Alamdullilai nishapata wa kudumu naye.naomba mungu atupee maisha Mazuri na wale Wambea na wanataka kutukosanisha wasifaulu. In sha Allah. Huyu me nitadumu naye simuachi asilani
Cjui Mwenyezi Mungu atakuhukumu vp Mzee yusuf maana bado twaskiza nyimbo zako za kitambo sana.anyway Allah ndiye mjuzi wa hili jambo.namuomba akusamehe na azidi kukuongoza kutupa kaswida zitakazotuepusha Na cc Na huu mziki.
Huyu ba mdogo pia yeye alivuma sana.nilizipenda nyimbo zake.swadakta...mie ni mkenya,wa mwambao wa pwani maeneo ya malindi.kipenzi wa nyimbo za taarab🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪💯💯💯💪💪💪❤️❤️❤️
Tunao sikiliza jisongi hii mwaka huu wa 2024 tujuane kwa likes 👍
🎉 ❤
tunaoskiza hi song 2025 gonga like hapa ❤❤
Alamdullilai nishapata wa kudumu naye.naomba mungu atupee maisha Mazuri na wale Wambea na wanataka kutukosanisha wasifaulu. In sha Allah. Huyu me nitadumu naye simuachi asilani
Ameen
Amin
Ameen inshaAllah
Mziki bado mpya 2024 ❤
Nimtam walai ❤❤❤❤
Nimejikuta tu nipo hapa 😂😂ila nime enjoy dooh kitamboo😍😍
I dedicate this song to my lovely husband Emanuel
Cjui Mwenyezi Mungu atakuhukumu vp Mzee yusuf maana bado twaskiza nyimbo zako za kitambo sana.anyway Allah ndiye mjuzi wa hili jambo.namuomba akusamehe na azidi kukuongoza kutupa kaswida zitakazotuepusha Na cc Na huu mziki.
Atuokoe sote ameen in shaa allah tutaweza kwa uwezo wake huu ni ujahili ukiweza unauwacha mara moja
nassor mohamed kweli tutaacha inshaAllah
Tuma Juma iko vizur san
wewe unaee muhukumu wewe no mungu au mwachiee mungu wewe haikuhusu mwenyezimungu ndio anajua mjinga mmoja wewe
Amerudi tena Kwa muziki lakini Allah tu ndo mwenye hukumu August 2020
20yrs back, thjs was played on my wedding day, at home.
My father in law used to love it as well.
More yrs to us Inshallah.
Aamiin
Oooh really when was this song came out.
Listening to TAARAB SONGS...made me PASS all my SWAHILI SUBJECTS...they nicknamed me AISHA...I LOVE THE NAME 👍👍👍
Hongera aisha
Congratulations
Still here
@@shamomar629 and man and van ^insurancue& &8&&anyd &man 8^&8^you younnnn have into n
Jjijiijji
Lm0m
Mziki wa kiutu uzima, miondoko bila kijasho❤
Nitadumu nae jamani kuwanzia 1/3/2015 mpaka 09/5/2021 nakupenda Sana enika wangu from muleba up to sumbawanga
It’s 2023 niko hapa kusikiliza hii nyimbo. Good Music Alive 🎉😊
Kabisa
Blessed Mzee Yusuf oozing wisdom in His Taarab Love songs~ this is my favourite taarab song worths playing forever in Love!
I love this song,same case dedicate it to my lovely wife Maggie mwende%❤
Dedication ya yoyote alieshika moyo wako 2022♥️♥️♥️mapenzi yawe ya daima.. yasiingiliwe na mtu🥰🥰🥰👌👌👌
Kwakwel
Ameen
Nyimbo yenye kuliwaza haijawahi chuja kwangu
@@aishakabogo7477 Na haimbi nyimbo nzuri kama hii Mzee
insha llah mungu anijalie nimpate wakudumu nae ameeni.
babby dolly mmmmmh kwaio hauna
babby dolly nipo Mimi Kama upo teali tutadumu kwanguvu za manani
amina ishaalla
Ahahahaaaa
babby dolly nambie
Much love bin yusuph for this best song nitadumu naee
Kama wewe ni wa bara na wapenda taarabu gonga like 😜
😂😂😂😂habari ya mjini
Kwani watu wa bara ndio hamupendi taarab
@@RioIpo utamu wa taarab aujuaye ni mwana taarab...wapi kaka Sema kutoka Kenya
@@vincentmomanyi7992 Nipo Zanzibar
2020 mtagonga hapa
👇
I am from 🇬🇧🇬🇧🇬🇧
@@mariamzukas500 that's good, can we be friends
@@mariamzukas500 pamoja maryam👌😊😊😊
September comment hapa😂😂😂
From 🇧🇬
Miak 10 lkn km imetk Jan hii song inshallah me ninae ayunii wang nampndaa sana
Nyimbo ina miaka 20 iyo tangu 2003
I miss kigoma my mother land. I remembre when I was 14 years old. My uncle used to listen this song.
