THE CLASSIC DUDU BAYA : KIINI CHA BEEF YAKE NA MR NICE,CHIDI BENZI NA KALAPINA/MIMI SISHINDWI LOLOTE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • Karibu Katika episode nyengine muhimu katika historia ya Bongofleva,Dudubaya ni moja ya wasanii ambao walipambania kuua dhana ya muziki ni uhuni chino,hii ni interview ambayo itakupa taswira ya upande wa pili wa maisha ya nyota huyu alieripotiwa kua na migogoro mingi.

КОМЕНТАРІ • 142

  • @NassorTwahiru-kf8fo
    @NassorTwahiru-kf8fo 9 місяців тому +15

    Dudubaya kichwan yupo timamu sana, napenda interview zake

  • @ismailmshana2828
    @ismailmshana2828 5 місяців тому +4

    Kiukweli dudu BAYA anajuaa kujielezea kuliko wasanii wote Africa mashariki na kati respect Dudu baya

  • @fadhilishomari133
    @fadhilishomari133 9 місяців тому +11

    Sijawahi kuangalia interview kali ya DUDUBAYA zaidi ya hii

  • @azizirania63
    @azizirania63 9 місяців тому +10

    Dudu baya ulitamba sana kenya kwetu na,mziki mzuri kama nampenda mpenzi asie penda doo,na nakupenda tu,kwa maredio na matatu ulitisha sana mwanangu ,I really miss the old good days 😢

  • @reymekay1
    @reymekay1 9 місяців тому +9

    Hyu ndio vigilante” wa kwel kwenye game .... vivaDUDU LEGEND ..!!

  • @dicksoniaidani3822
    @dicksoniaidani3822 9 місяців тому +9

    Watu kama Dudubaya, TID , Chid Benz hauwezi kukuta wanaongea pumba kama tuu watahojiwa na watangazaji makini mfano wa Jabir Saleh aisee kazi nzuri sana wakuu wa kazi 🔥🔥🔥🔥🔥🤝🏿🤝🏻

    • @KuviFacts
      @KuviFacts  9 місяців тому +2

      asante sana brother

    • @orafaomary2605
      @orafaomary2605 9 місяців тому +3

      Katika list hapo na sky akihoji huwa unainjoi interview

  • @salumuseif3324
    @salumuseif3324 9 місяців тому +10

    Jabir we ni mtu muhimu sana kwenye hii tasnia

    • @KuviFacts
      @KuviFacts  9 місяців тому

      asante sana kaka

  • @AmbeleJames-cb1el
    @AmbeleJames-cb1el 9 місяців тому +5

    Dudu baya anaongea vitu ambavyo vipo na mkweli hapepesi maneno Big up Buyola Musiuem

  • @camilomassao8971
    @camilomassao8971 9 місяців тому +8

    Hii Ndiyo interview safi, real sio udaku. Dudu baya napenda sana kila mara huachi kutaja utatu mtakatifu 🫡

  • @kagirasta1476
    @kagirasta1476 9 місяців тому +7

    Dudu baya anajua sana Kuadithia

  • @phantyrhymes9536
    @phantyrhymes9536 9 місяців тому +23

    Mtafute jamaa mmoja anaitwa Voice wonder amesumbua sana Radio one kwa Ebby D...Nimpende nani. Ilibamba sana.

    • @selemanimsangi7805
      @selemanimsangi7805 9 місяців тому +1

      Nimpende nani mwenzenu naalia kisa maskini, anaaanikatalia.... ausiyo hiyo nini mkuu

    • @clausemsemwa297
      @clausemsemwa297 9 місяців тому

      ​@@selemanimsangi7805ixi. 🐅xv😗😃😗

    • @yusuphrashidi-dr1kb
      @yusuphrashidi-dr1kb 9 місяців тому

      Amekufa huyo

    • @nmasare9364
      @nmasare9364 9 місяців тому +2

      @@yusuphrashidi-dr1kbVoice yupo anamaisha safi kabisa ni mwana namjua mpaka ofisi kwakr

    • @zuberimohamed43
      @zuberimohamed43 9 місяців тому

      Tatizo ana hit mbili tu 1.nimpende nani
      2. Hajazaa

  • @stavystunnah
    @stavystunnah 9 місяців тому +6

    Mtu wa Mungu Godfrey Tumaini ( Dududabaya )

  • @jeremiahchilumba115
    @jeremiahchilumba115 9 місяців тому +6

    What a interview! The best interview in 2023

  • @kennethbenjamin275
    @kennethbenjamin275 9 місяців тому +6

    Mambo ya zamani ugomvi mnataka kuyarudisha

  • @aloycekiwia8613
    @aloycekiwia8613 9 місяців тому +5

    Nimekipenda sana hiki kipindi,kinakumbusha mambo mengi ya zamani.

