Jaman bab mwita kaniua sana yaan mcheshi sana ila mambo' ya maisha tu jaman., mana sometime unakuta kama mambo' uelewi.., hakika baba mwita big up sana tena sana, wakurya ni watu ila ukiwachokoza tu ndio wanakua wanyama..baba mwita asante sana
Mungu awabariki sana mpaka machozi yakanitoka kwa furaha lkn ni kwa neema tumshuru Mungu kila wakati miaka mingi nami ipo siku tutaonana na baba yangu japo mama yangu hataki kusema ukweli
Wallah imenigusa sn hi inshu yakupoteza nawatoto kwamda mrefu kiasi hiko pia nimshukuru bbaake mwita kwamalezi mazuri aliyowalea wanae kwamapenzi ya dhati nahadi ss kijanaanaonekana ktk muonekano mzuri pia niwasihii wanawake wenzangu baadhi yao msipende kuishi nawanamme bilakujua wanakotokea au mwanamke anakoishi maana mwisho mnaishia kupotezana nakuamin. Pengine washakufa kumbe wko hai
Pole dada uwa ni mithina sana kuolewa na mkiwa kabila tofauti nakumbuka mimi pia dadangu alipokonywa watoto ivyoivyo mpk leo tulimshukuru mungu inauma sana😭😭😭
Mashaa Allah huyu mtoto mwita nimemuona ni mpole na upole unaendana na usikivu na usikivu unaendana na ustaarabu halafu jina lake silielew la kiislam kweli? Mama mwita fanya bidii mwanao umfundishe dini ushauri wa bule mpeleke madrasa katoto ka kiume ni kamoja kafundishe dini mama yangu
Ila baba mwita jamani nimempenda bure hana kukataa alichokifanya yaan yeye anafurahia pia kumuona mzazi mwenzie japo km una hasira unaweza kunasa kibao yaan ana masihara hatar mwenzio analia yeyw ndio kwanza anamfanyia komedi mwenzie jamani😂😂😂😂😂
@@jescajulius8023 Pole Yetu Saana Kipenzi Mimi Pia Cjamlea Mwanangu Tangu Yuko Katikati Ya La Kwanza Ingawa Nilikua Napata Fursa Ya Kuonananae Mara Moja Kwa Mwaka, Baada Ya Hapo Ckuonananae Alipofika La Tano Nikaja Kumuona Akiwa Kidato Cha Pili 😭😭😭
Kwa ajili..Baba mwita alivyokuja tu..mie nimemsamehe kabisa tena mcheshi sana ila saa ingine maisha tu jaman kwa kipindi kile..alichoondoka dar es salaam..tumsamehe wandugu jaman
😢😢sikunitakutana na babayangu yani sijuwi nitasemaje toka ningaliki mdogo namyaka mmoja na nusu mpaka ivi sijawaikumuona 😢😢ningekuwa daa kingeeleweka ila sipo ila inshaallah
Nimempenda baba mwita jmn clouds km mna no yake mnipatie ila mimi ninaposhangaa mama mwita alikuwa anawasaliana na mkwewe ambae ni bibi yake mwita kwann asiende kuona watoto wake
Basi tena ndio mtuliege mie ndio mzazi mwenzako basi ukisifiwa nje na wanaume wengine mie unaniona takataka unafikiri kinachofuata ni nini zaidi ya kusepa na damu yngu bibi yake mwita kasema yaliyopita yamepita lkn kwa maono yngu kuna kitu kimejificha ambacho baba mwita akukukipenda ndio maana alifanya action hiyo...ila yote ya yote kiungo mchezeshaji ni timu nzima ya clouds fm yaani pale kati kati mmekichafua kama sure boy na feisal aucho 🤣🏆💚💛💪🇹🇿🇦🇪hongereni sana sana m/mungu azidi kuwapa maarifa ya kubuni kitu cha faida ktk jamii Amiin 🤲😘
Na waliojifungulia musoma wanaume wa kikurya waliwakataa watoto wao kuwa mila hairuhusu na waliwatelekeza watoto na mama zao na hasa kama wewe utakuwa sio mkurya....inauma....!
Wakurya ndio zao hizo za kutorosha watoto mkurya mchaga hizo ngoma nzito ila kwa upande mmoja nawapenda hawatupi Damu zao ila wengine heeeee ni mtihani mpaka mburuzane mahakamani ustawi wa jamii ndio update matumizi.
Uzuri baba Mwita amewasomesha watoto na kuwalea👏👏
Kafanya jambo lamaana🤗
hii familia ya mwita iko pow yaan haina kinyongo baba mwita mungu azid kukubariki
Baba kalea watoto vizuri sana. Kawasomesha pia. Hongreh sana Baba Mwita.
