NYANI WAGEUKA TISHIO MTAA WA NYANZA, WANAUWA MBWA, MBUZI WANAHARIBU MAZAO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 134

  • @AishaMaganga-vd1jg
    @AishaMaganga-vd1jg День тому +12

    Kama serikali hawashuguliki, wategen sum. Wataanza kuuwa na watoto wadogo😢.

    • @JastineNyambele
      @JastineNyambele 20 годин тому

      Tutumie dawa gani

    • @Mina.15
      @Mina.15 3 години тому

      @@JastineNyambelemshele 😂😂

  • @joesplatnumz
    @joesplatnumz 19 годин тому +9

    Pelekeni hadzabe tribe kiboko yao watawamaliza wote hao nyani 😂😂

  • @mwinukafundibombanjombe
    @mwinukafundibombanjombe День тому +6

    Wawaite wahadzabe apo wWeke kambi hata mwezi mmoja😂

  • @abbynimel-kindy5107
    @abbynimel-kindy5107 День тому +5

    Wahdzabe Misosi Ipo Huku Wekeni Kambi😅😅😅😅

  • @elisantemrita9490
    @elisantemrita9490 23 години тому +4

    Kwann msiwawekee sumu acheni uzembee😊

    • @fizoohyg
      @fizoohyg 2 години тому

      Nan alikudanganya nyani anakufa kwa sumu?

  • @kiluwaselemani4246
    @kiluwaselemani4246 4 години тому

    Ni hatar sana poleni ndugu zangu😊

  • @josephmartin292
    @josephmartin292 23 години тому +5

    Kawaleteni HADZABE wawashughulikie hao wakina Nyani Mpevu.Hawaogopi mtu au hawaogopi wanawake 😂😂😂😂😂

    • @mutaji5454
      @mutaji5454 17 годин тому

      😂😂😂 dakika tu nyani wanahama apo

  • @DoaDiamond-s1j
    @DoaDiamond-s1j День тому +4

    Waitieni wazee wa madizabe

  • @JofreyMsigwa
    @JofreyMsigwa День тому +2

    Watakuwa wamejifundisha kuvuta bange hiyo sio poa waache bange😂😂😂

  • @SaidMkwabi-ho8yy
    @SaidMkwabi-ho8yy 17 годин тому +2

    Matokeo yake watawabaka wanawake zenu mtashea uroda😂😂😂😂😂

    • @Mina.15
      @Mina.15 3 години тому

      😂😂😂😂 nyani mboo yao MIKUBWA

  • @DenisDonat-lg4gh
    @DenisDonat-lg4gh День тому +3

    Ila nyani wanakula mbuzi kwer😂😂😂😂

  • @DullahIweni
    @DullahIweni 17 годин тому +1

    Kuna mama mtu nyuma ya mama wa pili,nataka tufukuze nyani wote😂😂😂

  • @josephmartin292
    @josephmartin292 23 години тому +1

    Nyani wanabeba sufuria la ugali duh noma sana 😂😂😂😂

  • @Jumashadhil380
    @Jumashadhil380 22 години тому +1

    Miaka yote hiyo kweli ndugu Zangu wavumilivu,, Mimi Ningenunua Mahindi Mengi Tuu Alafu Ningeweka Sumu Mahindi Yote Alafu Ningesambaza Mji Mzima Shenziii

  • @njeyabox7788
    @njeyabox7788 19 годин тому +1

    Uzembe sana huu..wekeni sumu na mitego..

  • @JOSEPHKAJORO
    @JOSEPHKAJORO 17 годин тому +1

    South Africa nyani hao ni wengi sana maliasili wanawapiga risasi.

    • @MrishoMindu-zq7mz
      @MrishoMindu-zq7mz 9 годин тому

      South Africa ni Nchi ya watu wa Hovyo sana wenye roho Mbaya. Kuuana kwao ni Jambo la kawaida sana Ubaguzi kwao ndio Dini walio chagua. Kuna Mama ameongea hapo nao wana haki ya kuishi. Nyani ni kiumbe muoga Sana. Wapo kama Nyumbu. Nyani uki watega wenyewe hua wana hama eneo husika hakuna sababu ya kuwa ua. Hawaja ua kwa nini wau wawe. Ni kuwahamisha tu. Morogoro Turiani Kule Loliondo Nyani wa aina hiyo ni wengi mno. Kuna Miwa mingi sana ya Mtibwa Sugar lakini haukuti wakigusa hiyo Miwa wanaogopa wanaishia kando ya Bara bara tu. Uwezekano wa kuwa swaga upo sana.

