Diamond Platnumz kazungumza ukweli kuhusu beef na Davido na walivyokutana juzi, mtoto wiki ijayo

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 лип 2015
  • Mwimbaji staa wa bongofleva Diamond Platnumz amekutana na camera ya AyoTV hapa Durban South Africa wakati tukisubiria tuzo za MTV 2015 kaongelea Beef yake na Davido ilivyokua na mpaka wakakutana, mtoto wake wiki ijayo, tuzo za MTV na mengine.
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 82

  • @lucyk7779
    @lucyk7779 9 років тому +11

    Diamond is soo humble and ni mkweli....I thnk hii ndio sababu anazidi kwenda juu.Kazi njema ...mob love from kenya

  • @surambayarohosafi314
    @surambayarohosafi314 9 років тому +1

    Jambo Mr diamonds I wish you all the best ***** umekomaa kia kili unavyo jibu interview zako zooooote vizuri sana keep it up and god bless you kwa yote unayoyafanya akulinde na akuepushe na wanoko wabaya. 🙏🙏🙏🙏🙏🙏TINA from Kenya.

  • @christinenely6818
    @christinenely6818 9 років тому

    Diamond platnumz he iz best aisee duh..yaan full point big up chibu bro Millard Ayo thank for da good interview uko vizur bdo tunatarajia vitu vizur kutoka kwako

  • @wilhelmibaganisa1635
    @wilhelmibaganisa1635 9 років тому +2

    Ahsante xaana #millradayo kwa kutupa chakula cha ubongo!! Keep it up & be blessed!!

  • @judithmalisa497
    @judithmalisa497 4 роки тому

    Big up our Tanzanian bro. U make us proud. We love u sana Mwenyezi Mungu akulinde.

  • @mbesherejoh4219
    @mbesherejoh4219 9 років тому +1

    this gy bana anaupeo mkubwa kweli,,yani unakuwa uanatamani efanyiwe interwiew kila mara anajua sana kujibu maswali,,plus anakipaji kikubwa,mno,,big up diamond mungu akujalie,,mana kunawasomi lakini kujieleza hivyo hawawezi,,yani unajua mpka unakera wenzio,,,,mungu akujalie kaka

  • @marygeorge8316
    @marygeorge8316 9 років тому +1

    I love Diamond's music so much I think his personal life and the Instagram teams at time potrays him different but he is humble and a good performer,anaipeperusha bendera ya Tanzania vyema and thats what matters the most congrats to him oooh back to you Millard keep doing what you do,your trully going places,we need more younger gentlemen as this guys.Kudos to both.

  • @redempthawilliam7065
    @redempthawilliam7065 9 років тому

    One more thing. Millard unafanya kazi nzuri sana, kwenye hii TV yako mpaka kwenye kipindi chetu pale katika redio, duh.......big up kakangu

  • @juliethyanthony5015
    @juliethyanthony5015 9 років тому

    Asante xana milard kwa ctor nzuri

  • @sisiss-eu8eq
    @sisiss-eu8eq 9 років тому

    Nnapendaga interviews za diamondplatnamz mwanzo mwisho

  • @elickmike8281
    @elickmike8281 9 років тому

    bigup bro kazi nzuri.

  • @redempthawilliam7065
    @redempthawilliam7065 9 років тому

    Na shindwa hata kusema kitu, Diamond your awesome, na nakuombea mema kaka, na ujue kuwa watanzania tunakupenda ka changamoto hazina budi kuja, one love kaka, pamoja sana. Tunakuombea mwaya.

    • @paulbuchira28
      @paulbuchira28 9 років тому

      Dimond umejituma sana hakuna asiyejua so usiangalie nyuma angalia mbele najua mafanikio yako nifanikio yangu kitaifa so kepup

    • @emanuelluchagula8127
      @emanuelluchagula8127 7 років тому

      +paul buchira oya

  • @DsillyTv1
    @DsillyTv1 9 років тому +9

    (Off topic) Tatizo na sisi wabongo tumezidi kha..! Yaan video Ina viewers 30k alaf likes eti 300 kweli guys? I don't understand sijui watu hawana account za UA-cam? Cuz I'm pretty sure hamna ambae hajaipenda video Hii au any from milard ndio maana Mimi kwa channel yangu (comedy videos) nina upload video za kiingereza nyingi na za kiswahili chache... We need to show support jaman..y'all don't know how much it takes for a person to Record,Edit and upload Hapa UA-cam...Unsubscribe tu shida, hata kulike jaman? And Liking a video sio lazima but at least it gives a person moyo wa Ku do more and more..

  • @fredyfrances6853
    @fredyfrances6853 9 років тому

    Milard nice 4 good work

  • @mustafaqatarmowa4305
    @mustafaqatarmowa4305 8 років тому

    Hi Mr miladayo, big up for your Nice program

  • @happyminja4861
    @happyminja4861 9 років тому

    Jamaa ana point za maana ahsante sana millardayo

  • @gracewilliams1841
    @gracewilliams1841 8 років тому +3

    awesome

  • @leenaleen794
    @leenaleen794 9 років тому +1

    D -Zari 4rever

  • @KingoMagazine
    @KingoMagazine 4 роки тому

    2020...

