VIDEO YA RAIA WA KIGENI YAWAPONZA VIJANA FORODHANI, WAPIGWA STOP, BARUA NZITO WAANDIKIWA, MARUFUKU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 515

  • @ZinabAlzinab
    @ZinabAlzinab 16 днів тому +2

    Heee dua yangu mungu ameipokea🙏🙏

  • @Bahati47
    @Bahati47 20 днів тому +95

    Ningewaona wamaana km wange stopisha ushoga

  • @fistonnibigira167
    @fistonnibigira167 20 днів тому +15

    Wow I appreciate for what Zanzibar a date

  • @rajabukipara3008
    @rajabukipara3008 20 днів тому +13

    Asante Zanzibar

  • @AbuuImraan-alghafr-azinjibar
    @AbuuImraan-alghafr-azinjibar 20 днів тому +17

    Pia ushoga upigwe marufuku Zanzibar

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 20 днів тому +2

      Kwani now umeruhusiwa mpaka unasema upigwe marufuku?

    • @AbuuImraan-alghafr-azinjibar
      @AbuuImraan-alghafr-azinjibar 19 днів тому +1

      @emmadora7848 haijalishi Ila kwenye ushoga pia paekwe mkazo wakuoikataza hilo Jambo Yani yoyote atakae gundulika bas hukumu yake kifo

    • @mohamedimiraji5495
      @mohamedimiraji5495 15 днів тому

      @@emmadora7848 Ungekatazwa mabwabwa wangeongezeka kila kukicha?

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 15 днів тому

      @mohamedimiraji5495 ndugu yangu mtu kama hamuheshimu Mola wake Wala yeye mwenyewe basi hatasikia hata akiambiwa na inajulikana wazi ushoga nchini kwetu hauruhusiwi

  • @AbdirahmanIgge
    @AbdirahmanIgge 19 днів тому +5

    Safi sana

  • @HijaSaid-t6c
    @HijaSaid-t6c 15 днів тому +1

    Kwani Zanziba hutumia sheria za kiislamu au sheria za kisheitwani, maana sheria nyingi za nchi duniani wamekataa sheria za Allah na kutunga zao na kuzitumia,

  • @twalibuabdallah6243
    @twalibuabdallah6243 17 днів тому +5

    Sisi wazanzibar hatuna sera hatuna kazi za kufanya tumefeli hatujui cha kufa unataka utalii na watalii kipi kinakufanya ubweke ni foro tu au zanzibar yote nendeni kiwengwa nendeni nungwi n.k kwa utamaduni hakuna tena znz😢😢😢😢😢😢😢😢

    • @saidissa8273
      @saidissa8273 15 днів тому

      Sio kweli hao Natalie wanatakiwa wajue tamaduni za sehemu husika

  • @HajiHaji-r6n
    @HajiHaji-r6n 19 днів тому +9

    Alhamdulillahi Allah atubakishe ktika khofu ya Allah na atuthibitishe.

  • @RashidSaid-l9m
    @RashidSaid-l9m 17 днів тому

    Safi sana zanzibar

  • @udizungwahimalaya5213
    @udizungwahimalaya5213 19 днів тому +14

    Mbona wanatembea mitaani na chupi wazungu. Si kosa la wapiga makachu. Hilo mm ni muasisi wa kupiga makachu forodhani kabla media 2001 na walikua wanaoga uchi wazungu hio ni njia ya kutka kuwaondosha2 mm nimezaliww kiponda nimesoma hamni naijua vizur zanzibar apo kunakitu kinaendelea wadanganyeni amba hawajui

