Safi sana konki konki konki master kwa kurekebisha maisha ya wasanii maana wasanii wengi wanapotosha jamii badala ya kuelimisha kwa kujifanya wanapesa na magari mazuri ili wawapate warembo kumbe ni fake life. Hawataki kuonyesha real life kama ww mwisho wa siku wakifulia inakuwa kituko!.
Mimi mshabiki wako pia Mr.Nice broo ila naomba kaa na boss wako nice umshauri pesa aiwekeze katika nyumba za biashara na ufugaji zaidi..! Atazeeka vizuri majuzi nimeiona clip akiwa #UG akijigamba kuwa ana pesa ya kutumia na ana gari nzuri ya Range Rover hivyo vitu akivigeuza vikawa misingi ya uwekezaji..!
Flora Chogo:Kipindi kile alikuwa haeleweki kwasababu:Mfano kpind cha msiba wa ruge huwezi kumkandia marehem kisa ni bifu lao halfu m2 mwenyewa ni kipenzicha wa2,,fermas kusema kweli alikosea ila sas hv yupo frsh..
kweli baba asante sana kwa kutueleza Watanzania hivyo vijana au watu wataelewa nini kinachoendelea watu wasiige vitu vya kipumbavu waombe Mungu awaongoze wafanye vitu vinavyofaa
@ konky master: Your comments are so inspiring and educative, please continue to speak, and shade some lights for those artists who are not capable of speaking for themselves or defend their products, and are being robbed of their patents, rights and earnings from their hard work by fake producers and promoters whose sole purpose is to take advantage of the talents presented by artists for revenues gains.
Dudu baya mwanangu ingia kwenye siasa ww ni mzungumzaji vzr unatetea wasanii vzr Sana.lakini kuna baadhi ya wajinga hakuelewi.lakini uckate tamaa ww ni putin
Lazima umuelewe na kumsapoti coz, ukizingua unakula kitasa hata kama upo live-Ila hili jamaa liache uboya, fanya maisha yako una miaka 40 plus still unashindana na watoto, tengeneza maisha acha kelele.
Kwa kuwa unafundisha na unatamani kufundisha ss basi badili style ya kukata nywele na hata nguo hasa suruali ili uonekane mtu tofauti na watu wanavyokuona na kukuchukulia
Siku Zote msema kweli hapendwi mi naamini konk master anachoongea ni kweli kabisa big up Broo,..
sijawahiiiiiii kuku elewa ila leoo much respect kwakoo broo. umetishaaa, nimekuelewaa
"KONKI KONKI KONKI MASTER" . Mazee huyu jamaa anaongea facts sana,much respect for you big brother Dudu you are a legend. From +254 🇰🇪💪🏼
Asante dudu baya kweli itabaki kuwa kweli
Interview nzuri haichoshi...good boy dudu konkiiiiii oli chafuuuuu 😎😎😎😎
Wahaya bana
l. scavenger 8
Dudu umestahili x5 kuingia TZ Hall of Fame. Umeshiriki kuikuza sanaa na pia umepiga sana kelele kuwatetea wanyonge 👏🏿👏🏿👏🏿 legend wa kweli ni dudu
Gonga like kama umeona glass ya nyagi
Safiiii. Saaanaa kaka
Hata saa mbovu kuna muda inasema ukweli konk master uko vzr Sana dingiii
Safi sana konki konki konki master kwa kurekebisha maisha ya wasanii maana wasanii wengi wanapotosha jamii badala ya kuelimisha kwa kujifanya wanapesa na magari mazuri ili wawapate warembo kumbe ni fake life. Hawataki kuonyesha real life kama ww mwisho wa siku wakifulia inakuwa kituko!.
Daah brother yopo real sana, anaonekana ukikaa naye hamchoki kupiga mastor
U r a parent,adviser, trustworthy,u live a true real life
Broo nakuelewa since day nasikia nyimbo zako.......lile nyimbo lako lakutisha#Nimeondoka -dudu baya
Nimekuelewa sana Dudu baya umetisha saana 🔥🔥👊👊🤛🤛
Uko vizuri konki unatoa mawazo mazuri.
I agree bro this it seems apparent dat ur so educated, due to ur points ,be much blessed monk konki konk master
Ukweli Utaishi Milele 🙏🏾 Big Up Dudu Baya 👍
Mimi mshabiki wako pia Mr.Nice broo ila naomba kaa na boss wako nice umshauri pesa aiwekeze katika nyumba za biashara na ufugaji zaidi..!
Atazeeka vizuri majuzi nimeiona clip akiwa #UG akijigamba kuwa ana pesa ya kutumia na ana gari nzuri ya Range Rover hivyo vitu akivigeuza vikawa misingi ya uwekezaji..!
