Nyumba 1500 zinazojengwa Kigamboni na Milionea Mtanzania aliyeishia la 7

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 324

  • @Bbwaoy
    @Bbwaoy 8 років тому +43

    Nili bahatika kukaa na huyu jamaa alipo kuja Mwanza. Alini inspire sana.

  • @ghatimakonge9383
    @ghatimakonge9383 3 роки тому +5

    Hongera Sana kamanda 🙏🙏 baraka hiyo Ni kubwa kutoka kwa Mwenyezi Mungu. Umetusaidia ufahamu la 7 wenzio Utajiri sio Elimu.

  • @BongoHabariTv
    @BongoHabariTv 6 років тому +13

    Mungu akuzidishie ujuzi mkuu....big inspiration

  • @mkolamrua9494
    @mkolamrua9494 8 років тому +31

    Mungu wetu sote wallahy Hamidu nipo nyuma yako

  • @mwamgundasamson2192
    @mwamgundasamson2192 8 років тому +26

    mungu akupe nguvu mtanzania mwenzetu ila punguza kabei kidogo basi😀

    • @azizayassin3623
      @azizayassin3623 7 років тому

      Mwamgunda Samson ameen ameen

    • @ahz6907
      @ahz6907 3 роки тому +1

      Kwani we una sh ngap?

    • @hamiduhamisi2371
      @hamiduhamisi2371 2 роки тому

      @@ahz6907 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @faysalmahmuddidar7135
    @faysalmahmuddidar7135 8 років тому +13

    nimependa-sana-kaka-hamidu-mungu-anisaidie-nifate-nyayo-zako

    • @zittotv9972
      @zittotv9972 5 років тому

      Faysal Mahmud Didar duuuuuu

  • @angelavayinga914
    @angelavayinga914 7 років тому +6

    Ni watanzania wachache sana wenye kuthubutu,wengi wao hata wakipata chans km hiyo wanaishia kugombania wake hata za watu ili mradi tu wajue ana pesa,hongera sana kaka.

  • @carlosmzena548
    @carlosmzena548 5 років тому +10

    Set a dream believe in your dream work on your dream then live your dream, no limits in life 💪💪

  • @aminaathumani6832
    @aminaathumani6832 3 роки тому

    Hata mm napigania Kaka anguu ni we kama ww tupo pamoja hongeraa sanaaaa mungu akuzidishieee pamoja nawengnee aminiii 🤲🤲🤲🙏🙏🙏🤝🤝🌹🌹🌹🌹❤️❤️😎❤️😘😎❤️❤️❤️❤️

  • @NdayizeyeAline-zr6zc
    @NdayizeyeAline-zr6zc 8 місяців тому

    Asante sana kwa maelezo unae tupatia Mimi Ni myarwanda nataka ku nunua nyumba hiyo Tanzania kwa kuripa kidogo kidogo Sasa naomba maelezo zaidi ili nijue xakufanya

  • @jumaramadhani5861
    @jumaramadhani5861 8 років тому +1

    Mwenyezi Mungu akuzidishie wepesi,yaani kaka Hamidu umedhubutu,kweli akili ni nywele

  • @amanichanga3448
    @amanichanga3448 8 років тому +25

    Mungu amzidishie na hongera sana kwake

  • @tracyjustice1600
    @tracyjustice1600 8 років тому +3

    Hongera sana kaka Hamidu mungu aendelee kukubariki na kukupa Afya njema

  • @mossymtwana6422
    @mossymtwana6422 3 роки тому

    Mwenyeezimungu azidi kukubariki Baraka za Roho na mwili Hamid all the best mbarikiwa

  • @toshirohitsugaya6421
    @toshirohitsugaya6421 8 років тому +13

    hongera sana kwa mtanzania mwenzangu

  • @rosehillary8742
    @rosehillary8742 7 років тому +17

    Mtani wangu Mpare Shikamoo...Faida yakula ugali na picha ya Samaki. Wapare Shiakamoo
    Kaka najiona mbulula na mavyeti yangu jamani.

    • @superwarema2309
      @superwarema2309 3 роки тому

      Marahaba mtani. Thamaki thi kindu, kindu ni mshombe.

    • @hamismndeme9501
      @hamismndeme9501 3 роки тому

      mtani tulia ufuate nyayo

    • @blackpanther4825
      @blackpanther4825 3 роки тому

      Rose Hillary usipagawe mie ndugu yake najua yaliyo nyuma ya mradi mzima.

