Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

EXCLUSIVE: LEO LULU AVISHWA PETE NA MAJIZO CHEKI FULL VIDEO MACHOZI YALIVYOMTOKA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 вер 2018
  • LEO LULU AVISHWA PETE NA MAJIZO CHEKI MACHOZI YALIVYOMTOKA
    Kupitia Cheni TV msanii wa filamu ELIZABETH MICHEAL LULU Amepewa suprise ya kuvishwa pete na mpenzi wake MAJIZO live.. cheki hii Exclusive

КОМЕНТАРІ • 1,1 тис.

  • @lonahlonstar1099
    @lonahlonstar1099 Рік тому +5

    Nairudia Tena
    Baada ya hawa kupata watoto wawili,wakiume na Wa kike..
    Mama GG Mrs MJ

  • @khadijanjama8721
    @khadijanjama8721 3 роки тому +55

    Kama umerudia tena hii video baada ya ndoa ya lulu tujuane😃😃😃😃

  • @jahkeyrenson4400
    @jahkeyrenson4400 5 років тому +1

    Lulu the best lulu ever yani umeshinda wanawake wengi watu wazima ovyo may the Lord almighty shower His blessings to you and ur family

  • @W.i.s.d.o
    @W.i.s.d.o 5 років тому +31

    Hongera sana lulu, Mwenyezi Mungu akutangulie na akulinde kwenye safari ndoa yako😘😘

  • @rosestanley7146
    @rosestanley7146 5 років тому +3

    Am so happy for you guys majizo and Lulu kweli nimefrahi mnoo juu yako Lulu Mungu awatangulie muishi kwa amani na upendo narudia nimefrahi mnoo

  • @josephinemirasi9556
    @josephinemirasi9556 5 років тому +6

    Congrats Lulu, you deserved this, am really happy for you darling. Have a blessed start once again.

  • @philomenamwingira9021
    @philomenamwingira9021 5 років тому +2

    Mungu akubarki na azd kuwabarki safari yenu ya maisha Hongera sana majizo kwa upendo wako kwa lulu

  • @sarahchambo6322
    @sarahchambo6322 5 років тому +2

    hongera baby lulu MUNGU akupe maisha marefu afute kila kumbu kumb yyte iliyowahi kukuumiza love youu

  • @zainabuyasin8189
    @zainabuyasin8189 5 років тому +6

    honger sana luluuuu mungu awabariki maisha yenu yoteeee na pia big up san dokter cheni we ni mtuuu wa pekee sana kwa luluu huwa humuachi nyuma kabisa mungu akubariki sana

    • @mozahchibaba7539
      @mozahchibaba7539 5 років тому

      Hongera mdogo wangu, umefanya jambo la heshima,umepitia mengi sn,lkn bado mkono wa mungu ukawa juu yk,,hongera sn nazidi kukuombea

  • @rosenamilia4140
    @rosenamilia4140 5 років тому +48

    Hongera sana Lulu kwa kuvalishwa pete na mtarajiwa wako Mumeo Majizo.Aliona wengi wasichana ila kakuchagua wewe uwe mke wake mwema. Mungu awabariki ktk maisha yenu.

  • @candydolly7726
    @candydolly7726 5 років тому +1

    i want to thank Mr.Makonda who is very supportative and Majizzo!!i really respect u so much,u have a strong heart,love and really amazing,if it was other men,would have not waited for LULU!!and u MJIZZO u did wait for her,God will bless u!!!whatever luck!!will come on your hands surprisingly!amen!!HAVE A HAPPY ENGAGEMENT

  • @carolinaadolf6955
    @carolinaadolf6955 Рік тому +1

    Lulu your blessed 🙌 😇 I'm here 2023 ..I love you Ellizabeth Michael

  • @delvinandossy7807
    @delvinandossy7807 5 років тому +41

    hongera sana lulu umepitia mengi hila plz utulie my dy

    • @jescajulius8023
      @jescajulius8023 5 років тому

      Delvina Ndossy ,tena atulie kwel na ajifunge mkanda

    • @hanifabana116
      @hanifabana116 5 років тому

      hongera sana my sister mungu akuongoze na akupe vizaz boora

    • @phoenessbernard6288
      @phoenessbernard6288 5 років тому

      HV nan anaongea nyuma ya video saut mbaya Ka yangu. Ananiharbia saut.

