ISMAIL JUSSA ASHANGAZWA NA CCM KUJIHUSISHA NA NASOR MAZRUI (SUBSCRIBE)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 жов 2024
  • Asante kwa kutazama Channel hii,ili kupata video mbali mbali kila dakika hakikisha una SUBSRIBE

КОМЕНТАРІ • 45

  • @adilhabib8988
    @adilhabib8988 2 місяці тому +1

    Jusa mwenyezmungu akupe kher in shaa allah

  • @AleiHadji-js3ed
    @AleiHadji-js3ed 3 місяці тому +4

    Ukweli hasaaaa Mazrui Hataki Siasa za Umasikini kila siku

  • @MuzneOthman-l7i
    @MuzneOthman-l7i 2 місяці тому +2

    NINA MIAKA 60 NAWJUA VIZURI MAZURUI SIJAPATA KUMUONA AKILEWA, AKIVUTA BANGI , KUPOTEZA AKILI KWA KIFAFA, KUPANDA MALARIA KICHWANI, YALE ALIYOSEMA ALIKUWA NA AKILI TIMAMU. KAMA YEYE ALIKOSEA ATOKE HADHARANI ASEME SIO KUKULISHENI MANENO. HAYO UNAYOSEMA HAYANA MAANA YOYOTE NI UZUSHI MTUPU

  • @HarithMbaruk
    @HarithMbaruk 3 місяці тому +3

    Walizani tutatetereka sis ndio wazanzibar

  • @w4058
    @w4058 3 місяці тому +2

    Watu wakiwa wakosefu wa Subra huwa kuliko washenzi msaliti mwenyewe Allah atamlipia

  • @BinshakbuHemed-gb2zi
    @BinshakbuHemed-gb2zi 3 місяці тому +2

    Kilamsaliti. Wazanzibar. Hadumu

  • @hajihassan5433
    @hajihassan5433 3 місяці тому +1

    Kama unayosema Mhe. Jussa ni kweli mpe nafasi aseme mwenyewe. Alichosema Mhe. Mazrui ni ukweli. Acha siasa iwepo lakini mkiifanya kama vile mkija nyinyi hatutatumia ardhi hii sio sawa. Viongozi wa upinzani ni Viongozi waandamizi wa Serikali kwa miaka mingi, wanachaajabu kipi? Tujifunze "appreciate inquiries " yaani sio vibaya kuanza na uzuri uliopo hara kama mdogo halafu elezea ubaya mwingi uliopo.

  • @AbdulKarim-n4u
    @AbdulKarim-n4u 2 місяці тому +1

    Acha kumtetea mazrui ni msaliti kakumbwa na fadhaaa

  • @tibaasiligreatmoment8850
    @tibaasiligreatmoment8850 3 місяці тому +2

    Kasumba Za Wanasiasa Sijawahi Kuwaelewa Hata Siku Moja Hawa Jamaaa 😂😂😂😂

  • @MohammedBwanga
    @MohammedBwanga 3 місяці тому +2

    Watu wa shioting mnazingua mnaongea sana huyo anaehutubia hasikiki

  • @AleiHadji-js3ed
    @AleiHadji-js3ed 3 місяці тому +1

    Jussa Ukiwa mfanya Biashara halafu chama Upinzani Utaumiaaaaaaa

  • @AleiHadji-js3ed
    @AleiHadji-js3ed 3 місяці тому +1

    Jussa muulize katumbi kule Congo TP mazembe Hoi

  • @salyali7807
    @salyali7807 2 місяці тому +1

    Huyu Mazrui jinsi alivyoaminiwa na marehemu Maalim Seif anastahiki kupigwa chuchuli ... hafai hata kidogo... he is a hopeless case hana personality na kujiamini ... anamsifu mtu ambae kasababisha vifo vya ndugu zetu .... kauli ile ni kama anawaambia wafusi mchagueni tena muuaji huyu ikisha wajengewe majumba na bara bara waridhike

    • @w4058
      @w4058 2 місяці тому

      Wewe ulokuwa na personality una chuki na roho mbaya Hasbunallah Waniimal Wakiil Hasbunallah looo loooo loooo unayo wake huupati looo mijitu ilokuwa na roho mbaya utawajuwa kwa comments zao za kijinga jinga kama hizo

    • @w4058
      @w4058 2 місяці тому

      Hasbunallah Waniimal Wakiil Salyali

  • @mussaameir5230
    @mussaameir5230 2 місяці тому +1

    Hukujibi suali

  • @salehsaleh8608
    @salehsaleh8608 3 місяці тому +1

    masauti ya nini? mnazigua sana watu wa kurekodi

  • @AliDulla
    @AliDulla 3 місяці тому +1

    Hamna sera maendeleo yanafanyika mpaka mnasifia wenyewe achani kulisha watu ujinga siasa ni ajira zenu hamna lolote

    • @SuleimanMussa-x5i
      @SuleimanMussa-x5i 3 місяці тому

      We una ona maendeleo gan Zanzibar njoo uone wabongo wanavo fanya maendeleo uku kwa pesa zetu wazanzibar

  • @saidaly8201
    @saidaly8201 3 місяці тому +2

    Mazrui ht aseme nn tyr ni msalit dawa ya usalit kule rusia nadhan mnajua kwa putin

    • @w4058
      @w4058 3 місяці тому

      Msaliti mwenyewe loo hasidi mmoja

    • @w4058
      @w4058 3 місяці тому

      Hasbunallah llah Waniimal Wakiil fasayakfika humu llahu Waniimal Wakiil

    • @w4058
      @w4058 3 місяці тому

      Kuwa na haki ya kukereka na kuumizwa sawa lakini hamna haki ya kumtusi kwa sababu Yeye ni Binadam kama Binadam wengine kuteleza ni moja ya mapungufu mlitakiwa mumpe udhuru loo mmekuwa kuliko wanyama mnasahau fadhila zake zote viumbe gani nyie