I do like this man from uk
kweli kabisa nimekusoma dudu Baya uko vzl sana
Dudu Baya you are really talking. Good man.
The burning sprear dudu namkubali sana
Konki Konki Konki Master I salute you 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
😁😁😁konki konki konki master💪💪💪we living our life meeen😁👏🙏🙏🙏🇹🇿
You are the best dudu baya,GOD bless you.
Great IQ my brother!
Ur the legend, and clever, ww ni mwamba halisi. Konki konki koonkii mastaaa.
saaaafi sehem saaafi tulivuuu migomba imevutia saaf mr konk konk konk mastar
Nakukubali sanaaaa
Da konki watu walisema upimwe akili .kumbe uko vizuri saaana .unaishi kiuhalisia
Flora Chogo:Kipindi kile alikuwa haeleweki kwasababu:Mfano kpind cha msiba wa ruge huwezi kumkandia marehem kisa ni bifu lao halfu m2 mwenyewa ni kipenzicha wa2,,fermas kusema kweli alikosea ila sas hv yupo frsh..
Makin sana dudu baya
Nice sana brother mimi namkubali dudubaya kwa kusema ukweli sio kwa mnziki wake hadi sasa na teteya wengi kwa konki 3🔥🔥🔥💥💥💥
I like it...he is right...nimecheka wallai ila mtangazaji mmbea huyu
Ila mtangazaji anaogopa harufu ya nyagi
Huyu presenter wa hii interview looi umeniacha hoye kabisa na jinsi unavyo muuliza masuali huyu Dudu Baya.. Keep it up bro.
Anajua sana
Ila bro jitahidi ujenge maana umri unaenda,na hujui kesho yako dah mungu akuwezeshe bro
sasa na hiyo nyumba anayoionesha hapo nakusema hapo ndipo nyumbani kwake je nasi kweli
Nimepitia comment zote hakuna inayotukana brother hivo nazani watyu wameaanza kukuelewa nikiwemo mimi Kaka endelea kupambania wasanii 😁😁😁😁
Mungu akubariki kwahuho ukweli
kaka ww mkwer siku zote sema kwer tuwe pamoja nayo ili tupige atuwa tz gonga like
dudubaya mwijaku hawapendagi unafki safi saaana ongereni makinakonki mankonki kama dudubaya ebu mulike niwaone
.
Dundu joo nikupe kiwaja
Aaaaa, konki, wewe noma sana, umeongea point.
Wote Mlio Play Video na kuja moja kwa moja kuangalia comments, tujuane kwa likes zenu hapa.
Fresh saana mzee baba
Unaongea point big up
Dudu pamoja na age aliyonayo, mapombe yote hayo, bado anasura nzuri sana
Upendo Robert 😁😁😁😁upendo kwani anakunywa ehhh
Hongela kaka uko kwenye mstari unasema ukweli na msema ukweli ni mpenz wa mungu
point taken Dudu.
Tororo boy, mtumishi WA mungu na konyagi
points zako konki
Hahahahahaha
Kaka umejitahidi hongera
That's my brother never lie always on point
Konkii konkii master.....unateza huku kenya .....konki konki master kwa nguvu za mwenyezimungu
Kumbe dudu baya kuna wakati unakuwaga na point daah hongera man.
kweli baba asante sana kwa kutueleza Watanzania hivyo vijana au watu wataelewa nini kinachoendelea watu wasiige vitu vya kipumbavu waombe Mungu awaongoze wafanye vitu vinavyofaa
Big up nimekupenda sana
some times yes
@ konky master: Your comments are so inspiring and educative, please continue to speak, and shade some lights for those artists who are not capable of speaking for themselves or defend their products, and are being robbed of their patents, rights and earnings from their hard work by fake producers and promoters whose sole purpose is to take advantage of the talents presented by artists for revenues gains.
yani upo vizuri sana konk nimekuelewa sana hongera sanaaaaaaaa
Konki nakuheshimu sana ur the real legend
Respect ✊ sana kwako konki (3) master👮♀️
Nipigie like kama umekubari points za konki (3)👍
Be.
Nakukubalisana brother coz unaongea ukweli kwenye jamii
kama unahamini dudubaya ni 💪💪 gonga like Konki.Konki.Konki torooooboyyyyyi
Nampendaga sana uyu kaka namkubali kinyama
ananifulahixha sana mimi dudubaya
Chirra kibona sio unahamini ni unaamini! Mwalimu gani alikufundisha unahamini?
