THE CLASSIC KALAPINA : NLIJUTIA KUMTEKA SOLO THANG/KUMPOSA MR BLUE/UGOMVI NA MTOTO WA RAIS JK /BEEF

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 жов 2024
  • Hii ni interview ya The Classic na Mwanahiphop mahiri Kalapina ambae alikua kiongozi wa ukoo mkubwa wa hiphop wa Kikosi cha mizinga,Interview hii ilifanyika mwaka mmoja uliopita na Kalapina alituelezea kiundani kuhusu tuhuma nyingi ambazo zilizungumzwa juu yake,hii ni sehemu ya maongezi yake

КОМЕНТАРІ • 67

  • @darhustler
    @darhustler 10 місяців тому +7

    Hii ni interview bora sana kwangu kusikia na imeeleza vizuri sana hizo background gossips za bongo fleva kuhusu kikosi na hiphop. Pina is very nice guy 🖖

  • @alexmisheto7925
    @alexmisheto7925 10 місяців тому +7

    Watu wa Hip hop wanaakil sana

  • @nailahharith4745
    @nailahharith4745 10 місяців тому +5

    Those days I remember biliads hip hop ilikuwa real kinyama kikosi dah

  • @edwardasumwisye3010
    @edwardasumwisye3010 10 місяців тому +10

    Binadamu wanaomba mabaya/
    Mtaani kwangu wazee hawana haya/
    Wamejaa husuda chuki na roho mbaya/
    Hakika wasingetupenda Hata tungeimba kwanya

  • @silvergold5855
    @silvergold5855 10 місяців тому +3

    Napenda kumsikiliza brother pina

  • @MichaelJohn-lb6uu
    @MichaelJohn-lb6uu Місяць тому

    Appreciation

  • @MichaelAnthonyGuni
    @MichaelAnthonyGuni 7 місяців тому +1

    sema kalapina na ubabe tofauti sana he is so innocent ukimuangalia

    • @iHoppin25th
      @iHoppin25th 7 місяців тому

      Mwamba Mtu Guddi Sanaaa

  • @JimyMnyama
    @JimyMnyama 10 місяців тому +3

    Kikosii Cha mzinga🔥🔥🔥

  • @cassanovarcousin7973
    @cassanovarcousin7973 10 місяців тому +1

    Nabiii koko📌

  • @angelsblackboard8008
    @angelsblackboard8008 9 місяців тому +3

    Muongo wewe Arusha before 2005 walikuwa wanafanya live, Via Via. Hii habari ya kujifanya pioneers ndio inaleta ego.

  • @VisualsByEnokaOti
    @VisualsByEnokaOti 8 місяців тому

    Napenda Sana the classic

  • @dicsonmollel5915
    @dicsonmollel5915 3 місяці тому +1

    Nabii Choco namuongezea stress akisikia hzo vocal

  • @hassanbakari4525
    @hassanbakari4525 10 місяців тому +10

    HAO WANAKATAANA,,MI NAFATILIA SANA INTV ZAO,,DUDU,,LORD,,KALA NA HIP HOP WENGI WANAOKUJA HAPO,,KILA MTU ANAJIONA YEYE NDO ALIKUWA MBABE KULIKO MWENZIE,,ILA TUNAWAAMBIA NYIE SIO MASELA MSINGEKUWA URAIANI.

    • @ismailmasoud6001
      @ismailmasoud6001 10 місяців тому +6

      Hujielewi, Kwani msela lazma aende jela .?...kwenda jela ni UFALA ww .!

    • @hassanbakari4525
      @hassanbakari4525 10 місяців тому +1

      @@ismailmasoud6001 WE ndi fala kaka,,,si msela si umepinda?? Waliopinda wote wako chimbo wanasubiri kifo 😀,mnamuiga 2 pac kufa amfi 😃,,nyie mabinti tu

    • @ismailmasoud6001
      @ismailmasoud6001 10 місяців тому +2

      @@hassanbakari4525 ...ukiona mtu Kenda JELA Kwa wizi au ugomvi ujue fala ..!..ndio maana ukiingia JELA uliowakuta wanakuuliza umekuja Kwa kesi aina Gani ..!