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 3 роки тому

      @@blackpanther4825 ohoooooo kama nimekuelewaaaaaa😥

  • @jimmycliff6977
    @jimmycliff6977 2 роки тому +1

    Kaka Ayo Unatupa nguvu sana ya kupambana katika maisha ya Kila siku

  • @momatv2019
    @momatv2019 3 роки тому

    Maa Shaa Allah.
    Mwenyezi Mungu akupe ulinzi wake na akulinde na macho ya watu.

    • @Awatee
      @Awatee 2 роки тому

      Amiin yarabal alamin

  • @zainabukalinga5000
    @zainabukalinga5000 6 років тому +2

    Hangera sana na mungu akutie nguvu uweze kusaidia na wengine.

  • @elpiemghoi8004
    @elpiemghoi8004 3 роки тому +1

    Waa hongera sana mimi pia nambana ila bado.Haminu nisaidie nimalize yangu ni moja tu

  • @rukiyatajir8064
    @rukiyatajir8064 2 роки тому

    Hongera sana sana Mungu amekubariki, hakikisha kizazi chako kinaendeleza uliyoanzisha

  • @Bmtstudiostz
    @Bmtstudiostz 2 роки тому

    Hii ndiyo tofauti ya wasomi wa bongo na darasa la saba
    Wasomi huamin katika madaftari yao na vyeti lakin hawa wengine huamin katika nguvu zao maana hawana elimu na hapa ndio wanawazidi waliosoma
    Mzee ameni inspire

  • @africanchild4525
    @africanchild4525 8 років тому +2

    Mungu amzidishie. ameniinspire sana. ntafuata nyayo zake kujindeleza.

  • @freddymello3227
    @freddymello3227 6 років тому +2

    Eti aliyeishia la 7!
    maisha ya mafanikio hayana vigezo hivyo vya hizo elimu zenu za kikoloni.ambazo mnaandaliwa muwe watumwa wa watu.
    mfano:wengi mkihitimu huwa Hamna la kufanya punde mnapokosa kuingia katika huo mfumo(wa kitumikia hao masters wenu)
    Wapo wengi tuu wa aina hii.

  • @elijahthomas7855
    @elijahthomas7855 6 років тому +3

    The sound track is legit. I love the years of the sum action movie

  • @ashazaharan1750
    @ashazaharan1750 7 років тому +2

    Mansha Allah. hakika hakuna linalo shaindikana jamani hongera kaka

  • @Patricia800
    @Patricia800 8 років тому +1

    Nakutakia kila la kheri Mungu azidi kukuinua zaid ya hapo. Hongera sana.

  • @hajjighanji5667
    @hajjighanji5667 4 роки тому +1

    @hakika shemeji yangu amethubutu darasa la saba lawakati wa nyuma ni kama form 6 kwa sasa nataka nikwambie kufanya hivii ulivyofanya zaidi ya chuo kikuu. big up mlamuwa.havaache sana.

  • @ernestonesmo405
    @ernestonesmo405 5 місяців тому

    Hamidu hemedi Mvungi mkoa Kilimanjaro Wilaya ya mwanga Kijiji Cha Lembeni Kijiji kwetu kabisa nafurahia kuona hili wapare hoyeee Kuna mwamba mwingine anaitwa Vigu Daaah Ila Mungu kampenda zaidi naye aliifanya Lembeni ijulikane Sanaa tupo nyuma yenu hakuna kukata tamaaa mpk mwisho

  • @nassorsaid2331
    @nassorsaid2331 8 років тому +2

    hongera kaka lakini hizo nyumba,site sizani kama zitauzika kwa maisha ya kibongobongo ungeanza na few hubdreds uwone uoeoo

  • @hongerakkachawasemewwkzbut4996
    @hongerakkachawasemewwkzbut4996 7 років тому

    mashaallah kila kitu kinawezekana waweza soma hadi kidato cha sita lakini ukatoka patupu alie soma mpaka lasaba akatoka kimaisha zaidi mungu akupe zaidi ya apo kaka angu.