Daah inaumiza sn miaka 20.bila kuwa0na watoto Mungu ni mwema kwa kweli.baba.mwita.mungu.amtunze.maana.kalea.watoto.vzr.mpaka.rahaa✍️💃
Mwita ni bonga la handsome 😘
Big up Cloud kazi yenu ni njema mnoo ,,nawapenda buuuuree watangazaji wote
Sasa naona umuhimu wa social
Media,,hongera sana Clouds na kipindi hiki,,Kweli Mungu awabariki na kuwaongezea uthamani weni...
Jaman bab mwita kaniua sana yaan mcheshi sana ila mambo' ya maisha tu jaman., mana sometime unakuta kama mambo' uelewi.., hakika baba mwita big up sana tena sana, wakurya ni watu ila ukiwachokoza tu ndio wanakua wanyama..baba mwita asante sana
Hongereni sana clouds mashallah😭😭😭 bibi kanifanya nimetabasam alhamdulillah
Wallahi mpaka nimelia Allah atawalipa herry inshallah 😭😭😭😭😭😭❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Mashaallah mashaallah dah mama ww umejua kuniliza 😭😭😭
Mungu awabariki sana mpaka machozi yakanitoka kwa furaha lkn ni kwa neema tumshuru Mungu kila wakati miaka mingi nami ipo siku tutaonana na baba yangu japo mama yangu hataki kusema ukweli
Jitahidi kipindi hichi akiwa hai
Daaah nimemkumbuka my mom RIP 🙏🏻 MOM
Pole Saana Kipenzi
Pole dyaa
Pole dear
Poleee Ndgu
Sio wewe Tu! Hata Mimi RIP my Mama
So emotional jaman😭😭😭😢 lakin ba mwita kituko
Hii picha nikiiona nimemiss sana my mom, ni mwaka wa 9 tangu anitoke.
Du kuna haja ya sisi wanaume kubadilika sana kuna baadhi yetu tabia zetu zina watesa sana wanawake
Ni kweli
Bora wewe umesema.
Hongera zako baba mwita nimekupenda unapenda wanao
Wallah imenigusa sn hi inshu yakupoteza nawatoto kwamda mrefu kiasi hiko pia nimshukuru bbaake mwita kwamalezi mazuri aliyowalea wanae kwamapenzi ya dhati nahadi ss kijanaanaonekana ktk muonekano mzuri pia niwasihii wanawake wenzangu baadhi yao msipende kuishi nawanamme bilakujua wanakotokea au mwanamke anakoishi maana mwisho mnaishia kupotezana nakuamin. Pengine washakufa kumbe wko hai
Haki kazi nzuri sana Mungu Insha'AllAH Mungu awabariki
Clouds nawapenda saaaana, hii y mwita nimecheka kwa kwrli cjalia!!
I like this project keep it up clouds
Kurya people jaman 🤣🤣🤣🤣🤣
Pole dada uwa ni mithina sana kuolewa na mkiwa kabila tofauti nakumbuka mimi pia dadangu alipokonywa watoto ivyoivyo mpk leo tulimshukuru mungu inauma sana😭😭😭
Msizae na wakrya jmn...ni watu wa hovyo niulizeni mimi🙌🙌🙌
😂😂
😂😂😂
Hahahahaaaa
Uuuwiiihhhhh
Ila kweli
Mmmmmmmh!
Hongera sana clouds kwa kuwakutanisha watu waliopoteza family zao keep it up the good work👌👏
😭😭😭😭😭😭😭mama mwita umeniliza na mie pole sana
Baba Mwita is so crazy 😅🤣🤣🤣
Uyu Mama Mwita kaniliza, sikia tu kwa mwenzio, uyu Mamaangu kabisa, Mama saumu.
Ma mwita umeniliza daah...hongereni clouds kwa project nzuri sana
Mimi pia dea
Pole dada mungu bora kakujalia utakuja kuwaona kwahio iposiku utafuta furahi🙏🙏🙏🙏❤️❤️👍👍👍
Mashaa Allah huyu mtoto mwita nimemuona ni mpole na upole unaendana na usikivu na usikivu unaendana na ustaarabu halafu jina lake silielew la kiislam kweli? Mama mwita fanya bidii mwanao umfundishe dini ushauri wa bule mpeleke madrasa katoto ka kiume ni kamoja kafundishe dini mama yangu
Baba mwita mwanaume anayependa watoto
Sana sana
Allah awanynganye vizaz baazi ya wabongo mnatesa watoto mnazini na kutesa watoto
Ila baba mwita jamani nimempenda bure hana kukataa alichokifanya yaan yeye anafurahia pia kumuona mzazi mwenzie japo km una hasira unaweza kunasa kibao yaan ana masihara hatar mwenzio analia yeyw ndio kwanza anamfanyia komedi mwenzie jamani😂😂😂😂😂
Baba mwitaa yanii
Nimempenda sana nwita ni kijana mwenye kujielewa na hekimu mungu amemjalia,Iwe kwake heri
Dah so sad imekuwa siku ya kilio yenye furaha pia kwa familia husika. Yaani wazazi kutengana kunaumiza Sana watoto.
