CCM ZANZIBAR WAUWASHA MOTO-HABARI KUBWA OMO-KATAA HAYA KIRIRI KINAMCHUKUA MZAZI MWENZA USHAHID!KILUP

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024
  • Tazama video hii ya kipekee ili uendelee kupata habari mpya kutoka CCM Zanzibar. Kiriri anazama kwa kina katika mada motomoto za sasa, ikiwa ni pamoja na mijadala mikali na mijadala inayozunguka kukataa kwa Omo kukubaliana kuhusu masuala fulani. Usikose kufuatilia kipindi hiki tunapochunguza ushahidi tunapotafuta ukweli kutoka kwa mzazi mwenzetu. Endelea kufuatilia drama, maarifa na mafunuo yote!
    Endelea kuwasiliana na kufahamishwa kwa kujiandikisha kwenye chaneli yetu kwa sasisho zaidi.
    CCM ZANZIBAR HABARI KUBWA-KIRIRI KINAMCHUKUA MZAZI MWENZIO USHAHIDI
    CCM ZANZIBAR WAUWASHA MOTO-OMO KATAA HAYA KWENYE KIRIRI TUTAMCHUKUA MZAZI MWENZIO ATOE USHAHIDI
    Ushahidi huu wa kushtukiza utabadilisha namna unavyoiona CCM Zanzibar milele!

КОМЕНТАРІ • 160

  • @hafidhhemed1514
    @hafidhhemed1514 Місяць тому +7

    Ili jamaa ni aibu ata kusema ni baba Ako au ni kaka ako, watu wanajadili hoja za msingi za kitaifa ana leta mambo ya kifamilia, na mabumunda yanaitikia na kupiga makofi😂

  • @user-nt7lh1qi9n
    @user-nt7lh1qi9n Місяць тому +6

    Wauwaj wakumbwa na roho za watu mtaenda kuzilipa subirini kidogo t Mungu Hana haraka

  • @omarmohammed5157
    @omarmohammed5157 Місяць тому +11

    Musimshirikishe ALLAH kwenye mambo ya uchafu na uwongo

  • @amiraliy3920
    @amiraliy3920 Місяць тому +5

    Hizi ni siasa za kikhanisi au za kishonga weka maneno yenye kukutuleteya faida siyo mipasho huyu maneno yake kama mau zunde Hana tofauti kabisa hizi siasa zimepitwa na wakati kabisa vyema nikujibi hija siyo khanisi huu kama shoga vile.

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382 Місяць тому +5

    UKISIKIA KUNA MASHOGA BASI SHOGA MOJA NI HILI👁️👁️!

  • @hamadrashid5140
    @hamadrashid5140 Місяць тому +4

    Angalau umesema mke na si hawara...
    Dawa zinawaingia sana

  • @CholoBy
    @CholoBy Місяць тому +4

    Acha usengeee uwooo Sisa izo zishapitwa namaste wakati

  • @akaumbo9433
    @akaumbo9433 Місяць тому +2

    Unaongelea ndoa za watu mbona yako huiweki wazi ukiambiwa hunaakili utasema kuwa unatukanwa kama hamna cha kuongea acheni ujinga

  • @omarabdallah3883
    @omarabdallah3883 Місяць тому +3

    Tafuteni watu wenye akili zao muwaweke kwenye uongozi.anazungumza nini huyu,wacha ujinga mambo ya mtu na mkewe nayaletahapo.wewe ni pumba hufai hata kuongoza mtu mmoja.