  • @dungayusufu1954
    @dungayusufu1954 2 роки тому

    mashaalah Mungu akubariki ndugu kwa ubunifu wako

  • @nambuacassandramlaki3516
    @nambuacassandramlaki3516 3 роки тому

    Yessss...hongera sana Uncle😘😘😘😘

  • @rogertmshana9226
    @rogertmshana9226 3 роки тому +1

    Sisi tulikuja baada ya Kuona Zamarad kapost like 🤣🤣🙈🙈

  • @kadzomangi484
    @kadzomangi484 8 років тому +3

    mungu ni wetu sote hongera sana nd mungu akuzidishie

  • @deusmhapa2400
    @deusmhapa2400 2 роки тому

    Hongela Boss Hamidu

  • @twinzfashion4534
    @twinzfashion4534 Рік тому +1

    BADO KUNA SIRI AMEIFICHA UTAJIRI UNA CHANZO

  • @nikitadiamorelivingstone2831
    @nikitadiamorelivingstone2831 8 років тому

    hongera, sana hiyo ndio njia mojawapo ya kuleta mabadiliko katika nchi,

  • @samiakikwete1762
    @samiakikwete1762 3 роки тому +1

    Mungu humpa amtakae napia hutoa kwa wakty ukifyka

  • @idyjumanne9796
    @idyjumanne9796 5 років тому

    mashaaaaalah unanipa mzuka kwel Na mm nifanye business

  • @ahz6907
    @ahz6907 3 роки тому +1

    Ukiwa na nidhamu na malengo na mpango wa kuyafikia hakuna kitakachokwamisha mafanikio.

  • @superlevy9389
    @superlevy9389 8 років тому +1

    🙌🙌🙌 hongera saaaana na mungu akubalikiiiiiiiii

  • @abdallahibwe3101
    @abdallahibwe3101 8 років тому +13

    wazo lake zuri lkn bei hainiingii akilini

    • @azizayassin3623
      @azizayassin3623 7 років тому

      Abdallah Ibwe haaahaaahaa

    • @shariwogolle2881
      @shariwogolle2881 6 років тому

      Bei hahahaha wa Arusha huyo lzm bei hiyo.

    • @shsjjdjhd9624
      @shsjjdjhd9624 3 роки тому

      .

    • @samsonkatigiri2344
      @samsonkatigiri2344 3 роки тому

      Na muda si mrefu utasikia zimeisha,kuna watu pesa kwao si tatizo tatizo lao ni kupata kitu kizuri tu.🤣🤣🤣🤣

    • @annabaramay3793
      @annabaramay3793 3 роки тому

      Dah! Kaka uko vzr nilidhani utajiri ni vyeti kumbe ni akili tyu hongera saaana

  • @priscadaniel7
    @priscadaniel7 3 роки тому

    Safi Sana Kaka Mimi Sina hata uwezo WA kukunuwa hata basikeri

  • @abdallahmbonabona8860
    @abdallahmbonabona8860 8 місяців тому

    Mungu akuraisishie kwenye mradi wako

  • @kamkubwa
    @kamkubwa 8 років тому +65

    nilikuwa nakunywa beer nimemwaga naelekea shamba kutafuta

  • @EmainaEmanuel
    @EmainaEmanuel 8 років тому +2

    hongera bro Allah azid kukuongoza .

  • @petermboje5839
    @petermboje5839 Рік тому

    Hongera bro sana nimekupenda

  • @sheezy96sarah55
    @sheezy96sarah55 3 роки тому

    Ur the best hamidu

  • @prettyh7509
    @prettyh7509 3 роки тому

    Mashallah 💕💕

  • @hillsgate386
    @hillsgate386 8 років тому +6

    Very inspiring footage to succsess

  • @omanmct135
    @omanmct135 11 місяців тому

    Mashallllah❤❤

  • @mobileshop818
    @mobileshop818 8 років тому +6

    hongera sana

  • @hongerakkachawasemewwkzbut4996
    @hongerakkachawasemewwkzbut4996 7 років тому

    kaka umenivutia na nimejifunza kutoka kwako hongera sana kaka angu

  • @charlesmazigo8106
    @charlesmazigo8106 3 роки тому

    Wazo zuri Sana,lakini milioni 330,watanzania wangapi watamudu,nadhani angejikita k Nyumba angalau za milioni 100 kushuka chini,angepanua solo zaidi

    • @innocentandrea6482
      @innocentandrea6482 3 роки тому

      Sasa milioni 100 si ndio garama za kuijenga nyumba,,au hutak apate faida

  • @pilimwanza8117
    @pilimwanza8117 3 роки тому

    Wa Tanzania ndio hapa tunafeli. Those houses could be better. Kuna dada Anaiwa Leah Wambui yeye yuko Kenya amejenga Nyumba 200 lkn zinavutia zaidi ukimwambia mtu 300 hata km hana anaridhia kwa muonekano. Mungu akuongoze zaidi, lkn watu wengi zitawashinda kwa sababu inabidi mtu akope bank ambayo inachaji riba. Mtu ataishia kulipia hiyo Nyumba kwa bei kubwa sana kuliko thamani halisi. Hongera nonetheless

