Mzee Yusuph: Nimeacha Muziki, Atakayezipiga Nyimbo Zangu atajibu kwa Mungu Dhambi Hiyo

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 сер 2024
  • All the African Music. Hottest SHOWS... Experience Africa
    100.5 Ni Redio ya Burudani Nchini Tanzania, Inayoongoza kwa kukupatia Habari za Burudani pamoja na Matukio yote yanayotokea ndani na nje ya Tanzania. #KiafrikaZaidi.
    Follow us on twitter / timesfmtz and on instagram / timesfmtz

КОМЕНТАРІ • 192

  • @rahmaomar9646
    @rahmaomar9646 4 роки тому +25

    kama na ww ulipo sikia karudia kuimba umekuja kuangalia hii like yako plz

    • @bodiehayden3803
      @bodiehayden3803 3 роки тому

      i know it's kinda off topic but do anyone know a good place to watch new series online ?

  • @mariamlulela5546
    @mariamlulela5546 4 роки тому +30

    Aliyefika hapa 2020 kama mimi kusikiliza kauli yake ya kwanza gonga like

  • @mariamomar8046
    @mariamomar8046 4 роки тому +2

    Leo hii umerd kweli? subhanallah nalia naumia eeh Allah tujaalie mwisho mwema wallah naandika huku machoz yanitoka aah Allah nipe subra na uniongoze kwa yangu binafs na waislam wote na ht wasowaisilam

  • @user-pf9cd6zj1g
    @user-pf9cd6zj1g 4 роки тому +3

    Huyo mzee yusuf mnafik ana nyuso mbili

  • @rasykizanjbari4996
    @rasykizanjbari4996 4 роки тому +1

    Ndo ushakuwa Mnafki mzee yussuf

  • @tompatel849
    @tompatel849 6 років тому +2

    Hakika Mungu ni Mwema na Anaokoa!Mzee Yusuph Mungu azidi kukuongoza katika kila hatua zako na hakika amekuona na amekuokoa simama imara na umshike wala usimwache.
    Nnapoiangalia hii interview naona ukiri wako mbele za Mungu kutoka Moyoni. Wakristo Tunasema ROHO WA Bwana yu Juu Yako naTayari ameshakugusa utende kazi zake na Uwashuhudie watu ulimwenguni kote. Ubarikiwe sana na Bwana Yesu. sisi sote njia Yetu ni Moja. Dini ni njia tu za kupitia kuelekea kwnye uzima wa milele.

  • @dr.abdinassir6807
    @dr.abdinassir6807 7 років тому +5

    Wallahi thumma wallahi Mzee Yusuph Allah atakulipa inshallah yani umetushinda ata cc tuliokua tumetubu mda mrefu, naomba *Kasome shekh uwausie mashabiki wako*

  • @ibrahimdzuya5907
    @ibrahimdzuya5907 7 років тому +9

    Mashallah Allah akudizishie imani ln Shaa Allah.

  • @abdibakari641
    @abdibakari641 4 роки тому +1

    Waah... Allah Atunusuru in Sha Allah....

  • @alishomar7549
    @alishomar7549 7 років тому +8

    mashaa allah Mzee Yusuf..M/Mungu atusimamie sote ktk njia ilonyooka na mwisho mwema.

  • @smrmb76
    @smrmb76 7 років тому +24

    Mash Allah mzee yusuf Allah atujaalie mwisho mwema sote

  • @rehemakhamisi9124
    @rehemakhamisi9124 4 роки тому +1

    Tulofika 2020 tumuombee dua Mzee Yusufu

  • @Serge123
    @Serge123 7 років тому +13

    Well done mzee wangu,kwa kumpatisha shetani aya....