  • @user-gx7kt5tk7l
    @user-gx7kt5tk7l Місяць тому +3

    Mie ccm lakin hapo ccm mwenzangu umechemsha tushaindika kwenye siaza hizo zamani huna hata mvuto wa siasa hufai a kabisa

  • @abdulwahabmohd659
    @abdulwahabmohd659 Місяць тому +5

    Ndy maan tunakataa siasa akili hamuna mwatutia dhiki ya Masha tuu

  • @user-gx7kt5tk7l
    @user-gx7kt5tk7l Місяць тому +3

    Huyu sijui kamazanzibar jamani heee hufai kabisa kabisa huko tumetioka

  • @abdulwahabmohd659
    @abdulwahabmohd659 Місяць тому +5

    Jaman huyu jamaa kaibiwa mkewe au maan hii sio siasa ni mipasho

  • @osmanha6915
    @osmanha6915 Місяць тому +2

    Sasa mambo yake na mkewe yanatuhusu nini Sisi wananchi wenye njaaa.jibuni hoja

  • @AbdallahSalim-is3db
    @AbdallahSalim-is3db Місяць тому +2

    Wacha kusema maneno usiokua na uhakika nayo .. kisha pia mumchukue na yule alie endesha uchaguzi wa 2020 tuwalinganishe nae ivi ni yupi kadhalilisha watu wengi

  • @AyoubPapiy
    @AyoubPapiy Місяць тому +2

    Mbona unaleta mambo ya waketena"!? Hii ni siasa gani hii

  • @Idoman493
    @Idoman493 Місяць тому +8

    Hila Jamaa Fala Hasaa Halina Hata Hoja😂😂😂😂😂😂

  • @SadaKassm
    @SadaKassm Місяць тому +2

    Hii NDIO siasa au ni kitu gani jamani? Mie sijafahamu chochote

  • @saidabdillahi8107
    @saidabdillahi8107 Місяць тому +3

    Huyu ni mtu wa kumfungulia mashitaka

  • @mullestv2680
    @mullestv2680 Місяць тому +2

    Kwel nmeamn akili ya act mmoja ni sawa na ccm 100 hli jamaaa boksi asah

  • @matukiotvonline6366
    @matukiotvonline6366 Місяць тому +2

    Mm mbona sioni pwenti za msingi abazoongea pumba tuu ama kweli hawana sera hawana ilani😂😂😂😂🎉

  • @akaumbo9433
    @akaumbo9433 Місяць тому +1

    Ata aibu hamna unaongea pumba jichwa kubwa ila kichwani 0.0

  • @BAKARIBakari11
    @BAKARIBakari11 Місяць тому +4

    Kwani we huna mke au umeolewa wee azungumza usengee kabisa

  • @user-gx7kt5tk7l
    @user-gx7kt5tk7l Місяць тому +2

    Ujue yule ni mwanamme mwenzio , we vipi hiyo sio siasa

  • @IddiKhamis-cp2ge
    @IddiKhamis-cp2ge Місяць тому +3

    Ongea kitu kinachoweza kuingia akilini wao wanaonelea mambo ya siasa Sasa wake saba aloowa ci uamuzi wake na ww owa nane km uwezo upo

  • @SeifSalim-jd1bn
    @SeifSalim-jd1bn Місяць тому +3

    Kwhio haya ndio mafunzo yanayotolewa kwa vijana wa Ccm?

  • @haydarabdallah7914
    @haydarabdallah7914 Місяць тому +1

    Huyu Kama kaka akemauzindee

  • @alisalum5845
    @alisalum5845 Місяць тому +2

    Mwaka 95 hamukushinda uchaguzi..shahidi ni Ali Ameit

  • @yakoubfaki2026
    @yakoubfaki2026 Місяць тому +3

    Unajuwa unae mzungumzia lakini

  • @abdull_hafidh
    @abdull_hafidh Місяць тому +1

    Tunataka hoja za Maendeleo na sio mipasho Ccm ni chama kikubwa mnapikua na hoja zisizo na mashiko kwa wananchi mnakidhalilisha chama

  • @HalidMuhammad-gi9qy
    @HalidMuhammad-gi9qy Місяць тому +5

    Yaani hufai hta kuhuguvika kuku unaongae pumba basi safari hii atamuoa mama ako awe baba ako

  • @shariffali-pu4wj
    @shariffali-pu4wj Місяць тому +1

    meishiwa hoja huo usenge wa kufatilia familia huo ni usenge wacha tabia za kishoga hata aibu huon

