MAMA ALIYEMWAGA MACHOZI MBELE YA MWANAE ASIMULIA, "NISIMTUPE AMA KUMUUA, NISAMEHE MWANANGU"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 118

  • @jacklinnajackson4554
    @jacklinnajackson4554 2 роки тому +3

    Maisha hakika nia safari ,hongera kwa kumpata mwanao,.
    Mimi nami nawatafuta watoto wangu Rebeka na Neema tumepotezana nao toka mwaka 2013

  • @islamsadiki7259
    @islamsadiki7259 2 роки тому +13

    Sote tuseme alhamdullah

  • @abdulshakurothman5719
    @abdulshakurothman5719 2 роки тому +10

    Alhamdulillah, Mama mama mama 💖

  • @magrethmbuma3045
    @magrethmbuma3045 2 роки тому +11

    Nyieee mnaolaumu mnaongeaa tuu hamjui ugumu wa maisha baadhi ya watu wanaopitia....cha kumshukuru Mungu ni alitunza mimba na akazaa na akamkabidhi kwa baba yake.Wacheni kujifanya Miungu watu jamaanii maisha yanatofautiana

    • @gladysmwendwa3660
      @gladysmwendwa3660 2 роки тому

      Si mungu watu inamaana kina mama wanaokaa na watoto wao kwa magumu yote ni waajabu

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 2 роки тому +1

      Kbs mpenz hawajui shida wanazo pitia wanawake

    • @magrethmbuma3045
      @magrethmbuma3045 2 роки тому +1

      @@gladysmwendwa3660 Wanayo mpnz huyu hakuwa na chochote halafu ukumbuke mtoto akiwa mdogo lazima upate wa kumuachia ndio ufanye hata hiyo kazi yenyewe....kwa ulivyosikia nani angemuachia mwanae ili akafanye kazi na hakuna hata na chumba kidogo weee wachaa maneno ww maisha yaone tuu kama hujapata mtihani huwezi elewa mtihani wa huyu mama

    • @zalhayahya5658
      @zalhayahya5658 2 роки тому +2

      Watu wengine wanapenda kulaumu mtu ashakuambia alikua hana muelekeo hana mama hana baba kashafukuzwa nyumbani angefanyaje afadhali hakumtupa hakumuuwa kamkabidhi babake

    • @magrethmbuma3045
      @magrethmbuma3045 2 роки тому

      @@zalhayahya5658 Yaani wengine wanajifanya hawajui shida tatizo ndugu yangu.

  • @yvetteuwase2740
    @yvetteuwase2740 2 роки тому +3

    Asante mutoto mzuri ❤️💯

  • @nasranasranasriyahay9119
    @nasranasranasriyahay9119 2 роки тому +2

    Wallah niliteseka na mimba nikaza Bado mdogo nikajifungua baba yup bize na wanawake ndio San San naona ataakisiikia wamekufa atafurah mana anaga mapenz nikaona maisha magumu nikamuachi mama angu nikatoloka nililudi kumuomba msamah badae San ila sikuwai kumuacha bila msahada chumba kimoja mm watoto nikasema apana leo Hii mama naughty tumemjengea tumfungulia duka

  • @Madmax_kingTz
    @Madmax_kingTz 2 роки тому +17

    Mama ndio mfariji wa familia,, baba ndio msimamizi wa familia .. Eeeh Mwenyezi MUNGU walinde wanawake wote wanaonyanyaswa huko majumbani lakini bado wanapigania watoto wao.. pia Eeeh Mwenyezi MUNGU wape mioyo ya ukakamavu wale woote waliotokwa au kukimbiwa na wazazi wao.. tutokapo twapajua tuendako hatujui🥰🥰🥰🥰

  • @greenermichael2057
    @greenermichael2057 2 роки тому

    Asante Mungu sikuwahi kuwaza kuwatelekeza wanangu na tayari wamekua mmoja Yuko chuo na mwingine Yuko advance MUNGU NI MWAMINIFU SANA