This song is very special
Hmmm mashaallah team kubwa hakuna mtu umbo dogo mazingira humbadisha ......this song was sang when i was 10yrs
Our favourite song nikiwa na mume wangu sai he is no more huwa inanikumbusha, rip bby
pole sana
Pole Sana mungu amlaze pema
Pole sana sister Innalilah wainna illahi Rajioun
Pole my Allah amrahamu
Pole sana mungu ampe kauli thabithit
Nitadumu naye Inshallah . What a song! Taarab ni mambo yote
Kennedy Rotich iyamunee
Hahahaha Kabisa
❤
Huyu ba mdogo pia yeye alivuma sana.nilizipenda nyimbo zake.swadakta...mie ni mkenya,wa mwambao wa pwani maeneo ya malindi.kipenzi wa nyimbo za taarab🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪💯💯💯💪💪💪❤️❤️❤️
2023 bado nadumu nae kama asemavyo mzee yusuf,pamoja budaa furah yetu milele
Mzee amesema anarudi mjing so karibu sana mzee watu
Kama nauri hana tumrushie tuu
Family really stay together😀🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Amin pia mie,allah anijalie nitakaye dumu naye.inallah kafuru rahim.
Inchallah may Allah gift you with the good one.
Nautambua huu wimbi wa kitaarab Sana... Mzee Yusufu inshallah
Wallah bora ulivyoamua kuacha hiyo kazi ya muziki maana jahanam ilikua karibu yako kbisaaa.
We mwenyewe jehanamu inakuhusu mkundu kweli wewe
My favorite song mashaallah much love from Mombasa Kenya 😍😍😍😍😍😍
Still listening the melody of the music. Love tarabb
mzee yusufu tutakukumbuka kwa hizi nyimbo zako bado twakupenda ata kama umewacha muziki inshallah Mola hakuongoze kwa kila jambo amen
Jamani bado natizama 2021 taraabu yangu pendwa kabisa sajawahi ichoka kabisa jamani
Heri wee my mi now 2923
I meant 2022
This is my best song ever, Miss u Mzee Yusuf wish u would come back from retirement.
Your wish was granted 😂
Hakika mungu anijalie wakudumu nae inshaallah......
Kiukweri naipenda sana hii nyimbo ...kusema yote siwezi ni siri yangu Mimi .wanaochanga mi nakomaa nae duuh
I love taarabu 🇰🇲🇹🇿
Mzee Yusuf mungu anakuon nabad twasikiliz nyimbozako niatar
mashallah one of my favourite song....kudos mzee yusuf
Irudiweee aiseee kitambo Sana lkn bado ipo moto aichoshi🔥🔥🔥
Nitadumu naye in sha Allah
Haijirudii tena enzi hii kama kweli gonga like
Inshaallah mungu in Jalie in mpate nitakaye dumu naye
I need a friend
Amin in shaa Allah
My favorite taarab music reminds me during wedding in2004
2018 and still my favo song. Like if you agree!
SIKOMI KUMSIKIZA MZEE YUSUF ASWAA "NITADUMU NAE"
Kasda za mzee yusuf
Noce
Inshaallah mungu anijaalie nimpate wa kudumu nae
Amboa bado tupo tunasikiliza mpaka 2020 naomben lac zen taalabu ni za zamani bwana
2023 and this still my favourate Taarab❤
insha'Allah nntadumu naye.... June 2023, tuko hapa
17-4-2020 bado tunaangalia mziki mzuri
Mungu tukinge na corona
Ameeen
Mziki mzuri
🙏
Walioko humu 2024 tujuane
🎉 mzee unajuwa unahaki ya kuitwa mfalume
duuuuuuuuh
dua zenu ndugu nimpate nidumu nae🤔
Nitadumu naye... ☺️☺️👌👌👌😍. Hii ni nzuri.
