- 231
- 765 496
ACT Wazalendo Digital
Приєднався 22 сер 2017
Karibu kwenye Channel maalumu ya ACT WAZALENDO Digital || Channel hii ni Mahsusi kwa ajili ya kueneza habari na taarifa za Chama || Chama chetu tunasimama na Hoja tatu muhimu kwa ajili ya watu wa Zanzibar na Nchi yao || ZanzibarMpya || ZanzibarMoja || Mamlakamili.
ISMAIL JUSSA || NCHI WAMEIFISIDI KILA MTU ANALIA KWA NJAA
Asante kwa kutazama video hii,ili kuendelea kutazama video nyengine mbali mbali.Tafadhali SUBSCRIBE.
Переглядів: 635
Відео
OTHMAN MASOUD || ASAFISHA NJIA KUIMALIZA CCM 2025 PEMBA
Переглядів 1,1 тис.21 годину тому
Asante kwa kutazama video hii,ili uendelee kutazama video nyengine mbali mbali.Tafadhali SUBSCRIBE Channel hii.
MSHIMAKAMANO WETU UTAWAMALIZA CCM 2025 || OTHMAN MASOUD
Переглядів 2,9 тис.16 годин тому
Asante kwa kutazam video hii,ili kuendelea kutazama video nyengine mbali mbali.Tafadhali SUBSCRIBE
MANSOUR HIMID || TUTAWAMALIZA VIBAYA CCM 2025
Переглядів 1,9 тис.19 годин тому
Asante kwa kutazama video hii,ili kuendelea kutazama video nyengine mbali mbali.Tafadhali SUBSCRIBE Channel hii.
OMO || MARA HII HATUTASUBIR UCHAGUZI WA SIKU 2 KITAELEWEKA MAPEMA
Переглядів 2,7 тис.21 годину тому
Asante kwa kutazama video hii,ili uendelee kutazama video nyengine mbali mbali.Tafadhali SUBSCRIBE Channel hii.
ISMAIL JUSSA || ANAVOELEZA MAOVU YA CCM BA SABABU YA KUWAKATAA 2025.
Переглядів 4,5 тис.День тому
ISMAIL JUSSA || ANAVOELEZA MAOVU YA CCM BA SABABU YA KUWAKATAA 2025.
ACT WAZALENDO || TUNALAANI VIKALI KUSIMAMISHWA KAZI MAAFISA ELIMU PEMBA
Переглядів 10 тис.День тому
ACT WAZALENDO || TUNALAANI VIKALI KUSIMAMISHWA KAZI MAAFISA ELIMU PEMBA
MANSOUR HIMID || AWACHARAZA TENA VIBAYA CCM HADHARANI
Переглядів 4,7 тис.День тому
MANSOUR HIMID || AWACHARAZA TENA VIBAYA CCM HADHARANI
OMO || AELEZEA DHULMA ILOFANYWA UCHAGUZI 2020
Переглядів 4,3 тис.14 днів тому
OMO || AELEZEA DHULMA ILOFANYWA UCHAGUZI 2020
ISMAIL JUSSA || DKT MWINYI AMEWALAGHAI NA KUWADANGANYA WAPEMBA
Переглядів 4,9 тис.14 днів тому
ISMAIL JUSSA || DKT MWINYI AMEWALAGHAI NA KUWADANGANYA WAPEMBA
OTHMAN MASOUD || ALIVYODHAMIRIA KUIMALIZA CCM 2025
Переглядів 4,2 тис.14 днів тому
OTHMAN MASOUD || ALIVYODHAMIRIA KUIMALIZA CCM 2025
CCM PEMBA WAMEISHIWA WANAMDANGANYA DKT. MWINYI || UKWELI NI HUU HAPA
Переглядів 8 тис.14 днів тому
CCM PEMBA WAMEISHIWA WANAMDANGANYA DKT. MWINYI || UKWELI NI HUU HAPA
NASSOR MARHOUN || AWACHANA CCM HADHARANI PEMBA HAWANA WALICHOKIFANYA
Переглядів 2 тис.21 день тому
NASSOR MARHOUN || AWACHANA CCM HADHARANI PEMBA HAWANA WALICHOKIFANYA