Ni kweli dear lkn ndo hivo inaposhindikana lazima tutengane
@@jescajulius8023 Saana Kipenzi
😭😭😭Naumizwa Saana Na Maswala Kama Haya Jamani
@@yassintaibrahim24 ndy yanaumiza nami ni mhanga
@@jescajulius8023 Pole Yetu Saana Kipenzi Mimi Pia Cjamlea Mwanangu Tangu Yuko Katikati Ya La Kwanza Ingawa Nilikua Napata Fursa Ya Kuonananae Mara Moja Kwa Mwaka, Baada Ya Hapo Ckuonananae Alipofika La Tano Nikaja Kumuona Akiwa Kidato Cha Pili 😭😭😭
Niwapenda clause
Yaani nimelia Sana hongereni clouds
Hongea sana clouds MUNGU awabariki sana
Mashallah mungu awabariki nyote mulio simamiya huyu mama mpaka akapata watoto wake
Mama mwita nampenda sana anavyomlilia mwanaye jamani safi sana ,halafu mrembo mwenyewe na mwita mzuri.
😂😂😂ushaanza umalaya
So emotional... ila baba mwita jmn 😂😂
Baba mwita ni comedian🤣😂🤣🤣
Mtu mbandi sn 😂😂😂☝️
@@ameenamohammed4413 Nmecheka kwa saut 🤣🤣💃🏿💃🏿
Kwa ajili..Baba mwita alivyokuja tu..mie nimemsamehe kabisa tena mcheshi sana ila saa ingine maisha tu jaman kwa kipindi kile..alichoondoka dar es salaam..tumsamehe wandugu jaman
hakika hiki ni kipindi bora kabisa hapa Tanzania daah ukiskia kipindi cha radio hiki ni zaidi ya kipindi walahi mpaka nimelia 😭😭😭
Nimempenda baba mwita jmn mtu WA masihara htr ila Dada shukuru kawalea wtt vizur
Mama mwita kaniliza 😢😰😭😭😭😭😭
😭😭😭😭😭
Nawaombeni washirika wenzangu mwenye number ya clouds namtafuta Baba yangu mdogo tulipotezana toka mwaka 1978 Songea mkoa wa ruvuma
Daah! Mwita kweli mkurya original
Wallah nimelia pia nimefurahi
Hongera.sana.baba.mwita
Mashaallah baba mwita kaupiga mwingi sana
Salute kwa bibi na mammkubwa kwa upendo
Mungu awabariki Clouds nimelia sana
Kwani baba ngaya ni comedian 😂 🤣 maana nimecheka mimi jamani vituko vyake
Nmecheka na kulia at the same time, Baba mwita Comedy
Alisha jua anamakosa katumia akili kumaliza kesi
Mama mwita kanifanya nmelia kweli uchungu wa watoto ajuae mama ,😭😭😭😭
Ongeleni leo tena 👏👏👏
Clouds muishi milele kazi zenu nzuri
Hongera za baba bora baba mwita
Nacheka huku nalia kiukwel mungu awabarikii
Ongereni jamani watangazaji jsmani❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤👍👍👍
Baba mwitaa mimi namsifu baba mwitaa aliwapenda wanae na aliona asiache damu yake mbalii hongeraa umeleeea baba
😢😢sikunitakutana na babayangu yani sijuwi nitasemaje toka ningaliki mdogo namyaka mmoja na nusu mpaka ivi sijawaikumuona 😢😢ningekuwa daa kingeeleweka ila sipo ila inshaallah
Nenda kamtafute baba ni kitu Cha thamani Sana maishani
Utampata tu kama utaweka bidii all the best bro. Cha msingi ujue ndugu upande wake ukimpata mmoja tu basi utajua yupo au lah🙏🏾
Dah kweli clouds kazi mnaifanya vyema mnatatupa hamasa nasisi ambao wazaz wetu wamefariki😢😢😢
Ila gea Mungu anakuona sio kwa cheko hilo maana nami umenifanya nicheke wallah🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣japo inaliza😭😭😭😭😭
Nimecheka hatariiiiiii
Ila namshukuru baharia kapeleka watoto shule..