    • @asha-z3n
      @asha-z3n 18 днів тому +1

      Hapo wameona kunamanufaa wanataka serikali washikilie hiyo apportunity

    • @mohamedimiraji5495
      @mohamedimiraji5495 15 днів тому

      Kwahiyo unataka wanyamaze ili muendelee kuona tupu za watu au? Pumbavu kabisa

  • @Bobbrownjumbo
    @Bobbrownjumbo 19 днів тому +4

    Yani Zanzibar wanafurahisha sana

    • @Kelvinamoss-pt8ew
      @Kelvinamoss-pt8ew 17 днів тому

      Cjui wanajikutaga nani asa beach uvae kanzu na baibui

  • @liboriusbabile1197
    @liboriusbabile1197 19 днів тому +3

    Jamani makachu na uharibifu wa miundombinu wapi na wapi.. Raia mwenyewe ni wakigeni, hiyo ishu ndogo Sana , ni suala la kawaambia tu mvae Kwa utaratibu huu, wageni hawajui utamaduni wetu nikuwaelekeza tuu na wanaelewa, mbona wazungu kibao wanavaa hovyo na wanatembea mitaani na hamuwagusi, hebu serikali iache wehu. kwanza serikali inapaswa kujua vijana WA makachu nadhani wanajitahidi Sana kuitangaza Zanzibar kiutalii kuliko hata serikali..hili jambo limenishangaza Sana, Kweli uongozi wa mjinga ni maumivu makali.

    • @jitukorofi9517
      @jitukorofi9517 19 днів тому

      Ww inakuuma nini kwani si nchi yao na sheria zao bichwa kama puto

  • @BinTwahirinho-rw1nv
    @BinTwahirinho-rw1nv 15 днів тому

    aah, mm naona hawana la kusema au kuna kitu tu apo,, maana uyo wala hayupo uchi kwa tunaowaona mitaan, umo kwenye mabaa ndo usisemaa had mitaan, maana izo baa zenyew zipo mitaan,, na mashoga wapo wala hapasemwi kitu watu kimyaaa..!! allah tusamehe makosa yetu na utupe mwisho mwema,

  • @MriceeTZA
    @MriceeTZA 19 днів тому +14

    Mbn wanao jiuza hawawasemi maana Zanzibar Kuna anasa saana bora hata bongo 😢😢

    • @Mumewangu
      @Mumewangu 19 днів тому

      Wanashikwa wakijulikana tu .

    • @abdulatifismail4747
      @abdulatifismail4747 19 днів тому +3

      Hakuna icho bongo uchafu umezidi uchi unauzwa kama karanga madanguro yamejaa mna mpaka porn site za kufirana nyinyi mnalaana acha kujitoa fahama eti zanzibar afazali bongo we mwehu kweli

    • @Katunistimshamba
      @Katunistimshamba 19 днів тому +3

      Tena uko Zaziboli ndio kuna ushoga uliokisiri ni kweli kabisa

    • @Mumewangu
      @Mumewangu 19 днів тому

      Hata kama anasa zipo lakin sio kuogelea na kichupi.

    • @nassorhassan7288
      @nassorhassan7288 19 днів тому

      kuliko kinondon au nyamaza tu bora​@@Katunistimshamba

  • @ZinabAlzinab
    @ZinabAlzinab 16 днів тому

    Ilikua nkiomba dua kila siku hii hali sio mzuri kwa maisha ya watu wapiga makachu

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 20 днів тому +11

    Zanziba sii zanziba ya miaka hiyo huko ndo kumejaa ufuska wote na mashog ndo wamejaa kuliko bara naumalay wakujiuza wamam watuy wazim

    • @Fathasssane-vs2th
      @Fathasssane-vs2th 20 днів тому +1

      Wanaofanya hayo yote si wasaliwa wa Zanzibar ni hao unasema bora wao

    • @EssauMwinamy
      @EssauMwinamy 19 днів тому

      Sikupingi nimeona kwa Macho yangu nikashangaa Sana kuwa mbona kunasifa kedekede kumbe sio aisee Sema pesa inakupa uhuru nini ufanye

    • @staanstaan8722
      @staanstaan8722 19 днів тому

      Man ulimwengu unabadikika na kama ukitaka ushoga asa fanya invetigayion baina ya znz na dar wapi wapo wengi

    • @HeryethAleck
      @HeryethAleck 18 днів тому

      ​@@EssauMwinamywao wanadai bara Ndio mwaiharibu Zanzibari 😂😂 sijui hao raia wa kigeni nao ni bara 😂😂

  • @ismailmakame3972
    @ismailmakame3972 19 днів тому

    Safiii kabsa.

