Sijui kwanini hawajaiwaza hiyo ruti kuiwekea SGR katika siku za mwanzoni kama Dar Moro Dodoma. Ile reli ya MGR haitoshi. Dar Moshi Arusha wasafiri ni wengi sana,
Kuzuru hom ni suna kama kuhiji kwenu kwa mwaka ni nzuri kama mnakumbuka kwenu mkawa mnaenda kukaa pamoja na mkaonana kujuana ni jambo zuri Sana ukoo unakua unajuana
Jamani ni furaha kuwa pamoja ndivyo tulifundwa,mila na tamaduni zetu ni nzuri sana hasa kwa wale wanaoelewa nyumbani ni nyumbani.haijalishi una gari hauna nikujipanga na kuamua (unachukua hatua mapema vidole havilingani 🎉😂❤
Kumjua MUNGU NI CHANZO CHA MAARIFA!!! FANYENI YALIYO MEMA KUMFURAHISHA MUNGU SI MWANADAMU .NI KWELI KABISA WACHAGA MNARUDI NYUMBANI KUFURAHIA .ILA CHUNGENI MIOYO YENU IKAWE HERI
Waseri wose karibuni Moshi na Varombo Venzangu karibuni Kaa msheya ndafu. Waseri wose ngili fatakia Skukuu ngshaa
Dada kaongea kisomi sana❤
Wanetu wachaga wanayo pesa ase hongereni sana
One day na sisi wahehe tutasimamisha misafara kama iyo❤
Inguluvi yitutange mnyalukolo
Kamwene
@JOHNMWAGALA-gt7ni unoge mwagito
@JolinoPeter kabisa mnyakirambo
Kamwene@@JOHNMWAGALA-gt7ni
Inatakiwa SGR haraka sana Dar Moshi Arusha.
Umesema vizuri
Sijui kwanini hawajaiwaza hiyo ruti kuiwekea SGR katika siku za mwanzoni kama Dar Moro Dodoma.
Ile reli ya MGR haitoshi. Dar Moshi Arusha wasafiri ni wengi sana,
nyie mnaenda mwaka kwa mwaka mtatia hasara
@@kajanksimon7432 hahah, wala. Wanafanya hivi, kipindi cha sikukuu wanaongeza ruti na mabehewa na kipindi cha wasafiri wachache wanapunguza..
Kuzuru hom ni suna kama kuhiji kwenu kwa mwaka ni nzuri kama mnakumbuka kwenu mkawa mnaenda kukaa pamoja na mkaonana kujuana ni jambo zuri Sana ukoo unakua unajuana
Jamani ni furaha kuwa pamoja ndivyo tulifundwa,mila na tamaduni zetu ni nzuri sana hasa kwa wale wanaoelewa nyumbani ni nyumbani.haijalishi una gari hauna nikujipanga na kuamua (unachukua hatua mapema vidole havilingani 🎉😂❤
Happy Christmas 🌲🎉❤🧑🎄
Huyu kibega akishika pesa lazima anunue gari yake tuombe uzima aje atuambie🙏
Matala moja hiyo..❤❤
Weeee🎉🎉🎉 aika..,........... 🎉🎉🎉
Sijawahi fika Moshi,lakin nataman siku nitembelee huko
karibu mjii wa matajiri tz na hatuna baya na mtu wote tunawapenda kikubwa2 uwe n mpambanaji na uwe unakunywa pombe karibu moshi
Karibu sana
@@MandoliiMoshi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 eti niwe nakunywa pombe wewe acha uwongo
Wafike salama kwa uwezo wa Allah🤲
Kwa uwezo wa Yesu Kristo na sio wa Allah.
Amina
Piga makofi kw wachagaa wote. Wachaga hatuna mbambaa tunaztafuta kw jasho mwisho w mwaka tunaktana tujue nani amefeli tumbebee. Hongereni kaka zangu n dada zangu mungu awatunze mrudi salama.
N mbaya2 enyewe wachaga oyeeeee
@@MandoliiMoshioyeee
Kabisa
Moshiiiiiíii💪💪💪
Moshi bhanaaaaa wachaka,mbeeeee karibu mbeeee,karibu maeeee
Happy Christmas 🎉
Matambiko na pia kihesabiwa😂😂 daaah
Wana enzi Sana asili yao ndomana wako na mafanikio,wewe ambae unafata Mila za wazungu una mafanikio gan?
