Mahojiano Maalum na Rais Samia: Mashtaka dhidi ya Mbowe hayajachochewa kisiasa

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 вер 2024
  • Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema hawezi kuzungumzia kesi ya kiongozi wa chama kikuu cha upinzani- Chadema- Freeman Mbowe ambaye anakabiliwa na mashtaka ya ugaidi.
    Katika mahojiano maalum na mwandishi wa BBC Salim Kikeke, Rais Samia amesema ana imani sheria itachukua mkondo wake.
    Aidha katika suala la demokrasia na uhuru wa kujieleza Rais Samia Suluhu Hassan amesema watu wana uhuru wa kutosha.
    #bbcswahili #Tanzania #siasa

КОМЕНТАРІ • 454

  • @karloladislaus45
    @karloladislaus45 3 роки тому +35

    Mama haijui Marekani kabisa.Marekani kuna vurugu za kisiasa kila siku.

    • @paulmusa7987
      @paulmusa7987 3 роки тому +1

      Sipendi na ninajisikia vibaya sana mama huyu kutumia mifano ya nchi za ulaya na marekani, hapa nchini hakuna vurugu yeyote sema kinachosumbua ni kwamba viongozi wa tz mna mambo yenu fulani fulani tu ambayo siyapendi ohooo!

  • @ezekielmbazi.8687
    @ezekielmbazi.8687 3 роки тому +16

    R.I.P MAGUFULI

  • @sauleetv3681
    @sauleetv3681 3 роки тому +6

    Mwisho wa ubaya ni aibu Kama Leo mbowe ni gaidi mungu atakuona na usisahau hii kauli mbowe ni gaidi na ameujumu uchumi Sina la kusema zaidi ya shukrani #freembowewewesiogaidanimtuwawatu

  • @neemafrancis3968
    @neemafrancis3968 3 роки тому +9

    Huyu baba nilikuwa namwamini Sana kwenye kazi yake lakini kwa hili alishaandaliwa na alishaambiwa usisubutu kuuliza maswali ya msingi, ila mungu yupo mama samia hii serekali unaikosea Sana mwachieni mbowe sio gaidi ishu ni kudai katiba tu

  • @alanusrespicius1796
    @alanusrespicius1796 3 роки тому +23

    Mbowe kwangu si wa maana sana maana anamanufaa binafsi. Wewe Samia toa tozo za simu maana ni kandamizi kwa wanyonge

  • @fredernestonline6011
    @fredernestonline6011 3 роки тому +32

    Siku hizi sijivunii kabisa kuwa mtanzania. Nachukia utawala huu usio haki kuliko sjui nn.

  • @madongojr6249
    @madongojr6249 3 роки тому +8

    Yan mm saiv nikiiona bendera ya taifa najikuta moyo unauma nikiliona neno serikali presha inapanda najiuliza cjui leo watapitisha Sheria gani?

    • @scolarshija3215
      @scolarshija3215 3 роки тому

      Mama tunakupenda.wasiokupenda shauli yao.wachimbe shimo watumbukie.

  • @isayandrew9168
    @isayandrew9168 3 роки тому +6

    Ukisema unamtanguliza mungu kwa kila jambo bas unapaswa uwe mkweli pia ila kwa ilipofikia tz bas mladi kunakucha tu kuhusu siasa labda mungu ashuke amuadabishe kila mmoja kwa maovu yake

  • @alanusrespicius1796
    @alanusrespicius1796 3 роки тому +27

    Tozo mbona hujafanyia kazi?

  • @timothykifendi4928
    @timothykifendi4928 3 роки тому +11

    Bado siasa za vyama vingi Tanzania hazieleweki,kama kiongozi mwenyewe hajui itakiaje kwa wananchi wa kawaida hasa wasio na uelewa mpana?
    Nchi zetu bado zina safari ndefu sana ya kutoka katika giza hili.

