Steven Mukwala Usajili Simba Cheki uwezo wake Wakufunga_ Mukwala skills

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 жов 2024
  • Steven Mukwala Usajili Simba Cheki uwezo wake Wakufunga
    #stevenMukwala
    #usajiliSimba
    #mukwala

КОМЕНТАРІ • 43

  • @malcomg1004
    @malcomg1004 3 місяці тому +3

    Hapa sasa naanza kumuelewa Mo,safi sana

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 2 місяці тому +2

    Mo Boss wetu hawa wakiludi toka Misri wasomowe dua nzito. Wenzetu wa upande wa pili Uchawi upo. Ila sisi siku zote hatutaki kuamini kuwa uchawi upo.Wacheza wanakuwaaga hawana tatizo. Tatizo uchawi tu. Ninaiombea sana timu yangu simba iwe inapata ushindi wa kishindo siku zote.❤❤❤❤🎉🎉🎉🙏🙏🙏👍👍👍👍

  • @selestiniasenga
    @selestiniasenga 2 місяці тому +1

    Mukwala ni mchezaji mzuri ,atawafunga yanga mabao yakutosha yanga wajipange.

  • @IBRAHIMU-z2u
    @IBRAHIMU-z2u 3 місяці тому +3

    mukwala ni shida

  • @mkombevuai7161
    @mkombevuai7161 2 місяці тому +1

    Hamna akili mnaowasifia wachezaji wakat timu wanalocheza nalo hamlijui ubovu wake😂😂

  • @jumakidunda78
    @jumakidunda78 3 місяці тому +2

    Nawajuza tu style yake y kushangilia anaruka kavu,,,, style hiyo ya kushangilia wachezaji wanafunga sana

  • @oscarvumbama
    @oscarvumbama 2 місяці тому

    Hapana jamaa Yuko vizuri

  • @aminattai2676
    @aminattai2676 2 місяці тому +1

    Misumari ni mingi kwenye ligi yeti,yaani ushirikina,angalia ata Ile Simba mbovu msimu uliopita tulikua yunafungwa ovyo ovyo hapa kwenye ligi lakini timu Ile Ile inapokwenda nje inacheza tafauti kabisa,yanga wanaamini ushirikina sana ata mayele aliliweka wazi jambo ilo

    • @igihamanuel1
      @igihamanuel1 2 місяці тому

      hakuna hicho kitu ww. Sasa hivi ligi yetu imebadilika imekuwa nguma sana. Wachezaji top wa Afrika wengi wanachezea kwetu ukienda hata tabora United, Mashujaa n.k unawakuta tofauti na zamani. Achana na mawazo mgando ya kujifariji!

  • @albertlambert2810
    @albertlambert2810 2 місяці тому +1

    Mi najua . Mnao kejeli viwango vya wachezaji wa Simba sio shabiki wa Simba..ni wanafiki

  • @iptisamismaill-f6h
    @iptisamismaill-f6h 3 місяці тому +1

    Kuna jamaa namba nane nimemuona anajua sana uyo alitoa asist tungemchukua pia sa tunamleta peke😂 nan anamlisha ss

  • @ernestkamata2555
    @ernestkamata2555 2 місяці тому

    Simba bado hatujawajua inaweza kuwa timu bora sana au ikawa hamna kitu ni viziri kusubiri ligi ndo tutajua mbichi na mbivu

  • @SteveAvelinBuretter
    @SteveAvelinBuretter 3 місяці тому +1

    Nimtuuu✊✊

  • @chrismedah2133
    @chrismedah2133 2 місяці тому

    Wewe ndio huna akili maana hata mpira hujawahi kucheza

  • @kelvinmikida
    @kelvinmikida 2 місяці тому +2

    wachezaji wanaokuja simba ni wazuri ila wakishacheza na yanga tu, ubovu unaanza kuonekana🤓🤓🤓maana kipicho sa sahihi kwa vilabu za nje na ndani ya tanzania ni kucheza na yanga

    • @fj8317
      @fj8317 2 місяці тому

      Akili yako IPO matakoni

    • @muksinimbaruku1233
      @muksinimbaruku1233 2 місяці тому

      Nikajuwa unataka kusema yanga wachawi

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 3 місяці тому +1

    Mbele ya Bacca, Job, Kwasi na Boka, halafu wanalindwa Aucho, kazi atakuwa nayo, aje tu😂

    • @MinskBelarus-il2tl
      @MinskBelarus-il2tl 3 місяці тому

      Kweli Uto umeanza kutetemeka....yaani umeitaja safu yako yoooote ya Ulinzi kumkaba .😅😅😅 😅😅😅

    • @songorosongoro9927
      @songorosongoro9927 2 місяці тому

      Mm nakuambia kuweni makin hao waking job mtakuja kwakataaa

  • @ZachariaCharles-xk2uf
    @ZachariaCharles-xk2uf 2 місяці тому

    Ubovu unatokea wap Mzee

  • @MR_GUNDI
    @MR_GUNDI 3 місяці тому

    Eti job baca chura tuu

  • @danielimalaki
    @danielimalaki 3 місяці тому

    Daaaa

  • @nabiimgongolwa8728
    @nabiimgongolwa8728 2 місяці тому

    MKWALA MZURI ALIKOKUWA LAKINI KWA SIMBA ATAFELI KWA SABABU SIMBA HAWANA UVUMILIVU MCHEZAJI AKIFANYA MAKOSA.

  • @MIKIDADIMIKIDADI-j7y
    @MIKIDADIMIKIDADI-j7y 3 місяці тому

    Hatari

  • @MR_GUNDI
    @MR_GUNDI 3 місяці тому +1

    Uyo kibaca chura tuu

  • @sharafisaidi7999
    @sharafisaidi7999 2 місяці тому

    Mnajipima kwa vibonde tafuten timu kubwa

    • @vicentbunzal7342
      @vicentbunzal7342 2 місяці тому

      Njoo hata wewe tujipimie kwako uuone huo mziki

  • @YOSHUAMWAMPETA
    @YOSHUAMWAMPETA 3 місяці тому

    MBONA HILO GOLI HATA MIMI MSHABIKI NAFUNGA! TUACHE KUWASIFIA SANA WACHEZAJI TUSUBILI LIGI IANZE NDIPO WACHEZE NASI TUTAONA KWA MACHO YETU

    • @BenAman-cm5kx
      @BenAman-cm5kx 2 місяці тому

      Nenda kafunge hilo goli😂😂😂

    • @YOSHUAMWAMPETA
      @YOSHUAMWAMPETA 2 місяці тому

      @@BenAman-cm5kx NIMEISHAFUNGA .

  • @FranceMwanilyela
    @FranceMwanilyela 3 місяці тому

    Simba mpya hyo aludi uchebe basi

  • @neemajoseph4345
    @neemajoseph4345 2 місяці тому

    😃😃

  • @IbrahimWinjoness
    @IbrahimWinjoness 2 місяці тому

    Wanafl nnyi sio wanadomba ninyi

  • @SHIJAJITIJA
    @SHIJAJITIJA 3 місяці тому

    🎉🎉🎉🎉🎉

  • @AshirafuRajabu-uz4bt
    @AshirafuRajabu-uz4bt 2 місяці тому

    Lazima 5 zirudi