FRIJI BOVU: OKEJEPHA BORA KULIKO CHAMA? USAJILI HUU SIMBA ITATESA WENGI | SKILLS, GOALS BALAA!!
Вставка
- Опубліковано 3 лип 2024
- #mbwaduke #gsm #nbcsports #nbcsports #sportspesa #feitoto #tpmazembe #robertinho #rajacasablanca #mbet #phiri #baleke #bocco #ntibazonkiza #tanzania #live #livestream #trendingshorts
- Спорт
Friji bovu Uko sahihi kabisa kuhusu kilinda wachezaji.Hata maamuzi mabovu ya marefa Uongozi wa Simba hautakiwi kukaa kimya
Nimekuerewa friji mbovu
Friji bovu wewe unakuwa sana kuuchambuwa mpira uko vizuri kaka
Naamini mgunda anajuwa kulinda wachezaji
Friji bovu now mm nakusikiliza sanaa uko vzr broo
Unatupotezea muda kwa dibaji ndefu!
Kanute yupo friji bovu haondoki na vipimo kafanya tayari kwaajir ya kwenda pre season , means apo kati ya kiungo mmoja hata kuja
MAGOLI SAFI SANA KWENYE USAJILIA MO UNAWASHUKURU SANA
Kuna watu wanachheza usiku watu wanacheza usiku..😃😃😃
Friji bovu mbona kwa feilasufi friji limegandisha?
NDUMBA ZIMETAWALA SANA..... 😢
Huo usemi wa Furgasson waambie Viongozi wa Simba. Naona wamefanya usajili mkubwa sana lakini wamejisahau kwenye namba 2 sijui nani amewaroga. Wakumbusheni tafadhali, Kapombe kachoka. Magoli yamekuwa yakipita kwake. Wasiposhituka kazi yote nzuri waliyofanya itakuwa sawa na 0. Kapombe hamwezi Dube. Kapombe hawawezi Waarabu. Mtanikumbuka kama haya hayafanyiwi kazi.
Kwann humwamini Israel taifa teule
Kelvin kijiri kaka
Mpuuzi wewe, ila hata vichaa Wana washabiki.
Kitu kina waponza Simba ni kwasababu muna sifia sana wachezaji inje ya uwanja waki fika ndabi uwezo mdogo
Nyie mbona mmewasifia Kinzumbi, japokuwa mmemkosa. Mmemsifu Boka, mmemsifu Chama. Kuna dhambi gani Simba wakiwasifu ambao hawajafika?
Yanga wivuuuuu wanahisi goli tano zitajirudia hakuna hiyooo,saiz wao ndio wanamiliki wazeeeeeeee😂😂😂😂😂😂😂😂
@@JoseHaule-tx7lu Wazee FC. Waliowaita wazee wamewasajili