  • @valenakomba4453
    @valenakomba4453 3 роки тому +5

    Kweli kabisa mama. Lamuhimu, mama achana nao. Wasikutie pressure. Ukiwafuatilia sana hawa watakuwa da kichwani. Jaribu kuwa mkali. Wasikupotezee dira yako ya uongozi.
    .

  • @iam_masasila
    @iam_masasila 3 роки тому +11

    Hii interview imeandaliwa hiii

  • @josephshuma1975
    @josephshuma1975 3 роки тому +30

    BBC hujauliza maswali ya msingi au uliandaliwa? Mbowe kashikwa na makongamano yamezuiwa swali fujo imefanyika wapi au maandamano yalifanyika wapi?

  • @elianifaaluka4790
    @elianifaaluka4790 3 роки тому +14

    Haki huinua Taifa bali dhambi ni aibu ya wote mbona tuzo haingelewi

  • @mohamedrashid4588
    @mohamedrashid4588 3 роки тому +18

    Umeshalewa madaraka dada nakuonea huruma uislam unauweka pembeni angalia umat MUHAMAD miaka 63

  • @joshuaswai8203
    @joshuaswai8203 3 роки тому +12

    Naichukia nchi yangu kwa sasa

  • @frankfrancis2195
    @frankfrancis2195 3 роки тому +8

    Mungu tusaidiye 😭😭😭😭

    • @simonmalegesi414
      @simonmalegesi414 3 роки тому +1

      Kinakuliza Nini Sasa mungu kashatusaidia rais kafa tumepita salama adi Sasa tunapambana kuijenga Nchi yetu.

  • @innocentmsoka3302
    @innocentmsoka3302 3 роки тому +3

    Mungu atusaidie Bado Sanaa kupata ukombozi Mbinguni watafika wachache sanaa

  • @benedictmrisho5947
    @benedictmrisho5947 2 роки тому

    "Wanaongea mpaka wanavuka mipaka saa ingine inabidi Kiongozi uvae ngozi ngumu....". Hongera Mh kwa kukiongezea kiswahili misamiati. Hakika kila mahojiano na hotuba zako walau kiswahili kina vuna kidogo kidogo.

  • @elvisoscar9912
    @elvisoscar9912 3 роки тому +3

    Mama Mimi naamia Burundi kama alivosema mwigulu nchemba so naenda kuwa mkimbizi Burundi

  • @mbogosodebella8907
    @mbogosodebella8907 3 роки тому +5

    Tozo ziko juu Sana, hivi mbona tulifanya maendeleo kipindi Cha jpm bila misaada Sasa huu utawala na misaada juu na tozo juu na mafuta juu , mbolea ya mkulima juu, jamani wananchi atutaki siasa tunataka haki.

    • @khadijachembela5946
      @khadijachembela5946 3 роки тому +1

      Hivi unajuwa Kama ali ngumu lakini hata siku kusikia kwa nini mnapandisha vitu onyo hatusikii dah.

  • @hasankasam5576
    @hasankasam5576 3 роки тому +5

    Mashallah mama allah akupe afya, imani, nguvu, hekma na uwezo inshallah utuongoze vizuri wtt wako katika njia ilionyoka..

  • @awadamu
    @awadamu 3 роки тому +4

    Asante mama Samia Suluh Hasan M,Mungu akulinde na akupe Maisha marefu afya na akubari wewe na wako I love so much.

  • @pienciafrancis3434
    @pienciafrancis3434 3 роки тому +2

    Ongera mama kazi nzuri tunakupenda Sana mama yetu

  • @jumamrisho143
    @jumamrisho143 3 роки тому +3

    Unalinganisha malekani natanzania we unapenda kuig yanjee we kwer hakuna kitu

  • @roseshayo9022
    @roseshayo9022 3 роки тому +2

    Hongera kwa uthubutu , ila umeuliza maswali mepesi sana na ulivyokuwa unajibiwa hata kama unajua sio kweli hukuuliza tena.