Sio magari ivyo vyombo vya moto
Tuheshimiwe, kuna siku nilisema wachaga wakihama Tanzania, watakaobaki watakufa njaa
Mavi yako ww eti wachaga nyoooo
Hiyo siku ndio alisema upuuzi kuliko siku zote
Wewe unaumwa na utapeli wenu wachaga sio watafutaji Sema ni matapeli
Unge sema wasukuma wakihama ungeeleweka kidg cio ninyi wavuta shisha
😅😅
wachaga na wamasai ndo makabila pekee yaliyobaki yanayodumisha mila zenye mafanikio merry Christmas 🎉🎉🎉🎉🎉
Wabinafsi sana hao kwenye mikoa yao ila wanapenda kulowea Kwa wenzao
Unauhakika na unachosema au chuki@@junessalama9129
Tuachee@@junessalama9129
Kumbe huyu nfo boss dar nzim a mabango yake yapo
Spacio, ist, alphard magari ya kifahari😂😂😂😂
Tunaomba wawe wanaendesha vizuri. Wawe na adabu barabarani
Naona ist ndo zimejaa barabarani hamna jipya😊😊😊
We unazo range ngapi
@@Jazziumumemembona unaumia, au na wewe una IST😂😂😂
yako iko wapi
Wivuv
Sijaona G WAGON
Hahahaha hii inaamanisha kwamba wachanga wapo na umoja sana kwenye kunyanyuana na pia wanaheshim sana pesa lazima wawena mafanikio
Hawa jamaa wanaishi aisee maisha ndo yanataka hvi mtu gan usie kua narikzo
Sijawahi kujutia kuwa mchagga...
Maua yao kwa wachaga
Magari ya kifahari 😂😂🫢
Waende tu tupungue dar 😂😂😂
Hi ❤
Ushamba tu 😂😂😂😂
Acha wivu wa maendeleo kwaio kwenda nyumban kusalimia n ushsmba
Merry Christmas 🎄🎄🎉🎉 everyone
Mwezi mtukufu wa wachaga kurudi nyumban kuwaona wazee nawatoto kufahamiana.
Kilimanjaro ni nchi kamili ni vile ni basi tuu.
Na ndo maana wakati wa kutafuta uhuru wachaga pia walitaka kupata uhuru kabla Tanganyika
Jamani miladi hebu kagua na Kwa watani zetu wapare eti ili hii story ikae sawa.same,hedaru na mwanga
Mwambie huyo dada namtakia heri ya Christmas na mwaka mpya ahsanten
Inshallah ipocku mtaijua haki ilipo 😂
Kutambika
😂😂😂😂
Hawa wachaga wanaona kama x max yao
Hawa wachaga Wana fake life wanakodi magari Sisi wamasai ndio tunaendessha magar zetu
BODABODA JAMANI MUWE MAKINI SANA
Mama Samia Kiongozi bora kabisa
serkali haioni frusaa ya kuweka treni ya mwendo kasi ili kuvuna mapato ya kasikazini
Haitoweka,,
#tutafute dollar, acheni tujifukie town
Uhariri ni mkubwa mpaka unakera!
Kila mmoja anarudi kwao kufata mchawi wake..
Yanga
Me naona Rava 4 tu ndio nyingi
Waiziraeli wana rudinkwao
Wez tu Hao,
Washatuibia huk Dar Wanaenda kunywea MAPOMBE PESA Zetu😂
Wamekuibia sh ngap acha makasiriko
Iba na wewe ili uende kwenu
We umeibiwa nn umeibiwa mke au n wivu wako
Sasa magari ya kifahar ni yapi hapo?
Ushamba tuu hakuna jipya ulimbuken
Ulimbukeni kurudi kwenu wewe ni masikini ukoo mzima utaenda kufanya nini
@agustinohizza1395 ushambaaa ukubaki ukatae
@agustinohizza1395 masikin unanijua mm ushamba ndo maana mnakufa ovyoo na maajali wajinga nyie mnaona sifa ushambaaa
Huko uliko watu hawafi?
We ambae huendi kwenu hata kama usiposafiri utakufa tu mbweha ww@@mohamedkisenga6654
Hv mnafuataga nini wachaga huko au ndo matambiko
Matambiko ndiyo
Katambike na wew Kwan umenyimwa
Kusalimu wazaz nawe kadange kwenu kwan we kabila gan?
Kumjua MUNGU NI CHANZO CHA MAARIFA!!! FANYENI YALIYO MEMA KUMFURAHISHA MUNGU SI MWANADAMU .NI KWELI KABISA WACHAGA MNARUDI NYUMBANI KUFURAHIA .ILA CHUNGENI MIOYO YENU IKAWE HERI
Kuwajilia hal wazaz pis n kumfurahisha Allah anasema mtume Mohammed swalla
Yesu alizaliwa Bethlehemu , nyie wachaga Moshi mnafuata nin?
Nawashangaa wanajikuta wanaakili kuliko wengn
Tuliza kisimi
@@AishaNgoyi-vi2kutuliza kisimi
msifuatlie lazimantukasalimie wazazi,mi nikiondokaga nuumbani wazazi wangu wanalia,wanatamani nibaki,lkn kutafuta lazima,kukumbuka kwetu ni jadi.yetu
@@AishaNgoyi-vi2kutuliza utam uo
Hawa jamaa wanaishi aisee maisha ndo yanataka hvi mtu gan usie kua narikzo
Mwezi mtukufu wa wachaga kurudi nyumban kuwaona wazee nawatoto kufahamiana.