MZEE ALIYEKIMBIWA na MKE KISA UMASKINI AJENGA NYUMBA ya MILIONI 300, ATAFUTA MKE, ATAJA NAMBA ZAKE..

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • MZEE ALIYEKIMBIWA na MKE KISA UMASKINI AJENGA NYUMBA ya MILIONI 300, ATAFUTA MKE ATAJA NAMBA ZAKE..
    Mzee Jumanne Kingu ni mkazi wa Mkonoo jijini Arusha ambaye aliwahi kuwa na tuhuma za kuwanyanyasa kijinsia watoto 22 na kesi yake ikapelekwa mahakamani na huko ikakosekana ushahidi kesi zake zote zilizokuwa zikimkabili zikafutwa.
    Ameibuka na kudai kuwa watu wanamuonea wivu kutokana na mafanikio aliyonayo wanamuita Freemason.
    Kutoka katika nyumba ya mbao hadi leo hii anajenga nyumba ya shilingi milioni 300 ya ghorofa.
    Alikimbiwa na mke kutokana na umaskini, lakini kwa sasa anatafuta mke mwingine wa kumuoa...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

КОМЕНТАРІ • 267

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  Рік тому +1

    SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ

  • @aishaamwalimu2887
    @aishaamwalimu2887 Рік тому +25

    Mungu akuzidishie kipato, Waache waseme, Wewe fanya yako mzee wangu.

  • @sharifaabdala1565
    @sharifaabdala1565 Рік тому +17

    Mungu akufanyie wepesi insha allah upate mke mwema Aamiin

  • @user-ty6lr1zq7j
    @user-ty6lr1zq7j Рік тому +8

    Watu wengi wamekosa maarifa kila mafanikio ya mtu wao wanawaza uchawi yani tunahitaji ukombozi wa fikra pole sana baba Mungu akuzidishie kadri umwombavyo

  • @mariselabasil4350
    @mariselabasil4350 Рік тому +11

    kweli mungu ni mwema.

  • @Lanihsarumu
    @Lanihsarumu Рік тому +10

    Mungu Ni mwema akulinde akupe afya njema na mafanikio mema

  • @mariamyoyote8172
    @mariamyoyote8172 Рік тому +8

    Mashaallah mashaallah mwenyezi mungu akulinde na akujaaliye kila lenye kheri na baraka , akuepushie na Shari ,husida Amin yaraby thumma Amin 🤲🙏🙏♥️♥️❤️

  • @asiakheir8684
    @asiakheir8684 Рік тому +30

    Allah akupe mke mwenye imani ya dini

    • @myunaniniahmad6463
      @myunaniniahmad6463 Рік тому

      Aaamin.

    • @alichum3200
      @alichum3200 Рік тому

      Yupo mwanamke mzuri.mchamungu.mbunifu mzuri ni jirani yangu jee uko tayari nikuunganishe? Kama ndio nipigie

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 Рік тому +7

    Mwenyezi Mungu akulinde na husda za walimwengu

  • @ahmedkandoro9594
    @ahmedkandoro9594 Рік тому +5

    MASHA ALLAH , ALLAH AKUZIDISHIE KHERI MZEE WANGU .

  • @khadijaali4657
    @khadijaali4657 Рік тому +18

    Mashallah hongera sana mzee wangu ila kwa hali unayotaftia mke kupata ni haraka sana utampata lkn je atakua ni mke mwema kama ndoto ya kila mwanaume au atakua ni mtu ambae ana wenzake akilini nakwambia hivyo kwa sababu wanawake ni cc kuna wengine watakupenda sababu ya mali ulizonazo tu lkn atakua hana mapenzi na ww…ww umpe kila anachokitaka yy atafute kibenteni cha kumsugua vzuri hayo nayo yapo ujue mzee wangu from kenya 🇰🇪 nawatch nikiwa Saudiarabia