BI FATMA FEREJ || AONGOZA KUMWAGIA SIFA OMAR ALI SHEHE PEMBA
Переглядів 1,8 тис.21 день тому
BI FATMA FEREJ || AONGOZA KUMWAGIA SIFA OMAR ALI SHEHE PEMBA
OMAR ALI SHEHE || MARA HII TUTASHINDA NA KUUNDA SERIKALI
Переглядів 7 тис.21 день тому
OMAR ALI SHEHE || MARA HII TUTASHINDA NA KUUNDA SERIKALI
ISMAIL JUSSA || ANAVYOMZUNGUMZIA JUMA DUNI HAJI
Переглядів 5 тис.21 день тому
ISMAIL JUSSA || ANAVYOMZUNGUMZIA JUMA DUNI HAJI
UTENZI ULIOWAGUSA WENGI SIKU YA KUMUAGA BAB DUNI HAJI
Переглядів 4 тис.21 день тому
UTENZI ULIOWAGUSA WENGI SIKU YA KUMUAGA BAB DUNI HAJI
ACT WAZALENDO || YAMPA BABU DUNI GARI YA KIFAHARI MWENYEWE ASEMA MAZITO
Переглядів 2,4 тис.21 день тому
ACT WAZALENDO || YAMPA BABU DUNI GARI YA KIFAHARI MWENYEWE ASEMA MAZITO
KWA ASIEMJUA HUYU NDIE NASSOR AHMED MAZRUI (MAREJEO)
Переглядів 31128 днів тому
KWA ASIEMJUA HUYU NDIE NASSOR AHMED MAZRUI (MAREJEO)
OMO AZIDI KUWACHANGANYA CCM KUELEKEA 2025
Переглядів 4,7 тис.28 днів тому
OMO AZIDI KUWACHANGANYA CCM KUELEKEA 2025
MANSOUR HIMID || AWACHACHURA TENA CCM AWEKA MAOVU YAO HADHARANI
Переглядів 4,9 тис.28 днів тому
MANSOUR HIMID || AWACHACHURA TENA CCM AWEKA MAOVU YAO HADHARANI
ISMAIL JUSSA || AWAKA MOTO AWARIPUA TENA CCM MAKUNDUCHI
Переглядів 7 тис.Місяць тому
ISMAIL JUSSA || AWAKA MOTO AWARIPUA TENA CCM MAKUNDUCHI
HII HAPA HUTUBA NZITO ZAIDI YA OTHMAN MASOUD KWA VIJANA WA Z'BAR
Переглядів 6 тис.Місяць тому
HII HAPA HUTUBA NZITO ZAIDI YA OTHMAN MASOUD KWA VIJANA WA Z'BAR
OTHMAN MASOUD ANAVOWAFUNGUA MACHO KILA LEO VIJANA (PART 1)
Переглядів 8 тис.Місяць тому
OTHMAN MASOUD ANAVOWAFUNGUA MACHO KILA LEO VIJANA (PART 1)
OTHMAN MASOUD ATOA MSIMAMO MKALI ZAID MICHEWENI PEMBA
Переглядів 7 тис.Місяць тому
OTHMAN MASOUD ATOA MSIMAMO MKALI ZAID MICHEWENI PEMBA
NAIBU KATIBU MKUU Z'BAR AANZA NA MSIMAMO MKALI KUWANGOA WATAWALA
Переглядів 4,6 тис.Місяць тому
NAIBU KATIBU MKUU Z'BAR AANZA NA MSIMAMO MKALI KUWANGOA WATAWALA
HII HAPA HUTBA YA NASOR MAZRUI ILIVYOWAGUSA WENGI
Переглядів 1,3 тис.Місяць тому
HII HAPA HUTBA YA NASOR MAZRUI ILIVYOWAGUSA WENGI
ACT WAZALENDO || YAFUNGUA BARZA MPYA KILA KONA KASKAZINI UNGUJA
Переглядів 2,2 тис.Місяць тому
ACT WAZALENDO || YAFUNGUA BARZA MPYA KILA KONA KASKAZINI UNGUJA
HII HAPA || KAULI NZITO YA MANSOUR YUSSUF HIMID KASKAZINI UNGUJA
Переглядів 13 тис.Місяць тому
HII HAPA || KAULI NZITO YA MANSOUR YUSSUF HIMID KASKAZINI UNGUJA
Allah anaona cc nyny endeleen tu
Hongera jusa
Kwakweli njaa kali wanajenga sisi tunakufa njaa
HONGERA SANA KIONGOZI WA ACT WAZALENDO
Hali mbaya sana sana ...maskin kwa maskin tunakabana .