    • @hassanbakari4525
      @hassanbakari4525 10 місяців тому +2

      @@ismailmasoud6001 ASA UNABISHA NN,,UKIWA MTUKUTU MANAKE WE UMESHINDIKANA,,,SEHEMU ZAKO NI MBILI TU,,KIFO NA JELA,,,,VINGINEVYO WEWE NI RAIA MWEMA TU...HAPO HUELEW NN APO

    • @ismailmasoud6001
      @ismailmasoud6001 10 місяців тому +3

      @@hassanbakari4525 ...Kwani Kuna watukutu wangapi hawajaenda JELA na WEMA wangapi wameenda JELA..?..

  • @RichardCossan-rk1ub
    @RichardCossan-rk1ub 10 місяців тому +2

    Kalapina sikungi broh

  • @ronaldissack3338
    @ronaldissack3338 10 місяців тому +2

    Kalapina alikuwa shida sana

  • @abubakarishariff8489
    @abubakarishariff8489 9 місяців тому +1

    Ashim dogo Kala Pina is the best hip hop bongo akuna tena atakuwa kama awa awa ndio wagumu kamili

  • @JimyMnyama
    @JimyMnyama 10 місяців тому +5

    Walikuwaa wababe sana adii kutekanaa😁

    • @simas.a1003
      @simas.a1003 10 місяців тому

      Game ilikuwa real sana. Mabifu ya Hip hop kama mbele. Ila hichi kikosi cha mizinga nakikubaligi sana 🙌🙌🙌🙌🙌😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @JumaJuma-fu7ji
      @JumaJuma-fu7ji 10 місяців тому

      Wasanii waZamani walikuwa wanaishi kimerekani sana mabifu live na yaukweli

  • @HusseinGullam
    @HusseinGullam День тому +1

    UKWELI USIOPINGIKA KIKOSI NDIO BABA YAO .
    KALAPINA

  • @yudaogonyi2383
    @yudaogonyi2383 2 місяці тому

    😝😝😝😝😝 jamaa ni storyteller mzuri sana . Hyu atafutiwe EP ingine

  • @hassaningorombe3477
    @hassaningorombe3477 10 місяців тому +1

    💯💯

  • @edwinismail9401
    @edwinismail9401 10 місяців тому +2

    Hamna ndefu?

  • @yusuphrashidi-dr1kb
    @yusuphrashidi-dr1kb 10 місяців тому +2

    Kikosi cha mizinga block 41

  • @matolasalumu2625
    @matolasalumu2625 10 місяців тому +2

    Tuleetee yuni besti Kona walio imba tisheti na jinzi

  • @nicholouspaschal3586
    @nicholouspaschal3586 9 місяців тому

    Hip hop forever

  • @tozzaalexandar4905
    @tozzaalexandar4905 10 місяців тому

    Noma Nabi coco

  • @EmanuelyMbagalla-rt2vm
    @EmanuelyMbagalla-rt2vm 10 місяців тому

    Kwa nini hao watangazaji wamevaa barakoa?

  • @nasrikileo
    @nasrikileo 10 місяців тому +1

    Sijui wanasahau au nini, age sawa ila kila mtu akiongea issue zinapishana, brother kuvi can u please intervene on my coment for learning purpose

    • @rogertuga007
      @rogertuga007 10 місяців тому

      Kila mtu anavutia upande wake

  • @hezronjoseph405
    @hezronjoseph405 10 місяців тому

    Sasa mnavaa ayo yanii intaviyu ainogi

  • @JumaJuma-fu7ji
    @JumaJuma-fu7ji 10 місяців тому +2

    Wasanii waZamani walikuwa wanaishi kimerekani sana mapifu mengi na yaukweli

    • @Joseph-lu4yj
      @Joseph-lu4yj 5 місяців тому

      ila mkwara imezidi sana kuliko vitendo

  • @MudaRamadhani
    @MudaRamadhani 10 місяців тому

    Mnazingua mabarakoa ya nini sasa hapo mmezingua kuweni wastaarabu

  • @ejtjr2647
    @ejtjr2647 2 місяці тому

    Kalapina was STUPID na hujui Hiphop . Mwili mkubwa akili KISODA.

