FULL VIDEO: BARNABA Alivyofika Ukweni kumvalisha Pete ya Uchumba Raya The Boss mtoto wa Mama Kimbo

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • FULL VIDEO: BARNABA Alivyofika Ukweni kumvalisha Pete ya Uchumba Raya The Boss mtoto wa Mama Kimbo

КОМЕНТАРІ • 131

  • @ashaally6993
    @ashaally6993 Рік тому +20

    Mashaallah (Mo) karibu sana kwenye uislam hakika hutojutia maamuzi yako
    M.mungu awafanyie kheri kwenye safari yenu ya ndoa ikawe kheri inshaallah ❤️

  • @hadijahaji9712
    @hadijahaji9712 Рік тому +26

    Raya umuheshimu sana mime wako mwanaume hadi kubadilisha Dini kwasababu yako muheshimu sana

    • @zaynabb9051
      @zaynabb9051 Рік тому +2

      Tena amuheshim sana

    • @mishelamomade1664
      @mishelamomade1664 Рік тому +2

      Tanga ureeee ongera mama kimbo

    • @husseingabo5497
      @husseingabo5497 Рік тому +4

      Mwanaume kama ni mkristo yeye ndio anatakiwa abadili mwenyezimungu anasema kwenye qurani ni Bora kuolewa na mtumwa au kijakaz ambae ni muislam kuliko kuolewa na washirikina ambao ni wakristo mungu amewaita wakristo washirikina kwasababu wao wanamuabudu yesu badala ya mungu

    • @vickymaharindo9397
      @vickymaharindo9397 Рік тому

      ​@@zaynabb9051😅😅😅

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 Рік тому +1

    Mashallah, hongera sana Barnaba 😘

  • @D-Man.B-Free
    @D-Man.B-Free Рік тому +4

    Takbir!!! Muhammad Alias 👊👊👊 welcome 🙏 brother

  • @salmasaid1521
    @salmasaid1521 Рік тому +2

    Mashallah barnaba na hongera kwa hatua mliofikia na allah awasimamie ktk kila hatua muweze maliza slm

  • @abuumicheni1935
    @abuumicheni1935 Рік тому +2

    MASHAALLAH MASHAALLAH
    MWENYEZIMINGU AWASIMAMIE KWENYE NDOA YENU MR MOHAMED BARNABA

  • @sakinamixpambe2602
    @sakinamixpambe2602 Рік тому +7

    Mashallah Mashallah Barnaba nakuombea kheri

  • @fallymetoo191
    @fallymetoo191 Рік тому +7

    Mashallah! Allahumma bareek inshallah 🤲

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 Рік тому +5

    Asante sana mdogo wangu barnaboy mungu akupe maisha marefu kwenye ndoa yako

  • @wisdomjohn-nj9po
    @wisdomjohn-nj9po Рік тому +1

    Bro barnaba umeyumba sana kubadili dini,..

  • @fatmamrihani6828
    @fatmamrihani6828 Рік тому +1

    Mashallah Ndoa anaepanga ni M/Mungu hongeren sana imeandikwa muwe mke na mume

  • @zakiahaji1683
    @zakiahaji1683 Рік тому +3

    Shuhuli simple haina makorokoro nzr imependeza maa shaa Allah

  • @tumadhrahtwarik993
    @tumadhrahtwarik993 Рік тому +10

    You will never regret to be Muslim welcome to the dini with alit of peace alhamdulillah

  • @shersaid7988
    @shersaid7988 Рік тому +4

    Kapendeza Raya simple and nice hongereni.Hongera Mr.Mo.Mubarikiwe msanii anayejiheshimu barnaba

  • @salamanauthar5261
    @salamanauthar5261 Рік тому

    Hongera sana Raya' mpende sana' Barnabas usimuumize kivyovyote' Pepo yako ipo kwa ALLAH' Ni hatua kubwa ulomfikisha Barnaba kumleta katika dini yetu ya Haki. Mashaallah Kheir

    • @user-zs7wq6ow1w
      @user-zs7wq6ow1w Рік тому

      Dni ya haki anaijua mungu amepnda kubadilisha abadilishe tu mambo ya dini ya kweli muachien mungu