  • @WakaWaka-eu9ky
    @WakaWaka-eu9ky Місяць тому +1

    😊😊😊😊 huna ishu bwana weweeeeeee cc hatujibu na wasiokua wasomi

  • @mahfoudhally2879
    @mahfoudhally2879 26 днів тому

    Huyu si yule omar kilupi aliekua akimenya mbatata za chips jumba number 8 sasa kawa mwanasiasa hhhhhhhhh miaka imeenda mashallah

  • @muslihpandu6
    @muslihpandu6 Місяць тому +1

    Umekuw kadhii cku hizi acha ujingaa

  • @azankhamis5503
    @azankhamis5503 Місяць тому +1

    Kumbe wangaliko kina

  • @SalimAli-n5s
    @SalimAli-n5s Місяць тому +1

    It's best to play the ball instead of a man.

  • @labunaabouna6122
    @labunaabouna6122 Місяць тому +1

    Hii siasa Wazenjibar or Mipasho lol 😆 nyie na nyi

  • @YusraSharif-kd7pc
    @YusraSharif-kd7pc 12 днів тому

    Pumbavuu tuu punguwan hayawaan,hamsini rasi hamsini majeruhi eti hawa ndo wakutuongoza cc jaman mmh,hayaa mtihaan walev na wasenge wapewe vyeo wny akili waachwe mitaan wakitesekaa na dunia..😢😢

  • @abrahmankhamis-e3v
    @abrahmankhamis-e3v Місяць тому +1

    kuna majitu mabumbavu kama haya!!

  • @Ablahisaid
    @Ablahisaid Місяць тому +1

    Watu km hawa husumbulia hata wake zao km wamewaletea chakula akiambiwa chakula kimeisha tokea mgeni basi husumbulia

  • @AliMsellem
    @AliMsellem Місяць тому

    CCM LINI IMESHINDA NAOMBA MAJIBU WATU WAMECHOKA NA FITINA NAUWADUWI WENU WA CCM WATU HAWAITAKI CCM WEKENI UCHAGUZI WA HAKI NA USALAMA CCM HAMUPENDWI

  • @Ablahisaid
    @Ablahisaid Місяць тому +1

    Sasa hizo ni sera au ushonga mwaname au mzima unafuwatilia mwame mzima

  • @mullestv2680
    @mullestv2680 Місяць тому +1

    Hki kikao ni kwa ajili ya kuzisema familia za watu au mbna mi ccm km ngombe akil zao m nahis ccm wenye akili hawazid 10

  • @harithaliy757
    @harithaliy757 Місяць тому +2

    Muongo mkubwa ww..ivy ukiongea sura linakusuta

  • @SaidHamadKhamis
    @SaidHamadKhamis Місяць тому +1

    Mjinga huamini kila aambiwalo, na Hao wanaotwa vijana wa CCM wanazidishiwa ujinga ili wawe Majuha poleni

    • @jumamohamed3168
      @jumamohamed3168 Місяць тому

      CCM mara nyingi wanapenda sana kuwatumia watu wasiokuwa na elimu kwa kuwapa fikira za kijinga na kuwajaza chuki ,lakini ukiwaangalia Act Wazalendo wanachosema jukwaani ni hoja nzito ukiangalia kama upo Zanzibar hasa kipindi cha uchaguzi utakubali kuwa wanachosema kwenye majukwaa ni kweli .

  • @omarkb6775
    @omarkb6775 Місяць тому +3

    Ccm mfundisheni kwanza kuongea huyu jamaa halaf ndio mumpe mic 😂kituko

  • @khamisjuma3760
    @khamisjuma3760 Місяць тому +1

    Wakati nyiyi si watawala zugumza yamuhimu achana nao tu ina maana hamjiyamini

  • @husnamohamed9245
    @husnamohamed9245 Місяць тому

    Watu wamekuja hapo wanataka uwaambie maendeleo sio kutoa aibu za mtu haifanyi Kwani sote ni wazanzibari tuwe kitu kimoja.