    • @mashakimaro3890
      @mashakimaro3890 5 років тому

      Mungu akubariki

  • @morhymataga3237
    @morhymataga3237 5 років тому +78

    Those who dislike these video never get proposed you've gut dirty hearts that can't be washed with soap I'm happy for lulu much love from Kenya Nairobi

    • @keziahmyself4296
      @keziahmyself4296 5 років тому +2

      Morhy Mataga waaa that English is not from kenya though😂😂😂😂congratulations lulu

    • @lucywamucii3217
      @lucywamucii3217 5 років тому

      Miss Melanin 😂😂😂am Kenyan too but most pple from coast aren't used to English but there is no problem if you av got the meaning and understanding

    • @marlenemanyonga8684
      @marlenemanyonga8684 5 років тому

      Wow congratulations

    • @saidabdalla8522
      @saidabdalla8522 5 років тому

      ajali ya mv nyerere

    • @omarinondo8831
      @omarinondo8831 5 років тому

      imepeee

  • @gloryjimson8353
    @gloryjimson8353 5 років тому +1

    Wooooooow #Lulu umenifurahisha Sana kipenzi changu, hata mimi nimetoa Chozi kipenzi Mungu awape maisha marefu yenye baraka tele. 💞💞💞💞💞

  • @zahrakazungu5026
    @zahrakazungu5026 5 років тому +2

    Hongera sana dada yetu lulu nakuomba utunze eshima yako ili uweze kua mke bora na udumu katika ndoa yako

  • @ashadimpls495
    @ashadimpls495 5 років тому +174

    Hongera my dear mm pia nalia kwa furaha😢mungu awajalie amani n upendo n maskizano daima Amiin

  • @jojonoor7183
    @jojonoor7183 5 років тому +36

    from what you went through .to get a man who will always stand with you it's not easy .thank God for the happiness of lulu .thanks so much majizo for being there for lulu .congratulation to you .I can't wait for your official marriage

  • @lashalashira3003
    @lashalashira3003 5 років тому +1

    Hongera sana lulu mwenyezi mungu awazidishie upendo na furaha.....Amen

  • @sheilanafula768
    @sheilanafula768 5 років тому +1

    Hongera sana lulu..mwenyenzi mungu awajalie maisha marefu na ndoa yenyu idumu cku zote muwe na furaha awajalie na watoto wa aina yote ndani ya nyumba muishi kushuhudia baraka za mungu🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @scolasticachapuga8745
    @scolasticachapuga8745 5 років тому +48

    Unafaa kuwa mke lulu na majizoo hongera

    • @gracetweve8485
      @gracetweve8485 5 років тому

      Majizo kamtuliza sana lulu hakana skendo siku.hiz kapo kimya

    • @neemamakundi2287
      @neemamakundi2287 5 років тому

      Hongera saaaana lulu. Mungu akutangulie kwa kila hatua.

  • @salmaissa5390
    @salmaissa5390 5 років тому +8

    Hongera sanaa dada lulu...hio ni changamoto umetupea na sisi wasichana wenzio...zaidi mungu awatangulie katika safari yenu.

  • @BillysFamily
    @BillysFamily 5 років тому +1

    Mungu akufungulie mema katika yajayo maishaini lulu . Your very special person and we always wish you well .mungu ni mwema siku zote

  • @annethmanase4003
    @annethmanase4003 5 років тому

    Nimekusaidia kufurahi lulu hongera sana sanaaa ukawe mama bora na Mungu atazid kufungua milango ya baraka USIMSAHAU MUNGU ALOKUPITISHA KTK MAMBO MAGUMU ULOPITIA

  • @devotaukani2816
    @devotaukani2816 5 років тому +12

    Hongera Sana lulu mungu yuko na wewe atakushindia Ktk maisha yako, mungu wetu achelewi Wala awai but anajibu kwa wakati na huu ni wakati wako💖👍

  • @clairkip753
    @clairkip753 5 років тому +31

    God bless you Lulu and Majizo....live long dears💑💑💑💑

  • @candydolly7726
    @candydolly7726 5 років тому +2

    i'am happy for u LULU Michaels,together with our prayers the ones that need u managed to pray until u got out of evil hands of falls accusation,be always strong,and serve GOD every day.

