'Nililala na kuamka nikaamua naacha kuimba'

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 жов 2024
  • Mwimbaji nguli wa nyimbo za Taarabu kutoka Tanzania, Mzee Yusuf maarufu kama 'Mfalme wa Taarabu' amezungumza na mtangazaji wa BBC Regina Mziwanda na küelezea masuala mbalimbali kuhusu muziki wa taarabu nchini humo tangu aliporejea tena jukwaani takribani miaka minne iliyopita
    #bbcswahili #burudani #taarab
    Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili

КОМЕНТАРІ • 2

  • @OnesmoEphrata
    @OnesmoEphrata 3 місяці тому

    Nakuaminia sana Mzee yusuphu 🙏🙏🙏👍👍👍

  • @HassanTwaha-kw4su
    @HassanTwaha-kw4su 3 місяці тому

    Hassan shemndolwa mzee aachwe yeye na mungu wake