    • @allymoshi2053
      @allymoshi2053 3 місяці тому +1

      Na muziki mzuri wa zaman unaishi sio siri

  • @robertmgulunde5069
    @robertmgulunde5069 9 місяців тому +6

    Dudu ana kumbukumbu sana

  • @phantyrhymes9536
    @phantyrhymes9536 9 місяців тому +5

    Old is gold...meno kam Ngirii ilitisha sana

  • @masungajp1
    @masungajp1 9 місяців тому +5

    Mungu anatumia yaliyopita kukufundisha. This guy is awesome. Big up Konki

  • @Chidygwantaman
    @Chidygwantaman 7 місяців тому +1

    Brother wngu wa family kabisa nkumbuka tulikuwa kahama kwenye shoo yke na ss tulikuwa wasanii wadogo sna kipindi icho sehem ya shoo ilikuwa kagongwa... Nkumbuka tulivyo maliza shoo si tulipata tabu usafir Akuna mi na RFK yngu kwakuwa tulikuwa na Dudubaya mda mwingi sna pale Alitupenda sna

  • @hhurbert
    @hhurbert 8 місяців тому +1

    Kaza buti dah amenikumbusha mbali sana dudu .salute

  • @dominicmremi5730
    @dominicmremi5730 9 місяців тому +4

    Great show mzee baba

  • @masungajp3
    @masungajp3 8 місяців тому +3

    We need to give some money to the OGs when they come to your interviews.

  • @bensonjohn9633
    @bensonjohn9633 9 місяців тому +5

    Mrudishe tena DuduBaya

  • @abdulazizahmed7756
    @abdulazizahmed7756 9 місяців тому +4

    Unyama sana Konki Master

  • @abrahammlangwa5038
    @abrahammlangwa5038 9 місяців тому +4

    This dude ni Legend 🙌

  • @user-fu2gz2lq1j
    @user-fu2gz2lq1j 8 місяців тому +1

    Dudu baya kipenzi cha wa Tanzania Big up Bro

  • @mwalabuznes
    @mwalabuznes 9 місяців тому +2

    Mtafute roho 7 atubless na interview moja japo hafanyi mziki kwa sasa

  • @eliusnchimbi716
    @eliusnchimbi716 9 місяців тому +1

    Dah bonge moja la interview

  • @kagirasta1476
    @kagirasta1476 9 місяців тому +4

    Kweli asee tuleteeni Mr nice na Saida Karoli

  • @Lugongam
    @Lugongam 9 місяців тому +5

    Tunahitaji vipimdi kama hivi vingi asee sababu wakati wanatuburudisha hapakuwa na teknolojia ya kutosha kutunza kumbukumbu zao, hawa watu sio wakupotea kirahisi rahisi. Big up jabir

  • @richardtimoth7865
    @richardtimoth7865 8 місяців тому

    Kazi nzur....sasa fanya kuwaalika wote kwa pamoja (Dudu baya na Kalapina, Dudu baya na Mr Nice, Chid benz Kalapina na Dudubaya n.k) inaweza ikabamba

  • @MrishoMohamed-ey5zf
    @MrishoMohamed-ey5zf 7 місяців тому

    Salute kwako jabir tunamuomba na suma g

  • @abdulazizahmed7756
    @abdulazizahmed7756 9 місяців тому +3

    Good hiphop music history in TZ

  • @user-bh8ri3ss3o
    @user-bh8ri3ss3o 9 місяців тому +1

    Dudu Baya anakumbuka kila kitu.

  • @AllyMwanike
    @AllyMwanike 9 місяців тому +2

    Mashaka naikubali sana 😮😮

  • @hassnasuleiman6923
    @hassnasuleiman6923 4 місяці тому

    I love Dudu Nzuri

  • @youngbona3804
    @youngbona3804 9 місяців тому +3

    Mnyamwez #DUDUBAYA 🔥🔥🔥

  • @hamadynjama9954
    @hamadynjama9954 9 місяців тому +4

    Kaka tunaomba utuletee LUCAS MKENDA jamaa aliiteka sana east africa

  • @georgebataze6625
    @georgebataze6625 9 місяців тому +3

    Nakubali hii ngoma ilinisaidia kutulia maana ilkuwa tabu mtaani😂

  • @thomaskiponda6079
    @thomaskiponda6079 7 місяців тому

    MAPAFU YA MBWAA?? DUHHH ILA KWELI UMETISHA SANA TANGU ZAMANI❤❤❤❤

  • @obbymweucy4424
    @obbymweucy4424 2 місяці тому

    Jamaa ni story teller mzuri sana😅

  • @dominicfrancis4073
    @dominicfrancis4073 9 місяців тому +2

    Respect

  • @reubenpaulomabula6098
    @reubenpaulomabula6098 6 місяців тому

    Much respect brother Dudu baya

  • @Bbwaoy
    @Bbwaoy 5 місяців тому

    Nime kuja kugundua uki hitaji historia ya bongo fleva.. Kati ya watu top 3 ambao una takiwa kuongea nao Dudu Baya lazima awe kwenye hio orodha. Sugu,Dudu Baya, Jay Dee.