  • @mariyaal5366
    @mariyaal5366 5 років тому +1

    Waooo! Hongera sana lulu nimefurai hadi chozi limenitoka Mungu awalinde awape maisha yenye furaha upendo na amani katika maisha yenu

  • @naketizainabu7803
    @naketizainabu7803 5 років тому +3

    You deserve to be happy congratulations, God bless you and your new family

  • @wandedismas4404
    @wandedismas4404 5 років тому

    Hongereni Sana wapenzi wangu,,,lulu umewazidi wote hyo nichaguolako.mtunze akutunze,,,safi sana.

  • @genovevambwiliza9235
    @genovevambwiliza9235 5 років тому

    Lulu hongera Sana, nimefurahi sana kwaajili yako.

  • @user-bh3mb8tp8e
    @user-bh3mb8tp8e 5 років тому +57

    maajabu kbs lulu ni msani wakwanza kavishwa peter bila kuzini na kila mtu love you Lulu 😁😁😁wema alikuwa akishinda anatangaza ndowa ila Lulu amekaa kimya sasa anafanyikiwa kbs anavishwa pete angali mudogo siyokama wengine wasani 😘

    • @yasintaswahasni4747
      @yasintaswahasni4747 5 років тому +6

      Eti bira kuzini unauwakika gani kama ajazin na majizo unazani wameanza leo au acha kumsakama wema

    • @subrynerysegerow1323
      @subrynerysegerow1323 5 років тому +1

      فهد الحربي bila kuzin?😆

    • @briebella3895
      @briebella3895 5 років тому +2

      @@yasintaswahasni4747 amemaanisha kuzini na watu wengi congratulations Lulu😍

    • @husnauthman7609
      @husnauthman7609 5 років тому +2

      Kuzn .??ww unaropoka tu hawakuzn walikotoka????

    • @mwajumahamisi6738
      @mwajumahamisi6738 5 років тому +1

      فهد الحربي nampenda sana lulu isna uadui nae ila weqe wanuaje kama haajazini? Au kuzini n kuzaa kabla ya ndoa

  • @sherrykeya7370
    @sherrykeya7370 5 років тому +7

    Nani amekata kitungu huku 😭😭😭😭😭😭woow Lulu God time is always the best am happy for you darling

  • @akashakiyara3243
    @akashakiyara3243 5 років тому +1

    Wow this far is God,beautiful gal lulu,glory be to God,for your happiness. I love it.

  • @tatunyasulu6634
    @tatunyasulu6634 5 років тому

    Haya mimi yng macho na masikio, tusubir kwenye maisha ya ndoa.tutaona mengi sana

  • @kenya-yj3eq
    @kenya-yj3eq 5 років тому +8

    Hongera lulu..niko na imani ata mimi ipo siku nitavalishwa

  • @rubykibacho7035
    @rubykibacho7035 5 років тому +16

    Waoooo, congratz sana Lulu

  • @ashappyful
    @ashappyful 5 років тому +1

    I cried tears of happiness for her....congratulation lulu. God bless both of you and also those boys. Won't God do it!

  • @gabrielmugabo9223
    @gabrielmugabo9223 5 років тому

    Hongera sana LULU kwakuweza kupata Mme,nakuombea kwa mungu udum kwenye ndoa maisha yako yote

  • @salimaalphonsine448
    @salimaalphonsine448 5 років тому +12

    Hongera my dear lulu 😍😘

  • @seamansilver1840
    @seamansilver1840 5 років тому +87

    Yaani naandika nafuta kwa jinsi nlivyo na furaha iliyotoka mbinguni ooooh Lord .....

  • @queenseptember4640
    @queenseptember4640 5 років тому

    Nimejikuta machozi yananitoka.... hua napenda sana kuona this gal ana furaha always..... I love you guys and wish you happiness and joy.