  • @omarhusna1766
    @omarhusna1766 2 місяці тому +1

    Nyote ndo wale wale tuna kupeni mioyo yetu kwa kuwa tunakutegemeenk maendeleo ya nchi yetu lakini hamna lolote mwisho tunauliwa hakuna liwalo wanafiki tu nyote hamna lolote

  • @w4058
    @w4058 2 місяці тому

    Utapigiwa wewe hiyo chuchuli Hasbunallah Waniimal Wakiil Hasbunallah Waniimal Wakiil Hasbunallah Waniimal Wakiil Hasbunallah Waniimal Wakiil Hasbunallah Waniimal Wakiil Hasbunallah Waniimal Wakiil Hasbunallah Waniimal Wakiil Hasbunallah Waniimal Wakiil Hasbunallah Waniimal kuweni waungwana Mazrui sio mjinga kama nyie wakosefu wa kufikiri na kuchunguza nature ilokuwa katika mazingara yale

  • @R10_Rajab
    @R10_Rajab 2 місяці тому +1

    Eh Balahau huna Chhama weee !

  • @AleiHadji-js3ed
    @AleiHadji-js3ed 3 місяці тому +1

    Tuombe Salama Tu lakini Siasa Motoni tuuu😢😢😂

    • @w4058
      @w4058 3 місяці тому

      Mnajipa kazi ilokuwa sio yenu ya kumhukumu watu na moto

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke 3 місяці тому

      Siasa na dini vitu 2 tafaut mtu anajitoa kwa siasa kuliko dini

  • @mataypanga5262
    @mataypanga5262 3 місяці тому +2

    Mtume Mohamad anahusika nini na Zanzibar wakati yeye ni Mwaarabu?😂
    Jussa unaiangusha Zanzibar

    • @Zuwenamachela
      @Zuwenamachela 3 місяці тому +1

      Haikuhusu kafiri wazanzibar ni waislam unataka wasimtaje mtume wao koma mbwa we

    • @mataypanga5262
      @mataypanga5262 3 місяці тому

      Inanihusu mimi muafrika kwa sababu sisi waafrika hatuna mtume Mohamed,huyo mtume ni muarabu.
      Wewe ndio haikuhusu kwa sababu hujitambui.Kwani huyo mtume ni Mzanzibari?😂
      Mtume ni muarabu na dini yake uislamu,anatuhusu nini sisi waafrika 😂​@@Zuwenamachela

    • @SuleimanMussa-x5i
      @SuleimanMussa-x5i 3 місяці тому +1

      Waarabu kwetu wazanzibar ndio ndg zetu kuliko hata watanganyika waarabu hawaja wahi kutunyonya siku baada ya sku wanatuseidia ila sie wazanzibar tulitiwa roho mbaya kwao tuone kuw ni wabaya kumbe sio wabaya

    • @HemedSerious
      @HemedSerious 2 місяці тому

      Wewe mjinga sana Kwa hiyo hakuna mwarabu anahusik na ZANZIBAR?

    • @SuleimanMussa-x5i
      @SuleimanMussa-x5i 2 місяці тому

      @@mataypanga5262 kwan hao waraabu zanzbr wana haki kuliko hata watanganyika

  • @w4058
    @w4058 2 місяці тому

    Alei Hadji umepewa kazi na Allah wewe ya kutia watu motoni kama kuzuri utakwenda mwenyewe

  • @FatmaRashid-fv6pe
    @FatmaRashid-fv6pe 3 місяці тому +1

    mm ACT lakini kauli ya mazrui imeniumiza sana sipigi kura chama chochote bora nitulie nyumbani

    • @w4058
      @w4058 2 місяці тому

      Usipige kwani kura yako haitaleta athari yoyot Allah kwa ukarim wako atawapeleka miaa moja haaaa pumbavu zako

    • @w4058
      @w4058 2 місяці тому

      Tokea hapo sio mpiga kura tuu kama ni mzanzibari kindakindaki na mwenye mapenzi ya kweli na Wazanzibari ndio pakufanya Ari sio kula dongo kwani hiyo kura unampugia yeye ukosefu wa kutumia akili tu magongo yote yale alopigwa kuumizwa alikoumizwa fedha zake anavyozitowa kwa ajili ipatikane ZANZIBAR yenye mamlaka kamili looo hamsarifiki kama hao CCM hampo tayari watu kama mnafiki wenu mwingi Allah hamfichi mnafiki

    • @w4058
      @w4058 2 місяці тому

      Eti qauli ya Mazrui imenitowa imani huna hiyo imani tokea mwanzo tulo na imani zetu za kweli wala hatujateteruka wala kutahariku kwasababu tuna mthamini na nafasi yake ya pili ilibidi aseme vile kuweni na akiba mkisema

    • @w4058
      @w4058 2 місяці тому

      Au mkiandika mijitu ilivyo na negativity thinking nyoyo zao zinakuwa haziwezi kufikiria kabla kusema au kuandika

    • @w4058
      @w4058 2 місяці тому

      Yaallah tulindie Mhe Mazrui na hali yake kiafya baada kuumizwa huko na kuharibuwa mali zake kwa ajili ya kuwatetea Wazanzibar wachache wasiokuwa na fadhila wala kuyapa madhila ya wenzao umuhimu wowote eti sipigi kura usipige

  • @w4058
    @w4058 2 місяці тому

    Mzushi wewe mkosesfu wa kufikiri naam ana akili timamu ila ni magongo alopigwa na washenzi madhalim wakubwa Hasbunallah Waniimal Wakiil tizama vidole vingapi vinakuele wewe mwenyewe