    • @salehmdumbwa6181
      @salehmdumbwa6181 3 роки тому +1

      Angeng'oka alishapangwa maswali ya kuuliza na asirudie viva magufuliiiiiiiiiii hakuna Kama mjomba

    • @dianjophfrey5389
      @dianjophfrey5389 3 роки тому +2

      Mama tunaomba utusaisdie huku simanjiro maeneo yamsitu wa tembo barabara mbovu kabsa miondo mbinu sio tukumbuke na as mama yetu mlezi was tanzania

    • @abelianraphili5150
      @abelianraphili5150 3 роки тому +1

      @@dianjophfrey5389 Hahahaha.. 😂😂😂😂.. OLE SENDEKA na kitambi yake Yuko wapi.. asije wasaidia

  • @neemajumanne9588
    @neemajumanne9588 3 роки тому +14

    Wewe ni mama lazima ujuwe wajibu wa mama ,lakini weww unakubali watoto wako kuitwa gaidi hivi Tabzania kuna gaidi hii enakuingia vizuri kweli,,ila Mungu yupo na hili Analiona sana ,sasa muwe na hofu ya Mungu

    • @gracerosi6179
      @gracerosi6179 3 роки тому

      Jambo kama nibaya kwako usimfanyie mwenzio

  • @ramadhanisihaka5352
    @ramadhanisihaka5352 3 роки тому +4

    Raisi gani haelewek maguli hakua Kama huyu mamA

  • @mussanganda505
    @mussanganda505 3 роки тому +6

    Kikeke na kaenda kuuza sura,ungeuliza ana mpango gani na tozo za miamara,

    • @sele2507
      @sele2507 3 роки тому +1

      Ameuliza tafuta interview zote

    • @kisokimhagama9526
      @kisokimhagama9526 3 роки тому

      Tanzania itajengwa na wa Tnzania. Majinga nyie.

  • @kondeboykhaji1046
    @kondeboykhaji1046 3 роки тому +2

    huyu mama nani arimpa hii nchi

  • @ibrahimgabriel4828
    @ibrahimgabriel4828 3 роки тому +9

    Neno nadhani.. Limeniachia mfadhaiko sana nafsini mwangu ila mungu ni mwingi wa rehema. Na dunia ni njia

  • @washngtonmbedz9137
    @washngtonmbedz9137 3 роки тому +10

    Mama maisha yamekuwa magum sana Aisee.tuonee huruma vijana wako

  • @sagilododomamedelipeter1893
    @sagilododomamedelipeter1893 3 роки тому +1

    Kama ningekupata nafasi ya kusaidia kutoa maoni kuhusu kesi ya mboye mama ni Bora ungesema hiyo kesi iko mahakama,tunasubili maamuzi ya mahakama lakn kusema upelelezi polisi amekamilisha mi cjawahi ona Wala sikia kesi ya ugaidi wakadili nayo polise wakt polisi ni wizala ya Mambo ya ndani nijuavyo Mimi ugaidi ni wizala ya ulinzi polisi na ugaidi wapi na wapi jamani.😭

  • @korekalukumay7197
    @korekalukumay7197 3 роки тому +12

    Katiba ya marekani ni clear tofauti na ya tanzania

  • @innosentmdede6107
    @innosentmdede6107 3 роки тому +2

    Umefeli sana mama

  • @geraldmarero3936
    @geraldmarero3936 3 роки тому +13

    Mungu tulinde kwa changamoto hizi.

  • @elianifaaluka4790
    @elianifaaluka4790 3 роки тому +4

    Mama kama unahitaji Mungu ebu fanya kitu katiba mpya mengine baadae

  • @pungopungo411
    @pungopungo411 3 роки тому +3

    Mheshimiwa raisi uhuru wa habari sio kumtukana mtu hayo matusi yao ni kama chuki binafsi. Hata maskini asiejua leo nitakula nini huwezi kumtukana akakubali.ni lazima kieleweke kwamba kwa nini unanitukana kwa nini unanikashifu. Uhuru wa vyombo hivyo sio kuvunjia.viongozi heshima. Sasa kama hawawataki viongozi wetu basi wawalete baba zao watuogoze kama wana hizo sifa zakuongoza .uongozi ulitoka kwa mungu

  • @ebraniacosmosy2072
    @ebraniacosmosy2072 3 роки тому +3

    Mimi ni tozo tu,, kuhusu Mboe sina cha kupinga maana mboe siwezi mwamini ngoja tusubiri mahakama tu..

