DUDU BAYA | MWANAMKE ALINITUPIA MTOTO |NILIMFUMANIA |MAPENZI YALINIFANYA NIWE CHIZI |NAYACHUKIA SANA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 70

  • @MWEGOHA
    @MWEGOHA 2 роки тому +3

    toka nimekufahamu Dudu Baya miaka ya 2001, sijawahi kusikia wala kujua kama una maneno ya busara kiasi hiki, Hongera sana endelea na misimamo yako hivyo hivyo utafika mbali Bro , ONE LOVE

  • @linkreuben3108
    @linkreuben3108 2 роки тому +5

    Konki kichwa sana kuliko maadui zake wanavyo mchafua!!
    Konki songa mbele kazi yako si bure; kuna watu wengi wanapata elimu

  • @mwangetv2161
    @mwangetv2161 2 роки тому +1

    may allah bless you dudu baya maneno mazuri sana

  • @popperkuch669
    @popperkuch669 2 роки тому +2

    Hii ni zaidi ya knowledge
    Interview za dudu baya huwa haziboi awe tungi au laaa
    One of the best interview 2022
    Huyu jamaa ni kichwa sana
    Ni Afande Sele
    Dudu baya
    Chid Benz
    Jamaa wazuri sn kwny kuongea

  • @FaithMbinya-j6w
    @FaithMbinya-j6w 5 місяців тому

    Nakupenda Bure konki unamaarifa sana

  • @mohammedabdullah5895
    @mohammedabdullah5895 6 місяців тому

    UKRAINE 🇺🇦 🇺🇦 🇺🇦 🇺🇦 nakubali dudu baya hakwami na maneno na ukiona mtu dizain km iyo ni mkweli na anajiamini respect

  • @FaithMbinya-j6w
    @FaithMbinya-j6w 5 місяців тому

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥 master

  • @josephjoseph8982
    @josephjoseph8982 2 роки тому

    That is very deep wisdom, that is why you are among the founders of Tanzania music becausa of your wisdom by Joseph mwakyusa sauth Africa

  • @لَاإِلٰهَإِلَّااللّٰهُمُحَ-ي2ه

    Pole sana konk Master mung yupo nawe japo chuki n nyingi sana kwako

  • @skulfees5453
    @skulfees5453 2 роки тому

    Dudu baya ni konki big up

  • @vickylupemba6055
    @vickylupemba6055 2 роки тому +1

    Nilishtuka alipotea kiajabu, nimeshtuka na kufurahi kumwona dudu baya👍

  • @mrjambo8006
    @mrjambo8006 2 роки тому

    Daaah Asante Sana dudu umenipa ufahamu mkubwa Ubarikiwe ...UFUNUO 11.6

  • @mnyongeiddi2454
    @mnyongeiddi2454 2 роки тому +4

    Ana akili sana dudubaya sema watu
    Wanamchukulia ppwa

  • @adolphyamin1245
    @adolphyamin1245 2 роки тому +1

    Konki 3 master nakukubali sana bro 🙌🔥

  • @kiarama9016
    @kiarama9016 2 роки тому +1

    Dudu baya haki ni Legend

  • @rashadmohamed4357
    @rashadmohamed4357 2 роки тому +3

    Huyu jamaa ni phylosopher

  • @vashtyburge3998
    @vashtyburge3998 Рік тому

    Una busara sana.

  • @hamisimwamatso2092
    @hamisimwamatso2092 2 роки тому +1

    all the time I pray for you my brother don't worry and don't Harry everything will be okay but let me tell people for tz konki tunamtambua San kenya uyo tunmpa respect kubwa San na sikuwa anaongea juu Ako na chuki no madui wao ukweli unawauma ndio maana wanageukana wenyewe kwa wenyewe

  • @happymarwa4517
    @happymarwa4517 2 роки тому

    Kuna vitu vingi sana vyakujifunza kwa Dudu baya

  • @thomaskiponda6079
    @thomaskiponda6079 2 роки тому

    UMEONGEA NENO ZURI SANA ETI MKEO ASIPOKULETEA CHAKULA UTAKULA MWILI NA DAMU YA YESU YAANI WEWE NI MTU MKUBWA SANA KTK IMANI. NA MUNGU AKUTUNZE.

  • @jovinsagana3345
    @jovinsagana3345 2 роки тому

    Dudu baya wewe ni bright

  • @OMANOman-qc1lm
    @OMANOman-qc1lm 2 роки тому

    bonge la point sanaaaaaa puttin uraaaaaaaaaa umetisha sanaaaaaa

  • @OMANOman-qc1lm
    @OMANOman-qc1lm 2 роки тому

    singida oyoooooo😂😂😂😂

  • @brandhusseintv.683
    @brandhusseintv.683 2 роки тому +2

    Iko poa Sana iyo

    • @josephjoseph8982
      @josephjoseph8982 2 роки тому

      Deep wisdom that is why you are among the founders of Tanzania music

  • @khadjaiddlis283
    @khadjaiddlis283 2 роки тому +3

    😄😄kabla sijafika mwisho hapo kwenye vimbaumbau jamani nasisi wapo watupendao😄😄😄

  • @dr.sendeuonlinetv2916
    @dr.sendeuonlinetv2916 2 роки тому +1

    Dudu baya kafanana Sana na dube

  • @brandhusseintv.683
    @brandhusseintv.683 2 роки тому +1

    Putting msema kweli konk3 saster

  • @kherisaid7203
    @kherisaid7203 2 роки тому

    Nakukubali Sana

  • @raymondthomas3960
    @raymondthomas3960 2 роки тому

    Konk salute bro

  • @hajiamugaza452
    @hajiamugaza452 2 роки тому +2

    PUT una akili sana sana tena unafundisha mimi nipo USA 🇺🇸 nakusikiliza nakupenda brother

