"Mimi na Wema Sepetu tunakutana sana” - Diamond Platnumz

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 чер 2017
  • Mwimbaji Diamond Platnumz alikaa kwenye Exclusive Interview na On AiR with Millard Ayo kuzungumzia ishu mbalimbali za muziki akiwa na kundi lake la WCB ambapo pamoja na maswali mengine, alijibu kuhusu uhusiano uliopo kwa sasa kati yake na aliyewahi kuwa Miss TZ 2006 Wema Sepetu ambapo.

КОМЕНТАРІ • 267

  • @susamsusan2961
    @susamsusan2961 6 років тому +20

    Diamond go back to wema sepetu from kenya I love wema so much

  • @mwanajumaomahundumla6504
    @mwanajumaomahundumla6504 7 років тому +4

    nakubali na kuangalia habari zako kiroho safi hubahatishi Mungu akubariki Millard Ayo. from Dubai asante sana habari mingi za Tanzania nazipata kupitia kwako

  • @angelmirindi2234
    @angelmirindi2234 6 років тому +5

    Kweli wema na diai wapendane tuu wana lingana I love u wema be strong

  • @shukurusefu442
    @shukurusefu442 5 років тому +15

    Diamond kuwa na wema utapendwa sana

  • @mwanahamisiabdallah3819
    @mwanahamisiabdallah3819 7 років тому +15

    wasanii wa WCB are down to earth wen it camz to their fans.....rilly luv dat

    • @ebuzztz8307
      @ebuzztz8307 7 років тому +1

      subscribers kwenye UA-cam channel yangu EBUZZ TZ KARIBU

  • @mwaijaramadhani6662
    @mwaijaramadhani6662 7 років тому +38

    diamond huwa anakumbuka sana fadhila za wema na anajua wema kambust sana tatzo vijiwatu tu pembeni vinaongea kuhusu waoo lakin diamond anajua kuwa wema ni muhimu sanakwake

    • @gloryjimson8353
      @gloryjimson8353 6 років тому

      Mwaija Ramadhani 👏👏👏👏👏👏👏👏

  • @myshylysh3554
    @myshylysh3554 7 років тому +53

    wema kipenzi Cha watu 😍 Wakenya kiherehere leteni hapa ! Millard sauti duh!

  • @tumushabehadijjah4161
    @tumushabehadijjah4161 6 років тому +5

    Napenda wema and diamond sana

  • @hannahnganga161
    @hannahnganga161 7 років тому +28

    millard ayo cograts ni kwako tu unaweza pata habari za ukweli bila kuongeza chochote,,mnayo ongelelea ni sawa na kichwa cha stori

    • @enockkaini8541
      @enockkaini8541 6 років тому

      mond unazingua wema ndo wako afu yeye ndo kakufanya ujulikane

  • @estheramiry1520
    @estheramiry1520 7 років тому +3

    Mama T anajua kuwa wanapendana na wana mapenzi ya dhati ambayo hayawezi kufa moja kwa moja, kwa hiyo inabidi awe mpole.

  • @lennyayugi1433
    @lennyayugi1433 7 років тому +63

    Team Wema.....

  • @bentahmunyangi4981
    @bentahmunyangi4981 7 років тому +16

    Lea kinema ukweli diamond,,,wema anakufaa mwenyezi mungu awabariki sana nawapenda kutoka kenya

  • @salimhadija2369
    @salimhadija2369 7 років тому +9

    wema ni queen na bby wa diamond period

  • @rehemajulias6685
    @rehemajulias6685 7 років тому +11

    wema ni wako nawapenda sana kwanza ukiwa na wema mnaendana kweli

  • @naimarama5741
    @naimarama5741 7 років тому +4

    woyooooh wema 😍😍😍😍😍😍😍😍

  • @ladynessmalle4517
    @ladynessmalle4517 7 років тому +9

    appreciation

  • @gracemasawe6994
    @gracemasawe6994 3 роки тому +1

    2021 tujuane hapa

  • @blacknature7637
    @blacknature7637 7 років тому +6

    hasanova Tia comment kama wengine acha kutukanana

  • @katemueni3096
    @katemueni3096 6 років тому

    D manze uko fiti tu sana hongera nairobi yaani kenya ni lini

  • @hassanovajunior6972
    @hassanovajunior6972 7 років тому +7

    safi sana simba

  • @charitymaina9294
    @charitymaina9294 7 років тому +4

    Always a fan of Zari Hassan na ako poa kwa Diamond platnumz,,age is just a number,,what makes me to envy them,is just the love for her kid,a rare thing to find from celebs