  • @queenlinda255
    @queenlinda255 5 років тому

    I can see true love. Hongera sana na nina tumaini Elizabeth utatulia mdogo wangu achana na yaliyo pita wale watoto hao kwa mapenzi yako yote na uitunze familia yako all the best 🙏

  • @momodoha6042
    @momodoha6042 5 років тому +10

    Mvumilivu ula mbivu Ongera sana lulu Sweetheart wa Majizo

  • @fettymbogoma7158
    @fettymbogoma7158 5 років тому +5

    Sina cha kusema kwa jinsi nilivyofurahii........dear lulu ukawe mfano kwa mastaa wenzako

  • @shanially8837
    @shanially8837 5 років тому

    Hongera sana Lulu kwa kuvishwa pete mungu awape wepesi

  • @pelusemanueli858
    @pelusemanueli858 5 років тому +1

    wooh hongera sana dalulu hakika mungu ni mwema nifulaha isiyo kuwa na mwesho.❤❤❤❤

  • @subirachuttar6490
    @subirachuttar6490 5 років тому +27

    Hivi Hawa walio disliked hii video wanaelewa maana ya DISLIKE kweli???? au ndo tunabonyeza popote tuu??

  • @ashurahaji3475
    @ashurahaji3475 5 років тому +19

    Hongera Lulu mungu akuongoze katika safari yako ila nakuomba usiache kuigiza

  • @judithallen5906
    @judithallen5906 5 років тому

    Waooooh hongera sana lulu Mungu akutangulie akazid kukufanyia wepes

  • @alexiusclement9704
    @alexiusclement9704 5 років тому

    Hongera Lulu. Mkuu wa mkoa unavaa jezi ya sportpesa kwenye sherehe.

  • @uwamahoroemanneul4527
    @uwamahoroemanneul4527 5 років тому +6

    Lulu mungu ayibaliki ndia yako muyishi kwa amani na upendo

    • @metmatayo850
      @metmatayo850 5 років тому

      hongera sana my dear mungu akutangulie ktk safari yako ya maisha.

  • @evamasinde8026
    @evamasinde8026 5 років тому +2

    Yaan majizo katulia sana cjui hamisa kilichomfanya aende kule cjui ni nn.hongera lulu wote mmekutana mmetulia.

    • @zureamandai1654
      @zureamandai1654 5 років тому

      Eva Masinde ujue tamaa ndio zinatupoza amisa tamaake ndio ameangukia pua sngejua angevumilia2 kwa uyu, anavozalilika sasa anajuta

  • @genelnchera4905
    @genelnchera4905 5 років тому +1

    Waooooh lulu hongera sana mungu awapigania awape haja ya moyo wenu

  • @jonaselias7729
    @jonaselias7729 5 років тому

    Mungu humbariki MTU tuu kwa kuutazama moyo wake hongera Lulu Mungu kakuheshimu sana zaidi ya yote kakupa watoto wazuri...sana...God bless you so very much...

  • @ashurahaji3475
    @ashurahaji3475 5 років тому +7

    Umepitia mengi sana mazito mungu akubariki

  • @joleenmasha
    @joleenmasha 5 років тому +21

    mungu awa bariki nyote wawili mumepitia mengi

  • @neymermponde7810
    @neymermponde7810 3 роки тому +2

    Nimekuja baada ya harusi 😍😍😍😍😘😘

  • @elizabethshilole4432
    @elizabethshilole4432 5 років тому

    Hongera sana my love LULU mungu awasimamie daima mweze kamilisha malengo yenu mlojiwekea😍😍😍

  • @AmianiLinda
    @AmianiLinda 5 років тому +16

    All the best🎊🎉🎊🎉✨✨✨😘😍😍❤❤🎁👏👏🎁🎁🎁

  • @tinyaanosiatha1118
    @tinyaanosiatha1118 5 років тому +6

    Hogera sana. Lulu mungu awabaliki pamoja na majizo.

  • @christinakilimba4053
    @christinakilimba4053 5 років тому +1

    I'm very happy to your employer, and congratulations 🎆 Elizabeth and Majizo, Mungu awatangulie katika safari yenu mpya na kushinda majaribu zaidi ya ayo mliyopitia. Nawapenda sana

  • @blacktaugustine3764
    @blacktaugustine3764 5 років тому

    Hongera sana Elizabeth Michael, Mungu akupe furahs na Amani ktk ndoa yako.

