RAIS MWINYI AANZA KUIJENGA MPYA PEMBA KWA KASI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 лип 2023
  • Kutoka AL FATAH TV .
    Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
    #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
    #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
    #ZANZIBAR​​

КОМЕНТАРІ • 61

  • @hamidakhatib9777
    @hamidakhatib9777 11 місяців тому +5

    Allah ajalie kher Insha Allah na amlinde rais wetu na maadui

  • @zuhuramuhanga5400
    @zuhuramuhanga5400 11 місяців тому +5

    Leteni mwarabu atujengee pemba bandari kubwa bagamoyo watching watanganyika waendelee kupiga kelele

    • @jumaothman9449
      @jumaothman9449 11 місяців тому +1

      Umeongea tunamuhitaji mwarabu aje aijenge bandari yetu ya Pemba kama Tanganyika hawamtaki sisi tunamtaka

  • @NoufalSalim-yb4ob
    @NoufalSalim-yb4ob 9 місяців тому +2

    Ndo gati Gani io kutia watu ujinga tu ,Gati umbali wake ni km unatoka chake mpk wete .

  • @saidkhamis9507
    @saidkhamis9507 11 місяців тому +3

    Kuna jengo la abiria mbona hawaruhusiwi kukaa wanaishia kubaki nje tu,je hiyo ni hakki?

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 11 місяців тому +3

    Tengenezi barabara sahivi za mkowani ni mbovu sana ni mtihani ulize fumbi na mashimo mengi mkowani shida tupu😮

  • @binmawanja1252
    @binmawanja1252 11 місяців тому +1

    Mungu akutangulie Rais mwiny baada y karume n ww t kwa zanbar

  • @explorepembaisland
    @explorepembaisland 11 місяців тому +1

    Mwenyezi Mungu atujaalie tuzidi kufanikiwa katika kheri.

  • @hamadfaki2503
    @hamadfaki2503 11 місяців тому +2

    Munataja mambo mengiii lkn hatuoni kinachotendeka

  • @maisarirajab4846
    @maisarirajab4846 11 місяців тому +2

    Ivi nyie hamuoni ata haya bandari gani iyo ya kujidai haifai ata kuegesha vidau

  • @salumabdallah2990
    @salumabdallah2990 10 місяців тому +2

    Nyinyi bhana sasa kuekwa hayo mabati juu ndio maendelea😅😅😅😅😅😂

    • @ahmedalbalooshi8518
      @ahmedalbalooshi8518 7 місяців тому

      Kake bora hayo mabati kuliko makuti,angalau wanaojiweza kutembea hawatazongwa ni jua au mvua

  • @dulaomar5537
    @dulaomar5537 11 місяців тому +1

    We are not serious kuna bandari gani hapo kuweka hio Shade
    Yadi hata konteina moja hamna
    Barabara mbovu zote

  • @lusakaone7782
    @lusakaone7782 11 місяців тому +2

    WAONGO WAKUBWA HAKUNA LOLOTE LA MAANA LABDA KULA PESA.HAKUNA KILICHOONGEZEKA KULETA MELI KUBWA ZA MAKONTENA

  • @hamidakhatib9777
    @hamidakhatib9777 11 місяців тому +2

    Mashallah pemba imependeza

    • @ahmedalbalooshi8518
      @ahmedalbalooshi8518 7 місяців тому

      Ilitupwa na watawala waliotangulua etu sababu ni siasa.

