KATIBU MKUU WIZARA YA UCHUKUZI "SGR INAJIENDESHA YENYEWE"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 21

  • @sebmalunde5945
    @sebmalunde5945 6 годин тому +2

    Pesa mziweke vizuri maana maintenance ikianza itakuwa ishu.

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 10 годин тому +4

    MASHIRIKA MENGI WAKIPIGA CHINI RUZUKU , LAZIMA NCHI ITAPATA maendeleo maana watu wataacha soma magazeti na kila mtu atawajibika kwa nafasi yake, sekta binafsi na umma zitaingia kwenye mfumo wa uzalishaji kwa pamoja

  • @oscarmtavangu3053
    @oscarmtavangu3053 10 годин тому +1

    Hongera sana kwa hilo, tupo pamoja.

  • @daudimaniseli759
    @daudimaniseli759 5 годин тому

    HII RELI NDIO KIUNGO MUHIMU KWA NCHI... ALLAH AMPE PEPO,,NIMAAMUZI MAGUMU NA YA MALENGO MAKUBWA SGR NDIO UCHUMI ..DAR-MWANZA,DAR_KIGOMA,DAR-BURUNDI,DAR_KIGONGO,DAR-RWANDA,DAR_KENYA NA UGANDA....NIOMBE EAST AFRICA...TUJIUNGE NA HILI KWANI UCHUMI NA MAISHA MAZUR KWA WATU VITAKUWA POA SANA.

  • @mosesjacksonkarashani2642
    @mosesjacksonkarashani2642 5 годин тому

    SGR inabidi ilipe deni yenyewe tusifurahie kujiendesha yenyewe tu.

  • @UnitedAfrica-uw9ct
    @UnitedAfrica-uw9ct 6 годин тому

    Kama inajiendesha na kulipa deni la waliotukopesha basi hongereni sana sivyo...kazeni buti

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 3 години тому

    Muaze kulipa wakandarasi wa ndani sasa mungekuwa na akili ya kutumia chuma cha ndani msingekua na pressure kubwa ya YAPI

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 11 годин тому +1

    Miradi kama hiyo ingetakiwa kua na 50% jeshi. Hata Marekani Mambo yote muhimu Yana jeshi ndani. Hata USPS..... Ndo maana rangi yake Ina rangi ya jeshi

  • @isackrichard6356
    @isackrichard6356 2 години тому

    Imagine hiyo wakii-bet-ia odds za kutosha iwe ata mara mia zaidi alafu wazitumie kulipia ujenzi wa lots zingine zilitobaki
    #AKILIKUMKICHWA😂😂

  • @mndambokilavo2502
    @mndambokilavo2502 9 годин тому +1

    wangeiweka kwenye soko la hisa ili kuongeza mtaji

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 6 годин тому

    🎉🎉🎉🎉

  • @zobakazizi7637
    @zobakazizi7637 5 годин тому

    Nina wasiwasi na jinsi zitakavyokuwa zinapishana. Kuna haja ya kuweka line nyingine ndefu ya kupishana pasipo kusimama.

  • @zakayomtweve893
    @zakayomtweve893 8 годин тому

    Jamani ningefurahi kama speed ingeongezeka kujenga reli kuja tabora mwanza kigoma katavi after then Rwanda na Burundi, maana hatuoni huku sughuli zikiendelea kama mwanzo embu tujenge basi hataa hadi tabora kwanza ili hela ziendelee kuingia nyingi.

    • @frankmlelwa1073
      @frankmlelwa1073 7 годин тому +2

      Ina maana hujui kama michakato inaendelea ya kujenga mpaka huko, nadhani mpango ulilenga kukamilisha lot ya Dar mpaka Mwanza ambapo mpaka sasa kazi za ujenzi zinaendelea, Tayari vipande vya Isaka -Tabora na Tabora -Kigoma vimeshapata fedha na ujenzi uko ,mbioni kuanza , na Burundi nao washaomba kuunganisha na Kigomna na washaanza mchakato huko kwao, lakini pia Uganda nao washaaanza ujenzi huko kwao. So mambo mazuri yanakuja, Subira yavuta kheri.

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 3 години тому

    TRC WAKITAKA KUFANIKIWA SERIKALI ITENGANISHE ACCOUNT KUWE NA ACCOUNT YA COLLECTION MAINTENANCE NA PESASA ZA KULIPA OPPARATION

  • @aliakrabi8321
    @aliakrabi8321 9 годин тому

    bado ukaguzi wa tikti ni mdogo, sijui kama wanaolipia nauli pungufu imedhibitiwa. nimepanda mwezi mmoja uliopita

  • @yusufuosman8966
    @yusufuosman8966 9 годин тому

    Tatizo upiga ni mwingi, hakuna biashara haina faida.

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 3 години тому

    Muombe luzuku tena

  • @am2323Diaspora
    @am2323Diaspora 8 годин тому

    Ruswa