    • @khamisidossa
      @khamisidossa Рік тому +1

      Unamaneno we msaud mmmh

    • @azizaaziza7996
      @azizaaziza7996 Рік тому +1

      Ni hakika maneno yako kuntum

    • @khadijaali4657
      @khadijaali4657 Рік тому +1

      @@khamisidossa 🫢🫢🫢Hata sio maneno huyu mzee niowe macho sana bila hivyo maliyake italiwa na aambulie patupu,by the way ndoa ni maelewano baina ya mke na mume lkn hapo asipokaa 😳😳😳ndoa itakua ya mke kufata mali tuu lkn sio mapenzi

    • @nishaabdula5015
      @nishaabdula5015 Рік тому +2

      Mm naona km angefanya mutafuta ktk vikundi vya dini. Mana umu mitandaoni mhh ataoata mwizi tu na sip. Mke

    • @khadijaali4657
      @khadijaali4657 Рік тому

      @@nishaabdula5015 Kweli kabisa

  • @ZsbAlbarwani
    @ZsbAlbarwani 2 місяці тому

    Baba hao wote ni wivu na choyo roho mbaya mafidi wanataka mtu asipate ukae unaombaomba na wakuzarau kama mali ya kichawi bas wakatafute wao usiwasikilize ishi maisha yako na mwenyezi Mungu atakubaliki said 🎉

  • @jimjam4148
    @jimjam4148 Рік тому +2

    MASHA ALLAH.

  • @davidjohn2957
    @davidjohn2957 Рік тому +2

    Apana mtukuze Mwenyezi Mungu na tumia mda mwingi kumshukuru mwenyezi Mungu

  • @edinahmaganga2722
    @edinahmaganga2722 Рік тому +1

    Hongera sana Mzee wangu walimwengu wanapenda maneno sana wewe songa mbele achana na maneno ya wakosaji ziba masikio kwa pamba mtu mwenye wivu na maendeleo ya mtu mwingine huyo ni mchawi

  • @yasminrashidi3070
    @yasminrashidi3070 Рік тому +1

    Masha ALLAH barakallah Nipo mm

  • @salmajuma5313
    @salmajuma5313 Рік тому +1

    Mashallah Allah akupe mke mwenye hofu ya mungu inshallah 🤲

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 Рік тому +8

    Hongera baba, fanya kazi kwa bidii usiwasikilize wambeya wenye dhiki. Wafunge mkanda kama wewe.

  • @vincej9275
    @vincej9275 Рік тому +6

    Hongera sana mzee wangu kwa bidii. Utapata mkee mwema.

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 Рік тому +7

    Mtangulize mungu hatakutupa

  • @asiamohd5516
    @asiamohd5516 Рік тому +1

    Mashaallah mashaallah jazakallah 💪💖💖

  • @abdulrisassy2488
    @abdulrisassy2488 Рік тому +3

    Allah akusimamie usipate mke jambazi mzee wangu

  • @asiakheir8684
    @asiakheir8684 Рік тому +25

    Huyu baba àñatoa sadaka sana anasaidia watu Allah kambariki

  • @aisharamadhani1948
    @aisharamadhani1948 Рік тому +14

    Korumba niunganishe anioe niko tayari kuolewa naye ,, inshaallah namini utapokea maoni yangu

  • @efraimrichard6440
    @efraimrichard6440 Рік тому +11

    Wadada Sasa Kama nawaona mzee kuwa makini wadada wa saivi ni hatar kabisa

  • @MHDFURNITURE-jn2rx
    @MHDFURNITURE-jn2rx 9 місяців тому

    asante mungu kwa kuiyonyesha dunia kama unaweza kumpandisha umtakae na kumshusha umtakae

  • @neemajohn6142
    @neemajohn6142 Рік тому +6

    Kwa ushauli wangu ungekaa kimya unapojitetea san unaibui watu wakufatilie wakat umetoka kwenye matatiz

    • @kabwelasutiviraka4765
      @kabwelasutiviraka4765 Рік тому

      Ana matatizo huyo Mzee ukiona mtu anajitetea sana ujue kuna jambo, na Mzee kibabu kuja mitandaoni kusaka mke 😅

  • @kiri5807
    @kiri5807 Рік тому +15

    Huyu mzee namkumbuka allizuliwa kuharibu watoto .Watzn sijui tukojee . wakiambiwa waje kumtoa huyo nyoka wanaye ? Hayo ni matatizo yetu husda na choyo .