  • @muraqsunnyva3462
    @muraqsunnyva3462 2 роки тому +4

    Inauma sana wanawake tunaumizwa sana na wazazi wenzetu mwanaume wachache ni waelewa ila wengine mmmh mtihani tuu

  • @mariamhamisi598
    @mariamhamisi598 2 роки тому +2

    Mashaallah damu ni nzito kuliko maji

  • @emanuel1269
    @emanuel1269 2 роки тому +4

    Akuna lawama apo
    Clouds ongeleni

  • @mariakibwana3700
    @mariakibwana3700 2 роки тому +4

    Kipindi kizuri sana, wekeni kutafuta marafiki pia.

  • @mwajumakudema5840
    @mwajumakudema5840 2 роки тому +2

    "Tangu nimesikia mama kaja sijapata usingizi "dah maskin hii statement imenifanya nitoe machozi

  • @hannansdeliciousfood4261
    @hannansdeliciousfood4261 2 роки тому +7

    Kaona bora ampeleke kwa babaake kuliko kumtupa.....kafanya kitu sahih alikuwa hana njia ya kumtunza na baba alikuwa mara hana matunzo wala hakuwa tayari kumlea...hivyo akatumia njia hiyo

  • @jenipherkavusha1661
    @jenipherkavusha1661 2 роки тому

    Hongera sana mtoto

  • @fatumajumanne3529
    @fatumajumanne3529 2 роки тому

    Kuna wa2 wanaish maisha ambayo hawez kumiliki hata mlo 1 kwa cku ckulaumu hujaua na hukum2pa ulmpeleka kwao MUNGU amjaze kher mtt ya kusamehe na mengne maana wwngne wangeshakudhallsha.

    • @sabraabdilnasir8826
      @sabraabdilnasir8826 2 роки тому

      Aa huyu hakukoseya hata kidogo yeye mwenyewe kashafukuzwa hana kazi hajui aanze wapi wengine huwauwa watoto yeye kampeleka kwao kwa baba yake mbona kafanya vizuri wakupongezwa hasa mimi nnadadada zangu 2 wababa mmoja mbona wote kaleya mama angu mpaka wamekuwa na wazee wao walikuwa wanakuja nyumbani wanapanga wanapangua na mama yangu mpaka leo wanasikilizana

  • @cityathuman4278
    @cityathuman4278 2 роки тому

    Mipia natafuta watoto wangu 3kutoka 2010 paka saai wako na babayao ,huko tz miniko Kenya ,hatakama kwamawasiliano

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 2 роки тому +1

    MUNGU YU MWEMA 😢😢

  • @jovinathaphilipo6385
    @jovinathaphilipo6385 2 роки тому +2

    Mtoto mzur jaman

  • @roseshedrack9209
    @roseshedrack9209 2 роки тому

    Jamani mimi baba angu natamani kumjua anaitwa adamu mwambora

  • @lunangabenjamin3121
    @lunangabenjamin3121 6 місяців тому

    Sio vya maswali mingi wanafanana ukijuchunguza vizuri.duh miaka mingi sasa mama una miaka 40 na ila kabla hujasema miaka uliyomzaa kijana mpaka sasa nilikuwa nafikiri uko kwenye 50 navitu.yaani unanizidi miaka2 ila muonekano wako na mama yangu mzazi mbona kama mnaendana kiumbri.na mama yangu anakuzidi miaka 18.

  • @mariamyusufyusuf1117
    @mariamyusufyusuf1117 2 роки тому

    Asalamu alakum naomba nambayenu plz

  • @DamaIbra
    @DamaIbra 7 місяців тому

    Da hu hujambo dada

  • @matridawilium9945
    @matridawilium9945 2 роки тому

    Omba rehema sana kea mungu

  • @hejmabohejhej9
    @hejmabohejhej9 2 роки тому

    Mtoto kamkubali mamaake sasa yule shangazi kujilizaliza tu

  • @khadijaissa1734
    @khadijaissa1734 2 роки тому

    Alhamdul llah

  • @Zahrazahra-ue7bp
    @Zahrazahra-ue7bp 2 роки тому +1

    Kuunganisha family mnaenda adi mikoan au mnatafuta dar pekeyake

    • @salamakombo3257
      @salamakombo3257 2 роки тому

      Hadi mikoani wanatuma nauli

    • @Zahrazahra-ue7bp
      @Zahrazahra-ue7bp 2 роки тому

      Inshaallah nina mwanangu yupo tabora sijamuona mda namimi nipo mbari kidogo maisha yamenibana tangu 2016 nirionana nae

