SHUHUDIA, SAA MBILI ASUBUHI JUU YA ALAMA TRENI YA DELUX IKIONDOKA NA ABIRIA 851 KWENDA KIGOMA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 46

  • @mimimoop2617
    @mimimoop2617 3 роки тому +9

    Magufuli oyeeeee teen magufuli

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 3 роки тому +12

    MAGUFULI TREIN HIYOOOOOO!!!. VIMEUNDWA HIVYOO MSIONE VINAELEA MAGUFULI HUYOOO.

    • @kshdbzjnxksksw6567
      @kshdbzjnxksksw6567 3 роки тому +1

      Naona unawasimbulia lakini imebidi maana wanajifanya hawaoni wala hawajui

  • @bekabakari7394
    @bekabakari7394 3 роки тому +10

    Magu
    Umetufungulia njia
    Alafu ghafla umetuacha
    Pumzika kwa baba

  • @stumaiswed6894
    @stumaiswed6894 Рік тому

    Yani trc mnazingua sanaa hamna huduma nzuri hata kidogoo ovyo sanaaa

  • @majaliwaking4500
    @majaliwaking4500 20 днів тому

    Hakuna ratiba nzuri ya treni kwa sasa yani inachelewa kufika sifa nyingi vitendo tofauti

  • @samwelbakari
    @samwelbakari Рік тому

    Tunaomb namba kwa maelekezo zaidi

  • @kaliuayetutv6183
    @kaliuayetutv6183 3 роки тому

    jaman reli ya Mpanda mnatunyanyasa sana maaana mabehewa machache

  • @jonaspatrick2871
    @jonaspatrick2871 3 роки тому +1

    Kazi nzuri lkn watu wanapita kwenye reli ni hatari, "accident waiting to happen " wapo wapi kitengo cha health & Safety?

  • @jumannemalunkwi1694
    @jumannemalunkwi1694 3 роки тому

    Mimi binafunsi napenda sanakutumia njia ya leli lakini keloyangu kuu niusumbufu kuanzia kukatatiketi mpaka kwenye safari usumbufu mkubwa sana tunaomba tupewe mamba maalumu ilituwe tunatoa malalamiko yetu

  • @KenedPaul
    @KenedPaul 5 місяців тому

    Nataka usafiri naupataje wa treni dar to Mwanza

  • @kiatu
    @kiatu 3 роки тому +2

    Sawa lakini upotevu mkubwa unakuwa kwenye uendeshaji wa mashirika yaani malipo ya vikao hewa na mambo kama hayo.

  • @basilchambo9285
    @basilchambo9285 3 роки тому +1

    Seat cover zifanyieni mpango pia

  • @chrisssky94
    @chrisssky94 3 роки тому

    Suala langu moja tu abiria wapo hatuna sb ya kuwa na safari mara mbili iwe kila sku usk asbh watu wamefika moshi Arusha. Lazima twende na soko na usasa muda unakimbia na ss tukimbie jaman

  • @basilchambo9285
    @basilchambo9285 3 роки тому

    Nimesafiri nanyi kama mara nne hivi lakini hatukuwahi hata siku moja kuondoka ontime tena kuna mwaka tuliondoka ijumaa badala ya alhamis

  • @aminaathumani6832
    @aminaathumani6832 3 роки тому

    💃💃💃💃💃💃

  • @uledimtumwa2406
    @uledimtumwa2406 3 роки тому +4

    Mwanza mmeitelekeza ,Treni inakuja mara moja kwa wiki!!???Nyie jamaa ni wahujumu miradi ya serikali.

    • @nasibugunda7927
      @nasibugunda7927 3 роки тому

      Hakuna abiria

    • @uledimtumwa2406
      @uledimtumwa2406 3 роки тому

      @@nasibugunda7927 Wewe huijui Mwanza.Kuna abiria, mizigo na Mifugo. Njoo ushuhudie.