  • @chinaboyzanzibar5328
    @chinaboyzanzibar5328 Рік тому +3

    ASSALAAMU ALEYKUM MZEE YANGU FROM TZ .MY NAME IS SIDIK I AM LIVING IN UK LONDON 🇬🇧. I AM ORIGINAL FROM MOMBASA 🇰🇪 KENYA I AM PROUD OF YOU MY ALLAH ALWAYS MAKE U HAPPY WITH UR LOVELY FAMILY I KNOW YOU HAVE FAITH WITH OUR LOVELY ALLAH AND ALLAH WILL HELP YOU INSHALLAH DONT LISTEN TO PEOPLE SOME PEOPLE ARE NOT GOOD TO ME YOU ARE LIKE MY FATHER REMEMBER ME IN UR DUA UR SON SIDIK FROM UK WS

    • @theresiakaruhanga364
      @theresiakaruhanga364 Рік тому

      Na wewe Sasa unachekesha, Mzee amesema hajasoma hata shule ya msingi halafu unamuandikia kingeleza ili?

    • @hamisimuhammad3656
      @hamisimuhammad3656 Рік тому

      @@theresiakaruhanga364 anatafuta kiki

    • @faza4023
      @faza4023 Рік тому

      @@theresiakaruhanga364 acha majungu..sio mtanzania.. English nayo ni lugha

  • @FettyAbdala
    @FettyAbdala 3 місяці тому

    Salaam alleykum warahamatullah wabarakatuh samahan baba angu mie shida ya god ya nyumba

  • @shifaaal-baity4503
    @shifaaal-baity4503 Рік тому +1

    Mungu amlinde na ambarkie

  • @yuzasivyussuph6087
    @yuzasivyussuph6087 Рік тому +2

    Mashallah

  • @shabanikitula645
    @shabanikitula645 Рік тому +4

    Huyu mzee ana roho nzuri sana

  • @asiakheir8684
    @asiakheir8684 Рік тому +7

    Watanzania acheni roho mbaya na choyo , mpendeleeni mtu kupata msaidiwe

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 Рік тому +1

    Mungu atakupa mke mwema amina babaa

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 Рік тому +5

    NIKONNJETU., NAMI. NASAKA VYANGU NINGEKUA TZ NINGEKUTAFUA KWASABABU UNAIIMAN YA DINI NDCHO NINGEKIFATA KWAKO. NAKUPENDA BABU KWAAJILI YA ALLAH

  • @hawahaji-si1nw
    @hawahaji-si1nw Рік тому

    Hongera mungu akujaalie Kila la kheri unataka mke mwenye sifa gani

  • @suleimanjokoro
    @suleimanjokoro Рік тому

    Pole Mzee,na hongera kwa kupambana!

  • @alfredngetich4645
    @alfredngetich4645 Рік тому

    Mungu akubariki Hadi washangae

  • @daudkindy8062
    @daudkindy8062 Рік тому

    Mashaallah

  • @farajafaraja3494
    @farajafaraja3494 Рік тому +2

    Asante baba na global Kwa kunipa Mume kama huyu kesho napanda bus maguful namfuata Arusha, tusioneane wivu😊😊😊😊

  • @fathiyaalrawahi6382
    @fathiyaalrawahi6382 Рік тому +1

    Hongera umesubiri baba baada ya dhiki faraji

  • @OmanOman-bx5du
    @OmanOman-bx5du Рік тому +5

    Mungu akupe maisha marefuu bba. Inshaalh

  • @theresiakaruhanga364
    @theresiakaruhanga364 Рік тому +1

    Mi ningeolewa na wewe ila shida tu, mi Mkristu na sina shida ya maisha naweza kuishi maisho yoyote ila tu mi Mkristu na siwezi kuolewa na muislamu Wala kubadili dini. Nakuombea akufanikishe katika mipango yako.