  • @hassanboi5906
    @hassanboi5906 7 років тому +9

    maashaallah mzeee yussuf
    mungu akuongoze na sisi waislamu wote duniani kote

  • @assiamick9597
    @assiamick9597 7 років тому +6

    Maa shaa Allah Tabarakallah. Allah atuongoze sote katika njia yake ilionyooka. Allahuma Amin

  • @merisianayoel2542
    @merisianayoel2542 6 років тому +3

    ma shaa allah

  • @nassimmohamed3018
    @nassimmohamed3018 4 роки тому +2

    Mashallah mabrouk mungu akujaalie ulitakalo

  • @ommyish4930
    @ommyish4930 7 років тому +3

    Ma sha Allah akhy mzee Yusuf...yaani Allah ni mkubwa..Allah akuzidishie nasi atuzidishie imaan..."Innamal hayaatu dduniya illa mataaulghurur"

  • @ayubuz007
    @ayubuz007 7 років тому +2

    Allaahu Akbar 👍🏻👍👍🏻👍👍🏻 mzee yusuf waa onyeshe Imani yetu binadamu nii nye pesi mashaa-allah👍

  • @sonojoel2117
    @sonojoel2117 7 років тому +4

    Yarabii tujaalie nasi tuingie katika njia njema .Tupe imani na vizazi vyetu ya Allah

  • @hannan105
    @hannan105 7 років тому +3

    MashaaAllah MashaaAllah hakika Allah anawapenda wenye kurudi kwake Allah atujaalie na sie ya Rabby

  • @mwinjumambukuzi5251
    @mwinjumambukuzi5251 6 років тому +1

    Mzee bado sana inabidi ufanye kazi ya ziada Kwakuwa unaimba qaswida ina ngoma vinanda firimbi na nk. acha hizo qaswida ngoma allah aturehemu insha allah.

  • @queencashmadam8340
    @queencashmadam8340 7 років тому +6

    Mashaallh mungu tubadilishe na sisi tupe nuru turd kwako amina

  • @trspperdelot2675
    @trspperdelot2675 4 роки тому +2

    mashaallah

  • @binmakame3881
    @binmakame3881 7 років тому +6

    Mashallah ALLAH atuongoze mm nakushauri pia achana na hizo qasda pia ni sawa na msiki

  • @MohamedAhmed-yu1lu
    @MohamedAhmed-yu1lu 7 років тому +33

    Kila binadamu ana udhaifu. Na ww bro umeweza kuushinda udhaifu wako. Na sisi Allah atupe nguvu za kuweza kushinda madhaifu yetu. Allah akulinde na mitihani yote na sisi tutazidi kukuombea. Big up big bro you have done what most are just thinking but not able to do. I wish you all the best and Allah's blessings.

  • @deusnzella9213
    @deusnzella9213 6 років тому +1

    Mungu azidi kukutunza zaid,mm ni mkristo ila nimeguswa sana na maamuzi yako ya kumrudia Mungu

  • @eddyeddy6071
    @eddyeddy6071 7 років тому +4

    Allah akuzidishie imani juu ya dini

  • @saumushabankhamis2801
    @saumushabankhamis2801 7 років тому +2

    MASHA ALLAH MZEE YUSUF.MWEMYEZMUNGU ATUONGOZE WAJA WAKE INSHA ALLAH

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky 7 років тому +7

    Mashaa Allah

  • @shabanbwanamdogo2906
    @shabanbwanamdogo2906 7 років тому +5

    hongera sana ni maamuzi mazuri sana big up

  • @mwnaharustwaha2631
    @mwnaharustwaha2631 6 років тому +2

    mashaallah mzee yusuph mungu akuongoze kwenye din

  • @khadijaaleysalim3820
    @khadijaaleysalim3820 6 років тому +2

    Alhamdulillah M/Mungu atupe mwisho mwema

  • @uthmanzombe2242
    @uthmanzombe2242 4 роки тому +1

    He is back on doin dirty hangin,kuni tu akifa.