    • @nasibugunda7927
      @nasibugunda7927 3 роки тому +2

      @@uledimtumwa2406 Kaka nafanya kazi stesheni apa dar
      Treni inatoka dar behewa za kigoma zimejaa
      Behewa za tabora zimejaa
      Behewa za mpanda ndo zimezidiwa mpaka watu wanasimama mwanza ni aibu abiria wawili au watatu daah
      Tuseme tu ukweli abiria wa mwanza wanapanda sana mabasi

    • @uledimtumwa2406
      @uledimtumwa2406 3 роки тому

      Ratiba haipo sawa. Unaambiwa gari litafika saa 6 mchana,tahamaki linaingia saa 12 jioni au saa 2 usiku.Zingatieni muda muone mafuriko.

    • @nasibugunda7927
      @nasibugunda7927 3 роки тому

      @@uledimtumwa2406 Ratiba haipo sawa kwa mwanza tu ?

  • @pasiensiabel7278
    @pasiensiabel7278 3 роки тому

    Treni ni tren tu acheni kudanganya watu. Huduma zenu ni mbovu mnoo, angalau wakati mnaanza mlianza vizuri ila sasa naona kila kukicha afadhali ya jana.

  • @rashidhamis6779
    @rashidhamis6779 3 роки тому

    Safari ya ck mzma asubuh mpaka ck ya pili eti ndani hamuna hata tv wakat gari dar Moro zna tv au boti za zenj pia zna tv ila tren hamuna tv

  • @thepowerofgospelhealing7606
    @thepowerofgospelhealing7606 3 роки тому

    Usafiri ni mzuri Ila kuna baazi ya wafanya kazi sio waaminifu nikipata no ya kadogosa ntamuelezea private

  • @komborashid5891
    @komborashid5891 3 роки тому

    Tanga MOSHI Arusha link?

  • @mohamedjeizan5929
    @mohamedjeizan5929 3 роки тому +1

    Mbona hamboreshi maeneo yenu ya abiria kusubiri treni naona vurugu mechi tu hapo

    • @salmuzahra9139
      @salmuzahra9139 3 роки тому

      Kweli. hata. mm. nimeona. sajapenda. bado. mambo. yapo. kishamba. sana

  • @johnselelii5277
    @johnselelii5277 3 роки тому

    Njia ya mtandao ni ipi hiyo

  • @ibrahimmwasamila6412
    @ibrahimmwasamila6412 3 роки тому +1

    Muitunze jamani

    • @jackspyro6115
      @jackspyro6115 3 роки тому

      Kama upo ndani ya tz wewe pia unapaswa kuilinda.
      Ukiina mtu kwake amejengea kutumia vyuma vya reli toa taarifa kwa mamlaka ili kuzuia uharibifu

  • @getitdoneright1938
    @getitdoneright1938 3 роки тому

    Where is Ben Mwanantala ?

  • @rashidhamis6779
    @rashidhamis6779 3 роки тому

    Siti pia chakavu

  • @sudymgeni701
    @sudymgeni701 3 роки тому

    Kama faini %100nisawa je mtu akikata tiketi alafu akakosa siti inakuaje

  • @joachimhenjewele367
    @joachimhenjewele367 3 роки тому

    Wapi mwanantala?

  • @khalifanoti6974
    @khalifanoti6974 3 роки тому

    Mnafika kigoma saa ngapi?mbona hamsemi hapo?

  • @marymfugwa847
    @marymfugwa847 3 роки тому

    Sijasikia mwanza!

  • @marymfugwa847
    @marymfugwa847 3 роки тому

    Kumbe viti kama vya basi

    • @hamisiramadhani3538
      @hamisiramadhani3538 3 роки тому

      Abiria wa mpanda wanateseka sana unakuta abiria wengi behewa chache ambapo sasa unakuta abilia wanasafiri raha

  • @kakorejrboyz6447
    @kakorejrboyz6447 3 роки тому

    MOSHI / KILIMANJARO HATUPANDAGI TRENI SISI NI TAIFA LILILOENDELEA NI NDEGE NA VIP BUS TRENI ZINAWENYEWE SIO KANDA YA KASKAZINI