  • @bonifacewanyonyi3555
    @bonifacewanyonyi3555 Рік тому

    Pole ndugu yangu mungu akujalia

  • @femidayahaya4882
    @femidayahaya4882 Рік тому

    Mzee jimbo lipo wazi.. Wajane jitokezeni! Mgane Tajiri hyoooo

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 Рік тому +1

    Hongera sana

  • @rahmajaffar794
    @rahmajaffar794 Рік тому +1

    Kwa ushauri tu ingekuwa vizuri kama ungeoa mke mwema asiekufahamu utafute wanaume wenzio walio wacha Mungu wakutafutie mke mwema alie mcha Mungu asie na unafiki ma anaeogopa kumuasi Mungu hata kwa jambo dogo

  • @beatriceyustomwakabanje5789

    Mke mwenyewe ndio mm nioe tu bby ww handsome Sana 🙄😁

  • @ayshasaid1547
    @ayshasaid1547 Рік тому

    Salisbury muombe mungu akure mke mwema

  • @zainabkenya-hd8hv
    @zainabkenya-hd8hv Рік тому +1

    ASALAM ALEIKUM MM HAPA PIA NATAFUTA MUME

  • @khadidjasuleiman8006
    @khadidjasuleiman8006 Рік тому +1

    Hongera sana babu ila nguvu 😂 zipo iyo ipoje mana wasiji wakaanza kuku chiti nitaumiya saana 🤗

  • @glorysungura3180
    @glorysungura3180 Рік тому

    Hongera kwa uvumilivu. Ukiwa masikini unaitwa mchawi, MUNGU akikuinua unaitwa freemasons. Lipi jema duniani? Usikubali kutafuta mchumba kwa namna hiyo, wengi watafuata mali, ukifirisika watakumbia. Omba MUNGU AKUPE MKE MWEMA ATOKAE KWAKE.

  • @subirafatma3234
    @subirafatma3234 Рік тому

    Pole sana kaka njoo burundi tunakuitaji

  • @frolawihenge2078
    @frolawihenge2078 Рік тому +1

    Weee mzeekuwa makini kwa.ghorofa hiyo watakupaparikia wengi!!!!Tunakuombea mwenyezi Mungu akujaalie upate mke mwema .

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 Рік тому +4

    Mzee Allah akujaaliemkemwema

  • @valentinetesha8536
    @valentinetesha8536 Рік тому +2

    daah kwa kweli MUNGU ni mkubwa

  • @anitajacob3641
    @anitajacob3641 Рік тому

    Mungu azidi kukubaliki

  • @kesterkanyala7718
    @kesterkanyala7718 Рік тому +1

    TUMEJIFUNZA,KWAKO...HONGERA SANA

  • @rebeccaalex6308
    @rebeccaalex6308 Рік тому

    Mungu WA mbinguni akuzidishie baba yng achana na hao wanaokuita mchawi. Penye mafanikio hapakosi maneno.

  • @mfenesini-bh1fk
    @mfenesini-bh1fk Рік тому

    Dah,! binadamu

  • @cosmaslunyembeleka251
    @cosmaslunyembeleka251 Рік тому

    Safi Sana mzee Akili Ni nywele Sasa ligi inaisha wao hawana pointi hata moja Sasa wewe unaingia finali.
    Tena Lima hata na nyanya mzee zinalipa Sana ukilima hekari tatu utapata zaidi ya milioni Mia chap ili uzidi kuwachapa kwa matendo.