  • @OmanOman-bm1lr
    @OmanOman-bm1lr 11 місяців тому +1

    Kumbe wameeka bati tuu juu sehemu ya kutembea kwa miguu

  • @abdulazizimohd4230
    @abdulazizimohd4230 11 місяців тому +1

    Sio tu bandari barabara mbovu sana kutoka mkoani to chake tengezeni barabara ya kufika happo bandarini

  • @alitwaqwa739
    @alitwaqwa739 11 місяців тому +4

    Mbona sisi ni masikini wa kudanganyana kila siku waongo wakubwa sisi tulipo huku katika nchi za watu tunaumia sana tukiona uchafu kama huo tunatamani hukokwetu japo robo tufikie kama Hawa wezetu

    • @mudighurayra
      @mudighurayra 11 місяців тому

      Wewe unachangia nini katika nchi yako or unaumia 2

    • @mbaroukally8655
      @mbaroukally8655 11 місяців тому

      Hivi ww nikuulize upo sawasawa na watu wengine,mtu anafurahia alichonacho

    • @mbingwaali7791
      @mbingwaali7791 11 місяців тому

      Hapo tumefanikiwa kuezeka baada ya miaka mingi na meli ya kontena haiwez kuja, kwani huko si mushapita siasa za kijinga

  • @hajikhamis6544
    @hajikhamis6544 10 місяців тому +1

    Kashapigwa Mtu hapo

  • @arafamke
    @arafamke 10 місяців тому

    Masha Allah miss you pemba

  • @bikeymmaka9152
    @bikeymmaka9152 11 місяців тому +1

    mashallah mitano tena mwinji

  • @saidkhamis9507
    @saidkhamis9507 11 місяців тому +3

    Munatuchezea akili zetu,bandari gani hiyo!si ndio ile ile,munatufanya sisi watoto

    • @mbaroukally8655
      @mbaroukally8655 11 місяців тому

      Lete hiyo ya kwenu

    • @saidkhamis9507
      @saidkhamis9507 11 місяців тому

      @@mbaroukally8655 kwamba ndio hamuoni au munataka tunyamaze tusiongee?linapoamuliwa kufanywa jambo lifanywe kikweli sio leo umefanya na kesho munarejea pale pale kama uwezo haupo ni bora liachwe tusubiri mbeleni,ila inakera kwakweli

    • @nailamohd7693
      @nailamohd7693 11 місяців тому

      😅😅😅

    • @IbnuAlly-cg2gn
      @IbnuAlly-cg2gn 5 місяців тому

      Eti Pemba imefunguliwa kwa tuta lile

  • @JumamjakaMjaka-yx5vw
    @JumamjakaMjaka-yx5vw 11 місяців тому +1

    Teleteeni DPW
    Watujengee bandari ya kisasa mkataba miaka yote

  • @explorepembaisland
    @explorepembaisland 11 місяців тому

    Mashallah!

  • @salahaljahury2907
    @salahaljahury2907 2 місяці тому

    Utapeli tu Pemba hakuna mradi hata mmoja mkubwa

  • @drabdi6806
    @drabdi6806 10 місяців тому

    Mi naona mijiwe tu hapo hem ipigeni plasta iyo mijiwe

  • @aboudinternational1819
    @aboudinternational1819 11 місяців тому +3

    Bandari za ukweli hazijengwi mwaka mmoja. Zanzibar yangu inaharibiwa

  • @OmanOman-bm1lr
    @OmanOman-bm1lr 11 місяців тому +1

    Wanachekesha kweli nlijuwa bandari ya maana

    • @saidkhamis9507
      @saidkhamis9507 11 місяців тому +1

      Umeonae!vichekesho kwakweli,ety unaweka godoro kwenye kitanda cha kamba na shuka lakufuma,khaa!umeona waapi?

    • @nailamohd7693
      @nailamohd7693 11 місяців тому +1

      Usanii mtupu 😅

  • @user-vm1pu5qh5x
    @user-vm1pu5qh5x 11 місяців тому

    Air port

  • @salehkhamis9994
    @salehkhamis9994 11 місяців тому

    Meli za tanga mbona sahivi hamna pemba.. tukitaka kwenda tanga mpaka tupite unguja dar si wengine hatuwezi kupanda mitumbi & mashua