  • @rahmazahor4333
    @rahmazahor4333 3 роки тому +1

    Kaza buti Madame President.....

  • @sagilododomamedelipeter1893
    @sagilododomamedelipeter1893 3 роки тому +3

    Kama mmemkamata mwenyeketi wa chama kwa ugaidi tafsili yake chama Cha chadema ni magaidi? mnalichulia kawaida swala la ugaidi lakn uko nje tunatia doa taifa na tunaenda kupoteza watalii 😭😭

  • @juliusmagunila6308
    @juliusmagunila6308 3 роки тому +3

    Mama bure kabisa

  • @eliathomas8446
    @eliathomas8446 3 роки тому +7

    Kujishushia heshima madam...

  • @bongomastory791
    @bongomastory791 3 роки тому +2

    Kikeke katika interview alizoboronga ndio hii

  • @geraldenos5416
    @geraldenos5416 3 роки тому +1

    Duh marekani gani unaizungumzia hapa?

  • @BarakerZeonlist
    @BarakerZeonlist 3 роки тому +2

    sina furaha na tanzania

  • @simonkisumo7004
    @simonkisumo7004 3 роки тому +1

    Kiukwel mama nnch huiwez kanyoneshetu maana Kila kitu mmepandisha Bei wanawake umejizihilisha kabsa hamuwez kutuongoza

  • @khadijamasoud8227
    @khadijamasoud8227 2 роки тому

    Mm samahanini hy siyaelewi nipo nje ya mada hiyo ila nimeona hii ndo sehemu muafaka kupatiza nitoe maoni yng naombeni BBC musome huu ujumbe wng naomba, Rais Mama Samia Sulukhu atusaidie maji mwananyamala huu unafika mwezi maji hayapatikani na makato ktk CM kwakweli namuomba rais atusaidie apunguze tena naombeni tupeni chance yakuongea malalamiko na changamoto tunazo pitia tunaoga maji chumvi kunywa

  • @pmctv787
    @pmctv787 3 роки тому +2

    Daah tumekwishaaaa

  • @isabellaipopo9165
    @isabellaipopo9165 3 роки тому +1

    Safi sana mamaaaa mwenyezi Mungu akupe afya na ulinzi tele

  • @pendocoster4170
    @pendocoster4170 3 роки тому +1

    Tuna lalamika sana kuhusu tozo hatuja kubali jmn msidanganye kwa Hilo na kuhusu mbowe mungu yupo atamtetea

  • @neemajumanne9588
    @neemajumanne9588 3 роки тому +2

    Mie naona kama vituko tuu Tazania ,daa

  • @victoriagasper9064
    @victoriagasper9064 3 роки тому +1

    yani huku tanzania hamna usawa kbsa hamna maneno ya kurizisha watu wakati wanaumia tozo hamna aliyekubali kabsaa,na vifurushi vinapandishwa kla cku,na kingne vitu vyote havishikiki sokoni wafanya biashara wanashindwa kutokana pesa hamna huduma zimepanda tunaelekea wap

  • @kobelochamanga9757
    @kobelochamanga9757 3 роки тому +1

    Sasa mbona tunakamatwa

  • @privashirima6903
    @privashirima6903 3 роки тому +2

    Mh Rais tuone na sis ambao hatuna chama...💯

  • @godblesskessy5516
    @godblesskessy5516 3 роки тому +3

    mtamfunga mbowe Ila ukweli ni kwamba upinzani hauwezi kuisha kamwe

  • @johnbuya965
    @johnbuya965 3 роки тому +2

    Mama uko vizuri unafaa sana kuiongoza nchi mawazo yako ni mazuri

  • @michaelpasipanofu5920
    @michaelpasipanofu5920 3 роки тому

    Huwezi kulinganisha Marekani

  • @esauedison8136
    @esauedison8136 3 роки тому +1

    Bado sijaelewa kabisa

  • @zawadiangolwisyemwalyaje6669
    @zawadiangolwisyemwalyaje6669 3 роки тому +2

    Mhuuuuu mama hapo ni uongo mangapi mmefanyia kazi ambayo wananchi wamelala mika na umetolea suruhisho kiukweli tumemmisi mjomba