Act mlezi wa wanjonge Mungu aipe nguvu daima
Hali mbaya mtaani tafraniii
Act tuzidi kusonga mbele kwa uwezo wa Mungu
Ccm Ooyyeeeeee 🎉🎉🎉
HAKUNA USALAMA BILA YA KUMWAGA DAMU (HIBRANIA; 9:22). @EmmachkaBella. Kwa Siri au dhahiri Chama Cha Mapinduzi kinaongozwa na Chama Cha Makanisa. Na hutumia Jeshi kuuwa Waislam wa Zanzibar: 1) Kupunguza idadi ya Waislam na nafasi yao kuchukuliwa na Makafiri. 2) Kukamilisha Ukoloni wa Tanganyika na kuiburua Zanzibar kutoka Bahari ya Hindi kama alivyosema Mkatoliki Nyerere. ✝️ 3) Ukombozi wa Chama Cha Makanisa (CCM) kwa Nchi isiyo na Dini.✝️ 4) Mkatoliki Nyerere kuwa Mtakatifu kama Maaskofu walivyopendekeza kwa Pope wa Vatikan City. Rais Samia alimtembelea Pope kama alivyofanya Nyerere.
@sada hamad upo shosti wangu
Tuko pamoja act na omo
Omo km omo ninoma nando rais mtarajiwa innxhaalla
Hawa wengi ni wabara tu, wanajitia chuku kwa kumuiga huyo Muhindi Kumbaro, Mkuranga na India wapi mbali na Zanzibar
mkuranga mbali
Chuki voo uyo mara mnyamwez
wewe umeona daftari la kupiga kura la 2020? majina ya kisukuma ndani ya jimbo la mtambwe
Mushaolewa nyinyi bl
Kwani huyu jamaa anafanana na Jussa au Lipumba ?