    • @Pedeshee01
      @Pedeshee01 2 роки тому

      Wewe ni wa nyumbani tanga kabisaaa

  • @abubakarymaulidy5681
    @abubakarymaulidy5681 2 роки тому +2

    Bro hcho kipande cha wanawake waaamini makalio ndo vitega uchumi vyao kite samba mwaanaa

  • @achawanunetv1167
    @achawanunetv1167 2 роки тому

    Jamaa ana Akili nyingi sana nivile tu watu huwa wanamchukulia vibaya ila anabusara na maneno yenye busara

  • @azizamohd5728
    @azizamohd5728 2 роки тому +1

    Wasichana wa kike ndo kina nani mwandishi kuwa makini

  • @vivianikiria143
    @vivianikiria143 2 роки тому

    HUWA NAKUKUBALI Sana kaka

  • @TheLovejoyz
    @TheLovejoyz 2 роки тому

    KONKIII FUTURE.

  • @TheLovejoyz
    @TheLovejoyz 2 роки тому

    KONKI msomi. mzuri.

  • @MichaelKellya
    @MichaelKellya Рік тому

    Hali unayoptia ni kama ya kwangu

  • @fakiikibakola1300
    @fakiikibakola1300 2 роки тому

    Interview ya kitofauti sna

  • @kwzjkwz3532
    @kwzjkwz3532 2 роки тому

    huyu jamaa ana maarifa

  • @aminakawawa5800
    @aminakawawa5800 2 роки тому

    Wanyakyusa na wahaya

  • @adamwilliam07
    @adamwilliam07 2 роки тому

    Respect 🙏 🤲

  • @nahyialetomia9284
    @nahyialetomia9284 2 роки тому

    Akili kubwa

  • @mosesjackson_tz
    @mosesjackson_tz 2 роки тому

    Dah mwamba kumbe anajua hadi biblia

  • @angeljasson4376
    @angeljasson4376 2 роки тому

    Konki Putin uyu jamaa akili nyingi sana cjui kwann awataki kumuelewa

  • @sarahsimon8060
    @sarahsimon8060 2 роки тому

    Huyu mtangazaji wa maxmum napenda sauti yake ni kama ya miladayo hua napenda sana sauti yake ya upole.

  • @abubakarymaulidy5681
    @abubakarymaulidy5681 2 роки тому +1

    Jamaa ana maneno matam sana huyu

  • @zayanazayana5353
    @zayanazayana5353 2 роки тому

    Kwa ufupi kilichosababisha Watu kuwa wagumu kuoa ni Uzinzi uliokithiri Tendo la Ndoa linafanywa nje ya Ndoa Kl mtu anazini lazima Ndoa zipungue

  • @mikidadimuhando2315
    @mikidadimuhando2315 2 роки тому

    DUDU BAYA WEWE NI ZAIDI YA MSHAURI NASAHA, WENGI WANAKUPUUZA ATI MLEVI, LAKINI KWA MAHOJIANO YA LEO, WEWE JIFAHAMU KUWA WEWE NI KONKI KONKI MASTER' UMEBADILIK.A

  • @dr.sendeuonlinetv2916
    @dr.sendeuonlinetv2916 2 роки тому

    Huyo jamaa nimtu nanusu

  • @TheLovejoyz
    @TheLovejoyz 2 роки тому

    KONKI

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 2 роки тому

    Konki3 Master akili yako ni kubwa Sana aisee

    • @onesmothimos2635
      @onesmothimos2635 2 роки тому

      Kwangu mm Putin 3 namuona kama rais kipenzi magufuri

  • @mohammedabdullah5895
    @mohammedabdullah5895 6 місяців тому

    Namkubali uyo mtu ngumi hapigi bila ya sababu yoyote asiekukubali wewe uyo ni shetani

  • @ahmedhamad2410
    @ahmedhamad2410 2 роки тому

    Mungu akupe imani ya uislamu ndio dini sahihi

    • @Est1434-e7l
      @Est1434-e7l 2 роки тому

      Kila dini ni sahihi
      Na ni njia ya kukusaidia kumfikia Mungu. Lakini si wote watafika Kwa ajili ya kukosa upendo, dharau, n.k
      Mimi ni mkristo na naamani kupitia hii dini yangu natamwona Mungu. Nawe na uislam wako utamfia mwenyezi Mungu. But ata ukiingie dini gani kama una upendo ni Bure.

    • @unjuinkuganda1991
      @unjuinkuganda1991 2 роки тому +1

      Hakuna Dini Sahihi Mungu ameumba Watu na sio Dini " Zinduka

    • @aishahussein8156
      @aishahussein8156 2 роки тому

      Aaamiin

    • @MKobe_254
      @MKobe_254 2 роки тому

      Endelea kudanganyika na sifa Sheik waliwatilia mkiwa wajinga mno

    • @sambulugu9988
      @sambulugu9988 2 роки тому

      Uislam ndo kitu gani? Mnaabudu majini na ushirikina!

  • @hdmsasa3355
    @hdmsasa3355 2 роки тому

    Gusa maandish ya blue ukasikie nilivyomfunika MBOSO KHAN ua-cam.com/video/Cdyxj5ymOR4/v-deo.html