  • @HAMISAJoseph-s6r
    @HAMISAJoseph-s6r 19 днів тому +2

    Hawa ni wageni na mnajuwa mavazi ya wagen basi msiruhusu wageni kuja kutalii hii kuzuia ni ujinga mlitaka avae nguo gani 😂😂😂 wazanzibar bhna

  • @Code_22
    @Code_22 20 днів тому +5

    Uchunguzii woyeeeee😂😂😂😂

  • @binthamoudshariff5492
    @binthamoudshariff5492 19 днів тому +2

    Beach hiyo marekani au ulaya yote wanatembea hivyo barabarani nahuyo asili yake ni mswahili lkn wàlizamia nje na kupata pass za kigeni pigeon marufuku mashoga ndio nchi itakaa sawa km hii mmeweza bs na mending mnaweza Allah athlete ktk maadil ya kumridhisha yy subhana wataallah🤲

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 18 днів тому

      Muongo mavazi hayo Ulaya hayaruhusiwi kuvaliwa majiani labda beach

  • @user-sy6ty8qb3n
    @user-sy6ty8qb3n 18 днів тому

    Mnategemea utalii sana badala ya viwanda vingi lazima iwepo shida

  • @kageclemence7096
    @kageclemence7096 16 днів тому

    Kumbe wa kigeni

  • @UstadhiRajabu-n7z
    @UstadhiRajabu-n7z 17 днів тому

    Maadili ya mzanzibari yalishaondoshwa walipo ruhusu utalii

  • @NeemaThomas-bt1df
    @NeemaThomas-bt1df 14 днів тому

    Wahusika si mhusika mwenywe

  • @AllyMaya-yj3xd
    @AllyMaya-yj3xd 20 днів тому +35

    Sasa beach mnatakaa wavae suti ?

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 20 днів тому +1

      HAPO SIYO BICHI, MBONA NUNGWI HAWAKATAZWI?!

    • @Allybinamour
      @Allybinamour 20 днів тому +2

      kwani ukitoa mavaz alovaa huyu hakuna mengine ispokua suti?

    • @abuumuhammad7133
      @abuumuhammad7133 20 днів тому

      Mpeleke mama yako avae hivyo au dada.zako kisha uone ni sawa kwa jamii au sio sawa ndio utajuwa inafaa au haifai? Bwege mkubwa wewe

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 20 днів тому

      ​@@abuumuhammad7133kwani huyo kapelekwa au kaamua mwenyewe kuvaa hivyo?

    • @blessingntuli3796
      @blessingntuli3796 19 днів тому

      Hapo sasa wabongo bado washamba sana embu tembeeni muone
      Mlitaka wavae ijabu nini 🤔

  • @mohamedizabura4999
    @mohamedizabura4999 19 днів тому +2

    Aaah ukitaka kuona kipochi manyoya nenda Zanzibar zipo wazi wazi sasa huyo anakosa gani wakati wapo wengi wanatembea uchi

  • @AndreaDaud-k2c
    @AndreaDaud-k2c 15 днів тому

    Wasipige marufuku ILa waafundishe na wawape onyo watakula wapi mnataka tuanze kukabwa mtaani jaman

  • @hiki242
    @hiki242 20 днів тому +3

    Wamekosea kbs kwa nn asivae taiti bodi ata angevaa pensi

  • @AbdulrahamanBakari-s6k
    @AbdulrahamanBakari-s6k 19 днів тому +3

    Huko mkosa aman nako kukafungwe pia mana hawana adabu

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 18 днів тому +6

    Mtihani wallahi 😢😢😢 wasamehewe wapewe sheria

  • @honestmosha6203
    @honestmosha6203 20 днів тому +1

    Hawawezi, nipo paleeee

  • @BenLeeBl
    @BenLeeBl 17 днів тому

    Ilibid ave kma rose muhando

  • @ashurajengela3926
    @ashurajengela3926 17 днів тому

    Uyo raia mwnywe ana mwili mbaya kama wangu na bado anauweka weka wazi jamani kutishia watu tu na mtumbo wake ndio mana kawapomza wenzie 😢😢