  • @monahjabil1191
    @monahjabil1191 5 років тому +9

    Wow hongereni sana Mwenyezmungu awajalie kila la kheri, machozi yafuraha yamenitoka

  • @madamkenisaleko1404
    @madamkenisaleko1404 5 років тому +75

    Lulu wanifanya nilie kwa furaha

  • @binzuadaudi7772
    @binzuadaudi7772 5 років тому +1

    Am happy for you kipenziiii ,,,mungu akuongoze kwa kila hatua upigayo

  • @jacquejonas9734
    @jacquejonas9734 5 років тому

    Nimefurahi sana barikiwa sana Lulu na mmeo mtarajiwa Mungu awatangulie

  • @tendatanzania8358
    @tendatanzania8358 5 років тому +19

    Hongera sana lulu

    • @elieereka8744
      @elieereka8744 5 років тому

      Ni kiki hizo au ni ukweli ?????

    • @redme2622
      @redme2622 3 роки тому

      Mimi niko burundi nakupenda sana

  • @agnessanga2940
    @agnessanga2940 5 років тому +9

    hh crip nimeiangalia toka saa tano mbak saiv saa sabaa daaah Majizo ni mwanaume kat ya wanaume chini ya jua ,, oooh lord give me a men likee Majay 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

    • @kahuyasuleiman8879
      @kahuyasuleiman8879 5 років тому

      Pls a man not a men

    • @glorykapenja9473
      @glorykapenja9473 5 років тому

      Mungu akupe hitaji la moyo wako

    • @ulimwengu5599
      @ulimwengu5599 5 років тому

      Why ni mwanaume kati ya wanaume!?What special about him!?

    • @lizb2012
      @lizb2012 5 років тому +1

      Jamani muongee tu kiswahili, mnatia aibu. Mnatuchosha na kutupa kizunguzungu 😰😵. Kuongea kiingereza haina maana wewe ni bora zaidi. Ni lugha tu kama kiswahili au lugha nyingine yoyote. Badilisheni fikira. Pendeni vya nyumbani jamani.

  • @matatasaid733
    @matatasaid733 5 років тому

    Nimeipenda mungu awabariki sema harus za wasanii zi apendezaga mipango yoooooye analia kwa mshangao inamana hajajua nn kilicho mpeleka pale hii imenikumbusha nilihudhuria harusi moja bwana harusi baada ya kuulizwa UMEKUBALI KUMUOA BINT FLAN bwana harus kwa mshangao akauliza """SASA NIMEFATA NINI APA???""

  • @benfrancis8288
    @benfrancis8288 5 років тому

    Hakika Mungu anajua namna ya kumfuta mtu machozi Lulu pamoja nakupitia matazo mengi ambayo yalikufanya ukaona kama umetengwa na jamii lakn Mungu amepa furaha ya milele.Hongera sana LULU Mungu awacmamie mfikie lengo

  • @lydiahneriss6183
    @lydiahneriss6183 5 років тому +6

    Awasome, very amaizing, congrats Lulu and Making😍😍😍😍

  • @momodoha6042
    @momodoha6042 5 років тому +61

    Lulu Mshikilie kisawa sawa Coz kuna Vampire 😁😁😁😁😁

    • @yshamwilima3301
      @yshamwilima3301 5 років тому +1

      😂😂😂😂😂mungu anakuzooom

    • @cleopatraefatha3859
      @cleopatraefatha3859 5 років тому +1

      Momo Doha....na vampire wa kwanza ni Hamisa mchawi

    • @Jolly_Jollyk
      @Jolly_Jollyk 5 років тому +1

      Nikwer yule yule 😬😬😬😬😬

    • @marymarwa8428
      @marymarwa8428 5 років тому

      Momo Doha 😀😀😀jinga wee

    • @momodoha6042
      @momodoha6042 5 років тому

      @@marymarwa8428 😁😁😁😁😁Sawaa tu

  • @chikubijoumaulidi5897
    @chikubijoumaulidi5897 5 років тому

    Masha'allah adi uchungu allah akulinde vijuso vya binadamu na vikwazo katika maisha yako kila la kheri@Lulu

  • @samsonmagesa3959
    @samsonmagesa3959 5 років тому

    Lulu ulivyotao Machozi ya Furaha Nimemkumbuka The Great Kanumba Kila laheri katulie Pia Mkumbuke Sana Mungu Amekuvusha na Mengi

    • @reginajohn8797
      @reginajohn8797 5 років тому

      Hongera sana lulu kuolewa ni neema ya kutoka kwa Mungu. Be blessed dear.