  • @issasuleiman9198
    @issasuleiman9198 7 років тому +6

    Kila lakheri mzee Yussuf Allah humuongoza amtakae

  • @maryamathman8917
    @maryamathman8917 7 років тому +3

    Masha Allah mzee yusuf Allah atujalie mwisho mwema sote In sha Allah

  • @jumamalilo749
    @jumamalilo749 7 років тому +28

    mashaallah Allah tujalie nasi tuwe miongon mwa watu wema inshaallah

  • @yamaddi8151
    @yamaddi8151 6 років тому +2

    M/Mungu akujaalie kila la kheri kwenye maisha yako

  • @timasomo4358
    @timasomo4358 7 років тому +3

    hongera mzee yussuf mungu akupe maisha marefu uzidi kutubia

  • @fayeezomar8283
    @fayeezomar8283 7 років тому +5

    MASHAALLAH

  • @ARFIddy
    @ARFIddy 7 років тому +3

    masha.Allah waharaka Llah fiih

  • @salmawema1361
    @salmawema1361 6 років тому +2

    mashaallah mzee yousuph mola atuongoze nasisi km alivyokuongoza ww

  • @Neighborsjiran
    @Neighborsjiran 7 років тому +6

    Mashallah

  • @samiyrahassani7842
    @samiyrahassani7842 7 років тому +4

    😀😀mkisi wanifulaisha mm sheikh yusufu jazzakallah kher kwa mawaiza mazuli

  • @deepskyimages5554
    @deepskyimages5554 6 років тому +1

    ..in shaa Allah Ali kiba naye ajaribu kubadlika!

  • @asilaalhabsi2172
    @asilaalhabsi2172 7 років тому +4

    mashaallah mzee yusuph mungu akusaidie kwa kukiri mkosa yako kama nimakosa kwa Allah mungu akusamehe brother

  • @philipoinzag2379
    @philipoinzag2379 4 роки тому +2

    Inalilah wainallaihrajiun Sasa wataka rudi Tena kwenye mziki sijui utakwenda mueleza nini mwenyezimungu mie naona kama huwezi rudi hasa ninapoiskia hii video jinsi unavoongea

  • @shwaraali3363
    @shwaraali3363 6 років тому +2

    Shukran bro big up

  • @anwarambar6141
    @anwarambar6141 3 роки тому

    Taubat nasuha, na sasa umerudi tena kuimba, umeenda hajj, mche Allah, rudi tena kwa mola wako, Inna lillahi wainna lillahi rajiun

  • @ramiahassani8750
    @ramiahassani8750 7 років тому +3

    baaraka LLAH fiika Yusuf

  • @robertkomba3525
    @robertkomba3525 7 років тому +4

    mashaallah MZEE YUSUF

  • @aamnasalum3217
    @aamnasalum3217 6 років тому +2

    Mungu tupe mwisho mwema tusamehe zambi zetu tunapotubia

  • @samsamyoo3689
    @samsamyoo3689 7 років тому +4

    maashaallah mungu akuhidi Ameen

  • @jumakhamis226
    @jumakhamis226 7 років тому +2

    maashaallah mzee yusuph

  • @moanasaboud4399
    @moanasaboud4399 4 роки тому +1

    Inna lillah wainailah rajioun
    Kwani kuliendeleaje mzee yusuff karegelea??????

  • @mutakkabiribnshaban325
    @mutakkabiribnshaban325 7 років тому +4

    Big point

  • @rahmaahmad5142
    @rahmaahmad5142 7 років тому +4

    Masha Allah

    • @kassimmuhammad9725
      @kassimmuhammad9725 7 років тому +1

      mashaAllah! mimi rai yangu ni uwe qari inshaAllah badili ya kuimba kaswida

  • @anwarambar6141
    @anwarambar6141 3 роки тому

    hebu hii clipu mzee yusuf, itafute na ujisikize tena, maneno uloyazungumza, nakuoenea huruma

  • @mamoushelby4526
    @mamoushelby4526 7 років тому +4

    MashaAllah

  • @fayeezomar8283
    @fayeezomar8283 7 років тому +5

    respect u

  • @sudaissoud3670
    @sudaissoud3670 4 роки тому

    Pumbavu sana mzee yussuf mbn umerudi mjinga weye

  • @alimasigasaleh8659
    @alimasigasaleh8659 4 роки тому

    After all this, then going back to music fully. May Allah forgive us all.