    • @ashangalawa9492
      @ashangalawa9492 2 роки тому

      @@Zahrazahra-ue7bp subiri mwakani mwezi wa5 watatangaza km huko mkoani kuna namb ya cm wanatoa lkn km utaenda ofisini itakuwa vizuri zaidi

  • @nasraanasraa4815
    @nasraanasraa4815 2 роки тому

    wahoo nifulaha katika familiya yote

  • @gwajetheentertainer363
    @gwajetheentertainer363 2 роки тому

    ILA WASHUA BHANAAA 😀😀 ETI MTAJUA WENYEWE

  • @DamaIbra
    @DamaIbra 7 місяців тому

    Ntakupataje?

  • @mariamyusufyusuf1117
    @mariamyusufyusuf1117 2 роки тому

    😭😭😭😭😭

  • @yvetteuwase2740
    @yvetteuwase2740 2 роки тому

    My God 😭😭😭😭😭😭❤️

  • @sweetluc2660
    @sweetluc2660 2 роки тому +2

    Jamani hata kama umemizwa na Bwana Ako Mme wako ndio kumwuacha mtoto wa miezi 2 hii unahitaji moyo kweli Mi hapana nitaenda naye tu kokote kule

    • @greenermichael2057
      @greenermichael2057 2 роки тому

      Mie sowezagi hata kula jaman tunatofautiana mtazamo

    • @hamidaala2832
      @hamidaala2832 2 роки тому

      hatari.mi.siwe.zi

    • @ahmadsalim4417
      @ahmadsalim4417 Рік тому

      Sasa kumpeleka kwa babake na akalelewa na kutanga tanga nae bila huduma yyte mwisho amtupe bora nn?

  • @mmwantika6346
    @mmwantika6346 2 роки тому

    Ameni

  • @neemazee1864
    @neemazee1864 2 роки тому

    Jmn wekeni na marafiki pia..

  • @dolphinegechuki7707
    @dolphinegechuki7707 2 роки тому

    Amen 🙏🙏

  • @aminasalim8708
    @aminasalim8708 2 роки тому +1

    🙏😭

  • @niselanyakato3033
    @niselanyakato3033 2 роки тому

    jamani

  • @neemazee1864
    @neemazee1864 2 роки тому +2

    2002 mambo ya simu yalikuwa akuna eti jmn kweri?????

    • @sumimarco933
      @sumimarco933 2 роки тому +3

      Simu zilikuwepo japo zilikuwa kwa wale wenye uwezo kidogo kwa mtu wa Hali ya chini uwezo wa simu kumiliki ilikuwa ni ngumu

    • @masalakulwa7601
      @masalakulwa7601 2 роки тому +1

      We ulikua nayo

    • @magdalenapeter419
      @magdalenapeter419 2 роки тому

      Zilikua kwa mmoja mmoja

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 2 роки тому

      @@masalakulwa7601 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @sumimarco933
      @sumimarco933 2 роки тому

      @@masalakulwa7601 wakati huo sikuwa nayo

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 2 роки тому

    💕

  • @gibsonjosephat6352
    @gibsonjosephat6352 2 роки тому +2

    Huyu Mama Msenge tu. Huwezi kumuacha Mtoto wa miezi 2 kwa mwanaume ukiwa ndiye uliye na maziwa ya mumnyonhesha. Unaweza kuua pia.