  • @estarmanyanda9489
    @estarmanyanda9489 6 років тому +2

    nafurahia sana ukimludia wema mbongo mwenzako achana na nawengine lakini ujali kuhusu watoto

  • @kottaflavour7645
    @kottaflavour7645 3 роки тому

    2020 tupo gonga like tujuane

  • @aidanmbuka239
    @aidanmbuka239 5 років тому

    Nice platinum and rayvan

  • @RockersMediaTV
    @RockersMediaTV 6 років тому +2

    Beautiful studio set up but you honestly need to get professional Headsets. I strongly recommend AUDIO TECNICA ATH M50

  • @missxexykenya6028
    @missxexykenya6028 7 років тому +3

    wcb team u know how to straighten them ....u rock simba

  • @funsupadatestourists9256
    @funsupadatestourists9256 7 років тому +5

    yani umrudiee kwa amani tu Mungu awajalie mzae mtoto wenu kwasababu nina imani mmeachana kwasababu ya wema kutokuzaa lkn bado mlikuwa mwapendana na mnapendezana sn

    • @gloryjimson8353
      @gloryjimson8353 6 років тому

      funs upadates tourists Mungu yupo atamponya tu madame Wema namuombea apate watoto mapacha vile dah

  • @lillianjohn964
    @lillianjohn964 7 років тому +1

    great

  • @peretalent2154
    @peretalent2154 6 років тому

    Thanks Ray

  • @bravofundikila965
    @bravofundikila965 7 років тому +8

    vizuri sana!

    • @saritajozey3295
      @saritajozey3295 7 років тому +11

      Yaani hiyo furaha yng siku diamond na wema kurudiana ntafanya bonge la party

  • @dativanyamata9731
    @dativanyamata9731 7 років тому

    Bro mond. ur a man who. needs to be appreciated. ever in Tanzania congrats sana Bro mond. kucheza na wema datc a normal thing sema watu weng wa Tz n uncivilised

  • @johnmutizo2566
    @johnmutizo2566 7 років тому +9

    gd jb Simba

  • @ruthlewiz103
    @ruthlewiz103 7 років тому

    salute u simba diamond

  • @coolmom7329
    @coolmom7329 7 років тому

    ur right

  • @ceciliafungo6944
    @ceciliafungo6944 7 років тому +20

    mrudiane tu nmewamic😅😅

  • @nellyrimuri4585
    @nellyrimuri4585 7 років тому +8

    Watching Tanzanians speak Swa makes me feel like I can chomoa some Sanifu of my own. Oh the struggle is real.😎

  • @mwanahamisiabdallah3819
    @mwanahamisiabdallah3819 7 років тому +15

    wow rayvanny unajua kuongea diamond mwalimu mzuri

    • @ab3ab313
      @ab3ab313 4 роки тому

      nawapend bure sana

  • @user-jk4dk7sb8f
    @user-jk4dk7sb8f 7 років тому +1

    waaaaaw

  • @feyally4369
    @feyally4369 7 років тому +9

    umerd kweny na mludi kwao xio mtumwa wema oyeeee

  • @dullysimba21
    @dullysimba21 7 років тому +2

    Wcb forever and for Always.....

  • @bashirumohamed6227
    @bashirumohamed6227 7 років тому +2

    Noma sana broo

  • @tabumussa9406
    @tabumussa9406 4 роки тому

    wema na daimond wanaendana sana naomba MUNGU afanye wepesi waoane

  • @chrisdady9186
    @chrisdady9186 7 років тому

    Nice

  • @zulhaifasaid6413
    @zulhaifasaid6413 6 років тому +1

    SAFI SANA NASSIBU KWA KUACHA MABIFU NA WEMA

  • @halimahalima3525
    @halimahalima3525 7 років тому

    safi

  • @marianaakala2275
    @marianaakala2275 7 років тому +85

    Team simba..wakenya mpo🙋

  • @lillianwangui5801
    @lillianwangui5801 7 років тому +19

    Kenyan fan

  • @secilialaurentlaurentmiimb7899
    @secilialaurentlaurentmiimb7899 7 років тому

    p1 sana mtu wanguvu

  • @dondonofficial399
    @dondonofficial399 7 років тому +2

    nice simba

  • @hassanmapenzi6188
    @hassanmapenzi6188 4 роки тому

    N msanii mgani huyo alikuwa anasema ati atakuwa kwa vidio na n wimbo gani huo kama unajua weka comment na like pia