  • @twalibuabdallah6243
    @twalibuabdallah6243 17 днів тому

    Alie turoga kafa ujanja hatuna aadhibiwe rain wa kigeni sio wazanzibar

  • @ThomasVitalis-u5r
    @ThomasVitalis-u5r 19 днів тому +3

    hiyo sheria ingepita had huku watu so kuogerea tu ila hata mitoko ya kawaida wanatuvalia hovyo bara fimbo inaitajika zaid

  • @salumsasua9906
    @salumsasua9906 18 днів тому

    Wapite na mahoteli

  • @AlfredIbrahim-h9f
    @AlfredIbrahim-h9f 19 днів тому

    Yani zanzibar utafikiri kweli wapo siriaz kulinda maadili ingia mtaani uone mashoga utashangaa hii serikali macho yao yapo wapi

  • @storytownTv
    @storytownTv 20 днів тому +8

    Nalichupi lake kama dekio..😢

  • @climbingthemountkilimanjar3299
    @climbingthemountkilimanjar3299 19 днів тому

    Sifa ya mzinzi ni moja tuu kufatilia uvaaji wa jinsia moja hasa tofauti na jinsia yake na kusahau jinsia nyingine, ndio tatizo la sheria za zanzibar kuminya uhuru wa mwanamke kwa kumuwekea vikwazo vya kimavazi ila wakitoka nje ya zanzibar wanawatamani wanaovaa nusu utupu.

  • @MichaelJohn-b7k
    @MichaelJohn-b7k 18 днів тому

    Wange wapa tu onyo ila sio kuwafungia.

  • @HemedSabuni
    @HemedSabuni 17 днів тому

    Wavae kanzi ndio waruke

  • @YehoshafatiAsheri-z3r
    @YehoshafatiAsheri-z3r 17 днів тому

    Wazungu wanazingua sana

  • @MahfodhHaji
    @MahfodhHaji 15 днів тому

    Heeee htr kupig kachu imesemew mbn hatujackia kauli ya kuping uxhog kw viongz

  • @jacksonmrema9691
    @jacksonmrema9691 19 днів тому +2

    They seem to be very perfect. Hawakoseagi Hawa watu wa Zenji😅

    • @HeryethAleck
      @HeryethAleck 18 днів тому

      Mpka apo utasikia makafiri wa bara ndio wanemomonyosha maadili Zanzibar 😂 haya sasa raia wa kigeni nae ni wa bara 😅😅😅

    • @jacksonmrema9691
      @jacksonmrema9691 18 днів тому

      @HeryethAleck And I really hate the way wanavyochukuliaga watu wa barw

  • @mathewungani9724
    @mathewungani9724 19 днів тому

    Watu wameona Mbunyelo......

  • @nusalim3389
    @nusalim3389 20 днів тому +4

    Huyo aliovaa chupi ya chooni mnaosema ni mgeni anaweza vaa chupi hio kwao huko ulaya akitoka mbele ya watu? Au mnajisemea TU? Na nyny mnaoshabikia na kumtetea,mnaweza kubali vazi hili bara?mwambien aende iringa,Kagera,mbeya,singida au mwanza hlf kavaa chupi hio ya kitandani kama hatimuliwi,muwe mnapima

    • @AminaOthman-b4f
      @AminaOthman-b4f 19 днів тому +1

      kweli kabisa..maneno yako sahihi. .bora uwambie.