    • @mdzainb3722
      @mdzainb3722 2 роки тому

      Ata wwe msenge mbwa mmoja wwe mnajua kutomba hudum hana mbwa nyie

    • @ahmadsalim4417
      @ahmadsalim4417 Рік тому

      Kumbe angemtunzaje na ushaskia hata kwao alifukuzwa? Au angemtupa jaani ndo ingekua bora?

  • @suzanamwangingo2995
    @suzanamwangingo2995 2 роки тому +3

    Mimi mwenyewe mateso yalinizidi ilibidi niondoke niwaache watoto

    • @khadijamisayo7476
      @khadijamisayo7476 2 роки тому +1

      kama hauna uwezo sawa, ila kama una uwezo usiwaache watoto

    • @benadethafrancis5223
      @benadethafrancis5223 2 роки тому +3

      @@khadijamisayo7476 hata omba omba Yuko barabarani na wanae. Ni roho ngumu tu.

    • @maidamwaipopo9603
      @maidamwaipopo9603 2 роки тому +4

      @@khadijamisayo7476 mimi sikuwaacha niliondoka nao nikalala chini nyumba ya kupanga

    • @maidamwaipopo9603
      @maidamwaipopo9603 2 роки тому +1

      @@benadethafrancis5223 yaani anaroho ya jiwe

    • @hanifaomar7438
      @hanifaomar7438 2 роки тому +2

      @@maidamwaipopo9603 na mm kwakweli nianguka nao nikasimama nao nimelea kwashida mm mungu ndio anajua sina kazi sina bazi lakini mungu nimkubwa wamekuwa japo haikuwa lahisi

  • @hichayasin7244
    @hichayasin7244 2 роки тому

    MAMA UNAROHO MBAYA WEWE!!!LOOOOO!!!!!!!!?

  • @jenabmakobeh3694
    @jenabmakobeh3694 2 роки тому

    Mm nisinge kusamehe ww mwanamke kabisa

    • @hannansdeliciousfood4261
      @hannansdeliciousfood4261 2 роки тому +2

      Hujui yalimkuta yepi...na mbali na hayo...mama hana makosa pia usimhukumu ww muwachie Mungu ndie anajuwa hukmu yke

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 2 роки тому

      Ww apo ulipo huna kosa lolote na hujawahi kosea mtu wala Mungu wako? Bd unapumua usinene yote ukamaliza maisha yanaweza kkugeuka ndg

    • @mdzainb3722
      @mdzainb3722 2 роки тому +1

      Kwani wee ndo nani 😏😏😏😏

    • @jenabmakobeh3694
      @jenabmakobeh3694 2 роки тому

      @@mdzainb3722 watakaje kwani

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 2 роки тому

      @@mdzainb3722 apo chacha kuna mwingine alisema kama mm ndo ningekuwa mwanao usingeniona maisha yako yote, nikasema sas ww kuniona mm itanisaidia nn kwa mfano hata usiponiona? Wanawake tunapitia ving tunavumilia ndo maana wengine wanafia kwenye ndoa wanavumilia kisa wtt ila ni bora uondoke kuliko kufa

  • @yuriaudi9746
    @yuriaudi9746 2 роки тому

    Wajing wana wake mnatupa watt

  • @marrysamweli833
    @marrysamweli833 2 роки тому

    Sasa we mama hatahaya sin kenge ww eti baba alikuwa hatunzi ndio miezi 2?naulijuwa katakufa lione komwe ka soko labugurun

    • @magdalenaashery3742
      @magdalenaashery3742 2 роки тому +1

      Utakua hujui

    • @salmanassor8732
      @salmanassor8732 2 роки тому

      Mhhhhhhh

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 2 роки тому

      👎👎👎👎👎

    • @lydialaurian4734
      @lydialaurian4734 2 роки тому +4

      Angalia na mazingira...alikua na miaka 17/18 na akafukuzwa nyumbani Sasa akili za kumtunza huyo mtoto pekeyake au angemlea vip pekeyake...hujawah fukuzwa kwenu ww na unaujauzito juu ndo mana..

    • @kiehbhzh7044
      @kiehbhzh7044 2 роки тому

      masha Allha❤