  • @jumamohamed3168
    @jumamohamed3168 Місяць тому

    Hizo ndio hoja walizonazo CCM juu ya kuitetea Zanzibar katika Muungano ,akili kichwani mwako Mzanzibar mwenzangu. Wenzao wanatoa hoja nzito hata mtoto mdogo darasa la tano (5) anaelewa kuwa kweli kuna tatizo katika Muungano dhidi ya Zanzibar yeye anazungumza suala la alikuwa na mke akamuacha .ccm Zanzibar jibuni zile hoja dhidi ya Act wazalendo kwa kuwafahamisha watu kuwa hatudhulumiwi bali tunazipata haki zetu zote kama yalivyo makubaliano ya Muungano na mutoe mifano .binafsi mimi siwaelewi nyinyi CCM .

  • @rashidramadhani9264
    @rashidramadhani9264 Місяць тому

    Jamaa anatafuata tonde duu.
    Familia kitu chengine.
    Tangaza yako brothe.
    Daar.kama ajira kaka hata kubiga debe pia ajira.
    Unaweza ukenda ukafanya.
    Ywongozi huuwezi.
    Puuuuu mbavu.
    Kisaka tonge we.
    Zanzibar kwanza.
    Mambo mengine baadae.
    Mamlaka kamili ndio shida yetu.
    Tuwe na utambulisho wetu mbele ya mataifa mengine.
    Takana kusima km mzanzibar sio😂 mtanzania.😮😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @SuleimanMussa-x5i
    @SuleimanMussa-x5i Місяць тому +1

    We huna akil

  • @RajabQassm
    @RajabQassm 15 днів тому

    Hakuna ndoa isiyokuwa na migogoro jibu hoja acha usenge au unataka amuowe mama yako ili awe baba yako?

  • @AbdulSaid-bn2gi
    @AbdulSaid-bn2gi Місяць тому

    Nyie ni wauwaji wakubwa ila mtaenda kuzilipa roho za watu musioni hii Dunia ni ya baba yenu

  • @omarmohammed5157
    @omarmohammed5157 Місяць тому +2

    Musidanaganye watu wazima munajitia aibu

  • @muhsinabdullah199
    @muhsinabdullah199 Місяць тому

    Ccm kweli matako bana sasa mambo ya nyumba unaleta majukwaani na ww si kawadhalilishe bonge la babu kumbe mwehu lakini ndo ccm wote mlivyo wehu sasa ndo nn

  • @user-gk3wz8wb3t
    @user-gk3wz8wb3t 27 днів тому

    Sasa mambo ya mke yanakujaje hapaaa kwani ni siasa au ni mambo ya familia

  • @fayzfadhil5921
    @fayzfadhil5921 Місяць тому +4

    itakuwa ana wivu sio bure njoo uolewe na ww basi😂

  • @mudathirali-en7mp
    @mudathirali-en7mp Місяць тому

    Ndugu watanzania wanahitaji sera sio kuongea Mambo ya jinsia ya mapenzi hizi ni sera za mau zide

  • @Khaly-v7c
    @Khaly-v7c Місяць тому

    Hiyo sio siasa,kuongea mambo ya mtu namume wake, Unafeli sana pole.

  • @hajikhatibhaji9434
    @hajikhatibhaji9434 Місяць тому

    Kilpin bora ukasimamie full moon siasa ishkushinda baada kuja hoja bbb tunashinda vipi kwa kishindo unatoa porojo za ki bech boy

  • @salimsaid8348
    @salimsaid8348 26 днів тому

    1995 ACT-Wazalendo haikuwepo bwege ww. Muongo mkubwa.

  • @omarmohammed5157
    @omarmohammed5157 Місяць тому +3

    SUBHANALLAH hawa wamekuwa kama Israel kwa palestine

  • @ZaidSeifSuleiman
    @ZaidSeifSuleiman Місяць тому

    Ccm hawana siasa mfano hata kama ingekuwa nikweli baada yakuongea siasa unsongea faragha ya mtu

  • @RamadhaniMussa-xs5uk
    @RamadhaniMussa-xs5uk Місяць тому +1

    Wewe jibu hoja alizozitoa jusa

  • @user-ue2nz3vc4j
    @user-ue2nz3vc4j Місяць тому

    CHAMA CHA WANASHERIA ZNZ KIPO KIMNYA JUU YA UNYANYASAJI KWA WANAWAKE MNA DHIMA YA KUWASEMEA WASIO NA SAUTI....