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 20 днів тому +8

    Safi sana zambitu wanzanzibar wenzetu.sihaba wanamuogopa Allah wengini waislam. Ila ss huko bara mtuhani laanatu

    • @AminaOthman-b4f
      @AminaOthman-b4f 19 днів тому +1

      Ni kweli kabisa

    • @Ndu-wa.uroony2
      @Ndu-wa.uroony2 19 днів тому +1

      Kwendeni huko na kidini lenu la mwarabu

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 19 днів тому +3

      ​@@Ndu-wa.uroony2Haya, nawe kwenda huko na dini lako wazungu ndoa njinsia moja

    • @pengefeza2563
      @pengefeza2563 19 днів тому

      Tena uchafu kabisa hadi wanachangia ngono na unafki eti ni wasafi.

    • @vincentcharles4385
      @vincentcharles4385 19 днів тому +1

      Sisi hatumuogopi Huyo Allah yeye ni nani kwani

  • @jabarmalid5393
    @jabarmalid5393 19 днів тому

    tinkinya limepiga makachu.😊

  • @ahmedsaid-gf6qi
    @ahmedsaid-gf6qi 15 днів тому

    Nz zbc basi ifungiwe mana inaleta nyimbo watu wanacheza na vichupi tu hawana nguo

  • @JumaSalim-bd1ff
    @JumaSalim-bd1ff 16 днів тому

    Yaani tukio Hilo tu ndio ovu kuliko ushoga n madanguro znz

  • @TwahiriKibweni-i9o
    @TwahiriKibweni-i9o 18 днів тому

    Kwanza wampige marufuku mauzinde

  • @NassorHemed-c8s
    @NassorHemed-c8s 19 днів тому +1

    tutafutieni fursa za mana vijana tupige pesa

  • @MshamAli-o4e
    @MshamAli-o4e 20 днів тому +8

    Waende amani mkoa wakaone jinsi watanganyika wanavokwenda uchi

    • @DINASSOUR
      @DINASSOUR 20 днів тому

      Waache kupokea watalii....

    • @salmahalfani6307
      @salmahalfani6307 20 днів тому +1

      Na Wazanzibari pia ni Malaya tupishe huko.

    • @mohdhaji550
      @mohdhaji550 20 днів тому

      Na nyinyi watanganyikaa mumezid pia kwa umalaya​@@salmahalfani6307

    • @sharifajamal5764
      @sharifajamal5764 20 днів тому +4

      Wallah nenda kiwengwa pia uwaone wazanzibar wanavyokwnda uchi

    • @salmahalfani6307
      @salmahalfani6307 20 днів тому

      @@sharifajamal5764 kiwengws mbali shoga hapo uwanja wa Amani wa zamani walikuwa magari ya wanaume zao ndio wanazifanya guest house.

  • @suleimanjuma1872
    @suleimanjuma1872 19 днів тому

    Vichekesho kweliiii

  • @lamartaker527
    @lamartaker527 18 днів тому

    Dah mademu wametufelisha tena....si ueva huu

  • @fatmaahmed8637
    @fatmaahmed8637 10 днів тому

    MAMLAKA HAIFATILII SANAA HAYO..MBONA UKIPITA TU UNAWAKUTA HAO WAPO WSMEWAA UCHI!! WAKIPEWA MASHARTI HAO WATALII WAJE NA KUJISTIRI MIILI YAO.WATAFANYAA,KOSA NI UONGOZI.KISJA VIJANA SASA WANAIGA KUINA WANEKUWA HURU KUJISAHAU TUPU ZAO

  • @MichaelKahisha
    @MichaelKahisha 18 днів тому

    Baada ya kupigwa marufuku, wahamie Dar halaf Zenji muanze kelele eti bara tunawanyonya

  • @KimtiBoy
    @KimtiBoy 19 днів тому

    Kwakua sio mzungu uyo

  • @AbdulrahamanBakari-s6k
    @AbdulrahamanBakari-s6k 19 днів тому +8

    Kiukweli nimekua disappointed sna Hawa Hawa wakiona watu wanatembea na nguo za kuona ndani wanawachapa lkn kwakua mzungu ndio anaweza kuvubja Sheria sio haki Bora wamefungiwa ili wasirudie

    • @BabyFaceNday
      @BabyFaceNday 19 днів тому +1

      Ushamba tu, how about utekaji na mauaji ya kikstili? Vitu vya kipuuzi hua mnavitolea macho sana na kuweka sheria zakijinga, kuriko kushugulikia uyo utekaji.