  • @khalfanshahabakar443
    @khalfanshahabakar443 7 років тому +2

    mashaa-allha mwenyezimungu atupeher

  • @kessynurutajiri4940
    @kessynurutajiri4940 4 роки тому +1

    Mzee Yussuf alikuwa anambeep Mwenyezi Mungu. Umechemsha, hivi sasa huwa unasikia hii Clip? Hujioni kuwa wewe ni Mnafiki?. Eti una Madeni ndo uache Dini urudi kwa Shaitwan.
    Dida nimekuelewa, utabiri na shaka yako vimetimia. Mzee Yussuf akuwa na Nia njema ya kubadilika.

  • @supumoto6819
    @supumoto6819 7 років тому +4

    Allah akuzidishie hikma

  • @supumoto6819
    @supumoto6819 7 років тому +5

    آلله يحفظك

  • @issasaidi1019
    @issasaidi1019 7 років тому +7

    mzee yusuph ukiona hii comment yangu ifanyie kazi naomba achana na hzo qaswida hazijathibiti kwenye dini plz ninasaha tu hizo

  • @kessynurutajiri4940
    @kessynurutajiri4940 4 роки тому +1

    Sasa hii hii 2020 Mzee Yusuf ameamua kurejea kwenye Taarab. Je! alivyoacha alidhani kurudi kwa Allah mchezo!!??.
    Leo mwenyewe kaamua kumkumbatia Shaitwan. TUKUELEWEJE SASA ? UMERUDI KWENYE LAMBA LAMBA !! Ha ha ha ha ha haaa. Mwogope Mwenyezi Mungu wewe Mzee Yusuf.

  • @wakatiomar1311
    @wakatiomar1311 7 років тому +3

    masha Allah ALLAHU AKBAR

  • @mozzasaif6634
    @mozzasaif6634 4 роки тому +1

    Nimerudi kusikia maana haya maneno kama sie yeye alie rudi kuimba.
    Allahu akuvue haraka kabla ya umauti

  • @abujamalaalghammawiy7470
    @abujamalaalghammawiy7470 7 років тому +3

    Allah akuhifadhi Mzee Yusuph

    • @beatricehenry621
      @beatricehenry621 7 років тому +1

      Yahya Sinongo wewe mzee. Yusuf hapana kumbe uislaam hunaongea juu ya m/mungu na upendo namna hii tutakuombea dua

    • @abujamalaalghammawiy7470
      @abujamalaalghammawiy7470 7 років тому +2

      yeah!!! Beatrice Henry, ulikuwa hujui>>??? Huo ndio Uislam dada yangu

    • @ganzoseleman8609
      @ganzoseleman8609 6 років тому

      duh amuhifadhi tena?

  • @allymasta4866
    @allymasta4866 6 років тому +1

    maashaallah

  • @sudaissoud3670
    @sudaissoud3670 4 роки тому

    Karibu mjini..kumenoga

  • @harounali9057
    @harounali9057 7 років тому +5

    Namuomba Allaah subhanahu wataala akuongoze zaid huko uliko elekea.
    Lakini sijafaham ka mkeo bado anaimba? nakama anaimba ruhsa anatowa nani ya kwenda kuimba?
    Na kama haimbi basi ni kheri.

  • @chafuoctto2354
    @chafuoctto2354 7 років тому +2

    Masha allah

  • @ashuu7youz326
    @ashuu7youz326 6 років тому +2

    ya Allah!!!!

  • @rahimahaji4813
    @rahimahaji4813 4 роки тому +1

    Cjui anazikumbuka hiz clip😉

  • @bintsultan3132
    @bintsultan3132 4 роки тому +1

    Mtiihan Yarrab kauli nzuri lkn leo amerudi tena,Yarrabi msamehe yeye na sisi pia dah mtihan Yarrab 😭😭😭😭

  • @fareda1847
    @fareda1847 7 років тому +5

    Allah Akbar kher kakang umefanya LA maana sana mpk nimeipenda sasa kijijin kwet haruc ikitokea tu hamna nyimbo zinazowekwa zaid yako mpk kesho hy sshv hutak zipigwe je,wa vijijin wanajua hili?