Nachuki zako utajiju
Ccm.haina.maisha..njaa.tupu
Ccm ujinga mtupu mungu aninusuruuu miaka 60 haina hata aibuu kazi kuvunja barabara na kujenga tu mulikuwa wapi
hamna lolote
Hujatumwa hapa
Kiherere chako tu
Maashaallah hotuba fupi ya rais mtarajiwa lakini inaingia akilini
Wasomeshe mheshimiwa othman allah akubarik akulinde na mahasid
Mwinyi dimwa kakudanganya pemba
Zanzibar mpya, Zanzibar moja, Mamlaka kamili. Mimi na zanzibaf , zanzibar na mimi #Naenda na OMO❤️🔥
Mashudu ikulu homa
Safari hii mpaka kieleweke watake wasitake ikulu yetu In shaa Allah
Vijana Wa ACT Msiwaogope UVCCM Ikiwezekana Piganeni Nao Wanapoingia Kwenye Angazenu Hâta Kule GAZA Hamadi Wanapigania Nchiyao msisahapia Somalia Silaha ZINAUZWA Sokoni
Ilove act ❤❤
Kwani kujenga matawi ndio kuhudumia wananchi
Mmbunge kiboribo muongo wewe hujaenda popote
We msoma utenzi katafute mume alipo acha kuimba muislam mzima
One love act wazalendo
Wazanzibari na Zanzibar yetu ❤🎉
Magofu Yao tutafuga kuku.😂
Kisantur 28:30
Kisantur
Kisamturi😂😂😂😂😂
wapemba mungu atawalipa ni wavumilivu ktk mapambano ole wenu act mpate halafu muwaendee kinyume raia hawa wanyonge sisemi kama muwapendelee ila haki zao zilizokiukwa mda mrefu muwapatie
Raaaaaha
Kweupeeee❤
tukotayari kurudi kwetu ni kuzuri sana sana. ila. tutarudi. kwetu. kwamana. furaha yakweru huku tuliko ni watumwa tu kuchezeya tu mavi na mikojo ili tupate rdhiki ya halali
acha kudharau neema uliopewa na Allah, watu wanazitafuta, kutafuta rizki si utumwa na kama hiwez rudi bora kuliko kukufuru neema uliopewa
mnanikosha moyo wangu act. wazalendo. ila maumivu yasiyo kwisha. ya miyaka 20. tumekimbiya mpaka zanzibar yetu kwa mateso sasa iwe basi. act. wazalendo.
mnanikosha moyo wangu act. wazalendo. ila maumivu yasiyo kwisha. ya miyaka 20. tumekimbiya mpaka zanzibar yetu kwa mateso sasa iwe basi. act. wazalendo.
Mashaallah Mh OMO... very knowledgeable speech ... May Allah akuhifadhi.. Allahumma ameen Allahumma ameen
Micheweni 🔥🔥🔥
Huyu kijana nawambia vuga wako na wenziwe lakini huyu katibu mkuu wa ngomee ya vijanaa ni immara sana sana ndugu jussa elewa hilo
Shairi zuri lakini action hazipendezi kwenye mashairi
Mhe. unachosema ni SAHIHI 100% nataka tu unieleweshe hayo utayaondoa je na yapo kisheria, nchi yetu ni Muungano na wewe binsfsi uliwahi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwa karibu miaka 10, hivi sasa ni Makamo wa Rais umezitumiaje hizi nafasi? Nakutakia kila la kheir lakini kama issue ndio hiyo Mhe. Hussein kwa aliyofanya na anayofanya ana nafasi nzuri sana kama watu wanatumia akili kufikiri.
Tanzania chagua chama chochote cha siasa utakua upo kweny njia sahihi ila sio CCM
CCM wamezima zote na kuwasha kijani!!!
Amuaminiani hivyo muungano wa vyama nimanenotu
Hawaaminiani nani na nani?
Tunatamani zanziba itambulike kimataifa sio kuishia kutambuliwa na watanganyika jina tanzania osumani mungu akuweke mpaka mamlaka kamili tumuondoshe huyu kibaraka wa tanganyika alowekwa kimabavu
Mh OMO is the best 👌 of the best... May Allah akuhifadhi akupe nguvu uturudishie zanzibar yetu Allahumma ameen Allahumma ameen
Mh Omar Ali shehe tunakukubali ❤
OMO arudishwe kwao Congo na Jussa arudi kwao India. Wazazi wake OMO waliletwa Zanzibar kutoka Congo enzi za utumwa, wazazi wake wanatoka jimbo moja na Koffi Olomide
Ndio hawa kuku munaopewa mtama watu yao yanawaendea ... Slavery mentality .. mutatawaliwa siku zote kwa akili zenu chege
Hivi hawa watu mbn wengi wao wanaonekana kufana na Watanganyika na Waafrika wengine na hawafanani kabisa na huyu Kumbaro Jussa, Jussa hana kabisa asili ya Afrika, lakini wanasema eti wao ndugu yao ni huyu Kumbaro kuliko Watanganyika, Waafrika wenzao 😂
Nyie mushazoea kupewa mtama