  • @mwanahawabakari718
    @mwanahawabakari718 2 роки тому

    Yupo sahihi

  • @doctorbadal1527
    @doctorbadal1527 3 роки тому +1

    Short and clear. True briefly mama

  • @abuusahya6130
    @abuusahya6130 2 роки тому

    Sikupende ww mamá mungu atakuazibu

  • @gabriellyadam9415
    @gabriellyadam9415 3 роки тому

    Mungu tunaomba utusaidie watanzania tunakutegemea.Mjalie rais wetu mama Samia Suluhu Hassan uwezo wa kutosha kuisimamia nchi hii na watu wote waridhike na kuifurahia nchi yao.tuondolee manunguniko kila kona, tujalie roho ya kuomba na kuiombea nchi yetu kwa moyo wa upendo.usituache maana tutaangamia bila wewe Mungu wetu.katika jina la Yesu Kristo Wanazareti AMEN.

  • @emanulyamuya9966
    @emanulyamuya9966 3 роки тому +4

    Sawa mama kazi iendelee tunaitaji eshima kwenye nchii

  • @geraldrobert1801
    @geraldrobert1801 3 роки тому +14

    Sheria ya vyama vya siasa haisemi hivyo Samia, inasema vyama vinayo haki ya kufanya vikao au mitutano yao ya ndani pasipo kuomba kibali cha polisi, haisemi kwamba wafanye tu vikao vilivyoainishwa na katiba ya chama husika, wanaruhusiwa kufanya mikutano kwa lengo la kuongeza wanachama wao .
    Uchaguzi unapomalizika, ndipo vyama vilivyoshindwa vinaanza kujiimalisha kwaajili ya uchaguzi ujao , ikiwa ni pamoja na kuongeza wanachama wapya.

  • @baizoboy1719
    @baizoboy1719 3 роки тому +1

    Hivi Nani aliwai kusikia Gaidi MCHAGA?? 😀

  • @godblesskessy5516
    @godblesskessy5516 3 роки тому +2

    mama usiogope kivuli chako hakuna gaidi tz Wala maandamano waruhusu tuone Basi hiyo vurugu ili tuwazuie kabisa

  • @jumongjr5837
    @jumongjr5837 3 роки тому +7

    Nkikumbuka Mahubili ya mchungaji #Lolinga nabaki nkiililia Tz

  • @madongojr6249
    @madongojr6249 3 роки тому +8

    Jaman mm naomba mwenye namba ya mbunge wa chalinze(RIZIWANI KIKWETE) anitumie nataka nimuulize hv kweli Hawa wananchi wa chalinze walikubali aunge mkono hii Sheria ya tozo za miamala??? Km hawajamtuma bas naomba ajitokeze na apinge,Mana ckuhiz hatuwatumii ela wazee wetu tunazigiza kweny tashrifu.BRAZA HALI NI TETE wadogo zako tunalumiwa hatutumi hela za kusagia

  • @malmavoice8989
    @malmavoice8989 2 роки тому +1

    Salim hapo unamtihani nauona ila usingeogopa kuendelea kuhoji na kukataa majibu hayo hatakama muda hautoshi. Badala yake umeamua kukubali uongo ilimradi tu umalize muda wako na uchukue kile kisichoeleweka. Hivi unahakika majibu yake yameeleweka kwako ukiachana na sisi wasikilizaji na watazamaji kwa hyo mifano ya umeme?!

  • @magrethmallya7728
    @magrethmallya7728 2 роки тому

    Mhhh Mungu anakuona, Mbowe sio gaidi, na unajua vizuri. Ila umeamua kumtesa Mungu atakulipia.

