Lulu hongera sanaa.. my dear kuolewa ni raha sanaa na pia inalete heshima fulani kwa mwanamke... waache wasiojua maana ya kuolewa waendelee kudanga huko... nakupenda sanaa mdogo wangu lulu. Mungu akujalie uzae watoto wazuri kama wewe...
Dr anaenekana ni mwenye furaha sanaa kutokana na furaha ya Lulu nilikuwaga namuona mara kwa mara akiwa mstari wa mbele kila cku wakati wa kesi ya lulu wasanii mnatakiwa kupendana na sio kuchukiana chuki mwisho wake ni ubaya.
Mashaallah hadi nackia kulia kwa furaha naomba mungu azindi kuwacmamia kwa kila hatuwa yenu ongera sna lulu umepitia mengi mangu lkn mungu juwa yuko nawe wish you all the best of life amen
Upendo Kambinga, umeongea sawa kabisa, Elizabeth yashike hayo, na miaka yote iliyoliwa na nzige parare na madumadu imerejeshwa, endelea kumtumainia MUNGU nae atakuwa nawe na familia yako daima, hongera sana Elizabeth
Lulu mungu azidi kukulinda na kukufungulie zaidi yaliyomema tena akuwezeshe ufunge ndoa haraka na upate ujauzito wa mapacha wa kiume yani akupe kizazi bora nakupenda sana dogo uliyoyapiyia yanatosha ata bwana anaona hilo
Lulu kuwa makin. Kuna watu wanangangania waume za watu kama chambo MTU akija kwenye Anga zako usimwachie wakati wake ulishapita atajidai kafata matumizi.ucimpe shetan nafad
@@chemsachouchou3087 yap ndugu ok sahihi ila siku zote mwanaume hanaga makuu anaweza panda ata dege na kibukta na akafika anako kwenda bila shaka na akaonekana yuko poa tu so huyu jamaa hakutaka kumuonesha LILU kuwa atakwenda kumfanyia kitu kizuri ila ako poa sanaa 2

hongera lulu naskia raha saana chozi limenitoka Mungu akufanyie wepesi
Umependez
Nakupenda lulu mungu akuongoze katika kila jambo 😘😘😘
Lulu nimutulivu kweli katika ma star wote wa kitanzania, nakupenda sana 😘😘😘
😍😍😍😍😍So nicee jaman lulu wetu mzurii anajiheshimu ana stahiliii
Kila la kher mwaya, kapumzike mama, you got a rough lifetime before Mungu akuongoze mama❤❤
hogera sana lulu mungu akusimamie na akupe maisha mema yenye furaha always be happy my Queen
Mungu awalindie penz lenu lifike mbaaaal mzidi kupendana awape furaha ktk maisha yenu nawapenda
lulu umekua sasa. Mwenyezi Mungu akusimamie na akutangulie katika njia zako...
Wooo! HonGery sa ana lulu Mungu akutangulie.
Umepitia mitihan mingi Allah akuhifadhi na akujaalie kheri ktk maisha yako na mtakapo funga ndoakatulie kwa mumeo sio Kula kukicha magazetin
Hongera sana lulu Mungu akawe kiongozi kwenye ndoa yako akupe maarifa na hekima ya kuwa mke mwema
Lulu congratulations my dear and I love you so much
hongera Sana Lulu MUNGU akutangulie
Hongera sana Lulu Mungu awatangulie ktk mipango yenu yote mnayoitarajia kuifanya hatimaye mkamilishe ndoa yenu.
Lulu mashaala congratulations..... 💖
Lulu hongera sana mama, you deserve it love
Dr anaenekana ni mwenye furaha sanaa kutokana na furaha ya Lulu nilikuwaga namuona mara kwa mara akiwa mstari wa mbele kila cku wakati wa kesi ya lulu wasanii mnatakiwa kupendana na sio kuchukiana chuki mwisho wake ni ubaya.
Hongera San lulu mungu akujalie watoto ujekuwa mama bora
Hongera my dia yani mpk nimelia kwa furaha jamani hii kitu isikie kwa mwenzako isikutokeww
Hongereni sana mashallah mungu awafikishe ktk safariyenu
Mmefraih sana ....kila laheri ......inshallah
Mashaallah hadi nackia kulia kwa furaha naomba mungu azindi kuwacmamia kwa kila hatuwa yenu ongera sna lulu umepitia mengi mangu lkn mungu juwa yuko nawe wish you all the best of life amen
Lulu nimefurahia sana hatua uliyofikia Mungu ndiye anayejua
Upendo Kambinga, umeongea sawa kabisa, Elizabeth yashike hayo, na miaka yote iliyoliwa na nzige parare na madumadu imerejeshwa, endelea kumtumainia MUNGU nae atakuwa nawe na familia yako daima, hongera sana Elizabeth
Yoo ogera sana dada
Na Mungu akuzidishiye watoto wengi sister
Chuga watoto na vizuri na Mungu akubariki wengine
Watoto wakaleta uruma kwa kweli
Lulu mungu azidi kukulinda na kukufungulie zaidi yaliyomema tena akuwezeshe ufunge ndoa haraka na upate ujauzito wa mapacha wa kiume yani akupe kizazi bora nakupenda sana dogo uliyoyapiyia yanatosha ata bwana anaona hilo
hongeraaaaa sana dadaetu tunakutakua ndoa yenye barraaaaka
Congratulations Lulu 🎉🎉❤️
Hongeraaa zake nampenda lulu jmni saaana
Congratulations to you guys....May the Almaty God bless you.....love you Dr Cheni....