  • @rosesancho1190
    @rosesancho1190 6 років тому +3

    🔥🔥🔥WCB

  • @jessiejeromembonika9328
    @jessiejeromembonika9328 6 років тому

    nice

  • @subiramagembe227
    @subiramagembe227 6 років тому

    🔥simba

  • @ramzy5280
    @ramzy5280 3 роки тому

    2020 ✊✊✊

  • @abelmwanshinga4139
    @abelmwanshinga4139 7 років тому +7

    kazen mazee

  • @namwanozaituna6353
    @namwanozaituna6353 5 років тому

    Apo sawa

  • @baewamugabe274
    @baewamugabe274 7 років тому +6

    diamond uko I love ua teeth kama hauna zile meno badika

    • @zahrahassan1351
      @zahrahassan1351 7 років тому +2

      Nyeusi Kadadyy Chege mm pia juu akivaa huwa anaongea utafikiri meno ni mingi sana kwa mdomo

  • @fatmanasser6829
    @fatmanasser6829 7 років тому +15

    mbona wasanii wanakua weupe kwanini hahahaha uwiiiii

    • @ebuzztz8307
      @ebuzztz8307 7 років тому +1

      subscribers kwenye UA-cam yangu karibu kwetu EBUZZ TZ karibu

    • @mariamsuleiman3795
      @mariamsuleiman3795 7 років тому +1

      Fatma Nasser maji mengi

    • @manyamarobert6887
      @manyamarobert6887 4 роки тому

      Kungaa ni kawaida saana ukiwa karibu na hela hasa +furaha,unakuwa mweupe

  • @MrAYUBJUMA
    @MrAYUBJUMA 6 років тому

    upoo juuu

  • @kanemwanjelwa4648
    @kanemwanjelwa4648 4 роки тому

    Daaaaa komaah kaka we nma

  • @williamskemisola6625
    @williamskemisola6625 7 років тому +24

    Millard ayo unaletaga mambo mazuriiiiiiiiiiii hujui tu

    • @joyccemwesh9042
      @joyccemwesh9042 6 років тому

      wakenya 2po xna tunawaona

    • @gloryjimson8353
      @gloryjimson8353 6 років тому

      Williams Kemisola mie sauti yake tu Mmmmmh aseeee tam kinoma yani.......

  • @rachealivanita409
    @rachealivanita409 7 років тому +2

    team zari actually zari is beautiful person and responsible

  • @ashurahaji3475
    @ashurahaji3475 5 років тому +1

    Tuseme tu ukweli diamond na wema wanapendezana hata mama diamond anamkubali wema

  • @gloryjimson8353
    @gloryjimson8353 6 років тому

    wema ni wema bhana nyie mnapendana Sana tu sema nini mzee baba Fanya mchakato kwa madame Wema bhana Dah....... Rayvanny Eeh umetisha but #Millardayo hiyo sauti mie inanipagawishaga Sana yani Dah sio powa 😭😭😭😭

  • @maryannmwauravlogs9970
    @maryannmwauravlogs9970 7 років тому

    daaaaaaani

  • @gracekathulejoseph6782
    @gracekathulejoseph6782 7 років тому +11

    Team Fire💪

  • @neemajilo4012
    @neemajilo4012 7 років тому +2

    Safi mond cheka na madam wema ipo siku utanifurahisha zaid

  • @abdulfumao5077
    @abdulfumao5077 7 років тому

    good

  • @faridabakari8511
    @faridabakari8511 7 років тому

    hongerani wana mzikii

  • @justinedevis6082
    @justinedevis6082 7 років тому +2

    Ko baada ya kusema Zari alikuwa akiwasiliana na IVAN na unalipa kisasi kwa kuusema unasasiliana sana na Wema? Bac Tumekubali.

  • @dinaelpha5487
    @dinaelpha5487 7 років тому +1

    Nilitamani sana Diamond avue hizo side mirrow machoni ila naapeenda sana interview zako unaongea vizur sana kaka

  • @mellenondieki1913
    @mellenondieki1913 7 років тому

    Hi,millard Ayo, kutoka,Tanzania, me lam Mellen Ondieki from USA please namufuta,huyo,musichana, bitoke, kenya hii,studio, station yako.Asante sana,but if you get this message, yangu,huyo,musichana alisema,atajiua,if ben pol,ataki,to marry her,please tell her, if ben pol,is not going her,l will get her to American to get ajob,then a forget about that,but if ben pol marry her,it will be very grateful .l think you will understand, me,please take this message to Bitoke.