  • @Abuukhatibu
    @Abuukhatibu 6 місяців тому

    😂😂😂😂pina

  • @usercabal
    @usercabal 9 місяців тому

    Kaka voda sio msanii ni msela wa maskanii

  • @warakawayohana2896
    @warakawayohana2896 10 місяців тому +1

    Vipi humor ndani Corona dizaini flani kama imewarudia au ndio ugumu?

  • @alextarimo4972
    @alextarimo4972 10 місяців тому +1

    Hizi barokoa vipi tuambine..

    • @kibwamoko8767
      @kibwamoko8767 10 місяців тому +1

      Huyu Alishwahi kupata Corona, ila Mwenyezi Mungu aliweka Shani yake akapona.
      Kwahiyo bado anahisi kama bado ipo. Tahadhari kwake ni muhimu zaidi kwasababu ilishampata.

    • @KuviFacts
      @KuviFacts  10 місяців тому +3

      Sahihi intvw hiyo nlifanya wakati ndo nmeanza kupona hivyo bado nlikua navaa

    • @KuviFacts
      @KuviFacts  10 місяців тому +4

      Nlikua natoka kuumwa covid mkuu

    • @kibwamoko8767
      @kibwamoko8767 10 місяців тому +1

      @@KuviFacts Sawa nimekuelewa, ahsante kwa kuniweka sawa

    • @Papifreshh
      @Papifreshh 10 місяців тому

      Nice

  • @Charles-x8c
    @Charles-x8c 10 місяців тому +2

    Sema fupi uyu jamaa uchoki kucheki intaview yak Yani

    • @jumajuma6612
      @jumajuma6612 10 місяців тому +1

      Ndefu ipo nenda kwenye account ya E FM hii ya kitambo kuvichaka kairudia kwenye account yake

  • @JumaJuma-fu7ji
    @JumaJuma-fu7ji 10 місяців тому

    Uyu jamaa alikuwa so mgomvi ila alikuwa mbabe wa kundi ukimchokoza ndo anakuzingua

  • @aloyceiluminata3650
    @aloyceiluminata3650 9 місяців тому

    Kala pina amekua mtu mzima siku hizi ameacha ubabe wa kijinga.. bug up bro😂😂😂😂

  • @raphaelkaswahili323
    @raphaelkaswahili323 10 місяців тому

    Ndio Leo nimeelewa kwanini kalapina wanamtaja saana wana hiphop,,,, alijulikana kwa ubabe na sio kwa mziki ua nafatili mziki wake lakini cjawahi kukutana na kibao Cha kutisha sana

    • @adinanimuhidini5894
      @adinanimuhidini5894 10 місяців тому

      Mstari wa mbele

    • @frankkajoba8372
      @frankkajoba8372 9 місяців тому +2

      Kasikilize singeli na amapiano wewe. Hujui hip hop😢

    • @raphaelkaswahili323
      @raphaelkaswahili323 9 місяців тому

      @@frankkajoba8372 naludia tena Kalapina hakua msaani wa kutisha kwenye hip hop ,,,, Kuna vichwa kama Sol seng walifanya makubwa kwenye game

    • @EmmanuelKibila-lk8pv
      @EmmanuelKibila-lk8pv 9 місяців тому

      U don't know

  • @vincentcharles4385
    @vincentcharles4385 10 місяців тому

    Kalale mkundu wewe,hip hop waachie wenye akili,huna rhymes hujui mziki,kelele nyingi maku wewe,kaimbe taarabu,

    • @frankkajoba8372
      @frankkajoba8372 9 місяців тому +1

      Duuu, ivi ww una akili kweli? Haya matusi ya chuki yanatoka mdomoni au?😢

    • @bobnasser862
      @bobnasser862 9 місяців тому

      Tulia mdogo wetu unaona unatatizo aupo sawa

  • @MrishoMohamed-ey5zf
    @MrishoMohamed-ey5zf 8 місяців тому

    Nakubali sana the classic