TUBUNI NA KUIAMINI INJILI KWA MAANA UFALME WA MBINGUNI UMETIMIA. YESU KRISTO NDIYE NJIA YA KWELI NA UZIMA. AMINI UOKOLEWE SAA YA WOKOVU NI SASA, YESU KRISTO ANAKUJA SASA HIVI.
Lulu ni mzuri, watu wengi wanamchukia kwa chuki binafi tu. Siamini kwamba ndo kamuua Kanumba, yachumbani anajau marehemu na Lulu mwenyewe wengine tupige kimya.
She is a good gal bana mungu akiandika haufutiki en lulu nisababu tuu jamani she can't kill bana hatakama mwamchukia basi hivyo kumbukeni Leo yy Kesho itakuwa ww utaambiweje love you lulu en may god be with you
acha jeuri we ni star unapo ulizwa kitu yu must be answer ipasavyo co kwa nyod,2 kiivo OK lulu na ndoman mkaambiwa ni kioo kwa jamii,,we uliona wapi star hazungumziw!!!
Big up my people i love the interview when I watched through you tube I real feld at home thou im far fro home TZ miss you SIS SALAMA JABIL na wooote in studio,
lerchol mndeme ukweli huyu dogo amezidi ata mimi nampenda kiubinadamu lakini anauzi kitabia, kiukweli acpobadilika atasababisha watanzania wengi kumchukia na pia kukosa mengi zaidi atulie anauzi
I didn't like her attitude at times..as in how she answered some questions..gurl,they are just asking,its their job..no need of being hyper!!!af pole uko uliko saivi...INSHAALLAH utatoka tuu..now yu too young 2 be there not to have a boyfrnd!!wagwan
TUBUNI NA KUIAMINI INJILI KWA MAANA UFALME WA MBINGUNI UMETIMIA. YESU KRISTO NDIYE NJIA YA KWELI NA UZIMA. AMINI UOKOLEWE SAA YA WOKOVU NI SASA, YESU KRISTO ANAKUJA SASA HIVI.
Namkumbuka marehemu Ruge, aliposema kwa Dunia ya Leo, ogopa Sana Mungu na Technology.
Yesu yuaja. Na ndie njia na kweli. Hakuna kama Yeye.
i love the way salama jus makes people speak and speak... she knowz how to play wid people's psychology!!!!...
Lulu ni mzuri, watu wengi wanamchukia kwa chuki binafi tu. Siamini kwamba ndo kamuua Kanumba, yachumbani anajau marehemu na Lulu mwenyewe wengine tupige kimya.
USHAURI WA SALAMA WA MWISHO KWA LULU NI MZURI SANA."KAMA KUNA KITU KIBAYA UNAKIFANYA UKIACHE KITAKUHARIBIA" GOOD MSG.
i real appriciate u lulu no matter what pipo say about u ur ma rollmodel
She is a good gal bana mungu akiandika haufutiki en lulu nisababu tuu jamani she can't kill bana hatakama mwamchukia basi hivyo kumbukeni Leo yy Kesho itakuwa ww utaambiweje love you lulu en may god be with you
am jst watching the way lulu is fixing her lips like collagen, rolls her eyes then burst out ......i love this chic seriously
Is true 18 sis lulu I love ❤️ u more Elizabeth 🙌❤️👐👐🥰
acha jeuri we ni star unapo ulizwa kitu yu must be answer ipasavyo co kwa nyod,2 kiivo OK lulu na ndoman mkaambiwa ni kioo kwa jamii,,we uliona wapi star hazungumziw!!!
so cute lulu
Salama I like the way unauliza maswali.
Jmn salama nakupenda jmn
penda sana wewe lulu..........!!!!!! you are xo sweet...!!! you are xo goood...!!! you are mwaaaaaaaaa
Salama wanijaz tu sana, am always crazy with your interviews.....
Big up my people i love the interview when I watched through you tube I real feld at home thou im far fro home TZ miss you SIS SALAMA JABIL na wooote in studio,
lulu she is the best and beautiful
Kwa hyo mwaka huu 2023 una miaka 28 lulu OK✅
Salama you are very intelligent!
nimeipenda sema dogo apunguze poooz
Salama Ana IQ KUBWAAA SANA and she's one of my Idols But Hao Majamaa wamezidi maneno afu swaggers ziko 50%
hongera xalama we unatxha
Salama is very brilliant
Salama make sure hao vijana hawaingilii sana maana wanaharibu sasa!!
j'ai vraiment aimer cette conversation
Yaani Huyu LuLu muongo sana
Mrs Majizo
Kuwa silias na kile unachoulizwa mamii uielimishe jamii
Salama wewe ndio bora kuongoza interview...hao wakaka this time wameingilia mno this time. Imepunguza quality ya hii episode.