  • @kamikazisalma5209
    @kamikazisalma5209 Рік тому +4

    Allahumma Amiin 🤲

  • @zakiahaji1683
    @zakiahaji1683 Рік тому +2

    Watu wnpendana mpk wanafanana maa shaa Allah

  • @sebonikegobi6244
    @sebonikegobi6244 Рік тому +3

    Pole sana kwa kumuacha Yeau kristo

    • @husseingabo5497
      @husseingabo5497 Рік тому

      Yesu nani bwana we ulitaka nani awe kafiri Kwa ajili ya mwanaume

  • @auntneema1358
    @auntneema1358 Рік тому +2

    Pole Barnaba,,

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu Рік тому +2

    Mungu akubaik sana bwana mo na mke wako raya na familia Yako yote inshallah aamin

  • @kamikazisalma5209
    @kamikazisalma5209 Рік тому +5

    Raya kafanana namamayake adiraha 😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @fathimamct232
    @fathimamct232 Рік тому +3

    Mtoto wa kiislam bwana kabadili dini Kwa kufuwata wewe bibie lakini nguo uliovaa SI ya maadili kotekote maana Hata huko Kwa wakiristo hawawezi kuvaa nguo hiyo wanavaa shela linafunika viungo nyeti na mtandio mzuri mama kimbo amevaa vizuri amejistiri mtoto kifuwa wazi matiti wazi

  • @amahorofaridah519
    @amahorofaridah519 Рік тому

    Mashallah tabarakallah mohamed Allah akupe mwishomwema

  • @hadijangaoga2326
    @hadijangaoga2326 Рік тому +1

    Mungu awabarki Sana jamn nawapenda ila mama kpo 😂😂😂amenfany nmecheka kwa saut kubwa

  • @kazkaz1943
    @kazkaz1943 Рік тому +7

    Hapo ingekua moo kabadili din kuwa elias weeee pangechimbika humu😂

  • @rizikahmad6930
    @rizikahmad6930 Рік тому +1

    Manshallah

  • @salamanauthar5261
    @salamanauthar5261 Рік тому

    Mashaallah

  • @beathagabriel8438
    @beathagabriel8438 Рік тому

    Zamaradi mttm umependeza sana.

  • @subirajohn728
    @subirajohn728 Рік тому

    Hongera sana Barnaba na Raya❤️❤️❤️❤️

  • @ashurajengela3926
    @ashurajengela3926 Рік тому +4

    ila mama kimbo jamani sio kwa maneno ayo 😂😂😂🙌🏻🙌🏻

    • @olicej7837
      @olicej7837 Рік тому +2

      😂😂😂😂😂😂😂Jamn nafrahi saana kumskia mama kimbo

  • @bettiejoy-mtotowamama
    @bettiejoy-mtotowamama Рік тому +4

    Huyu dem nae ako tu hivo nikama analazimishwa kuoleka 🙄🙄🙄🙄

  • @mathewungani9724
    @mathewungani9724 Рік тому +4

    Ufala sana kubadili Dini

    • @husseingabo5497
      @husseingabo5497 Рік тому

      Sio ufara we ulitaka nani awe kafiri Kwa ajili ya mwanaume

  • @user-sx7ks6jp1l
    @user-sx7ks6jp1l Рік тому

  • @estherkimario7940
    @estherkimario7940 Рік тому +2

    Hujitambui kumbe wew

  • @hawajulius2509
    @hawajulius2509 Рік тому

    Hongera sana

  • @dorisfabian4776
    @dorisfabian4776 Рік тому +2

    Mhhh huyu mama mh

  • @beathagabriel8438
    @beathagabriel8438 Рік тому

    Mama kimbo umependeeza. MWAMBIE RAYA NI MZURI HATA AKIVAA GUNIA ATAPENDEZA TUU.

  • @estherkimario7940
    @estherkimario7940 Рік тому +2

    Mmmmmmmmh kubadili dini vp

  • @saraphinasalila9202
    @saraphinasalila9202 Рік тому

    Ongera raya

  • @zaidihussein4311
    @zaidihussein4311 Рік тому +1

    Inshaalah Kila la heri mo

  • @zaharatijuma6623
    @zaharatijuma6623 Рік тому +2

    Watanga kwa maneno mmmh hatar😂😂😂nawapenda bure tyuu

  • @neemachalamila590
    @neemachalamila590 Рік тому +1

    Mhhh Huyo mama mkwe?