  • @fedyrunya1
    @fedyrunya1 18 годин тому +1

    nyani hali nyama from BURUNDI

  • @mikemutabuzi3665
    @mikemutabuzi3665 11 годин тому +1

    waleteni like kabisa la wadzabe. hao ni mboga zao nzuri sana😅

    • @Mina.15
      @Mina.15 3 години тому

      😂😂😂

  • @YahayaKiobya
    @YahayaKiobya 7 годин тому

    Waiteni wahadzabe, kwao hicho ni kitoweo na kwao nyama ni delicacy 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @adiaygo8546
    @adiaygo8546 День тому +1

    Huyo mwenyekiti alichaguliwa Na Nani kujieleza hajui 😅😅😅

  • @JOSEPHKAJORO
    @JOSEPHKAJORO 17 годин тому +1

    Mahari kwa wahazabe ni nyani.Vijana wa kihazabe wote wataoa wote.

  • @aminamareta9297
    @aminamareta9297 23 години тому +1

    Mtumeee 😂😂😂😂

  • @abdalahfundi7936
    @abdalahfundi7936 21 годину тому +1

    Uwa wawili kata vichwa weka mlangoni hawaji tena😂

  • @NoorNOOR-l7h7g
    @NoorNOOR-l7h7g 8 годин тому

    Nyama ya wahadzabe 😂😂

  • @adiaygo8546
    @adiaygo8546 День тому +1

    Watafuneni Na wao😅

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 21 годину тому +1

    Wanyama pori Kama nyani wamesambaa sana Mikoa yote, moshi Makonda ngedere wamejazana sana Hii ni tatizo kila mkoa . Maliasili wanatakiwa watafute mbadala

  • @antonychitara5707
    @antonychitara5707 8 годин тому

    Dawa ya nyani haipo ila wanaogopa sana wakikuta nyani mwenzao amekufa,,, kwahyo muuwe mmoja mtundike juu ya geti au kwenye mti hawaji tena wataogopa!!!

  • @GadMwakalinga
    @GadMwakalinga День тому +1

    Nime jifunza kitu hapa❤

  • @TheBestPhone7918
    @TheBestPhone7918 4 години тому

    Wapelekwe wa hadzabe

  • @RachelLaizer-n2p
    @RachelLaizer-n2p День тому +2

    Mmeenda kukaa sehemu yao hameni

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula День тому +1

    Wategeni sumu

  • @DudddyWhyCant
    @DudddyWhyCant 23 години тому +1

    Wanakula hata mayai ya kuku, wakati wewe mfugaji kula mayai ni shida 😂😂😂😂

  • @jayjay4313
    @jayjay4313 14 годин тому

    Yaani Wadzabe na Mangati wameingia mpaka studio kujitambulisha uhalisia wao. Wadzabe huko, wangezaliana sana maana mahali yao, wanapeleka nyani dume. Huko mbona sherehe tu! Wiki tu hali shwari.

  • @OG_20
    @OG_20 22 години тому +1

    Hawa nyani wanavuta majani hawaa 😅

  • @Jamila-c7k
    @Jamila-c7k 23 години тому +1

    Wahadzab ni chakula Chao poleni duh

  • @gilliardgodfriend5745
    @gilliardgodfriend5745 9 годин тому +2

    Mmeteketeza misitu hayo ndio malipo yake😂😂😂😅😅

  • @Jamila-c7k
    @Jamila-c7k 23 години тому +1

    Nyani ni kama mtu kweli haogopi mwanamke

  • @manifestationmastermindset6518
    @manifestationmastermindset6518 5 годин тому

    Unamuua nyani mmoja unamning'iniza wengine wakiona hawarud hilo eneo

  • @joesplatnumz
    @joesplatnumz 19 годин тому +1

    Hadzabe tribe iko porini kawaleteni watawala wote hao nyani

  • @florianhashimu1370
    @florianhashimu1370 5 годин тому

    Waleteni wahazabe kama watakatisha wiki😂

  • @kazikazicompany-yl6sd
    @kazikazicompany-yl6sd 17 годин тому +2

    😮😮😮😮😮😮😮

  • @geraldholdings5938
    @geraldholdings5938 8 годин тому

    Waiteni Wahadzabe

  • @victorjames3730
    @victorjames3730 4 години тому

    Hizo nyani na zenyewe ni chakula kizuri tuu! Aanzeni kuzuwinda mle nyani

  • @SethJohn-x9f
    @SethJohn-x9f 8 годин тому +1

    Nyani wanakula mifugo leo mimi ndiyo nasikia

    • @MadieMtimbuka
      @MadieMtimbuka Годину тому

      Yes, nyani ni jamii ya predators

  • @Mbosokhan992
    @Mbosokhan992 23 години тому +1

    Wahadzabe siwapo jmn waje uku

  • @emmanuelmchomvu2676
    @emmanuelmchomvu2676 22 години тому +1

    Waiteni wacongo muone after week inakuaje 😅😅

  • @ESTERMWAKAJUMBA-b6u
    @ESTERMWAKAJUMBA-b6u 19 годин тому +1

    Wahazabe wahamie uko, nyama hiyo

  • @festohaule9716
    @festohaule9716 10 годин тому

    Wauweni kimya kimya!!! Nunueni ndizi choma sindano za simu wapeni !!!!!!