  • @alhudhaify7810
    @alhudhaify7810 11 місяців тому +1

    Hakuna bandari hapo, nilidhani kuna bandari mpya kumbe ndio hio hio ah wp, ni usanii tu hapo. Bandari haina hata ramani, bandari gn inayojengwa kwa TSH 5B wakati bandari ya Tanga kukamilika kwake ni TSH 400B

    • @nailamohd-wn6sb
      @nailamohd-wn6sb 11 місяців тому

      😂😂😂😂

    • @alhudhaify7810
      @alhudhaify7810 11 місяців тому +1

      @@nailamohd-wn6sb kwn unadhani uongo, hakuna meli kubwa inayoweza kufunga gati pale. Bado usiasa umetawala ktk maendeleo bandari itakayojengwa mpigaduri , m/pwani zote ni kubwa zenye ramani kubwa na zenye bajeti kubwa. Et unaenda kujenga bandari kwa Bilioni tano khaaa!!! Bilioni 5 hio ni pesa ya kifusi tu et

    • @saidkhamis9507
      @saidkhamis9507 11 місяців тому

      @@alhudhaify7810 tena bandari inajengwa kwa miezi tu imeisha!na nilijuwa zitakuja meli zaakontena ije ishushe,kumbe kontena zinatiwa kwenye Azam kama abiriaa!aaa!balahau hii too much,kweli mjenga nchi ni mwananchi na muuza nchi ni mwananchi,kiongozi nzima anasimama mbele ya hadhara anasifia!lla simlaumu saana ndio anatekeleza majukumu yake na kulinda ugali wake

    • @nailamohd7693
      @nailamohd7693 11 місяців тому

      Kwani maendeleo yanatangazwa ya naonekana tuu km yapo ila hapo hamna kitu usanii tuu ndio ulokuwepo ccm haiwezi kuleta maendeleo miaka 60 naa bado tuu unachekelea 🎤 maik 😅 ah

  • @user-vh6hh6ul2h
    @user-vh6hh6ul2h 9 місяців тому

    Hakun mel kubw hat moj itakay fung hap bandar ndog

  • @salmahilal3577
    @salmahilal3577 11 місяців тому +1

    Bandari gani hioo,,, nchi ishawashinda hii

  • @brytonmnyama6562
    @brytonmnyama6562 9 місяців тому

    katombweni uko nyinyi mikundu wa kimakunduchi

  • @user-gk3wz8wb3t
    @user-gk3wz8wb3t 11 місяців тому

    Na Wete pia alone co mkoani tu peke yake

  • @alluabdallah6893
    @alluabdallah6893 10 місяців тому

    Congratulations to our president, in fact, I agree with you

  • @mbingwaali7791
    @mbingwaali7791 11 місяців тому

    Ndioo hongera nimependa nani kama mwinyi, meli kubwa zitakuja kuleta kontena kama Dar.

  • @salummohd4971
    @salummohd4971 11 місяців тому

    Hongera sana dr. Mwinyi

  • @salyali7807
    @salyali7807 11 місяців тому +3

    Mwinyi anafanya haya kwa maslaha yake na sio ya wapemba... hata ashushe dhahabu Pemba basi hatumtaki.. kama kweli ana nia nzuri basi aturudishie nchi yetu.. ajiuzulu atuwachie wazanzibari tusiemchagua tumpe tunaemtaka ama si hivyo ni kubabaisha bwege na usanii tu. .... Hasbiyallah waneemal wakeel

  • @jumahamad117
    @jumahamad117 11 місяців тому

    Hongera serekali ila ushauri wangu miradi munayo ifanya iwena manufaaa ya muda mrefu siyo baada tamiaka 5 ikawabaki kuwa nimiradi isiyo jitosheleza tena

  • @salummohd4971
    @salummohd4971 11 місяців тому

    Mwenpye macho ya kuona ndio ataopna😊

  • @hamidakhatib9777
    @hamidakhatib9777 11 місяців тому

    Wapemba sasa tupo furahan kias kikubwa san