  • @furahachuma9039
    @furahachuma9039 Рік тому +3

    Yaani unabadili dini kwa ajili ya mwanamke? Seriously? Yaani mwanamke kakushinda ushawishi?

  • @swaumusalumu6408
    @swaumusalumu6408 Рік тому

    Allah awahifadhi

  • @glorylema
    @glorylema Рік тому +4

    Last born haji mpaka aitwe Kwa kingleza

  • @davidmbwilo4954
    @davidmbwilo4954 Рік тому

    Safi sana

  • @priscarmkilima3373
    @priscarmkilima3373 Рік тому

    Mungu awabariki sana ❤🎉

  • @kamikazisalma5209
    @kamikazisalma5209 Рік тому +1

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @estherkimario7940
    @estherkimario7940 Рік тому +1

    Mama shikamoo

  • @najmahhassan7853
    @najmahhassan7853 Рік тому

    Mashallah 👌🥰

    • @remaothuman
      @remaothuman Рік тому +1

      Nakupenda Sana barnaba unajiheshimu Sana na unajua kuimba asilimia100% mungu awafanyie wepes

  • @minaelnathanael1846
    @minaelnathanael1846 Рік тому +1

    Buza to kishumundu. Kilimanjaro mlima mrefuuuu kuliko yote Africa. Mama mkwe Karibu hata kule upareni tutakupa zawadi ya Tangawizi

  • @D-Man.B-Free
    @D-Man.B-Free Рік тому +2

    Daaaah,Mama’kwe ana maneno 🤔 😅😅😅

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 Рік тому +1

    Wamependez sana

  • @ashabady9616
    @ashabady9616 Рік тому

    Mabr0q

  • @batulimohamed6088
    @batulimohamed6088 Рік тому

    ❤❤❤❤

  • @amisjabubakari7734
    @amisjabubakari7734 Рік тому +1

    ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉😢

  • @olgachrispin1787
    @olgachrispin1787 Рік тому +3

    Mhhhh jamani Barnaba na kuhulumia Sana najuwa sio akili zako Mungu afunguwe ufahamu wako pamoja na family yako

    • @shazminasalim6885
      @shazminasalim6885 Рік тому +1

      acha uchawi na we pia si akili zako kuongea haya mungu akufungulie

    • @jonisiamdulingwa6900
      @jonisiamdulingwa6900 Рік тому

      Hata wewe Mungu akufingue siyo akili zako kuongea vitu ambavyo huvijui🙄

  • @user-li4kt7lz1r
    @user-li4kt7lz1r Рік тому

    🥰🥰🥰🥰

  • @minaelnathanael1846
    @minaelnathanael1846 Рік тому +2

    Mmh hata mbege hamjanywa wachagga hawahawa ninaowajua mimi mmmmh haya

  • @fredymasawe2862
    @fredymasawe2862 Рік тому +1

    Uyo nae kachanganyikiwa

  • @momosaid6193
    @momosaid6193 Рік тому +1

    😂😂😂😂😂khaaaa mama kimbo

  • @hitlerpardon9308
    @hitlerpardon9308 Рік тому

    Mwamediiii umebadilii diniii kabsaaaah

  • @husseingabo5497
    @husseingabo5497 Рік тому

    Ukristo ni dini ya wazungu na sio ya mungu kwasababu hakukutokeaga mtume wala nabii mzungu wala kutoka ulaya. Sasa jiulizen wao din wameitoa wapi na wakat hakukuaga mtume yeyote au nabii wa mungu ambae alikuwa mzungu tafakalini chukueni hatua

    • @user-zs7wq6ow1w
      @user-zs7wq6ow1w Рік тому

      Yote tutayajua mbinguni mcpnde kudhihaki dini za watu stand kwenye din yko

  • @matridamwalyoyo1735
    @matridamwalyoyo1735 Рік тому

    Jmn mama rays kanihuzunisha

  • @amisjabubakari7734
    @amisjabubakari7734 Рік тому

    Poa sana

  • @magdalenajoseph9910
    @magdalenajoseph9910 Рік тому +1

    Barnabas find the meaning of your name and you will regret why you have left it.

