DHAMANA YA BONIYAI YAKWAMA, HAKIMU AKATAA KIAPO CHA SERIKALI, KIBATALA AELEZEA KILICHOTOKEA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 34

  • @amanmalima940
    @amanmalima940 Місяць тому +2

    Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).

  • @AlexPetro-z1e
    @AlexPetro-z1e Місяць тому

    Mungu yupo atajaria

  • @jumannentimizi9000
    @jumannentimizi9000 Місяць тому +9

    Serikali inatumia kodizetu vibayasana leo watu wanakufa mhimbili hakuna madawaleohii ndg yangu amekufatumezuiliwa kutoamwili wa marehemu hadi 980000 zilipwe hapo kuna haki kweli?

    • @RamadhaniKitala-gx6wc
      @RamadhaniKitala-gx6wc Місяць тому +1

      Ndio maan tuna sema tubadirike ila wat hatujifunzi mpk yatukute hivyo pole sana kwa msiba

    • @EliakimuCharles1
      @EliakimuCharles1 Місяць тому +1

      Pole sana ndugu, Mungu atusaidie sana

    • @malkavoice2570
      @malkavoice2570 Місяць тому

      Huwezi amini Raisi anafanya misele ili kutuonesha haoni kinachoendelea lkn ukweli uko wazi watu hatuuelewi labda kama na yeye hana cha kupoteza basi aendelee tu ili tuone anaishi mielele kama sisi watanzania

  • @vivianxiong9543
    @vivianxiong9543 Місяць тому

    ❤❤

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 Місяць тому

    Serikali hamjui tu. Sio kila mbaya wenu anahaki ya kufa na kifo chake kipo mikononi mwenu. Lissu tu mmeona na hamjataka kujifunza. Someni bible na msaafu vzr mtajua hamjui

  • @davidkisinini8855
    @davidkisinini8855 Місяць тому

    Watu wengi wanaofanya dhuruma huwa wanasahau kwamba kuna mungu.

  • @andersonnyahove2867
    @andersonnyahove2867 Місяць тому +1

    Tuna mihimili majina tu lakini kiukweli huu ni mfumo wa kidikteta Kuna mtu kahodhi na kushikilia mihimili yoote. Tunajua Kwann wanahangaika na Boni hata hvyo udhalimu hua haujawahi kushinda

  • @farajabinamsimchimba
    @farajabinamsimchimba Місяць тому

    Toka lini police akajua sheria ,wanJua kutumwa tu

  • @estambuya3901
    @estambuya3901 Місяць тому

    Hakuna kesi hapo mwachieni huru, msitupotezee muda,na kuchezea kodi za wananchi.

  • @kisinza6077
    @kisinza6077 Місяць тому +1

    Maelekezo! Huu ni upuuzi uliopita kiasi! 😢

  • @PavilShenko-r5s
    @PavilShenko-r5s Місяць тому +1

    Dah

  • @vivianxiong9543
    @vivianxiong9543 Місяць тому

    yote yanapita hapa duniani ni mapito

  • @SubiranTimo
    @SubiranTimo Місяць тому

    Haaa kamanda pole b0ra upo hapo kwa nguvu za mungu akusoka ungapasyaga

  • @cyriacusjames9042
    @cyriacusjames9042 Місяць тому +1

    Hivi ni nana mwana ccm aliwai kushtakiwa alafu akawa na wapenzi kiasi hiki? Hakika jua cdm inakubalika toka rohoni.

  • @oslojob5688
    @oslojob5688 Місяць тому +1

    Wala siyo hakimu ni maagizo ya samia tu .asitoke ccm hawataki bon awe mwenyekiti wa kanda ya pwani.hakimu amekaliwa na ccm hakuna cha sheria wala nini. Ccm acheni uonevu

  • @richarddavidmk
    @richarddavidmk Місяць тому

    Mtu anaye sema chadema haina nguvu anajitekenya ,sasa huyo ni mtu mmoja lakini full usalama .ccem ina jua cdm ina nguvu ya kuchukua dola kwa kura za halal, CHADEMA SIO YA KUBEZA wakuu wanajua hilo.

  • @fidelisgeorgesinsangoh7244
    @fidelisgeorgesinsangoh7244 Місяць тому

    Michezo hii 😢

  • @jamaldaud-e4d
    @jamaldaud-e4d Місяць тому

    Ccm mnatufanya mazuzu sana kwahiyo kama kesi inakubali kuthaminiwa kipi kinashindikana au mnataka mpaka uchaguzi ufanyike akiwa mahabusu nashindwa kuelewa hawa ccm wanatupeleka kwa mfumi gani kila sehemu siasa zimekithiri

  • @SylvesterKameo
    @SylvesterKameo Місяць тому

    Danadana hizi kweli tutafika? Nchi yangu Tanganyika nakupenda kwa moyo wote!

  • @RusayaAweso
    @RusayaAweso Місяць тому

    Kwaiyo shida nn mpaka jaji anareta mizengwe nini shida

  • @MoEd-k8w
    @MoEd-k8w Місяць тому

    Kama kes inadhaminika kinachomfanya jaji achelewe kutoa dhamana ni nin. Huo ni mchezo wa siasa mahakaman

  • @RamadhaniKitala-gx6wc
    @RamadhaniKitala-gx6wc Місяць тому

    Yaan ccm mpk mahakamani 😮😮

  • @prophetislael5265
    @prophetislael5265 Місяць тому

    Wengi humu mnaongea ushabiki wa vyama ila swala lakesi sikieni tu kunakes hazina zamana moja kulinda uhai wamtu mbili kama kes unashtakiwa na jamhuli mzee usiombe hiyo kes hainaga zamana hadi ushinde

  • @MsukaFrancis
    @MsukaFrancis Місяць тому

    Hivi askali wote hawa wanamlinda mmoja tu

  • @MaxCharles-wj5dg
    @MaxCharles-wj5dg Місяць тому

    uonevu tu unao endelea

  • @HendricRomeo-jm1ge
    @HendricRomeo-jm1ge Місяць тому +1

    Michoro nini kinachomfanya ashindwe kutoa huku kapewa muda wiki tatu sasa zinakatika aseee

  • @EmmanuelChrispin-bo5xh
    @EmmanuelChrispin-bo5xh Місяць тому

    Oya waheshimia mweneone huruma huyumwamba

  • @amenya-bl5md
    @amenya-bl5md Місяць тому

    Ccm imeanza kusumbua wapinzan

    • @RamadhaniKitala-gx6wc
      @RamadhaniKitala-gx6wc Місяць тому

      Yaan yaan hapa inatakiwa kutumika sheria n lakin hapa kinachotumika ccm ndani ya sheria ya serikali