  • @kairoshbam5367
    @kairoshbam5367 9 років тому

    Millard Ayo gud job with diamond,U'r on top wid ur interview

  • @martinthadeus494
    @martinthadeus494 9 років тому

    Jamaa ana ni inspire sana as kijana. 255 All the way.

  • @kiambwethedon9537
    @kiambwethedon9537 9 років тому

    good sana ...

  • @MikaChavala
    @MikaChavala 9 років тому +4

    Aiseeeee Kaka umeongea points nzuri sana nimezipenda ...keep it up broh

  • @zenakusiri2243
    @zenakusiri2243 7 років тому

    big up millard

  • @christinahaule9726
    @christinahaule9726 7 років тому +2

    safi

  • @danielycosmas2176
    @danielycosmas2176 6 років тому +2

    Davdo yupo juu diamond ukasom ufati apo kwa davdo ata ukiimba kichina.

  • @michaelnani8341
    @michaelnani8341 9 років тому

    Ayo wewe ni kwikwi...... yani ni nomaaaaaaaa @ayotv

  • @TasteOfDar
    @TasteOfDar 9 років тому

    Safi

  • @lourencomatsimbe8324
    @lourencomatsimbe8324 8 років тому

    you can get a chance to win

  • @munfatchichi2874
    @munfatchichi2874 5 років тому

    Kweli mond uko pow

  • @Nyabiris
    @Nyabiris 7 років тому

    respect baba tiffa

  • @shebybring105
    @shebybring105 9 років тому

    nimefurahi kuona hi video

  • @frankagustino8205
    @frankagustino8205 7 років тому

    nyimbo mpya ya diamond platnum

  • @dadahappy4963
    @dadahappy4963 6 років тому

    DIAMOND

  • @mtimamohamed6060
    @mtimamohamed6060 8 років тому +6

    Tunashuru kwakutuwakilisha vizur hapa tz

  • @kelvinisabinani8079
    @kelvinisabinani8079 3 роки тому +1

    Diamond Yuko juu kuliko davido

  • @francescomtogozi8226
    @francescomtogozi8226 6 років тому

    nom

  • @silverstienedaria3493
    @silverstienedaria3493 9 років тому +9

    diamond we sai uko ju kumliko davido kimziki

  • @okiojako986
    @okiojako986 6 років тому

    UKO POA KAKA KAZA TU chief young moro hapa.

  • @barikichichimu3502
    @barikichichimu3502 6 років тому

    milard upo vzr sana utadum kk.

  • @kanuniomarywardatys3040
    @kanuniomarywardatys3040 9 років тому

    ayo ww ni wakimtaifa big up bro.nlmm napenda kukwitwa mzarendo+mirladayo

  • @samwelnyankena9873
    @samwelnyankena9873 7 років тому

    good xana chibu di chibu de

  • @dellymulashan6531
    @dellymulashan6531 9 років тому

    Poa sana millard kwa kutuweka karibu na dangote......tuko pamoja damu damu milele

  • @y6y6hg77
    @y6y6hg77 7 років тому

    Anapenda kulamba mdomo sijui kwanini au unalambaga sana kuma

  • @emmanuelnyove8292
    @emmanuelnyove8292 9 років тому

    Dah diamond mwacheni aitwe diamond

  • @yaledymartin4001
    @yaledymartin4001 6 років тому +1

    Diamond
    u
    n
    a
    w
    e
    z
    a

  • @Eldiablo_69
    @Eldiablo_69 9 років тому

    Kuwa na akili si lazima uende shule. Hongera raisi

  • @jahceennakstar9334
    @jahceennakstar9334 6 років тому

    Hizi sheria za Magufuli za kitoto isee

  • @sitibora4942
    @sitibora4942 7 років тому

    Diamond kwani wewe unamakengeza? alafu kwenye majadiliano unapenda kumtaja kinyanya cha Uganda kwa nini?

  • @mwezikisabo1857
    @mwezikisabo1857 9 років тому

    Hapo poa kabisa kaka nakubali. Mambo murwa kabisa.

  • @ahabrondy2713
    @ahabrondy2713 6 років тому

    tutakupositi kwamazuri yako mpaka mwisho.

  • @manasesimba2558
    @manasesimba2558 5 років тому

    manase

  • @wardalward3693
    @wardalward3693 6 років тому

    we diamond msaidiye mzee wako utakuja juti baadaye

  • @bakarmussa7748
    @bakarmussa7748 9 років тому

    bakary mussa90

  • @mirriamsaluva3366
    @mirriamsaluva3366 9 років тому

    jamaa yukojuusana kazabuti

  • @donarddaniel2399
    @donarddaniel2399 8 років тому

    Saf kk

  • @khaledjuma7802
    @khaledjuma7802 9 років тому

    Msafa wa obama kenya

  • @mirriamsaluva3366
    @mirriamsaluva3366 9 років тому

    jamaa yukojuusana kazabuti