  • @user-lq4cm4rq6z
    @user-lq4cm4rq6z 29 днів тому

    😂😂😂😂zaidi ya wake7😂😂mtume

  • @jaanjaan111
    @jaanjaan111 Місяць тому +1

    Omo umepata mke mpya

  • @RashidAli-rn3ro
    @RashidAli-rn3ro Місяць тому

    Añalipwa kwa upuuzi huo tu mwenzenu. Mwisho wa maji ni tope

  • @AliMahfudh-ze2ig
    @AliMahfudh-ze2ig Місяць тому

    Brother pole hata lengo la hicho kikao hujalionesha😂😂😂😂

  • @hassanbakar
    @hassanbakar Місяць тому +2

    Huna jipya ww kapuku

  • @hajihassan9097
    @hajihassan9097 Місяць тому

    Nenda ukaolewe na wewe kama wote amewaacha. Mkiambiwa CCM Unguja Mapimbi ndio kwanza mnazidi. Watu wanajadili mustakbali wa nchi hii mipimbi inajadili kuwacha wake pumbavu wahedi. Wewe subiri mwaka huu hatufi sisi lazima tufe na wajinga kama nyinyi.

  • @delasdiego6537
    @delasdiego6537 Місяць тому

    Huyu ukimsikiliza Kwa umakin utagundua jinsi anguko la Hawa jamaa lilivyo Kwa maana kifo Cha ccm ni kifo ambacho hajawai kutokea Toka Dunia iumbwe huyu jamaa haongei siasi Bali attacking by personal issue ambazo ukiangalia profile za omo ni tofauti na anachokisema swaini huyu ongea tukana apiza uwezavyo ila nyinyi ccm KIBAO KIMOJA tu
    TUKUTANE 2025
    Dadeki zenu

  • @AliMsellem
    @AliMsellem Місяць тому

    hakuna cha milele ipo siku mutsondoka kwa uwezo wa allah s w

  • @ZaidSeifSuleiman
    @ZaidSeifSuleiman Місяць тому

    Ama kweli ccm waongo ccm hamjawahi kushinda

  • @NaglaSaid-jn1xo
    @NaglaSaid-jn1xo Місяць тому

    Halafu na nyie rusheni hewani watu wanaoongea mambo yanayoeleweka msilete walevi, au mnaweza kutusaidia alichoongea kinamantiki gani ? Hebu jaribuni kuifanya hii chanel yenu iheshimika kwa kuleta watu wanaojitambua

  • @abdullkhamis5406
    @abdullkhamis5406 Місяць тому

    Kiongozi lete Hoja zako/ Zenu Tujifunze watu hawana muda wa Kupoteza.

  • @amerwelder7786
    @amerwelder7786 Місяць тому

    Sas kuowa wake saba ndo maajabu na kuwacha mke si maajabu shekh

  • @salumhaji1906
    @salumhaji1906 Місяць тому

    Wakimaliza na huyu wanaendelea na Jussa hajaowa!!

  • @muhsinabdullah199
    @muhsinabdullah199 Місяць тому

    Nyinyi ccm acheni wehu uo sasa ndo nn lete sera khanithi ww

  • @khamisjuma7616
    @khamisjuma7616 Місяць тому

    wacha mambo yakike wewe ndo mana chama chenu kimejaa mabaradhuli na wewe nina mashaka nawewe

  • @yakoubfaki2026
    @yakoubfaki2026 Місяць тому

    Mkuu tupe ushahidi kwa video au documents pls usitupe parojo tuu

  • @CholoBy
    @CholoBy Місяць тому

    Makubwa haya jamani

  • @AliHahi-qs5it
    @AliHahi-qs5it Місяць тому

    Senge weeee

  • @AliMsellem
    @AliMsellem Місяць тому

    WW NANI ASIYEKUJUWA WW WW UNAAIBU NGAPI UZITANGAZI UKITAKA KUMSEMA MWENZAKO SEMA WW YAKO

  • @hafidhhemed1514
    @hafidhhemed1514 Місяць тому

    Mapunguwani

  • @siyahrukun5626
    @siyahrukun5626 Місяць тому

    kilupy munanuka laaana nyie.ramadhani mnapiga fullmoon party.leo unaongea ujinga tu