Jamen si mwanamke mmoja ajitolee n dumu nae😂😂 I love this taarab to infinity akhy
🤣🤣🤣🤣
Umeshapata wakujitolea? Its been 2 years....
@@christmas_egg-n4p Bado sijapata Maria,
Amerudi mjini kama wewe ni shabiki wake na umefurahishwa na hiyo habari gonga like yake hapa.
10 years is gone but Always on geogers thanks home. Tanzania
this song has more than 15 years
Hiyo ni penzi ya kweli kabisa
11/07/2024 niko hapa nasikiliza 🥰
Leo ndo nimejua ni ngoma ya mzee Yusuf.
Gvvcch
Nitadumu na yye InshaAllah
2019 and this is still my favourite Taarab song. wow.
@Said Mohamed 0
@@mariamfunga4343 ]
wow
mzee yusuf uko juu sn
Utamu uhondo wa twarab asanteni dada zangu 👍👍👍👍
Wano chonga nawachonge mzee zamani ulikua unaimba sana💋
Nikikumbuka kipindi hicho tuko vijana tunavurugu haswa kipindi hio tunaita rusha roho ikipigwa tu mtaani au mtaa wa pili tupo, dah! ilikua raha sana.
Inshallah mungu anipe wa kudumu nae
Duuhh mashallaashh hawa mademu ni wazuurii san aaaa❤❤❤❤😂😂❤❤❤❤
2018 bado twaipata kama kawa..😎.Wangapi tuko pamoja jamanii ?
Tuko pamoya musee
Kwani Nani aliesema kuwa Taarab ni Haramu???
Aswa
2018 Nov. Mimi ni moja wao
J
Kwakweli hakana atakaekuja kuuvunja ufalme wa mzee yusuf katika kizazi hiki kwakweli
2024 still my favourite song ❤❤
Tolingaka bango mingi❤❤❤
ONE of the best song ever.we would remember Mzee yussuf for this piece
My favourite song 💃💃💕
2023 still my favourite song 🎵
Jama2021 tugonge apa kwanguvu
Dah😋😋😋😋😋ina nogaaaaa jamna 🌹❤️2020 ila mwenyew mji wake karud mjin👌👌
Nitadumu nae .....hii taarabu bomba kupita zote
Nani2020 anasikiza!!????
2019 kma unaipata bado bofa like button🤗🤗🤗
Yani tupo pa1 sana
Yani haishi hamu kaa jana
Nafurahi sana wakati n'a sikiliza sauti nzuri saana ambalo Lina weza mtowa nyota pangini.
Ananipenda kichizi ndio maana nipo naeeeeee pambe sana 13/1/2021
Sawaaaaaaaaaa kaka
Napenda taarabu zako saana. Mzee Yusufu
Daaa ila watu tunatoka mbali mzee yusufu hapa dooo
Yusuf,my favourite, love his voice
yeah
Great music feels brand new hit every time you take a listen 🎧
Mungu atusamehe madhambi yetu
Ningependa kujua ule wimbo huimbwa"kuwa nawe sitamani "sijui title
Great and outstanding piece
mwamba anajua vema zaidi yaani hakuna mfano wake ,watakuja na watapita ila mwamba achana naye kabisaa
😍😍😍 Jamani mzee yusuf hensam tangu zamani 🥰🥰🥰😃😃
2020 bd naiyangari sn 😍😍😍👌
Wansotamani ni wengi umewashtukiyaaa bin yusuph nig up too❤❤❤❤❤❤❤❤😂😂
mashaallah kweli nitadum nae kwanguv za manani
From the lake side of kisumu but i cant run from taarab . napenda kama nini.
Namshukuru Munguwangu tulidumu mpakaalipoitwa
pole sana
Kama bado unaangalia na unaikubali mpka leo 2020 gonga like
2022 nipo hapa naipenda sana huo wimbo 2013 ndy wimbo nilioingia nao ukumbini siku ya harusi yangu yani haichuji hy nyimbo kweli za kale dhahabu
2023 bado tuna enjoy mziki mnene😍❣️🇰🇪
yaani mzee yusuph long time kitambo mwambaaaa, unatisha hii 2022
Enzi hizo na Bi mkubwa wake joha jmn mapenzi haya