  • @scolasticachapuga8745
    @scolasticachapuga8745 5 років тому +10

    Hatimae yametimia hongera saba lulu kwa hatua ulofkia

  • @rayrayroblox5663
    @rayrayroblox5663 5 років тому +13

    Wengine walienda kuwa Ganga .eti waolewe haaaaaa ongera sana lulu .kuna mtu atapata tabu shikiliya sana

  • @jaliakamote5485
    @jaliakamote5485 5 років тому

    Isee nimejiskia vizuri sana, najikuta naongea peke angu,nasema Lulu mungu akujaalie ufunge ndoa hakika umepitiamengi jamani binti wawatu,uepushiwe kila baya mpnz.

  • @mcisunga3822
    @mcisunga3822 5 років тому +1

    Hongera sana bidada mungu akupe maisha mema pamoja na mwenza wako pls siku ya ndoa iwe live jamni tupo mbali na Tz

  • @momodoha6042
    @momodoha6042 5 років тому +120

    Hamisa mobetto hali taabani leo wenzako waolewa wewe wang'ang'ani master kina diamond😁😁😁😁😁 utazalishwa mpaka Maku ilegeee iyoo ...

    • @pendomwanamkuu
      @pendomwanamkuu 5 років тому +1

      Hahahahaha yomiiiiiii

    • @laymapeace4538
      @laymapeace4538 5 років тому +1

      hahaha umenichekesha wewe

    • @maryammarym4437
      @maryammarym4437 5 років тому +1

      Momo Doha dini tofauti mbona majizo

    • @beuntflyhusnakasy9320
      @beuntflyhusnakasy9320 5 років тому +12

      Asa hamisa anahusiana na nin hp kwa lulu mwachen mtot wawatu kila mara kumtaja tuh

    • @majaliwagessler4443
      @majaliwagessler4443 5 років тому +6

      Momo Doha ,sasa hamisa amekujaje hapa ? Kwani ameanza yeye kuachwa Aah mbona mwamwandama mtoto wawatu ebu mwacheni

  • @evvajohn5748
    @evvajohn5748 5 років тому

    hongera majizo kwa uvumilivu wote ktk kipindi chote alichopitia lulu mungu akupe furaha ya ndoa mnayoitalajia pia mpate family bora.

  • @chemsachouchou3087
    @chemsachouchou3087 5 років тому +28

    Ongera mamy Mungu akutangulie mbele

  • @leilagabriel1513
    @leilagabriel1513 5 років тому +7

    Kiukweli nimelia co kwa surprise hii jaman lulu hakika mungu atakufanyia wepesi endapo ukimtumikia

  • @subirajohn728
    @subirajohn728 5 років тому

    Hongera my Angel Lulu Mwenyezimungu akulinde na mtarajiwa wako ili mtimize malengo yenu. Amina

  • @wemadoktarmichael6448
    @wemadoktarmichael6448 5 років тому +47

    Makonda unatuaribia shuhuri haya na hilo litisheti la simba wapi hapo taifa

    • @jenifermsua6362
      @jenifermsua6362 5 років тому

      Ongera sanaaaa my dear lulu mwaaaa nakupenda sana momii mungu awajalie maisha marefu

    • @marynon6033
      @marynon6033 5 років тому

      Wema doktar Michael hahahahahaha

    • @madinakipingu4252
      @madinakipingu4252 5 років тому

      Wema doktar Michael 🏃🏃🏃🏃🏃😂😂😂😂

    • @annajoseph9959
      @annajoseph9959 5 років тому

      😁😁😁😁😁😁😁😆

    • @africanchild4525
      @africanchild4525 5 років тому +1

      mie niliona hiyo tishet kabla ya yote nikasema kulikoni kuvaa jezi kwenye shughuri kama hiyo. haha

  • @scolasticachapuga8745
    @scolasticachapuga8745 5 років тому +7

    Mmepitia mambo mengi sana yan jamn halali kwa mlipofikia

  • @georgettetiemele8220
    @georgettetiemele8220 5 років тому +1

    👏👏👏👏👌✌🌹😘lulu the best, sooo pretty woman, God bless you,winner.from 225, ivory coast.