Love you
kalulu jamani miss you kalulu
hao vijana ni vishoia tuu, salama its either u limit them o waache kudandia hilo tren lako kwa mbele
Maggy MM
Love u lulu i want to play a movie with u
why do they overlap questions FFS?Muache ajibu swali halafu muulize lingine!!sana sana hao jamaa wawili.
Ka cute lulu 😘😘💋
love u lulu
penda sana ushauri,utaona wepesi wa mambo yako
i like the confidential of both
lulu nakuombea kwasababu huku husika ni vile ulikuwa kwenye kisa hucho na sasa najua kesi yako itakuwa shwari.
ndio kama vile vimiba eti hazijui mbigili shenzi huyu
Mabinti wanaaribika sana
lerchol mndeme
ukweli huyu dogo amezidi ata mimi nampenda kiubinadamu lakini anauzi kitabia, kiukweli acpobadilika atasababisha watanzania wengi kumchukia na pia kukosa mengi zaidi atulie anauzi
lmaaaoo dahh Lulu muongo jamani
Mambo
on point!!
lulu is fine
Lulu mtoto mzuri halla @ me ;)
nakupend bure😘😘
love u
Dah Lulu muonge
looking good
luv u ma lulu
Ukweli ukidhihiri uwongo hujitenga...!
i mic u naaangaliii hii 29/11/2017
lulu unazingua wekilakitu unakata a.a.a.a bhana hem jitahidi kusema ukweli
mkasi iko poa sana
abdallah mnzava p
Sasa, jamani waswazi vipi? Jamaa huyu kwanini hatumii groves? Tufunze usafi basi.. I'm digging this social talk show though.
nimesabscraibu kwasababu ya salama
shes pretty....
fala we lulu majibu gan sasa nn maana ya itave
Mmmmmm liongo sana ili lijinga wakati limesha tolewa bkra nacheni
lulu kwnini unapenda kutembea mibaba
Ulimwona na babako
+Brenda Otsiula 😂😂😂👏👏
Nicox Dota Kamum bogo.much.sawaka
Lulu big up
En
Sina boyfriend nani kweli
Mshawahi kujiuliza faida za umalaya nahasara zake
nimependa Question Ya Boyfriend!!
So good
Dogo unabonga sana,kama ni kweli its ok but kama sio mbona janga?
unambwembwe sana mpaka unaboa
salama wewe uko poa kabisa ila hao majamaa sio kivile, itabidi waende shule kwanza
Sina boyfriend!!! na yule Kanumba......
kadogo kamekuzidi
halafu washikaj wenyewe maswal yao pumba tuu
😂😂😂😂😂
Yahp!EATV mko juu
Ivi nikweli Lul aliuwa
hakua ua
katotoooooo, akikua ataacha
salama punguza mioshoooooooooooooooooooooooooooo111111111111111
hayasemangi ukwele hawa wasanii
HAYA BANA
hasa huyo cheusi rasta anauliza pumba sana!! kwani anaelimu gani? au kakimbia umande?
yani kaangalia kamera na kusema kuwa ana miaka 18! Sasa mbona umri umekuwa ishu kwenye hii kesi yake? Ina maana ni muongo kiasi hichi?
18....hio ni yako
Is she still in jail?
wow
poa sana lulu my
PETER MBOGO
Huyu demu ni muuaji, hafai kuwa nae kwenye jamii, wacha akaozee jela huko.
tishaaaa
kashenzi haka kadada sikapendi kahuni tu nyoooooooooooooooo
ata we hupendwi
Humpendi umemuumba wewe?
Acha wivu
Kama ww humpend bas mm nampenda
Caslida Josephat acha ufara wewe hapo nibikla?mpaka unamwita mtoto wa mwenzio mhuni
Issa mtea
hu ngombe hiki
Yaan madem kwakupondan
I didn't like her attitude at times..as in how she answered some questions..gurl,they are just asking,its their job..no need of being hyper!!!af pole uko uliko saivi...INSHAALLAH utatoka tuu..now yu too young 2 be there not to have a boyfrnd!!wagwan
hi
Is salama lesbian..... I looooove her and how she comes across
😏😏
Duh
nzur io
Ballaa
no
anazingua