  • @ashaabdhallah4874
    @ashaabdhallah4874 Рік тому +2

    Allah hu Akbar

  • @anenragnesmunis8490
    @anenragnesmunis8490 Рік тому +1

    Mwanaume unabadisha dini ufala huo

  • @ellyanaelly8104
    @ellyanaelly8104 Рік тому +3

    Mama kachangamka mpaka raha

  • @janwizzarak207
    @janwizzarak207 Рік тому

    🤷‍♂🎂🦑🗣🏈⚽🎊🎊🍭🍡🍬🌿🍔🍔 *Mungu alionyesha upendo wake kwetu kwa kumtuma Mwanawe Yesu Kristo, ambaye alikufa na kufufuka kutoka kwa wafu ili kutupa uzima wa milele.* *Pia aliahidi kuponya. mwili wako.* *Ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu* *atakupa uzima wa milele*
    *(Angalia mbinguni na umuulize Mungu)*

    • @user-zs7wq6ow1w
      @user-zs7wq6ow1w Рік тому

      Amina wakristu hatubishani kwenye mambo ya mungu pia hatupigani vitavya kimwili tunapigan kiroho na ndo mana hatubishani na hatuiingilii kazi yake muumba

  • @jacquilinenoah949
    @jacquilinenoah949 Рік тому

    et chidy boy😂😂😂

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 Рік тому

    Miguu ya mama kimbo nayaona kwa mbaali halafu na kicheko cha mama kimbo kama amekula kungu leo

  • @evaristkiiza1938
    @evaristkiiza1938 Рік тому +4

    kumbe Mopao hovyoo kbx yn umebadr dini kwajl ya mwanamke??
    hovyoo kbx we barnaba

  • @joycejackson2320
    @joycejackson2320 Рік тому +1

    mbona hujiamini bro

    • @paulinanyanzala9072
      @paulinanyanzala9072 Рік тому

      Mnashangaa nini kwani kubadili dini ni. Tatizo mungu ni mmoja ni sawa na kunywa uji au chai vyote ni vifungua kinywa uondoeni ubaguzi wa imani

  • @husnamfuko4938
    @husnamfuko4938 Рік тому +2

    Unamachoz yakarib kama mm

  • @khadijauledi3293
    @khadijauledi3293 Рік тому

    ILA MAMA KIMBO DAAH🤣🤣🤣

  • @fediruben5009
    @fediruben5009 Рік тому

    Pumbavu mwanaume mzima unabadilishwa dini mwanamke mwenyewe anaekubadilisha dini hata siyo mzuri kiviiile

  • @perusimugendaneza6099
    @perusimugendaneza6099 Рік тому

    Mama mkwe🙄

  • @uvuvweweonyetenyevwe1348
    @uvuvweweonyetenyevwe1348 Рік тому

    Kwani waslam wana valishana pete??

  • @ashaali7154
    @ashaali7154 Рік тому

    Mbona bi kharusi kama wanaigeria na hicho kipepeo mmh watanzania kwa kuiga hatujambo.🤪🤪

  • @salmaissa8723
    @salmaissa8723 Рік тому +1

    Mo uxije ukadanganyik ukarud kweny Ukristo...Ukristo ni ukafiri2

    • @muddysheikh2111
      @muddysheikh2111 Рік тому +1

      Muogope Mungu amini dini unayoiamini ww sio kukufuru dini usiyoisali ...umelaniwa 😏

    • @muddysheikh2111
      @muddysheikh2111 Рік тому

      Kafiri mwenyewe Mbwa

    • @salmaissa8723
      @salmaissa8723 Рік тому

      🤣🤣🤣🤣🤣 umelaniwa ww mbwa mkubwa ww hujamfata mtume wetu

    • @jantsjefta8381
      @jantsjefta8381 Рік тому +1

      We matako ungefunga hlo domo lako kwanza fara ww

    • @jantsjefta8381
      @jantsjefta8381 Рік тому

      Sasa mnauislam gan mbn mnavaa kama wakrsto majuba yenu yanawakera eeh lazma mtuige wanjanja sio kutuvalia minguoa mijuba mtafkr wachaw alf mlivyo ka hamna akir vzr

  • @olicej7837
    @olicej7837 Рік тому

    Sijamuona kimbembe😅😅😅😅😅😅

  • @amisjabubakari7734
    @amisjabubakari7734 Рік тому

    Mashallah

  • @mozasaid3869
    @mozasaid3869 Рік тому

    ❤❤❤❤❤❤❤