  • @sergebaleke695
    @sergebaleke695 9 місяців тому +1

    ina onekana mukono wakulia wa Dudu Baya haufanyi kazi vizuri

  • @REVOLUTIONARYLYRICS
    @REVOLUTIONARYLYRICS 4 місяці тому

    Kaza Buti! 🇰🇪

  • @godsson5954
    @godsson5954 9 місяців тому +3

    bonge la interview aise aitwe tena ndugu hahahhaha

  • @petermaro9852
    @petermaro9852 9 місяців тому +3

    Tuletee TID on the next episode on the classic.

  • @MisanaMomba
    @MisanaMomba 9 місяців тому +2

    Perfect❤

  • @MoBakar-jl3pk
    @MoBakar-jl3pk 9 місяців тому +2

    Good show unacheka,unajifunza😂😂😂😂😂

  • @farajiissa560
    @farajiissa560 6 місяців тому

    Kaka respect mungu akuweke sana

  • @niggahoodthemc9156
    @niggahoodthemc9156 9 місяців тому +6

    Hakili mingi huyu Dudu✊🏿👮🏿‍♂️

  • @abdulazizahmed7756
    @abdulazizahmed7756 9 місяців тому +3

    Akili mingi

  • @sidiqmhina7823
    @sidiqmhina7823 9 місяців тому +1

    kuna ngoma inaitwa SAFARI NJEMA, yupo JAY MOE, marehemu COMPLEX, na DUDUBAYA ,Inaenda:
    nasema nachofanya ,nafanya ninachosema,
    kavipandilia ,mithili bado mapema
    tumesota sana ,muda wetu kuhema
    kama zali, ukishindwa tema baba safari njema.
    Humu ndani Dudubaya aliua bonge moja ya verse, nilianza kumkubali hapo..

    • @jiwefurniture1128
      @jiwefurniture1128 9 місяців тому

      Dudu baya alifanya unyama na nusu kwenye iyo ngoma

  • @mcyudasicqo9610
    @mcyudasicqo9610 9 місяців тому

    Kumbe dudu ndio maana una penda sana haki,,,umefunzwa haki ya mungu

  • @mnyakitz2007
    @mnyakitz2007 9 місяців тому +1

    KUV FACT nasikiliza hii na JR TUU nawakubari sana 1..kuv 2.. Jr

  • @ambokileasheengai1140
    @ambokileasheengai1140 9 місяців тому

    Jamaa kapungua sana.....hadi misuli ya mikono imekwisha

  • @peterkichochi7510
    @peterkichochi7510 9 місяців тому +1

    Chid Benz anatakiwa ajifunze hapa maana analialia sana

  • @warakawayohana2896
    @warakawayohana2896 9 місяців тому +2

    Bonge la show the dudu😂

  • @mackjr5291
    @mackjr5291 9 місяців тому +2

    Joseeee mtambo akuje

  • @abdulazizahmed7756
    @abdulazizahmed7756 9 місяців тому +3

    Creativity in full

  • @josephatmatanga9708
    @josephatmatanga9708 6 місяців тому

    Msapotieni huyo jamaa ana ujumbe mzuri kwa Jamii.

  • @salminsaid5377
    @salminsaid5377 9 місяців тому +1

    Interview Ya Fa umeipandisha kitofaut tunashindwa kudownload

  • @frankkajoba8372
    @frankkajoba8372 9 місяців тому +7

    Dudubaya ni moja ya wasanii wenye akili sana.

  • @lujobilz7482
    @lujobilz7482 9 місяців тому +3

    One love Dudu baya

  • @kayumbasosthenes3596
    @kayumbasosthenes3596 6 місяців тому +1

    WEBF mpo wapi jamani tutambuane bana ng'wanza

  • @salehhamad4628
    @salehhamad4628 9 місяців тому

    Nakubali konki 3

  • @echagwhy4442
    @echagwhy4442 9 місяців тому +1

    🔥🔥🔥

  • @alexkagaali2997
    @alexkagaali2997 9 місяців тому +1

    😊😊

  • @violamicaela7418
    @violamicaela7418 9 місяців тому

    konk konk konk konk masterrrrrrrrrrrrrrr…

  • @hassnasuleiman6923
    @hassnasuleiman6923 4 місяці тому

    Can u tell him that's I like him

  • @alexmsigara4329
    @alexmsigara4329 9 місяців тому +3

    Great show kaka, salute..!