  • @bennymochiwa4800
    @bennymochiwa4800 3 роки тому +3

    yani tumepata rais wa hovyo ambae ajawahi kutokea, huyu mama ni hovyo kbs

    • @kisokimhagama9526
      @kisokimhagama9526 3 роки тому

      Wa hovyo alikuwaMeendazake. Uhovyo wa Mama ninini?. Jinga sana, halafu mnasema hakuna demokrasia,wakati wa Mzee Mwenda zake ungeongeahivo?

  • @mwaamwetahussain9947
    @mwaamwetahussain9947 3 роки тому +2

    Duuuh nchi imekodishwa unaburuza ulimi na maneno ya uongo

  • @fadhilijuma1676
    @fadhilijuma1676 3 роки тому +5

    Kiukweli kama ni uongo sasa umekua wazi kabisaaaa. Kufanya mikutano ni vurugu za kisiasa. Ni bora angekaa kimya. Ila kipengele cha yeye kuapishwa kilikua sawa. Vyama vinafanya vikao, mikutano, pamoja nakudai katiba ni kwa mujibu wa katiba. Imeeleza hvo. Ni aibu sana.

  • @laupetpet7779
    @laupetpet7779 3 роки тому +1

    Nimemussi Raisi Magufuli maana alituonea huruma sisi wa hali ya chini

  • @mrmtulinga7865
    @mrmtulinga7865 3 роки тому +1

    chapa kazi mama

  • @abdallahmsaka6794
    @abdallahmsaka6794 3 роки тому +6

    Inna lillahi wainnailaihi rajiun.

  • @suleimansuleimanjuma9389
    @suleimansuleimanjuma9389 3 роки тому +2

    Mbowe kafanya ugaid gan Kwan maandamano ndo ugaid
    Au mikutano ndo vurugu
    Na suala la tozo za miamala vp mbona mumelifumbia macho
    Na kweli maguful alisema tuta mkumbuka nikweli wengi tusha mkumbuka sio siri

  • @delekalxon7221
    @delekalxon7221 3 роки тому +1

    Aise🤔

  • @fedhdlunimussa3411
    @fedhdlunimussa3411 2 роки тому

    Mama Samia oye mkizimkazi mwenzangu

  • @eveassey5162
    @eveassey5162 2 роки тому

    Hakiamungu urais ni kazi! Ila ni Bora ile ya kupigiwa kura Ina nzuri

  • @josenyambeo3587
    @josenyambeo3587 3 роки тому +7

    Like uliza miaamala bwana

  • @joaneskailembo4485
    @joaneskailembo4485 3 роки тому +9

    Mweshimiwa Rais unajenga nchi ambayo maisha ya Watanzania yanazidi KUINGIA Gizani? Uchumi unaujengaje law mfano, watangulizi wako wote MFUPA (uchumi) uliwashinda ....! Umetathimini maisha ya wakulima yalivyo... ? Kwa tathimini ndogo tumekwenda mbele au tumerudi nyuma ? Sera yako ni ya maendeleo ya vitu au ya watu ? Nchi hii mfumo wake ni wa ujamaa au ubepari? Daaah naona maswali ni mengi bila majibu

    • @kulwajuma3029
      @kulwajuma3029 3 роки тому

      Sijaelewa Ila itabd tuforce kuelewa

  • @user-sw7tf1ob1b
    @user-sw7tf1ob1b 2 місяці тому

    Ongela mama sisi shida kwako ni tozo tu kwenye simu zetu na mahakama police imekua maduka ya watu na sisi tumekua biza zao Wana siasa hatuna ni chawa tu

  • @jitabojilala6162
    @jitabojilala6162 3 роки тому +3

    Mh Rais unajishushia heshima kabisa haitakiwi kuhojiwa na wenye maswali kama hawa

  • @mohamednteziryayo3127
    @mohamednteziryayo3127 2 роки тому +1

    Uyuu Bibi muongo sana, ninashaka nahiyo hijdabu namuomba amwokope mwenyezi Mungu.