  • @adrianoadam8741
    @adrianoadam8741 8 років тому +1

    dah!hayo ndiyo matamanio yangu hongera zake kafanya kitu kikubwa,sisi vijana inatusa tuige mfano wake

  • @zaidihussein4311
    @zaidihussein4311 3 роки тому

    Hongera sana hamidu

  • @hadijamagufuli2661
    @hadijamagufuli2661 3 роки тому +1

    Zamani nilikuwa naamini kusoma ndio kupata kumbe sivyo sasa ndio haya, nilivyokuja kujitambuwa nikaikataa hi imani ama kweli kusoma si kupata 😪

    • @editatairo9667
      @editatairo9667 3 роки тому

      Lakini elimu pia ina umuhimu wake ila ni namna gani unaitumia kutoka kimaisha ndio mziki sass

  • @saidkhalfan1607
    @saidkhalfan1607 8 років тому +8

    mungu akitaka kukupa hakuandikii baruwa

  • @vincentmokenye4465
    @vincentmokenye4465 Рік тому

    Million miatatu ipo juu sana

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 4 роки тому

    Asante sana kaka amidu ,kila kitu kujituma

  • @sarajackson7373
    @sarajackson7373 8 років тому

    Hongera sana kaka Mungu ni mwema wewe ni mfano wa kuigwa

    • @man.lule.585
      @man.lule.585 7 років тому

      Iga ufe kila mtu kazaliwa na zali lake.

  • @TheEric7777777
    @TheEric7777777 5 років тому

    real estate ni biashara nzuri sana... lakini one factor ya ku have in mind ni economic progression ya walengwa... with the current "credit crunch" in Tanzania.... real estate market is one of the worst hit sectors in the economy!

    • @allythabit5175
      @allythabit5175 5 років тому

      Albin Eric one day when I was young nlimsikiaaa baba akisema nataka nianzishe biashara ya nyumba lakn ndugu hatukumsapoti lakn now my father is one of the famous person ambaye ana nyumba nyingi mjiniii

  • @vincent9132
    @vincent9132 8 років тому +5

    i really like his idea

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 2 роки тому

    Naomba hamidu unioe mke wa pili

  • @joetemba6376
    @joetemba6376 3 роки тому +1

    Apo tunakuombea Mungu akupe mawazo zaidi

  • @aishashomali2716
    @aishashomali2716 3 роки тому +1

    Mmmh vifaa vya cm tu utajiri huuu mbona inakuja inakataa 😅😅

  • @tanjaniyoman3160
    @tanjaniyoman3160 3 роки тому

    Hamidu lv u😘

  • @michaelsamson9663
    @michaelsamson9663 Рік тому

    Wa Tz walio wengi waoga kufanya kazi zao au biashala zao Wana aminijuu yakuajiliwa nakulipwa mwisho wamwezi nawengine Hawana elim Wana nyonywa nama boss awashtuki wanazidi kupoteza muda wao

  • @isserkherry8593
    @isserkherry8593 7 років тому +3

    Hizi ndio mambo nazopendaga yaan jinsi gan mtz mwenzangu. Tuweze kujikwamua kiamaisha,,, all in all life isn't fair kabisa, nyumba m300 si mchezo nawasubir biko wanitumie xmx ya ushindi 🙅🙅🙅

  • @seifmohamed836
    @seifmohamed836 3 роки тому

    Hapo kwenye mtanzania wakwanza kuigiza biashara ya vifaa vya simu umechemka ndugu walianza wengi labda kwa moshi na kigamboni ila nakuombea mungu ufanikiwe

  • @ashaally5883
    @ashaally5883 3 роки тому

    Mi najionea mapicha picha tu jmn 🙆🏻‍♀️🙆🏻‍♀️

  • @saumuhassan1365
    @saumuhassan1365 7 років тому

    MashaAllah, hongera sana Brothar, umepiga hatua Allah akusimamie.

