Wallah pia mm nimemshangaa mambo ya aibu upuzi si amemfhilslisha uyu mke ata wazazi walijua slijipeleka na akalala nae ati aliogopa kulala pekeake sasa ungemaliza tu jinga sana
Muongo huyo bint alikuwa anakutaka ila alikuwa anapima joto linaloitwa "nataka sitaki" alikuwa anavunga tu si unaona alijileta mwenyewe. Inawezekana alikuwa amekupenda ila pimanjoto lazima.
Sema huyu jamaa anaonekana mwingi wa habari tu binti ajipange kabisa ni kamalaya flani hivi am thoreee😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣
Yani hata mtu humjui? Aisee Una roho mbaya sana wewe na ulaaniwe, unaita watu malaya huwajui
Sa@@user-ih9xy5vd5dameyataja mwenyewe sass kuongea ayo yote ilikua ina haja gani mahali pako na watu tofaut tofaut
@@user-ih9xy5vd5d ummm ni kweli ety nae a comment 2 someone kakomment🙏😂😂
Hata mimi kipenzi changu day one tu aliniambia wewe ndo mke wangu na ikawa!asante Yesu!
Tupo Wengi
Me pia
The guys jus know 😂
Na mimi nilimwambia mke wangu day one kua ndo utakua mke wangu tupo mpaka leo mwaka 8@@liliansuzymlay9398
Huyu mwanaume anaongeaaa🙌
Khaaa! Biharusi nae cku ya kwanza tu kampa namba
Mda mwingine 2achege ushamba kwani hujawahi kuona mwanamke anakupa namba yakwake kweli au sio namba kweli niongo namda mwingine anakupa yakwake kweli lakini unaishia kuchunwa nahupati chochote kutoka kwake
Haponpenyewe wapo wawili kichwani hahahahahahahaa
Wanyakyusa hawawezi kukaa na kitu kooni 😂
Mmependeza sana wenye wivu wajinyonge mungu awasidie tu
Sasa ya nn yote hayo,duuu had mmeipozesha shughur, yaan mpaka unaongea mbele xa watu kwamba aliogopa kulala peke yake duuu!!! Ndoa za ck hiz ni hatar
Sijui ndio nini Historia ndefu saana
😢😢😢😢
Aibu naona me 😢😢😢
Unaona aibu umeoa@@user-uj5wg9mm2t
Wallah pia mm nimemshangaa mambo ya aibu upuzi si amemfhilslisha uyu mke ata wazazi walijua slijipeleka na akalala nae ati aliogopa kulala pekeake sasa ungemaliza tu jinga sana
Nimekenua hapa 😂😂😂😂😂😂
Wana hombolo oyeeer
😂😂😂😂😂😂fisi kapewa bucha naogopa kulala peke yangu
😂😂
Muongo huyo bint alikuwa anakutaka ila alikuwa anapima joto linaloitwa "nataka sitaki" alikuwa anavunga tu si unaona alijileta mwenyewe. Inawezekana alikuwa amekupenda ila pimanjoto lazima.
Hahahahaahhahaahhahahaahhahaaha nimecheka sana
Kwahiyo walizin kwanza af wakamuomba MUNGU
End of Story Binti kapumuaaaaaa
Huko kupumua kuna maana yake
Anaongeza chumvi huyu 😂😂
😂😂😂😂😂 story hii inachekesha sana
Pombe buana haijawahi mwacha mtu salama aiseee
😂 kwahiyo unamsema jamaa yangu
😂
Mmh ana sifa ila watu wanaume wanene ndo walivyo😂😂😂
Jaman nipe hata ndug yako niwe shemej yako bwana harus. Lakin awe mnene sipend wanaume wembamba
Sasa mbona hajatwambia alivoenda chumbani ikawaje😅😅😅😅😅😅
Kaaa yani wewe😂😂😂
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂 au nawewe ulitaka kuweko ungeomba mwaliko😅😅😅
Ngoja huone so utatamani kujichimbia
Dada wa watu anashangaa tu ameshindwa aseme nn😂😂😂😂
Upuuzi tu huo. Hiyo ni mbele ya wazazi eti!! Wanajieleza hivyo ili iweje?
Wala siyo aibu mambo ya kawaida.
Ahahaaaa ilikuwa lini kaka iyo sherehe imenikosa
Mshenzi tu wewe kwa hiyo ulizini mkristo mlevi gari ya serikali mbwa wewe
Mbona brother unable maneno hivyo kuna ndoa hapo kwrli
😂😂😂kichwan wako wawili kumbe alitarajia siku hiyo anaenda kuonja 😋🤣
Kijana malaya
Wenye wapenzi wanao kunywa pombe tunakikao chetu
Duuuh😂nmefrahi sana
Bigarusi mwenyew mabega kama kama za kudu
Woyoo mambo ya hombolo nyie🥰
Jamaa muhuni alafu vitu ingine vya uchumba uchumba ni vya chum Ani zio mbele ya wazazi wakwe story za siku hizi bwana Bure kabisa
Mambo ya aibu
Stor za uwongo
Kalikuwa kachangu
Sasa mbk inshu ya gar ya serikal imeingiaje hapo??sifa za kijinga
Dah kuna majina mengine ni matusi eti umboro😂
Sio umboro ni hombolo
Ni hombolo wewe
We mwehu acha matusi ni hombolo
Nimechoka hapo umbolo😂😂😂😂😂😂 Hadi machozi daah😅😅
😂😂😂
😅😅😅😄😄😄
😂😂😂 mhhhh
Aache ushamba
Nawakipata shida huwa wanakua wapole kweli ila hawatukubali ila hapo wanatukubali kwa muda
😂😂😂😂😂
😂
I
ujinga mtupu
Wivu huo
Nachukiaga wanaume km Hawa,,MTU Kwa mara ya kwanza tumekutana unaomba nambaa,,sitoii,, dharau izooo😮
Sasa unataka utoe lini wakat kila mtu Ana movement zake
Muongo kwanza nyie ndo mnakuwaga wepesi
Unataka akuombe mkikutana mara ngapi?
Kuombwa namba sikutongozwa
@@joycekalago532mara kumi😂😂😂
😂😂😂
🤣🤣🤣
😂😂😂😂
😂😂😂😂