INAUMA NDUGU WA MARCO ASIMULIA MANENO YA MWISHO ALIYOAMBIWA KABALA YA MARCO KUAGA DUNIA INASIKITISHA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 30

  • @eliudmkumbwa5681
    @eliudmkumbwa5681 Місяць тому

    Watu wanafanana aisee pole sana aisee pole family😊

  • @kafitiwilliam8358
    @kafitiwilliam8358 2 місяці тому

    Polenii sana

  • @francisdavo
    @francisdavo 2 місяці тому

    Poleni sana

  • @HappyBwire
    @HappyBwire 2 місяці тому

    Poleni sana ndugu jamaa na rafiki kwakipindi hiki kigumu kikubwa shukulu mungu kwa kila jambo

  • @EzekielPaulo-k6m
    @EzekielPaulo-k6m 2 місяці тому +4

    Poleni sana ndungu jamaa na marafiki duniani tu wapitaji hatuna mji udumuo

  • @EzekiaMichael-jn5np
    @EzekiaMichael-jn5np 2 місяці тому

    Poleni sana ndugu jamaa na marafiki Mungu awatie nguvu kwakipindi hiki kigum Cha msiba

  • @EmillyObeto-n1k
    @EmillyObeto-n1k 2 місяці тому

    Poleni sna watu wa Mungu ,mpate faraja kutoka kwa Mungu

  • @pamelamakheti1101
    @pamelamakheti1101 2 місяці тому

    Poleni sana. Kwa familia na pia waimbaji niya mwenyezi mungu hayo. safiri salama

  • @SuleAmber-lw2tx
    @SuleAmber-lw2tx 2 місяці тому

    Aiseeh Mungu amreehemu

  • @MerryKivafi
    @MerryKivafi 2 місяці тому +1

    Pole sana jamani 😭 dunia tunapita tu

  • @lydiamichael5509
    @lydiamichael5509 2 місяці тому

    Poleni sana hakika niuchungu..Rest in peace Marcos

  • @EsperanceMauwa
    @EsperanceMauwa 2 місяці тому

    Poleni sana kwa familia napia waimbaj mwenyezimugu awaguse

  • @DaudMachenya
    @DaudMachenya 2 місяці тому

    Polen ,ss n shamba lake

  • @Richard.S.Magoryo
    @Richard.S.Magoryo 2 місяці тому

    duh!..polen wana zabron,lkn yote yayote, Kumshukuru mwenyezi Mungu.

  • @AnthonyMuchui-n1c
    @AnthonyMuchui-n1c 2 місяці тому

    Mungu awe nanyi

  • @annamlay6192
    @annamlay6192 2 місяці тому

    Poleni sana inauma lakini tukumbuke pia sisi nimatunda ya Mungu anatuvuna kwa wakati wake na majira yake

  • @rosemathayo5440
    @rosemathayo5440 2 місяці тому

    Poleni sana kifo chake imekuwa 😢 kubwa sana rip bro

  • @philtonechesa8761
    @philtonechesa8761 2 місяці тому +3

    Kenya tumepata habari hizi kwa maskitiko makubwa. Lala salama bwana wewe

  • @EsterJohn-s6r
    @EsterJohn-s6r 2 місяці тому

    Polen jina la bwana lihimidiwe maana imeandikwa Kila nafs itaoja maut

  • @ThomasIdo
    @ThomasIdo 2 місяці тому +1

    Jaman ni jambo la kushangaza duu nawapa pole wanakwaya wa zabron

  • @HappyThadey
    @HappyThadey 2 місяці тому

    Ulale salama Kaka dah😭😭😭

  • @Fizikidgang
    @Fizikidgang 2 місяці тому

    Aaaaasio kweli izo nikiki

  • @remigiusrwechungula7047
    @remigiusrwechungula7047 2 місяці тому

    Huezi kuelezea??? Why???

    • @HappinessAhia-ey1lq
      @HappinessAhia-ey1lq 2 місяці тому +2

      Tumia Busara ya jinsi unavyocoment.wenzako wako kwenye majonzi.