    • @neemalabani91
      @neemalabani91 5 років тому

      Georgette Tiemele ongera sana lulu

  • @felisterbagege2019
    @felisterbagege2019 5 років тому

    Hongera sana lulu mungu akusimamie ktk uchumba wako na ije iwe ndoa kabisà

  • @kadungulu1
    @kadungulu1 5 років тому +3

    Awww that was so sweet i am happy for you Lulu

  • @berinhodesmile6655
    @berinhodesmile6655 5 років тому +3

    Jmn ad nimelia nawapnda lulu na majiz mngu awatngulie kila lakhr

  • @siaammo1104
    @siaammo1104 5 років тому

    Hongera sana Lulu Mungu akutangulie uzidi kufanikiwa.

  • @FloraHerena
    @FloraHerena 5 років тому +2

    Such a great thing! This is wonderful. God bless your union

  • @PM-wp2yr
    @PM-wp2yr 5 років тому +5

    I seriously cried 😂😂😂she didn't see this coming 😂😂😂😂🌹🌹🌹hongera

    • @bizaymohd2255
      @bizaymohd2255 5 років тому

      War

    • @jingeermussa8967
      @jingeermussa8967 5 років тому

      Kila kit kinapangwa namungu kwann mnapenda kmuongelea hamisa jmn amewakosea nn kwan kuzalishwa kulianza nayey hamisa usiogpe simama kama mwanamke mbon uyo zari kuzalishwa nawangap ila amuongei

  • @elizabethmakina8955
    @elizabethmakina8955 5 років тому +3

    Congratulations lizy God is good.be strong

  • @alvinalexanderalvin7359
    @alvinalexanderalvin7359 5 років тому

    Hongera lulu,,hata hivyo hunaga maskendo mbali na ile ya marehemu...na tulikuja kufahamu baada ya maut kumfika...na IMANI utakuwa mke bora na mama bora pia ..ktk kila gumu ulilopitia MUNGU alikuwa anakuandalia mlango wa kutokea..."HONGERA SANAAA""

  • @halimasaleh5705
    @halimasaleh5705 5 років тому

    Daaah Lulu umeniliza , hongera sana mungu akusimamie

  • @agnessanga2940
    @agnessanga2940 5 років тому +5

    umenitoa machoz mnooo lulu ww ni mwanamke mama hakuna marefu yasiyo na nchaaa😭😭😭😭😭😭😭😭😭

    • @linahbaby9462
      @linahbaby9462 5 років тому

      ongera sana mdogo wangu nakupenda ila jifunge mkanda ndoa ni misukosuko ila usikate tamaa mshukulu mungu kwa kila jambo

  • @mosesnghogwa2614
    @mosesnghogwa2614 5 років тому +8

    Mmhhh,unadai kuwa lulu kavishwa pete bila kuzn unachekesha,, huyo mtoto kaanza hizo mishe tangu akiwa na miaka chini ya kumi na nane,,unamkumbuka kanumba ,ally kiba na wengne wengi?,

    • @esterpromy3183
      @esterpromy3183 5 років тому +2

      😁😁😁😁 kashavurugwa sana huyo

    • @upendorobert7298
      @upendorobert7298 5 років тому

      shangaa na ww, kuna mijitu kwa kusifia hata ujinga haijambo, MTU anaweza pakaa kinyesi usoni, lakini kwa kujipendekeza, akasema kapakaa foundation grade one, Haaaa, ukilaza mwingine, duuuh,!!

    • @janedaudi8190
      @janedaudi8190 5 років тому

      Moses Nghogwa acheni wivu

    • @esterpromy3183
      @esterpromy3183 5 років тому

      @@janedaudi8190 kwan hajavurugwa huyo na kina kanumba kilikuwa kidogo afu mtu anasema et cyo mzinzi

    • @noreenjohn8798
      @noreenjohn8798 5 років тому

      Kila mtu ana past yake mkeo mwenyewe au mumeo alikuwa wa mtu so let it be

  • @nicenice413
    @nicenice413 5 років тому

    Haki Lulu umejua kuniliza Leo!! Hongera sana sana

  • @amaniuhuru6669
    @amaniuhuru6669 5 років тому

    mungu akusmamie lulu mpenz na hv ulvyotulia nazid kukupenda acha wadangaj wafanye birthday km ndoa