  • @AshaMussa-kk4yv
    @AshaMussa-kk4yv 20 днів тому +3

    Waogeree na baibui?

  • @Misanyahidaya
    @Misanyahidaya 20 днів тому +14

    Me nazani wangesutisha kabisa mambo ya watalii mana aliyefanya siyo mzanzibar bali ni mgeni na mnawakaribisha wenyewe

    • @pasiensiabel7278
      @pasiensiabel7278 20 днів тому +2

      Kwahiyo unataka wazuie watalii wasiende Zanzibar au unamaanisha nini

    • @Misanyahidaya
      @Misanyahidaya 20 днів тому

      @@pasiensiabel7278 ndiyo manaake mana wao ndo wavunjaji wa maadili watalii wanawataka Bado vikwazo kibao

    • @sharifamahamudu182
      @sharifamahamudu182 20 днів тому

      ​@@pasiensiabel7278 kweli cz km awataki wata wa wavae ivyo na alikaa so mtanzania sasa basi wageni wasiingie

    • @MiriamKhalid-z6o
      @MiriamKhalid-z6o 19 днів тому

      ​@@pasiensiabel7278mshamba tuulize bibi wa kizimkazi alifungua
      Kitu gani

    • @mohamedlegacy255
      @mohamedlegacy255 19 днів тому

      Sasa wakizuia watalii. Unadhani kisiwa kitajiendeshaje? Wakati asilimia sabini ya revenue ya Zanzibar ni tourism.

  • @gilbertpantaleo90
    @gilbertpantaleo90 19 днів тому

    Zanzaibar mashoga wakutosha leo wanajifanya wanamaadili acheni unafki

  • @ibrahimphanuel2284
    @ibrahimphanuel2284 18 днів тому

    In short walitaka kuwafelisha mm zanzibar ni kwetu napajua panaongoza kwa uchoyo walishaona wanafanikiwa wanafika mbali wanapostiwa ao majamaa na watu wakubwa wakubwa kwaiyo kumeingia uchoyo apo mie naijua zenj vizur sana tunajivisha vazi la ushehe tu hatuna lolote wanafiki wakubwa kuna madhamb mengi yanatendeka hayajazuiwa

  • @YangaSimba
    @YangaSimba 19 днів тому +1

    Vyakuzia hamzuiii 😢yaan looo tena mshasema kuwa raia wakigen ss inahusu nn apo kuwazuilia mfyuuuuuu nyiee zuien ao wanafanya watoto wakiume washoga

  • @slimmtani8236
    @slimmtani8236 19 днів тому +1

    Msilete hayo mambo mkialika wageni kuja kutembea nchini kwenu

  • @bakarisalim4667
    @bakarisalim4667 19 днів тому +1

    Wavae kanzu au mavelley y harusi 😅😅

  • @GressMlima
    @GressMlima 19 днів тому

    Hao ndowanatuharia nchi wanasambasa ujinga wao, kawaida unapofika kwa mtu fata taratibu zake

  • @ShadrackSiuh-m7p
    @ShadrackSiuh-m7p 18 днів тому

    ila Zanzibar mpige marufuku na kufirana

  • @nusalim3389
    @nusalim3389 20 днів тому +3

    Safi,hapo ni corniche sio beach au ufukwe,lazima uangalie Tabia na ustaarabu na culture ya watu hapo,huwez vaa chupi ya chooni town kabisa kwsbb unaruka maji hlf ni mgeni,mbona hio chupi havai akienda nayo mjini kwao

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 20 днів тому +1

      @@nusalim3389 waambie, maana vichwa vigumu kama panzi, kutetea uozo tuuuuu,wapenda kuona makalio ya wageni wao

    • @AminaOthman-b4f
      @AminaOthman-b4f 19 днів тому

      You're absolutely right thank you 🙏

  • @FatumaJumanne-p4d
    @FatumaJumanne-p4d 19 днів тому

    Baada ya kuboresha na kuweka mikakat mnaanza kuweka kpngamz .

