidhhemed1514 12 годин тому

      @@FahadAbubakari haya haliokua hayajafanyika? Kwanin nani aliekua hajayafanya? Kwan nani ameingoza hii nchi tangia uhuru? Tumewachoka wanatuchelewesha

    • @FahadAbubakari
      @FahadAbubakari 12 годин тому

      @@hafidhhemed1514 we unataka vp sasa ? Lini meli ya mizigo ilishusha mizigo pemba? Kingine sawa hatuwataki labda na tunataka mamlaka yetu kamili haya kwa sasa kwa hivyo hata wafanye jema tuwaponde tu au

  • @truthonline7832
    @truthonline7832 День тому +1

    Mafisadi

  • @azizali5759
    @azizali5759 23 години тому +2

    Papa havuliwi kwa dema. Siasa za ulimbukeni. Hapana bandari hapo, hiyo ni jetty tu.

  • @MkasiAli-v6w
    @MkasiAli-v6w 22 години тому +1

    Ayo magari ya kontena yatapita barabara ipi mnatafuta kutuangushia makontena ya vichwa tu mkoani hakuna barabara ya kupita madude ayo muhimu kwanza barabara

    • @AbdillahSOthman
      @AbdillahSOthman 21 годину тому

      Kwani hujaona tokea juzi wanatia lami mashimo kumbe alikuwa anakuja mwinyi. Watu walifkiri awamu ya pili ya ujenzi.. hatari sana lkn serikali ipo mbio kuijenga ila sijui izo mbio zitamaliza lini.

  • @suleimansalym7537
    @suleimansalym7537 День тому +1

    Ukikaribia uchaguzi tu wanashughulisha watu utadhani ni watendaji kweli😂😂😂

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke 22 години тому

      Unaweza ukawa na macho lakini ukawa huoni

    • @suleimansalym7537
      @suleimansalym7537 22 години тому

      @@MohamedAhmada-ie7ke Macho yanasaidia tu kuona ndio maana kukiwa na Giza huoni lkn macho unayo ubongo ndio unaotafsiri unachokiona na kukupa picha kitakachoendelea mm nimeona na ubongo umetafsiri nilichokiona na kwa vile kila mtu ana akili yake acha hii yangu initume inavonituma na inipe picha ya kitakachoendelea cha msingi na muhimu ni umri tuombe Muungu atupe umri labda ubongo umeniongopea lkn hicho nilichokiona mm ni tofauti labda na fikra za wengine

  • @iddijumaali7192
    @iddijumaali7192 День тому +1

    Usanii ati bandati ya kimataifa meli kubwa kuliko huo uchochoro waliojenga😂😂😂😂😂

    • @SaidHassan-ot3un
      @SaidHassan-ot3un День тому

      Inasikitisha kwakweli

    • @AbdillahSOthman
      @AbdillahSOthman 21 годину тому

      Meli kubwa ifunge gati mkoani au. Sasa iache kufunga gati Mombasa ije mkoani kufanya nini? Izo ni pantoni kama za azam tu.

    • @omarissamashaallahpresiden2920
      @omarissamashaallahpresiden2920 10 годин тому

      ​@@AbdillahSOthman umesema kweli lile ni pantoni Kama la Azam linalochukua makontena Mombasa kuja Zanzibar wamewaambia twendeni Pemba tukawadanganye wapemba

  • @gangmore9091
    @gangmore9091 День тому +1

    Mapembe 😅 weye muhuni km kweli mapembe chakula muna nyinyi hamuli n hiyo bandari or tuta l muhogo

  • @suleimansalym7537
    @suleimansalym7537 День тому

    Tutaona mengi mpka 2025 umalizike

  • @IddiKhamis-u6c
    @IddiKhamis-u6c 23 години тому

    Yaani hii media ina mambo ya kisenge sana. Kichwa cha habari sio halisi na video yenyewe. Msenge gani alierusha hii picha.

  • @simaishariffoum9882
    @simaishariffoum9882 День тому

    Hongera mheshimiwa rais unaupiga mwingi sana

  • @khalfannasornassor7396
    @khalfannasornassor7396 22 години тому

    Endelea kuuza 2

  • @ramzsule7678
    @ramzsule7678 День тому

    Kumbe kapewa mtu

  • @AbdallahJuma-wb8lq
    @AbdallahJuma-wb8lq 22 години тому

    Mwaka,wa,sitini,