    • @KuviFacts
      @KuviFacts  9 місяців тому

      asante sana kaka

  • @Kibasumba02
    @Kibasumba02 9 місяців тому +2

    #DUDUBAYA

  • @ObaMizo-oc1wq
    @ObaMizo-oc1wq 7 місяців тому

    Dudu anajiamin sana

  • @farajiissa560
    @farajiissa560 6 місяців тому

    Tunamtaka tena dudu baya

  • @cbhofficial3432
    @cbhofficial3432 9 місяців тому +1

    Konki ❤

  • @johndismaselias5609
    @johndismaselias5609 2 місяці тому

    Dudu baya ninamkubari saaaana

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 8 місяців тому

    KuviFact nitaanza kumfuatilia... mlete Mr Nice

  • @angelsblackboard8008
    @angelsblackboard8008 7 місяців тому

    Jamaa anahitajika na Mungu. Ana akili sana. He is very real. And that's hip hop.

  • @lawilupenza4056
    @lawilupenza4056 5 місяців тому

    Mamba

  • @selemanimsangi7805
    @selemanimsangi7805 9 місяців тому +3

    Tunamuomba na Mr Nice kuvfact

  • @MrSokwe
    @MrSokwe 9 місяців тому +1

    Mchizi kapungua sana

  • @masungajp3
    @masungajp3 8 місяців тому

    I wanna have this kinda studio. Nifanyeje? I'm a BARIADI guy

  • @frankkajoba8372
    @frankkajoba8372 9 місяців тому

    Mtafute GK

  • @RobbyRunnerON3
    @RobbyRunnerON3 8 місяців тому

    MAMBA #ON3

  • @danielmwita2136
    @danielmwita2136 9 місяців тому

    Nimecheka, hauwezi kuiangusha dola ya mambaz.

  • @2116-n
    @2116-n 9 місяців тому +1

    Dudu ana akili sana

  • @elismadunsdon
    @elismadunsdon 9 місяців тому

    Mlete jose mtambo man

  • @ABDIKASIM-qe4lc
    @ABDIKASIM-qe4lc 8 місяців тому

    Halla

  • @user-ch3ku3yx2z
    @user-ch3ku3yx2z 9 місяців тому

    Kweri broo turibeba kideo sebureni tukatia uzuni famiria mda wa kutest tuchukue maokoto kikaungua

  • @MackameHassani
    @MackameHassani 9 місяців тому +1

    Yaaaani hii interview naicheki inaishaa nainzaa tenaa inaishaa haiishi utamu aiseeee😅😅😅😅

  • @fundiseremalamohammedmdoe3711
    @fundiseremalamohammedmdoe3711 9 місяців тому +1

    Kuna jamaa alikua anaitwa SONERI umlete

  • @kayumbasosthenes3596
    @kayumbasosthenes3596 6 місяців тому

    Sasa nmeelewa kitu dudu,kanisani ndio ilikuwa njia yako japokuwa mafanikio yalikuja ila roho ilikufa

  • @ObaMizo-oc1wq
    @ObaMizo-oc1wq 7 місяців тому

    Dudu anasaut mkwaluzo

  • @yusuphrashidi-dr1kb
    @yusuphrashidi-dr1kb 9 місяців тому +1

    Yani dudu uwakalishe kikosi cha mizinga😂😂

    • @omarykabonga908
      @omarykabonga908 Місяць тому

      Tatizo unaogopa stori za kalapina😂😂

  • @mackjr5291
    @mackjr5291 9 місяців тому

    The Game wa Tz

  • @tanzaniacarschannel6975
    @tanzaniacarschannel6975 9 місяців тому

    Nataman kumsikia msanii mmoja anaitwa Kilalu alifanya nyimbo na mr blue-nikabaki hoi

    • @allychilinga1958
      @allychilinga1958 9 місяців тому

      Kweli maaa umeondoka maaa huku nyuma moyo umeuchoma sio Siri maa tangu uende maa nikabaki hoi..

  • @hezronjoseph405
    @hezronjoseph405 9 місяців тому

    Kuna msanii anaitwa j4c aliimbaga wimbo inaitwa siamini yalonikuta mm ohoo juu ya binti nlompenda mm ohh Leo niende halusini ,mtafteni ase ata sura simkumbuki ,,wakongwe

  • @angelsblackboard8008
    @angelsblackboard8008 7 місяців тому

    By the way ana exposure kubwa sana kwenye mziki kuliko Chidi. Chidi kutwa kutamba mtoto sijui wa Ilala sijui mjini. 🗑️

  • @nahyialetomia9284
    @nahyialetomia9284 9 місяців тому

    DB 🧠 kubwa