    • @jumannekingu68
      @jumannekingu68 Рік тому

      Aya bwanaaa. Nakushukuru kwa kunishauri njlime nyanya talima In sha allah

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY Рік тому +1

    Mzee usitafute mke mtandaon
    Nenda vituo vya watoto yatima
    Utapata mke bora sanaa NAKUOMBEA
    KWA ALLAH MZEE

    • @TALLUBOY
      @TALLUBOY Рік тому

      @@Jeybrands yesi watoto yatima
      Wapo wanaofika miaka 18 wapo umri 25 wapo wa 30 kwasababu mimi nawajua
      Vzl hao watu wanakuwa ni watu wenye
      Maadil mazul sana but wamefunzwa sana wakiwa sehem za malezi yao

    • @fatmazullu4933
      @fatmazullu4933 Рік тому

      @Jeybrands mbona unamuuliza swali ambalo jibu alishatoa?

    • @fatmazullu4933
      @fatmazullu4933 Рік тому

      @Jeybrands ulilouliza wewe mwenyezi!

  • @OmanOman-dd5qk
    @OmanOman-dd5qk 3 місяці тому

    Mwambie nakuja kula bata lamtaniwangu😢😮😮 nambahiyo

  • @wm9669
    @wm9669 Рік тому +2

    Wow. Mashallah.
    Maskini ni yuke aliyetoroka.
    U maskini sio mali 😊

  • @jessysalami1788
    @jessysalami1788 Рік тому

    Baba mm nipo mke mwema ila tubadilishe kwanza jina la hatiyanyuma ueke langu 🤦tena mm mwanamke mpambanaji

  • @amanimanase8798
    @amanimanase8798 Рік тому

    Pole sana mzee wangu unepambana sana mpk ukafanikiwa aisee wanyatu ni wapambanaji sana

  • @janethkomba4485
    @janethkomba4485 Рік тому +2

    mh🙄Uyo mzee naye Atuliye 🎤kama Anataka mwanamke wakumpiga pesa zake hapo sawa✍️

  • @joanesasalavaleriano9980
    @joanesasalavaleriano9980 Рік тому +5

    Mim Léo ni wakwanza nipeni zangu

  • @hpmobilephone9951
    @hpmobilephone9951 Рік тому

    Hongera yako mzee

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx Рік тому

    Siyo bre kuna kitu hao wazungu wa omani

  • @maliamaliy8985
    @maliamaliy8985 Рік тому

    Nioe mm

  • @benjaminandebe386
    @benjaminandebe386 Рік тому

    Mzee nihatari kwa iyo umrikuoa

  • @wettykznznhuioploko1571
    @wettykznznhuioploko1571 Рік тому

    Kolumba nipe mume uyo nampenda anatowa sadaka sana anaimani ya mungu

  • @mayarashidi2765
    @mayarashidi2765 Рік тому

    Miashaailaah ongera baba achanao usiwasikilize

  • @jumaamartin7929
    @jumaamartin7929 Рік тому

    mimi nikushauri kwakua unahitaji umpe mungu nafasi.kwa maana gani kwakunadi kua unaitaji mke kwa staili hii yakuonesha mali zako.hutompata mke mwema.kwakua atahitaji mali zaid kuliko kukupenda wewe.kuna utaratibu wa kumpata mke.tena wapo wanawake humo misikitini wenye hofu ya mungu.pia ukienda mahali usipo julikana utampata mke wa kukupenda wewe sio mali.ushauri mwengine usiowe bint.japo wanasema gari bovu huvutwa na gari zima.umri utafute mke ambae umemzidi miaka saba au kumi.lakin mabint.atachukua pesa yako mwenyewe akale tam kwa vijana na ataihonga ili aipate tam.mabint wanataka kupelekewa moto babu.