  • @kajairolancaster7028
    @kajairolancaster7028 8 годин тому

    Ambia dudukwe wale wanakulanga nyani

  • @alisaid1347
    @alisaid1347 18 годин тому +1

    Waleteni hadzabe faster tu shughuli inaisha

  • @samsonkusupa6809
    @samsonkusupa6809 17 годин тому

    Nyani toka lin akala nyama mbichi

  • @oscarbenjaminkaaya4103
    @oscarbenjaminkaaya4103 18 годин тому +1

    Waitwe wahdzabe....

  • @emanuelpetro9591
    @emanuelpetro9591 7 годин тому

    Ni aibu sana unakuta jibaba zima limama zima linaripoti nyani😅😅😅😅

  • @MuhammedSuleiman-m3z
    @MuhammedSuleiman-m3z День тому +2

    Wafuge mbwa wakali tu

    • @lucasjiwe1968
      @lucasjiwe1968 5 годин тому

      Unaambiwa mbwa wanauliwa nahao nyani 😂

  • @FrancisNgomaitara
    @FrancisNgomaitara День тому +4

    😂😂Kwan kati ya nyani na watu ni nani alievamia makaz ya mwenzake

  • @faridmohamed203
    @faridmohamed203 17 годин тому +1

    Si wawalete wahdzabi waje wawale

  • @nasibugunda7927
    @nasibugunda7927 4 години тому

    Dawa ni ndogo nunueni kengele alafu wategeeni pombe wakilewa mnakamata mmoja mkubwa wao mnamvalisha kengele kwisha kazi

  • @DoaDiamond-s1j
    @DoaDiamond-s1j День тому +2

    Mboga iyoo

  • @KhalifaMshana
    @KhalifaMshana 16 годин тому

    Mr nyani piga manati tuu

  • @RajabuKitalambo-q2u
    @RajabuKitalambo-q2u 4 години тому

    Ao wawaite wahazabe wanakimbia wenyewe ao

  • @CharleskazimilyMajahasy
    @CharleskazimilyMajahasy 9 годин тому

    Mkisema muwauue mali asili watasema vyokovyoko, upuzi tu mwingi utakuwepo, but shida hii wanayoipata wananch kwao ni sawa tu.

  • @Jamila-c7k
    @Jamila-c7k 23 години тому +1

    Duh jamani

  • @georgesangana8147
    @georgesangana8147 11 годин тому

    Wanaliwa hao windeni kuleni muone kama watabaki

  • @MedsonAlex
    @MedsonAlex 7 годин тому

    Tuite Wahadzabe hutowaona tena maana hao ni nyama kwao

  • @yakobomkristo872
    @yakobomkristo872 15 годин тому

    Wahadzabe Wakipita Njia Tu Hao Nyani Wote Watahama, Njia Nyingine Ya Kuwafukuza Ni Wakazi Wote Kuvaa Mavazi Ya Kihadzabe Kwisha Kazi😂

  • @lawrencegwerino1656
    @lawrencegwerino1656 10 годин тому

    Weka sumu wafe….

  • @stanastana3199
    @stanastana3199 День тому +2

    Mbona wasikamatwe na washtakiwe daah?

  • @jonasjoseph4288
    @jonasjoseph4288 5 годин тому

    Mama apana hakuna nyanyi anayekula mbuzi au mbwa.kwa mbwa huwa wanajeruhi TU ktk hli ya kujidifence

  • @joharikitundu
    @joharikitundu 9 годин тому

    Sijawahi sikia nyani anakula mifugo hii Dunia sasa basi

  • @mugapro
    @mugapro 6 годин тому

    Kwanini wasiletwe wahadizabe haraka maeneo hayo,

  • @JOSEPHKAJORO
    @JOSEPHKAJORO 17 годин тому

    Mkisubiri serikali-hakuna kitakachotokea.