  • @fatmajamal2516
    @fatmajamal2516 4 роки тому +2

    Mh! Sasaivi kama sie alosema maneno haya😭😭😭

  • @najumshamisi6505
    @najumshamisi6505 4 роки тому +2

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭Wallah roho yaniuma. Why? why? why Mzee? Mola atakunusuru tena kaka

  • @HusseinHussein-hl5eh
    @HusseinHussein-hl5eh 7 років тому +4

    kila kheri ndugu yangu allah yuko pamoja na wewe

  • @rashidbusanya5843
    @rashidbusanya5843 7 років тому +2

    Allah akbar

  • @mamabarbarasongjunior1898
    @mamabarbarasongjunior1898 3 роки тому

    Kabla hujarudi kwa taarabu mbona hukuangalia hii clip?2021 now.

  • @abuubakarsaid9410
    @abuubakarsaid9410 4 роки тому +1

    Huyu mnafiki2

  • @janejames1899
    @janejames1899 6 років тому +3

    Basi yule mama mtu mzima khadja kopa pia apumzike duuh maanake yule mama sijui kma swala yuwakubka ila mungu nisamehe kwa kuhukumu

  • @abuuazhar3738
    @abuuazhar3738 4 роки тому +1

    Huyu ameathirika kisaikolojia, muacheni Kuna Jambo linamtafuta akishalipata Jambo hilo ataelewa.

  • @queencashmadam8340
    @queencashmadam8340 7 років тому +3

    Dida unanifulahisha sana

  • @thomaslandwhale
    @thomaslandwhale 7 років тому +4

    MashaAllah but ningependa kama inawezekana hazitoe pia kwa UA-cam coz new generation wasizisikize

    • @aminaally120
      @aminaally120 4 роки тому

      Nice mzee yusuphu Allah akujalie inshaallah

  • @felixmuiamulinge1128
    @felixmuiamulinge1128 Рік тому

    Ikawaje sasa

  • @supumoto6819
    @supumoto6819 7 років тому +4

    endelea na da'wa,

  • @ibrahimbalhawasel5458
    @ibrahimbalhawasel5458 7 років тому +4

    MZEE YUSUF USIIFANYE KUWA DINI NZITO,MAKOSA ULIYO FANYA LINALO KUHUSU TOBAT'NASUHA FAQAT.

  • @abuuaidh6500
    @abuuaidh6500 4 роки тому +1

    Tafadhali mpe Tena Mualiko umkumbushe hayo

  • @aminabedzenga2510
    @aminabedzenga2510 7 років тому +13

    mzee Yusuf hata hizo qaswida usiimbe

  • @rahimaally6471
    @rahimaally6471 4 роки тому +1

    Sawa yeye kasema nyimbo zake zisiimbwe jee wale walonunua utawalipa pia

  • @beatricehenry621
    @beatricehenry621 7 років тому +2

    Mie sio muhislam ila huyu baba nimemkubari mungu hashindwi na chochote mm mungu wangu mbele sana

  • @ostazclassic3370
    @ostazclassic3370 6 років тому +2

    Huyu Sister anamfanana lily ommy naona ni ndugu

  • @abuuaidh6500
    @abuuaidh6500 4 роки тому

    Jee unayakumbuka maneno yako.Naona Sheitwani kakupa Tena kazi baadae ya kukuona Unaiweza

  • @zenajimmy6603
    @zenajimmy6603 6 років тому +2

    Sasa ebu jamani niekeni sawa sasa hizi DVD huyu ametuachia je ni vipi .Mimi nafikiri kwanza ungekusanya ziile CD zote uzichome.Hilo usemalo hapa naona ni mtiani jamani ama vipi vile

  • @timasomo4358
    @timasomo4358 7 років тому +4

    Mohammad said mzee yussuf hatwangi maji kwani mambo ni pole pole atamlainisha kwa maaya na yy pia ataingiliana atawata