CRISTIANO RONALDO AWAAGE TU URENO| SIKU HIZI URENO NDIYO INAMBEBA RONALDO KULIKO YEYE KUIBEBA URENO.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 лип 2024
  • 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 46

  • @BimkubwaMohd-ef6hr
    @BimkubwaMohd-ef6hr 5 днів тому +11

    Kama ameshaibeba timu kwa muda mrefu so vibaya timu kumbeba Ronaldo ila kwenye matumizi inabidi apunguziwe majukumu

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 5 днів тому

      Kweli kabisa

    • @ursulinenyandindi3051
      @ursulinenyandindi3051 5 днів тому

      Kocha akimwambia tuu faza utakuwa unaingia 20 za mwisho, wanagombana hapo hapo. Jamaa anaamua yeye

    • @jakuvuai1428
      @jakuvuai1428 День тому

      Hakuwah kuibeba broo

    • @BimkubwaMohd-ef6hr
      @BimkubwaMohd-ef6hr День тому

      Wareno wenyewe wanajua nyinyi itakua mna wivu t

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 День тому

      @@jakuvuai1428 ikiwa ni mchezaji bora na kiungo muhimu ktk timu'nisawa umeibeba kwa maana ya kutegemewa zaidi! acha chuki broo, jamaa hata asipokuwa ktk timu teyari ana maisha yahali yajuu kuliko hiyo timu

  • @dreamer4760
    @dreamer4760 5 днів тому +5

    Kuna vitu tulikuwa tunaweza kufanya kipindi umri mdogo lakini sasa hivi hatuwez ko hatasisi ni mashahidi wa hichi kinachomtokea , usianze kusema yule sasa alikuw ronaldo huyu sio angalia ungekuwa wewe ndio yeye kwa umri huo ungekuwa wapi

  • @KhadijaZahoro
    @KhadijaZahoro 3 дні тому

    Dah nalikubal sana ichi kiungo ronado ni mchezaj ambaye kuwa ana jituma kwa juhud ndio ivo tu binadam sio samak umesha Fanya makubwa sana ronado tunakusapot sna Tanzania heshima kwako star wa Dunia I love Ronald kwa aslmy 100

  • @dreamer4760
    @dreamer4760 5 днів тому +7

    Ila kuna watu sjui wanafanya nini wasafi ivi kweli mchezaji anamiaka 39 mnataka acheze kama alivyokuwa na miaka 24 hamiwezi hata kufikiria

  • @user-vf9sk3ij8s
    @user-vf9sk3ij8s 4 дні тому +4

    Ureno Wana wachezaj weng wazur ila heshima tu Kwa Ronaldo

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 4 дні тому +2

    Kwani kawaambia atacheza maisha?
    Kama aliweza kuibeba Ureno kuitafutia heshima sasa ni muda wa Ureno kumbeba.

  • @tahiyasaidi6532
    @tahiyasaidi6532 5 днів тому +2

    So sad .....but time is over goodbye CR7 .

  • @hamidabdallah5841
    @hamidabdallah5841 4 дні тому +1

    Ana heshim yako ureno ila akianza ana cost team hawez kwenda speed ya wenziwe ss bora iwe anaingia sub

  • @dante3519
    @dante3519 4 дні тому +2

    Ronald ni mtu anaeza kupea Bao katika mda wowote ndio maana alicheza huo mda wote

  • @backieb205
    @backieb205 5 днів тому +3

    This guys they crazy or what he’s better than young players

  • @AliAbdul-ve5ve
    @AliAbdul-ve5ve 5 днів тому +8

    39 kucheza sio mchezo musione rahisi sanaa kaka zangu cku hizi hakuna timu ndogo kila mtu ywajua mpira na kila beki ywabana

  • @moseskulola6913
    @moseskulola6913 День тому

    Huwezi ukamuacha Ronaldo Beach Sababu Ana bembe Tim ya Portugal

  • @murtalla2826
    @murtalla2826 4 дні тому +2

    Edo hujawah kumpenda Ronaldo kuma ww

  • @ngoyaboy1590
    @ngoyaboy1590 5 днів тому +1

    Messi huwagaa anawapaa madogo nafas

  • @EliasHassani
    @EliasHassani 4 дні тому

    Subir euro ambayo cr7 ,modric,ton cross hawatakuwepo muone muitikio wake

  • @dreamer4760
    @dreamer4760 5 днів тому

    Na huyo mwingine anasema kukosa penalty, hata kabla ya kuwa na umri huu alikosa penalty huko zamani ni miaka miwili imepita toka ronaldo akose penalty

  • @Ibrahim-ne3in
    @Ibrahim-ne3in 4 дні тому

    Sasa Edo unaongea nn Ronaldo kashasema hii ndio Ya mwisho

  • @jemedarijuma4567
    @jemedarijuma4567 4 дні тому

    Wachambuzi sasa😂😂😂😂

  • @BraveMajaliwa-gf7ru
    @BraveMajaliwa-gf7ru 5 днів тому +1

    RONALDO kwasasa ni kama diamond platnumz kwenye mziki wa Tanzania 🇹🇿 😅. Diamond platnumz anataka kuonekana bora wakati ameshuka viwango nyimbo ya komasava anataka iwe hit song 🎵 😂 😢eti komasava wakati ni comment çavant 😂ina maana hata waandishi awamkosoi kisa ni mkubwa na ana pesa

    • @user-pk1yl7zt8p
      @user-pk1yl7zt8p 5 днів тому +2

      Ww n hoples kabisa nying ndo mlikuaga vilaza school unaleta hoja amby haihusian na kichwa cha habar 😂😂😂😂😂😂kenge kwel ukikuzd unapungukiwa mpk akili😂😂#shoga we are talking about football here not music

    • @michaelfrenkline3429
      @michaelfrenkline3429 5 днів тому +1

      We hovyo Sana.
      Mziki na mpira wapi na wapi.

    • @chikusangalala7759
      @chikusangalala7759 4 дні тому

      Wewe old is gord

    • @chikusangalala7759
      @chikusangalala7759 4 дні тому +1

      Sasa hapa Tanzania nani ni Muimbaji mzuri

    • @yohanamaiga3031
      @yohanamaiga3031 4 дні тому +1

      zero brain na anajiita brave

  • @SAYMOEKARIM
    @SAYMOEKARIM 5 днів тому

    cr7 😂😂😂
    anaweza lig ya waarabu .

  • @OthmanThabitJuma
    @OthmanThabitJuma 4 дні тому

    Sisi watu wa goat messi hatuna wasi

  • @EliasHassani
    @EliasHassani 4 дні тому

    Atawaprove wrong mda si mrefu

  • @kendryjenner
    @kendryjenner 4 дні тому

    😅 wachambuzi wa mchongo kweli Yani cr7 siku Hz amebadili namba anacheza no9 km halaand,Giroud, endrick sasa wao wanatamani acheze no7 km zamani

  • @PaulManko
    @PaulManko 4 дні тому

    Mbona messi nyiee hamumwambiiii kazi Ronaldo kumaaa nyieee

  • @storytownTv
    @storytownTv 5 днів тому

    Madhara ya nyeto .ndo yanamsumbua sana Ronaldo wenu

    • @deotv503
      @deotv503 5 днів тому

      😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀

    • @Mumewangu
      @Mumewangu 4 дні тому

      Itakuwa wewe ndie unaepiga nyeto

  • @FranceYohana-eg5zd
    @FranceYohana-eg5zd 4 дні тому

    Edo we tahira

  • @TechTrove.Odyssey
    @TechTrove.Odyssey 5 днів тому

    Ronaldo ni mganga wa timu