Mungu azidii kukutunzaa Lulu
Hongra sana my dear lulu
Hongera saaana Mamy mungu akujaalie mdumu
hongera sana mamaa olewa ujiheshimu na kutunza ndoa yako wanaosema waache waseme ndo ishatoka ivoooooowapande mbinguni wakazibe
Hongera mom
Hongera saaana Lulu nafurahi
Maashaallah
Ndoa ni jambo jema lulu . Mungu awatangulie
Hongera sana mrembo
Ongera sana lulu lov you so much
Congrats doll
hongera lulu mungu ailinde ndoa yenu
Hongera sana Lulu Mungu awatangulie
Hongera sana my
Lulu umekuwa mama ongela Mungu yupo kweli
Kweli kawa mama
Congratulations but its not a surprise because the ring and ear rings are the same which means you knew about it
Hongera sanaaa Mungu amekupe kicheko awatangulie ktk safari yenu
Hongera mpenzi mungu akulinde
Anapendeza ila hajistiri vizuri apendezi ivi niulize ukivaa ukajistir vizur haupendezi
hongera sana mama
Am happy for you baby girl
Ongera sana dada ake
lulu mdogo WANGU mekap zina kuzeesha sura punguza mekap kila wakt upe USO wako wakati Wa Ku relax
hongera sana
Maashallah habinty
May Allah bless you and guide you in our marriage, amiin
Hongera sana lulu, mashallah adi raha.
Lulu angalia nyuma yako kanumba anakuja
Ahaaa kumb ni mchga!!
Waooo dear hongerasana
Hongera lulu
Kiukwel nmefurahi sana 😘😘😘😘😘
hongera lulu
woooooooow lulu jmn😘😘😘😘😘😘😘😘kila la kheri
congratulations Lulu na mumeo mtarajiwa
Mavazi Gani ayo kifua wazi alafu eti mke mtalajiwa wa mtu mwee ila nakutakia ndoa njema ila kwa mavazi jileke bishe
Love you lulu
Ndio umeolewa. Uache kuvaa nusu uchi
Congratulations
hongera xana my dear
Ongera sana lulu
Hongera. Lulu
lulu nakukubali 👶
Kaza lulu
Hongera sana lulu
Hongeraa sanaa lulu mpendee mwanao kamaa unavywo mpendaa mumeo utabalikiwaa sanaa usisikilizee yawatuu ukamchukia hamisa juwawewe ndiemke mtalajiwaa sawaa onyeshaa mfano kwamalezi kwamtoto wamumewe mtalajiwaa uwee mama wakamboo wakuigwaa kwamazulii nakupendwaa najamii usifanyemabayaa kwamwanao ukasemaa nakuchukiwaa najamii nakupendaa sanaaa mdogo wanguu mmmmmmmwaaaa💋
Nimfrahi sanaaaa
Hongera Mwaya lulu
Mmh hicho kifua ni majaribu tu tupu kwa wahojiani😂
Kwani ilikuwa ni sherehe ya Nini kabla ya Pete?
Hahaaaaa mpk ameongea kichagaaaa
hongeraa xanaa
heshima yako imekufanya ung'ale lulu jaman kama ndoto lazima chozi likudondoke
Umekua mamy hongera sana
Hongeraa Xanaa Lulu
MUNGU awatangulie katika TENDO TAKATIFU L.A. NDOA
Lulu kuwa makin. Kuna watu wanangangania waume za watu kama chambo MTU akija kwenye Anga zako usimwachie wakati wake ulishapita atajidai kafata matumizi.ucimpe shetan nafad
Congrats!
Duh lulu hongera Sana ila umezeeka jimantain mana wewe ni mfupi
Sarah Gaula 😂😂😂😂
Hongera sana my somo wa mimi mungu awasimamie
Kupendwa raha sanaaaa
Lulu umekua lulu kweli
sound Dr. Cheni
hongera sana lulu
machozi yamenitoka jamani nakupenda lulu
Kila LA kher lulu
jamani mbona kawa mtu mzima
Jitaidi uwe unamvisha mme wako basi bana yani umedamshi majizo kavava tu
haaaaaaa
chemsa chouchou kwan ulitaka avaaje labda!?
Kimuonekano unaona kapendeza gisi itakavyo kwanza ceni kapendeza kumshinda mamu usizani kama simpendi lulu najuwa bio gisi unahisi
@@chemsachouchou3087 yap ndugu ok sahihi ila siku zote mwanaume hanaga makuu anaweza panda ata dege na kibukta na akafika anako kwenda bila shaka na akaonekana yuko poa tu so huyu jamaa hakutaka kumuonesha LILU kuwa atakwenda kumfanyia kitu kizuri ila ako poa sanaa 2
Kavaa simple hajatisha na kama unavyomjua lulu mama wa kudamshii alimuona yuko poa na ndo maana akamuacha avae hvyo
Aman na Upendo vitawale
nimependa uchaga
lulu hongera sana mashaallah
Hongera sn m2 wa mungu
Hongera dear
ongera sanaaa Dada lul
Nakupenda lulu
Huyu jamaa nikua namuona kwa move na alipote kwa move
Kweli nlitaka kusema hivyo kumbe tupo wengi alikua mwigizaji sasa mtangazaji
hongera mpnz