  • @mdeeboy846
    @mdeeboy846 19 днів тому

    Mpige marufuku na upapai pia

  • @ndinzeissa4778
    @ndinzeissa4778 18 днів тому

    Msiwaonee hao vijana sheria zifatwe sawa kabla ya kuwapokea wageni muwape angalizo la.shelia zenu hapo zanzibar kwani zanzibar yote ishapoteza uwatamaduni wake zile shelia zake za.mababu.zetu.hazipo tena historia yake kama zanzibar imepotea rudini nyuma mkumbuke historia ya zanzibar hapo mtaupata utamaduni wa zg mimi ni hayotu mme yataka wenyewe.mmlaka wanajifanya hawaoni

  • @cammackmarck
    @cammackmarck 19 днів тому

    Kwanza ni hatari ya wazi wazi kabc walivyokua wanafanya me nahisi walikua wanatafutiwa sababu t

  • @Bahati-v4m
    @Bahati-v4m 19 днів тому

    Nilijua tu ata mi sikupenda

  • @AlfaAfrica-qh4dp
    @AlfaAfrica-qh4dp 19 днів тому

    Lakin ushoga wanajiposti mtandaoni awaoni shida

  • @jonasnyanga8167
    @jonasnyanga8167 19 днів тому

    Avae juba mlitaka kwenye kuogelea

  • @OmarJuma-y8g
    @OmarJuma-y8g 18 днів тому

    Utali unazingua juzi nimeshanga kuona mzungu wa kike kuingia msikitni tna yupo kibla anapiga picha hakujuwa kma ni nyumba ya ibada au ndo utalii inallilah inasikitsha kwa kweli

  • @evawarioba8116
    @evawarioba8116 19 днів тому

    Fungeni na utalii usiwepo

  • @SalumMzee-cw8do
    @SalumMzee-cw8do 19 днів тому

    Ngoma ya kitoto haikeshi Wazee wetu wakale Walinena Mthamiat huu

  • @Leodimk-n5c
    @Leodimk-n5c 20 днів тому +3

    Sasa hapo vijana wanaadhibiwa vipi si wawakamate hao wageni?

  • @AliyussufMakame-js5dp
    @AliyussufMakame-js5dp 17 днів тому

    Sasa mlikuwa mnataka akoge na dira acheni uji nga

  • @PeterTweve-t1c
    @PeterTweve-t1c 19 днів тому

    Zanzibar hawana akili hio ni sehemu ya starehe, mnataka avae KANZU NA BARAKASHIA

  • @stellamokiwa2025
    @stellamokiwa2025 19 днів тому

    Watu kibao wanalawitiwa....watoto wa kiume wanalawitiwa lakin

  • @hallin9561
    @hallin9561 18 днів тому

    Waruke na makanzu, Ushoga uzuiwe kwanza,

  • @AngelMassawe-p2c
    @AngelMassawe-p2c 20 днів тому +1

    😢😢This is not fair

  • @NassorSalum-s6x
    @NassorSalum-s6x 19 днів тому +2

    Na hao wanaotembea mitaani mbona wanachiwa na walioko bichi mbona watembea uchi bado hamujakataza kitu mm naona bado muna sababu zenu tu

  • @Mjeda-q1m
    @Mjeda-q1m 19 днів тому +1

    Mmmmm mkamateni kama inawezekana muone moto wa kutoka nje

  • @hassanmtumwa7337
    @hassanmtumwa7337 19 днів тому

    Wazanzibar tunachekesha sana ivi kweli tuko serious kweli? Kwanini Forodhano tu kwengineko safi tu?

