CHADEMA Imepanga Kumshinda Kwa Hoja Gani Samia 2025?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 сер 2024

КОМЕНТАРІ • 31

  • @user-rn9og1rk3l
    @user-rn9og1rk3l Місяць тому

    Wewe Mwandishi wa habari hiyo tasnia hauna utalamu nayo
    Nenda kalime viazi Kwenu

  • @anordiobadia.nycsong8123
    @anordiobadia.nycsong8123 Місяць тому

    Mwandishi nae chawa

  • @user-nr3ym2ku6y
    @user-nr3ym2ku6y Місяць тому

    Chadema mnawabagua watu kwa dini zao mtizame slaa alimkosoa jk akamkubali magufuli leo anampinga samia

  • @ElishaOisso
    @ElishaOisso Місяць тому

    Una uliza swali utaki kujibiwa au umetumwa,

  • @user-rn9og1rk3l
    @user-rn9og1rk3l Місяць тому

    Huyu Mwandishi ni chawa wala hana akili kabisaaaa
    Zero brain
    Huyu mjinga kweli katumwa na Serikali

  • @Eliaskasanya-hm5yk
    @Eliaskasanya-hm5yk Місяць тому

    Hayo maisha magumu ninyi mnayosema mkishinda mtagawa pesa kwa wananchi? Acheni uongo wenu

  • @MageAwe-hl5zb
    @MageAwe-hl5zb Місяць тому +1

    Mbona magufuli alikuwa anaogeaga kisukuma mlikuwa mnakenua meno tu

  • @mathewyoung2159
    @mathewyoung2159 Місяць тому +1

    Hongera zako kamanda wetu

  • @MageAwe-hl5zb
    @MageAwe-hl5zb Місяць тому

    Kweli dada umenena hayo ndiyo tuna maswali juu ya raslimali yetu Ngorongoro ,bandari nayote hatetei hali ya maisha ya wanyonge kikokotooo kwa watumishi huyu mama tumwulize smepeleka wadsnii uchina kwa prsa gsni? Huku watumishi hwaongezrwi vijana hawaajiriwi huku anakopa kwanini

  • @paull8659
    @paull8659 Місяць тому

    mwandishi wa habari huyo ni mjinga,anachanganya issues ana akili ndogo sana

  • @ZaidAKissinza
    @ZaidAKissinza Місяць тому

    Huyo mwandishi anakupeleleza be careful dad's yangu

  • @sifaelmophat1021
    @sifaelmophat1021 Місяць тому

    Duh huyu dada mbona anaakil hvo?😊

  • @MageAwe-hl5zb
    @MageAwe-hl5zb Місяць тому

    Obama hakuuza rasili mali ya wamrekani mtalaaniwa mnaotetea ufisadi unaoendelea Tanganyika

  • @mohamoudhussein4570
    @mohamoudhussein4570 Місяць тому

    Kwani ni Uwongo hauzi Mali za Watanganyika? Wewe halifa wacha Uchawa

  • @RBMBAKARI-bv6wn
    @RBMBAKARI-bv6wn Місяць тому

    Wewe hamna hojja hapo wewe Binti acha ubaguzi tayari mwenyekiti wenu ameporomosha sana demokrasia katika chama chenu.na ameishawaingiza katika ubaguzi mkubwa hata wananchi wa kawaida wanaelewa

  • @user-ig7tb1cf8z
    @user-ig7tb1cf8z Місяць тому

    Mwandishi ni mjinga

  • @HamzaHeri
    @HamzaHeri Місяць тому

    LABDA WAJE HOJA ZAO UKABILA NA UDINI HAMNA SERA YEYOTE YA KUTUELEZA SISI WA TANZANIA

  • @MageAwe-hl5zb
    @MageAwe-hl5zb Місяць тому

    Mwbie mamako aongee kikabila tumsikie ili nifurahi

  • @ChukiMjinga-jw2ql
    @ChukiMjinga-jw2ql Місяць тому

    Huyu jamaa si anaishi tanganyika maswali mengine ni ujinga

  • @petersilas4234
    @petersilas4234 Місяць тому

    Hivi mwekezaji kupewa ardhi kwa kufuata Sheria ni kuuza!!! Tafuteni hoja nyingine. Kenya kukodisha bandari ya Mombasa kwa Mediterranean ports ni kuuza? Duniani kote bandari zinakodoshwa hata China. Jipangeni kivingine . DPworld wako waingereza, German, China, kote huko wameuzwa.

  • @HamzaHeri
    @HamzaHeri Місяць тому

    NYIE CHADEMA MNATAKA KUTULETEA SIASA ZA KENYA UKABILA

  • @islambinomar8716
    @islambinomar8716 Місяць тому

    Hanaa akili huyu mwenyewe kaiba Hela ya Bawacha huyu

    • @yassinnabwera4273
      @yassinnabwera4273 Місяць тому

      Wewe ndio huna akili,kaiba hela za BAWACHA,wewe ni Mwanachama wa BAWACHA?Hivi kuiibia nchi kama wanavyofanya viongozi wako wa CCM na kukiibia kikundi cha watu,kwako wewe usiyejitambua;Ni wapi nchi inaathirika zaidi?

  • @deodathsilayo3639
    @deodathsilayo3639 Місяць тому

    Mwandishi huyo ni ngombe huyo ddaa alivu ilia Sana hakakuna mwandishi hapo

  • @HamzaHeri
    @HamzaHeri Місяць тому

    OBAMA AMETAWALA MAREKANI NA RICHI SUNAKI WINGEREZA ACHENI ULIMBUKENI

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 Місяць тому +1

    Huyu Muhandishi hafai hata tone

  • @user-io6yj9fs2h
    @user-io6yj9fs2h Місяць тому

    Mwandishi yuko kwenye udini yuko kwenye uzanzibar sijui alisomea wapi mambo ya habari hawa ndo wana vyeti hewa pumba tupu

  • @HamzaHeri
    @HamzaHeri Місяць тому

    KAMA NYINYI SIO WAKABILA SIMNAONA TUNDULISSU AKIWA SINGIDA ANAWAHUTUBIA WANAICHI WA SINGIDA KWA KINYATURU YOTE HAYO TUNA YAONA ITIKADI ZENU

    • @erickmsigala138
      @erickmsigala138 Місяць тому +1

      Tatizo lako liko kichwani Elimu, Elimu, Elimu ujinga wa wafuasi ccm ni mtaji wawatawala kisiasa