Nimempenda baba mwita 😃😃😃
Dah!😭😭😭😭😭hongereni Clouds 😇😍😍😍
Nimempenda baba mwita jmn clouds km mna no yake mnipatie ila mimi ninaposhangaa mama mwita alikuwa anawasaliana na mkwewe ambae ni bibi yake mwita kwann asiende kuona watoto wake
Amekuambia, bb naye alifaliki bl yy kujua, ina maana mawasiliano yalikata.
Na pia alisema alikuwa hapajui ni sehem gan na alkuwa na hali ngumu ya maisha
Nauli ya Musoma unaijua au unaisikia?
Mm pia nimechukuwa watoto wangu..... Kutoka kwa mama yao... Ni mwaka WA tano Sasa....niliona mamake Ana mwelekeo wa kulea watoto
Nimempenda mama mkwe
Masha'Allah kijana wake yuko vizuri
Inafurahisha sana sana. Ni amani teleee
Hongereni sana Clouds
BABA MWITA NDO MAN OF THE MECH
Mimi nimelia huku na kucheka
Baba mwita jaman akiwa anaongea mama mwita unalia akiwa anaongea baba mwita nikucheka tuuuuuu 😂😂😂😂😂😂😂
Ahahaha baba mwita mshenzi kweli yaani nimecheka mpaka basi haki inabidi usamehe tu .
Mnakera sana
Basi tena ndio mtuliege mie ndio mzazi mwenzako basi ukisifiwa nje na wanaume wengine mie unaniona takataka unafikiri kinachofuata ni nini zaidi ya kusepa na damu yngu bibi yake mwita kasema yaliyopita yamepita lkn kwa maono yngu kuna kitu kimejificha ambacho baba mwita akukukipenda ndio maana alifanya action hiyo...ila yote ya yote kiungo mchezeshaji ni timu nzima ya clouds fm yaani pale kati kati mmekichafua kama sure boy na feisal aucho 🤣🏆💚💛💪🇹🇿🇦🇪hongereni sana sana m/mungu azidi kuwapa maarifa ya kubuni kitu cha faida ktk jamii Amiin 🤲😘
❤❤❤❤❤ one love kipindi kizuri
mungu wape miaka mingi mama zetu
poleni saaaana kwa kazi munayo ifanya
jmn ww baba Mwita original😂😂😂
Baba Mwita bhana yaani ni yeye og😁😁😁 but Mwita ni good boy
Mwenyezi Mungu azid kumtunza
Big up clouds .🥰❤
Miaka ya nyuma wanawake wengi sanaa sana waliozaa na wakuliya watoto wao walichukuliwa bila taarifa na kupelekwa musoma
Na waliojifungulia musoma wanaume wa kikurya waliwakataa watoto wao kuwa mila hairuhusu na waliwatelekeza watoto na mama zao na hasa kama wewe utakuwa sio mkurya....inauma....!
Ila baba mwita Yuko vizuri 😊
salàm alekum nimelia sana
Imenigusa Saana Pole Saana Mama Mwenzangu Umenifanya Nikumbuke Mbali Saana 😭😭😭
Hongereni mnafanya kazi nzuri sana
Gea nakupendaga Sana kwa upambanaji wako nakumbuka ulinisaidia yule mtoto tuliambiwa kafa wamezika iringa kumbe sio kweli
Mh DC kazi nzuri sana
He is tooo funny this man🤣but mama lazima awe na huzuni
mwanzo nimelia, ila baadae baba mwita kaja kunipoza, baba mwita hana hata stress, halafu anaonekana msumbufu tangu akiwa kijana
😭😭😭😭😭uyu mama ameniliza sana jmn.
Mtangazaji kanichekesha eti mwangalie baba mwita 😊
Baba mwita ujue kanifurahisha wallah nimecheka sanaaaa,,,mama mwita kauchuna Wallah unnaweza pasuka mnoo
Baba mwehu kweli huyu
Daaaaah nimelia Sana pole mwanamke mwenzangu
Wakurya ndio zao hizo za kutorosha watoto mkurya mchaga hizo ngoma nzito ila kwa upande mmoja nawapenda hawatupi Damu zao ila wengine heeeee ni mtihani mpaka mburuzane mahakamani ustawi wa jamii ndio update matumizi.
Kabisa
Miaka 18 hajamuona mama ake leo hjajaa kumuona anasema ana mtihani 😢😢😢 imani haipo Wallah
Baba Mwita,umenichekesha,.
Baba mwita jamani kachachuka 🤣🤣🤣Nimecheke sana na nimelia sana😢😢
Nimelia na kucheka sana
Baba Mwita jamani kwa kweli wameteseka