    • @salehkhamis-ob8ln
      @salehkhamis-ob8ln 19 днів тому

      Forodhan ndio kiini cha Zanzibar macho ya wengi wageni wakiingia kitu cha mwanzo lazima waione Forodhan sasa wakiona ipo tafauti na walivopewa historia tunajiharibia sisi wenyeji kuruhusu mambo ambayo sio taratibu zetu

  • @SalimMasemo
    @SalimMasemo 18 днів тому

    Zenji awanalolote washaingia kwenye mfumo watulie tu

  • @NeemaThomas-bt1df
    @NeemaThomas-bt1df 14 днів тому

    Mbona ushoga mpo kimya

  • @AminaMuwamu
    @AminaMuwamu 18 днів тому

    Sisi wenye wa Tanzania ndio tuliyosababisha upotevu wa heshima ya nchi yetu enzi za nyerere hukisubutu kuvaa upuuzi huwo si raiya wa nchi hii wala raoya wakigeni hem rais wetu wajitathmin kisha waangaliye walipokosea hapo ndio heshim itarudi

  • @amoursalum8266
    @amoursalum8266 16 днів тому

    Kwani hao wanaotembea na vichupi si wamejaaa mitaaani tena huko mashamba kwenye jamii zenye maaadili ndiko wanaonyesha ayo makalio na maziwa..
    Unafiki tu umetujaaa

  • @OmarMohamed-zf8dp
    @OmarMohamed-zf8dp 19 днів тому

    Atae shuhulikiwa ni yup jamani ambae amepiga makachu au alie piga picha na kuisambaza

  • @MulaAlkar
    @MulaAlkar 19 днів тому

    Washenz hao wanataka kutuharibia

  • @NagibDawood
    @NagibDawood 20 днів тому +17

    Safi sana. Mamlaka husika. Mpo vizuri.

    • @tanzaniatouristsattraction1622
      @tanzaniatouristsattraction1622 20 днів тому +3

      Upumbavu tu ndo mana masikini

    • @juliuselifasi8858
      @juliuselifasi8858 20 днів тому

      ​@@tanzaniatouristsattraction1622 Amna bwana sasa sisi uku bara tusiokemea maadili ya kishetani kama ayo tumetajirika wapi?

    • @fatumahamisi-m1e
      @fatumahamisi-m1e 20 днів тому +2

      ​@@tanzaniatouristsattraction1622Hivi angekuwa mama yako,mkeo au binti yako ungefurahia ?

    • @Mrszizo-d7t
      @Mrszizo-d7t 20 днів тому

      Wee ndo maskini wa akili​@@tanzaniatouristsattraction1622

    • @wangagirl3508
      @wangagirl3508 20 днів тому

      😂😂😂😂😂😂😂​@@tanzaniatouristsattraction1622

  • @Worldunite
    @Worldunite 19 днів тому

    Mnachkesha sana, yaani bado tu mnataka kuchunguza wakati ushahidi wa picha na video ipo? Mkamateni huyo mwanamke wa mmarekani,kwani ana shauku kubwa 2:25 ya kuingia jela

  • @aliabdulrahman1202
    @aliabdulrahman1202 19 днів тому +1

    Kwa hiyo km kwenye kivutio kwa makobe kasa anaeza tembea na chupi mgeni pia kwake kwenye makachu ni kivutio katika njia zilizo mfanya aje znz moja wapo kivutio hicho

  • @naomymuro2199
    @naomymuro2199 19 днів тому

    Mmeweka giza la nn akt naona lichup na minyama uzmbe😂😂

  • @ibrahimkibira9943
    @ibrahimkibira9943 19 днів тому +1

    Hawa nao .. mambo mengine bhna uwez kuwawekea sheria ngumu watalii

    • @aliferuzi1537
      @aliferuzi1537 19 днів тому

      NI SAHIHI KUWEKA HESHIMA KUNA NCHI UKIENDA UTALII LZM UFATE MAADILI YAO NA KUJISTIRI ZIPO NCHI NYINGI TU ITAKUA ZBAR. KISA LINAANZIA KAMISHENI YA UTALII KUTOA SLOGAN INAYOONESHA UTAMADUNI NA STARA INAYOTAKIWA HAPA ZBAR