  • @angelangel4119
    @angelangel4119 7 років тому

    milard ayo I love you ,lol hio sauti .. mmmmmh

  • @peterkobero5793
    @peterkobero5793 6 років тому +2

    nakushauli kk pita kooote Ila usimsahau wema kakutoa mbali jaman

  • @jasmin.omasiga5441
    @jasmin.omasiga5441 7 років тому +1

    damond usivaage miwani bn me napendaga nione machoyakoo kakaangu babatifa

  • @najamanali2616
    @najamanali2616 7 років тому +2

    naitaji na mm nijiunge na wcb kwajili ya usafitu yaani kusafisha office najuwa ona day nitaingia uko

  • @mjney2021
    @mjney2021 7 років тому +10

    kuachana sio sababu ya mabifu ya kipuuzi. salamu kwao haters

  • @valentinevava2318
    @valentinevava2318 7 років тому +6

    l dont think is problem to befriend with ex is normal

  • @saidsaid9463
    @saidsaid9463 6 років тому +1

    Simba wewe noma

  • @emmanuelimaxxaka754
    @emmanuelimaxxaka754 5 років тому

    B gap xana milady naona uko na chama la WCB una liwakixha vyema 👊👊👊👊👊👊👊

  • @jacklinemwati9784
    @jacklinemwati9784 7 років тому +1

    Rayvanny anaongea vizuri basi

  • @painopipino9741
    @painopipino9741 7 років тому

    nc

  • @pilfilhabibkarim6731
    @pilfilhabibkarim6731 7 років тому +2

    sawa baba tunakuelewa

  • @upendombise8113
    @upendombise8113 2 роки тому

    Jamani ciku diamond akirudiana na wema na kuwa mke na mume nitapata furaha ya milele

  • @sarahgerald7825
    @sarahgerald7825 7 років тому +12

    wema na diamond munapendezana sana

  • @salmasally5917
    @salmasally5917 7 років тому +4

    team bongo

    • @ebuzztz8307
      @ebuzztz8307 7 років тому

      subscribers kwenye UA-cam yetu karibu EBUZZ TZ

  • @hassanmohdallyally9552
    @hassanmohdallyally9552 7 років тому +1

    yule mtto.wa khadija kopaa yuko.wapi au washatosaaa

  • @bentahmunyangi4981
    @bentahmunyangi4981 7 років тому +5

    Wema mama lao

  • @florafabian8503
    @florafabian8503 6 років тому

    mm nasikia raaha mondi kuwa Na wema maana walipendana Tang kitambo

  • @epiconreview4494
    @epiconreview4494 7 років тому +7

    nbona diamond kazima?

    • @ebuzztz8307
      @ebuzztz8307 7 років тому

      subscribers kwenye UA-cam yetu EBUZZ TZ KARIBU

  • @godfreymtwanga6929
    @godfreymtwanga6929 7 років тому +7

    binafsi nimeziwekea alarm blog nyingi ikiwemo Millard Ayo lkn sasa zote zitapga alarm na nitasoma na kuangalia video ila nisipopgiwa alarm na ayo tv haisee ctaweza kuamn hyo habar mpaka ayo tv Ihusike

  • @carolynelivingstone9414
    @carolynelivingstone9414 7 років тому +8

    Wcb 4 lyf

  • @walterykapinga3651
    @walterykapinga3651 7 років тому +6

    ile kitu na young killer hatukisikii kutoka mondi au mipango sio matumizi

  • @rehemajulias6685
    @rehemajulias6685 7 років тому +2

    time wema

  • @yaduniavarery3138
    @yaduniavarery3138 7 років тому

    Oya

  • @fatiafat3475
    @fatiafat3475 7 років тому +4

    2nd on the line to comment

  • @tanciabradshaw
    @tanciabradshaw 6 років тому +1

    where's the f***ing English version?!

  • @mwanaishambili241
    @mwanaishambili241 7 років тому

    mtu wangu wa nguvu Miller ayo uwa na kupenda una busara kwa kuuliza maswali nacbu nimekupata ndio binadamu ao kwao zury baya ...baya... baya hawakoc lakusema

  • @mohamedimkobokwa1559
    @mohamedimkobokwa1559 6 років тому +1

    Tisha sn simba marekani wandengereko wapo bwn

  • @jimmybongotz1751
    @jimmybongotz1751 5 років тому

    Duh