Umekua sana sijawahi kukusikia ukiwa timamu )))
@dudu baya kaka aangu Nakupenda sana brother Endelea hivyo hivyo uko vizurii haupendi kujisifu sifu
Kwahyo umri huo bado unapanga hujawahi kujenga
Dudu baya mwanangu ingia kwenye siasa ww ni mzungumzaji vzr unatetea wasanii vzr Sana.lakini kuna baadhi ya wajinga hakuelewi.lakini uckate tamaa ww ni putin
Dudu unapo toa somo wasiokuwa namarinda wanakupinga mtu mkweli yupo mbele yamungu good brother dudu by Mwamba wa kaskazini from simba sports clabu
Hahaha hkika wew ni konk wa pil
uko vizuri ndugu zako wasukuma tuko pamoja
Dudu baya uko vizuri sana....!
Hongera sana dudubaya na kuwanakwako hiyondomwana hume anapaswakuwa,
Kapanga apo sio pake ajajenga uyo bado
bro! Mara nyingi sana huwaga nakuona mkorofi ila kumbe ckuwa nafatilia vzr sasa naona point zako ni zina jenga point,hongera kaka
Nampenda sana anapoint hatar
Ngosha noma nimekukubali washushie vina
pumbavu ulichoandika kwenye kichwa chahabari tofauti tunachokiona
Elieza Mashimba good
Elieza Mashimba nakuaminia kaka unasema ukwel
Kwel Leo umeongea point 👍
Kwanini Dudu asiwe Raisi wa sanaa tuone kazi nzuri shoga waache kuimba
nimekukubali sana konk master unaongera ukweli. Hatutaki ujinga fanya vitu kwenye mstsri.
Dudu baya unaongea saaana siyo freche🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Unaishi place poa sana I like it
Nimepend ulicho kiongea umezungumzia ukweli kbs master wengi wako hiv uliv sema
Interview nzuri
Dude huwa anaongeaga point kabisa Mimi namwelewa sanaaaa huyu chief
Point kabisa
Dudu...your really talking....
MashAllah midizi hiyo
Konki konki konki master
Japoumeshika konyagi but pointi zako nimezielewa...the dudu.
abc Abc ooogy sana
point to be notes
Dudu Baya you are so funny but ukweli you speak from the heart and ukweli mtupu. Very true Rome wasn't built in a day.
Sisi wa umri wako tunakuelewa Dudu baya
NIMEMUELEWA KONKI MASTER MPAKA HII INTERVIEW NIMEIWEKA TENA OFFLINE ILI NIWE NAIRUDIARUDIA MAANA SOMO NIMELIPATA HAPA.
umepatia sana
Turoro boooy nakupenda Konk😘
huyu broo angeacha kinywaji wallah nibonge LA mtu muhimu hapendi kufeki maisha
Jamani malizeni interview ndo mcomment msikurupuke , sasa dudu kasema hio nyumba sio yake kakodi na analipa laki 5 kwa mwezi
Nyumba yake
Lazima umuelewe na kumsapoti coz, ukizingua unakula kitasa hata kama upo live-Ila hili jamaa liache uboya, fanya maisha yako una miaka 40 plus still unashindana na watoto, tengeneza maisha acha kelele.
nakukubali sana
Uku vizuri kaka
Ausio dudu mungu tuu ☝️☝️❤penda sana ww
Umeongea maneno ya busara. Yenye ukweli ndani yake. Thanks broo.
Nakubali konk master
Mbona nyumba hawaionesh.. Tuyajue maisha ya wasanii
Nakuelewa xna mzee 3 konki master
Uko really sana brother
Brother dudu jangili hawakupendi kwa sababu unawapa ukweli wao
Daaa aisee nmekukubal Dudu wetu
Hii konk umeua sana ,umetisha
Hii interview haichoshi..brother anaulizwa maswali anajibu point hatar..tuvithamini vya kale coz vya kale zahabu👏👏
Safi sana
Unastahiki kufanya KAZI Pale WCB Wasafiiiiiiiiiiiiiii.....
Unakua kumu'Enterview Mtu/Msaniiii Gud Gud.
Katani Carter
Dudu baya ni mwalimu sanaaaa upo sahihi sana kakaa
The legendary respect bro
Nakupata vizur
Like 👍🏾 kama unamkubali Konki Master 🙌🏾💯
Kweli
Pw san
Master Mbarak heshima kwa koki bila kumasaha duli
Nam kubali sana mkweli sana
Nice mjomba dudu
Mwandish uko safii
Kwa kuwa unafundisha na unatamani kufundisha ss basi badili style ya kukata nywele na hata nguo hasa suruali ili uonekane mtu tofauti na watu wanavyokuona na kukuchukulia
Aise kuna kitu kikubwa nimejifunza kwako dudu tuishi maisha ya real na sikufake maana wengine wanaboaaaa hatari