  • @MadieMtimbuka
    @MadieMtimbuka Годину тому

    Wakamate nyani 3 halafu wapakeni rangi yoyote isiwe nyusi tu, iwe nyekundu, nyeupe au njano, watahama wote

  • @MylaJoel-h2p
    @MylaJoel-h2p 5 годин тому

    Fugeni mbwa wakali hapo hamtawaona tena

  • @JoellJoel-h9q
    @JoellJoel-h9q 16 годин тому

    Sasa mwisho wa siku watakula watoto

  • @chrislandan6288
    @chrislandan6288 7 годин тому

    Iteni wahadizabe

  • @SaidMkwabi-ho8yy
    @SaidMkwabi-ho8yy 17 годин тому

    Wawekeeni sumu wafe maana kama mmeshaongea shidazenu arafu wahusika hawana time nao kwanini nyinyi muendelee kupata shida kwamaslahi yawatu wengine

  • @AhmadMtemi
    @AhmadMtemi 23 години тому

    Peleka Wahazabe,

  • @DullahIweni
    @DullahIweni 17 годин тому

    Na nyinyi mjikusanye vitongoji vyote kuleni nao sahani moja woote wataogopa maana nyani ana akili

  • @bakarikayugwa3295
    @bakarikayugwa3295 16 годин тому

    Shida sio nyani kwa msemo wa rc charamila kua hayo ni makazi yao ya nyani ila binafamu ndo wamezifuata nyani

  • @JOSEPHKAJORO
    @JOSEPHKAJORO 17 годин тому

    Hapo ili kazi ifanyike-basi ni pale nyani hao watakapofanya uhalifu kwa moja ya wake wa viongozi

  • @labunaabouna6122
    @labunaabouna6122 5 годин тому

    Letani wachina nawala nyani wataisha tu

  • @martinchambala9399
    @martinchambala9399 День тому +1

    Dawa ya hao nyani ni wahadzabe waitwe wakae hata miezi 2

  • @Rahima-kv6mn
    @Rahima-kv6mn 20 годин тому

    Nyie nyani kumanina zenu yaani inafika hatua mnabeba mpk vipolo na kuosha vyombo kabisa mikomwe km School bus 😂😂😂😂😂😂

  • @daudikonga1101
    @daudikonga1101 18 годин тому

    Wapelekeni wazabe waweke kambi hapo nyani wakiwaona wazabe watakimbia wote kurudi kwao

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 21 годину тому

    Watasababisha magonjwa km Congo Sasa tujitahid kuwawekea hata sumu kwenye mboga

  • @goodluckabdallah3429
    @goodluckabdallah3429 19 годин тому

    Nyani anakuwa vp tishio? Aje chuga! Abebe sufuria langu nimuue ! 😅😅

  • @yousifyousif-p7f
    @yousifyousif-p7f 2 години тому

    Waiteni wahazabe hao ndo kiboko yao

  • @BahatiLigute
    @BahatiLigute 18 годин тому

    Mkamateni 1 tu mumpake rangi mwili mzima wote alafu muache wanahama wote

  • @JOSEPHKAJORO
    @JOSEPHKAJORO 17 годин тому

    Suluhishi la nyani hapo geita nikuwaita wahazabe

  • @KenedyMboma-zb4cq
    @KenedyMboma-zb4cq 10 годин тому

    Waiteni wadzabe

  • @majaliwamaginyula9327
    @majaliwamaginyula9327 День тому

    Dawa ya nyani ni manati tu hutowaonq maana wanaamini kuwa hiyo manati inspiration bila kujua

    • @DudddyWhyCant
      @DudddyWhyCant 23 години тому

      Upinde na mshale ndo kiboko yao.

  • @AlHamra-k4u
    @AlHamra-k4u 23 години тому

    Waiteni wahdizabe waje wawashughulikie mboga yao hiyo

  • @Burhan-d9x
    @Burhan-d9x День тому

    Tatizo ni kwambwa maisha ni magumu hata wanyama
    Sasa waende wapi na milimani hakuna chef

  • @JOSEPHKAJORO
    @JOSEPHKAJORO 17 годин тому

    Wahazabe wakija huko mbona ni raha tupu.

  • @emmanuelfari8924
    @emmanuelfari8924 22 години тому

    Hao nyani wachukuliwe hatua🤔

  • @BabMuniwe-pg7el
    @BabMuniwe-pg7el День тому

    Waiteni wahzbe

  • @adenadolph1951
    @adenadolph1951 16 годин тому

    Peleka wahadzabe huko chap kero kwisha.

  • @burnmotto1876
    @burnmotto1876 5 годин тому

    Waiteni wa hadzabe hapo hamtapata shida

  • @SelemaniJuma-e7z
    @SelemaniJuma-e7z День тому

    Waite wahizebe tu.

  • @gadisonmichael7805
    @gadisonmichael7805 18 годин тому

    peleka WA HADZABE wamalizane nao