  • @saididodi3988
    @saididodi3988 Рік тому +1

    Hii tz inamambo Sana

  • @Winnie-xw7gr
    @Winnie-xw7gr Рік тому

    Niko hapa Kenya nko ready

  • @shemelaruhinda6113
    @shemelaruhinda6113 Рік тому

    Manshahallah mungu akuzidishie. 🙏

  • @neema_mollel
    @neema_mollel Рік тому +1

    Hii ni fursa wallah ,ngoja kesho nijipeleke kwa mzee😁😁

  • @malila4582
    @malila4582 Рік тому

    Weeeeeeh! Mzee wewe mke mbona nipo hapa mzee wanguaaaa

  • @simonchristian6319
    @simonchristian6319 Рік тому

    Usioe ,please usioe

  • @MATIKO9640
    @MATIKO9640 Рік тому +1

    Usipoangalia hapo kwenye mke ndipo kwenye kufeli

  • @mayaltv9441
    @mayaltv9441 Рік тому

    Tangu apate kesi anahangaika sana huyu mzee

  • @mcback4384
    @mcback4384 Рік тому

    Lisemwalo lipo, hana utajiri wa kutisha mpaka achukiwe na kila mtu, nyumba kama hiyo zipo kila mahali huko mpaka vijijini, lazima kuna kitu hapo

  • @barakatabdul3212
    @barakatabdul3212 Рік тому

    Mzee Ntakupa Nyanyangu Buree na nshaongea nae Amekubali Asema Mahari yake hana haja na nyumba zako! Umpe msahafu Umsomee Suratu- Yassin" tu!

  • @zainabucharles6841
    @zainabucharles6841 Рік тому +4

    Nioe Mimi tuanze maisha

    • @nyembomajid1262
      @nyembomajid1262 Рік тому +1

      sio kuaza maisha kuendelea na maisha yeye tayari maisha anao

    • @myunaniniahmad6463
      @myunaniniahmad6463 Рік тому

      Keshaa toa namba, jitaidi kuwai nafasi maana cm atapokea nyingi. Na vile cku hizi wadd wana sema umri ni namba tuu! atapokea cm nyingi sana.🤓

  • @kabwelasutiviraka4765
    @kabwelasutiviraka4765 Рік тому +1

    Ana matatizo huyo Mzee ukiona mtu anajitetea sana ujue kuna jambo, na Mzee kibabu kuja mitandaoni kusaka mke ustadh anatafuta mwanamke papa la mjini ili ampakue mavi ya mkunduni huyo ni tigo lover 😅

  • @maymunamakungu6265
    @maymunamakungu6265 Рік тому +1

    Usitafute mke kwa njia ya mtandaoni hiyo hutompata mwema

  • @jtheophil5499
    @jtheophil5499 Рік тому

    Watanzania acheni rohoo mbaya.fanyeni kazi kwa bidii .punguzeni michepuko focus ,fanyeni maendeleo.

  • @mamaamour9669
    @mamaamour9669 Рік тому

    Mzeee mkee nipooo

  • @nishaabdula5015
    @nishaabdula5015 Рік тому

    Uyu. Baba jmn anatowa HD namba yacm. Kaa

  • @yvonnegipsongipsonyvonne6126

    Mimi nipo

  • @gloriamichael7935
    @gloriamichael7935 Рік тому +3

    Achana nao we endelea na shughuli zako ule Bata uzeeni

  • @bushbabytz
    @bushbabytz Рік тому

    Acheni ujinga ninyi hiyo nyumba haijachukua hata milioni 16

  • @RachelBriervanity1
    @RachelBriervanity1 Рік тому +2

    MUNGU Mkubwa Sana Ningekuwa sina Mume ungenioa Mimi Hahahaaa Natania tu

    • @johnyusuph3221
      @johnyusuph3221 Рік тому

      Mnapitiaga kwenye utani humo humo hahahaaa

  • @godfreyobadiah7892
    @godfreyobadiah7892 Рік тому

    Mzee wng wanawake ndivyo walivyo km watt wasamehe bure, kiboko yao kuwazalisha sana !

  • @salmahatibu2545
    @salmahatibu2545 Рік тому

    Nipo kkngu nami naitaji mmeee

  • @azizamvungi1871
    @azizamvungi1871 Рік тому

    Binadamu bwana ukipata freemason..ukikosa mchawi vipi jema kwenu?acheni roho mbaya

  • @Emedroadtocanada
    @Emedroadtocanada Рік тому

    Wadada kama nawaona vile