  • @KomboHamad-e3t
    @KomboHamad-e3t Місяць тому

    Hahaaaaa poleee ndio siasa hiyo toa Sababu

  • @HariOmar-nn8pj
    @HariOmar-nn8pj Місяць тому

    Yamehusu nini kutaja Mkee Family ktk uongozi Wa siasa .

    • @jumamohamed3168
      @jumamohamed3168 Місяць тому +1

      Hawa wanapoambiwa hawana hoja usio kuwa wanaonewa hivyo ni kweli kabisa,hawa ccm wasipaniki wawaeleze Wazanzibar kwa kujibu zile hoja zinazotolewa na kutoa mifano .awaseme hoja fulani jibu lake ni kwamba katika chaguzi watu hawapigi risaai wala kujeruhiwa .pia haki zetu Zanzibar tunazipata katika muungano wala hakuna hakiyetu tunayoikosa katika makubaliano ya Muungano na mifano wakiitoa kama wenzao ,wajibu kuwa hakuna ubaguzi katika kupewa vitambulisho vya Mzanzibar mkaazi watoe ushahidi kwa data kabisa hizo ndio hoja nasio kujadili kaacha mke hiyo haisababishi wana CCM kuona kama viongozi wao wanahoja nzito kuwa wapinzani wao.unafanya waamini ccm kuwa wao hawanahoja za kuitetea Zanzibar.

  • @salumnassornassor9733
    @salumnassornassor9733 Місяць тому +1

    Mambo ya kufatlia familia za watu ndio nn toa hoja mezani uyo mwaname au alikua mkeo una wivu kuolewa cc m hamuna joja wazanzibari wamechoshwa kuburuzwa

  • @delasdiego6537
    @delasdiego6537 Місяць тому

    WASHENZI HAWA

  • @nuhuomar2541
    @nuhuomar2541 Місяць тому

    Hizi ni siasa au chuki, sasa imekuwaje kuingia kwenye familia za watu

  • @user-cv5cq3bf4v
    @user-cv5cq3bf4v Місяць тому

    Sasa nimekubali wapinzani wakisema mikutano yao wanaumia huyu ndo inamumiza haswaa

  • @KhadijaHussein-qn2ge
    @KhadijaHussein-qn2ge Місяць тому

    Tunataka mamlaka kamili nasiporojo ww ndokatibu sasa unaandika nn na hujui unacho kisema bora undolewe mana huleweki unajua siasa hizo za gorafya mpakaleo unazo waelezee watu nn mfanya jibu hoja si matusi sasa unatufundisha tutukane si huluka yetu jibu hoja au nyamaza ndivyo mtume alivyo tufundisha matusi hayasaidii

  • @duniamapitosotewamungu3467
    @duniamapitosotewamungu3467 Місяць тому

    mshaallaniwa nyinyi hamna la kusema

  • @binzubeir6510
    @binzubeir6510 Місяць тому

    Wengine hamjui ata kuongea, haya mambo ya wake yanakuhusu nini??!
    Kimya ni bora...

  • @hafidhhemed1514
    @hafidhhemed1514 Місяць тому

    Wazalendo ni nyie wauwaji wa wananchi

  • @AbdulSaid-bn2gi
    @AbdulSaid-bn2gi Місяць тому

    Ww muongo tu Kwa vile hayupo hapo

  • @KhamisMakame-o8b
    @KhamisMakame-o8b Місяць тому +2

    Kwaiyo ushavutiwa na ww aje akuowe omo hapendi wasenge ujue

  • @burhanisaidi9811
    @burhanisaidi9811 Місяць тому

    Hii nayo pia habari kubwaa😮