  • @habauagway7251
    @habauagway7251 5 років тому

    Hongera kwa kujituma kaka Hamidu

  • @emmanuelmasanja6040
    @emmanuelmasanja6040 Рік тому

    Duh hatari sana,wengine tumezaliwa kumaliza hewa tu humu duniani,hahahahaha

  • @ephraimkayeta7252
    @ephraimkayeta7252 3 роки тому

    Hongera sana kk

  • @venancerichard920
    @venancerichard920 3 роки тому

    V.nice brother

  • @florabaruti8032
    @florabaruti8032 5 років тому +1

    duuh mungu akubaliki kaka

  • @زينبعىر
    @زينبعىر 3 роки тому +1

    Dah bei sasa mh Ongera kwakweli unanifungua akili kila la kheri

  • @jaklinifaustini4259
    @jaklinifaustini4259 5 років тому

    Honger sijawah kuona

  • @imanmohamed7632
    @imanmohamed7632 3 роки тому

    MashaAllah TabarakkahAllah

  • @sharmelasaif47
    @sharmelasaif47 3 роки тому

    Yaani sisemi ila Mungu ndio ajuaee naamini namim nitawez

  • @r14kgroup68
    @r14kgroup68 3 роки тому

    Habidu safi sana

  • @donaldmwangasa852
    @donaldmwangasa852 7 років тому +4

    So inspiring

  • @doctorzero-dj5xg
    @doctorzero-dj5xg 3 роки тому +1

    La 7 mnatisha mwanzako ni msukuma .

  • @funsupadatestourists9256
    @funsupadatestourists9256 8 років тому +1

    Huyu ana pesa jamn haa Mungu akupe maisha marefu na wape wakaribu yako elimu wafikoe mafanikio uliyofikia

    • @luckmndeme9607
      @luckmndeme9607 3 роки тому

      Samaki sikindu kindu ni mshombe wapare mpooooooo shikamooo kaka

  • @marryg4235
    @marryg4235 3 роки тому

    Hongera Sana.

  • @lulugama1547
    @lulugama1547 8 років тому +1

    big up Hamidu we ni noumaaaa

  • @rajabulukindo6712
    @rajabulukindo6712 4 роки тому +2

    Kuzaliwa kilimanjaro ni kuwa n degreee ya biashara

  • @saidkhalfan1607
    @saidkhalfan1607 8 років тому

    mungu akitaka kukupa kila ukijaribu unafanikiwa ila akikuandikia no na kweli no hata ukeshe unafanya kaz ngumu

  • @allymwilu8089
    @allymwilu8089 Рік тому

    Namie nianze kuuza sasa mayai Karanga na sigara😂😂

  • @rahmashaban8693
    @rahmashaban8693 8 років тому +1

    Duuh kaka ana juhudi sijawahi kuona. nimezipenda sana jamani sio siri

  • @goodafya7149
    @goodafya7149 9 місяців тому

    Hiii nzuri sanaa

  • @michaelmchodo4887
    @michaelmchodo4887 7 років тому +2

    nmejifunza ki2...akili yangu utajili wangu

  • @joramlaizer3941
    @joramlaizer3941 3 роки тому +1

    Wachaga 💪🤝

  • @fatmaomary3981
    @fatmaomary3981 3 роки тому

    Mashallah nimeipeda

  • @Boaz22
    @Boaz22 5 років тому

    Jamaa yupo vizuri aisee

  • @micmac7035
    @micmac7035 3 роки тому

    I’m from England but right now based in Canada. Ninapenda ni juwe if à non-Tanzanian yuko na right to buy a house cause I really like the country and my plans ni ku stay one day in Tanzania for a while and do some investments but sijuwe how to start. Thanks 😊

    • @quanthug9517
      @quanthug9517 2 роки тому

      How did you know to write in Swahili some of u'r words! Anyways I can help you one thing,I'm not sure if u would get exactly answers from what you have been asked,so for that case it's better,go to the embassy of TANZANIA their in Canada,nd would help you everything u want,also if not embassy go to the consuls of TANZANIA while you there Canada.

    • @micmac7035
      @micmac7035 2 роки тому

      @@quanthug9517 thank u so much my brother for the advice And pardon my swahili u know with google translate we can make it easy but sometimes it doesn't translate as well but when u do something with love no matter the mistake u make the important is to make it
      by the way swahili is a beautiful language
      Are u a tanzanian?

    • @quanthug9517
      @quanthug9517 2 роки тому

      @@micmac7035 ndio hakika Mimi ni mtanzania 255.

  • @lizzybahati3739
    @lizzybahati3739 2 роки тому

    Kabisaaa ukijituma tu MUNGU hawezi kukuacha