  • @abuushuraim397
    @abuushuraim397 2 роки тому

    Nakukubali mama

  • @jumakapesa5289
    @jumakapesa5289 3 роки тому +13

    Fursa hizi zilimfaa sana Tido Muhando.
    Kikeke habari za michezo.

    • @godwinmamkwe9825
      @godwinmamkwe9825 3 роки тому +1

      Kikeke umetuletea balaa.
      Bora ungeondoka na documentary yako ya Mt.Kilimanjaro, bado ungeenda kupata posho ya kazi kuliko hii vurugu ya kisiasa uliyotuibulia kwenda lkulu.
      Hivi kwa nini haukuwahi kumsogelea JIWE kwa haya uliyoyataka?
      ona wt wanavyomlalamikia rais wao.
      Haukuwa muda muafaka kwako kuja kikazi lkulu yetu kwani bado kuna mengi tulikuwa hatujamuelewa mama na safu yake bado alikuwa anaendelea kuipanga kukidhi matamanio ya wa TZ na kuuimarisha uchumi.
      Tulikuwa tumenyamaza kuhusiana na TOZO hivyo majibu yalikuwa ni matokeo yake kwa lile alilokusudia,asimame siku moja atuoneshe.
      Kikeke ulikosea kuomba mwaliko wa kikazi Ikulu wakati huu.

    • @jumanneclement7359
      @jumanneclement7359 3 роки тому

      Hapa wwe mfisd tuu

  • @tamimtours6934
    @tamimtours6934 3 роки тому +2

    YAANI TZ USITOFAUTISHE HASWA NA USA AMA EUROPE KABISAA.. UMETOWA MFANO WAKITOTO KABISAA.

  • @imeldasamwel539
    @imeldasamwel539 3 роки тому +2

    Hamna ulichokijibu hapo unajenga au unaangamiza watanzania

  • @digostjafety6070
    @digostjafety6070 3 роки тому +1

    Mama we ni muislam kweni

  • @oliveriripreginaldmengitlu3931
    @oliveriripreginaldmengitlu3931 3 роки тому

    Etii wenziee walishapewa sentence zaoo????? Sasa hao watatu ambao kesi inaendelea ni akina naniii???

  • @raphaelkanyuka6300
    @raphaelkanyuka6300 3 роки тому

    Chapa kazi mh Rais wetu tusonge mbele tozo itasaidia nchi yetu kusonga mbele kwa kuwatatulia wananchi matatizo mbalimbali

  • @elbarikmgonja9106
    @elbarikmgonja9106 3 роки тому

    Kabisa mama umenena maana watu wanataka siasa za kushinda barabarani, na kuzuia wengine kujitafutia mkate wao wa kila siku."

  • @chidjosh6056
    @chidjosh6056 3 роки тому +1

    Kikeke, unapoteza uweledi wako wa uandishi habari

  • @deokiwango9119
    @deokiwango9119 3 роки тому +1

    marekan na ulaya katiba zao zipo sawa je za kwetu unaziionaje wape watu uhur katiba ni muhim kwao usiwazuie nakuomba mamaauz ni ya kwetu sote watanzania

  • @bestel321
    @bestel321 3 роки тому

    mama Samia hilo siokweli mwuogope Mwenyezimungu fahamm kwamba wewe ni MUISLAM NAUJUWE SIKU YA KIAMA utaulizwa na jua maisha ya ulimwengu ni mafupi kuliko ya akhera hutokua na sababu ya kujitetea hooo ni litumikishwa aoo walinidanganya, mimi wangu ushauri tuu.

  • @evancelaurian4465
    @evancelaurian4465 3 роки тому +1

    Mama huko sawa kabisaa mbowe kajua ana kesi akaona akimbilie katiba mama chapala kazi niko na ww sambamba

  • @amosisack2738
    @amosisack2738 3 роки тому +1

    Mama mtoe mbowe kwenye kesi hizo