Mwanzo Mwisho Mbowe Akifunguka Mazito Kuhusu Madai ya Watu Kutekwa, Kupotea na Sakata la Ngorongoro

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 вер 2024
  • Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akiongea na waandishi wa habari

КОМЕНТАРІ • 27

  • @allenlazaro7742
    @allenlazaro7742 21 день тому +2

    Hiyo sheria ilitaka ku solve tatizo lakini inaonekana imezalisha tatizo jingine kubwa zaidi

  • @MashaRowlandSozigwa
    @MashaRowlandSozigwa 16 днів тому +1

    Tuna serekal us kinyama Sana ee mwenyezi MUNGU sema neno kwa Tanzania yeti

  • @MustaphaSeleman-z7c
    @MustaphaSeleman-z7c 21 день тому +2

    Chadema cjui wana usalama nawao mbona aya mambo mtu wakawaida uwezi kuyajua kabisa aisee

  • @user-jx5ze9wz8e
    @user-jx5ze9wz8e 21 день тому +2

    Uk vizur san mwenyekit lazima tupambane

  • @mongogwelaanthony6867
    @mongogwelaanthony6867 21 день тому +1

    Mungu wetu mheshimiwa, mwenyekiti sio kipofu wala sio kiziwi tuongoze tuutoe huu mikosi ccm

  • @jojigeorige1056
    @jojigeorige1056 20 днів тому +1

    Hata sokwe mtu wanajua na wana utaratibu wa kiutalawa. Hata simba wana utaratibu wa kiutawala. Serikali imeamua kuwatelekeza Watanzania wake . Hatujui kwa maslahi ya nani, wao ndio wanajua. Maana hata mfumo wa ikolojia wakidunia, hata UNESCO haijawakataza raia kuishi NGORONGORO

  • @JeremiahKaliwa-h1w
    @JeremiahKaliwa-h1w 19 днів тому +1

    Mbowe tupazie sauti msigwa hii kaz ni ngumu haiwezi ndo maana alikimbia

  • @janeobure3006
    @janeobure3006 21 день тому +1

    Mungu akulinde sana kwa maslahi ya nchi yetu.

  • @JosiaMsechu
    @JosiaMsechu 20 днів тому +1

    Hatuta kaa kimya

  • @SalumJuma-r8p
    @SalumJuma-r8p 20 днів тому +1

    Miye ccm sipend

  • @chalokalunde9429
    @chalokalunde9429 21 день тому +1

    Ina Tisha na kusikitisha sana. !!

  • @FurahaNelson-z6c
    @FurahaNelson-z6c 21 день тому +1

    Mimi nimekuelewa hali hii inatisha

  • @ibrahimsanga3857
    @ibrahimsanga3857 20 днів тому

    👏

  • @JoelJoshua-ox3gg
    @JoelJoshua-ox3gg 21 день тому +1

    Mungu akulinde baba

  • @giftmed1a332
    @giftmed1a332 21 день тому +1

    Hii yaitwa wamtafuta mchawi kumbe mchawi wako waishi nae ndani bila kujua!!

  • @user-jx5ze9wz8e
    @user-jx5ze9wz8e 21 день тому +1

    Kabisa

  • @halimamasai2234
    @halimamasai2234 21 день тому

    Saccoos mpo kazini na kiki zenu 🤣🤣🤣🤣

    • @helencyprian8745
      @helencyprian8745 21 день тому +3

      Watekaji utawajua kwa kauli zao. Ila kila nafdi itaonja mauti ndg ni wakati tu. Hayajakukuta

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 21 день тому +1

      @@helencyprian8745 We choko wacha ufala

    • @johnkaliwanje434
      @johnkaliwanje434 21 день тому +1

      kwann mnateka watu, ndivyo sheria za nchi inavyowataka kufanya, ninyi ni watu waovu kabisa

    • @johnkaliwanje434
      @johnkaliwanje434 21 день тому +1

      ninyi mnaoteka ni waovu wakubwa Tz, hamfai kabisa kuwepo

    • @PrinceHendry-hp8vv
      @PrinceHendry-hp8vv 21 день тому +1

      Huyu kakurupuka ngoja siku atekewe wa kwake