TRENI YENYE MGAHAWA YAWAVUTIA ABIRIA,IKIONDOKA DAR HAISIMAMI HADI MOROGORO,FULL MADAKTARI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 67

  • @dn.n4983
    @dn.n4983 5 років тому +1

    Mambo yamenoga jamani hawe hawe yakuwa jani tanzania kwanza wu proud of it Makufuli Shikamoo saluti baba wewe ndio tishio la dunia Tramp hatakuja mwenyewe wala usimfuate hapo kazi tu safi sana ubarikiwe sana sana penda watu wako tz kwanza

  • @samateryussuf5938
    @samateryussuf5938 6 років тому +5

    hongera serikali , lazima tuelewe kuwa awamu ya nne pia imefanya mengi kuhusu usafiri wa reli

  • @sabbob574
    @sabbob574 6 років тому +9

    Good presentation Ben. Very informative. Big up TRC

    • @TRCRELITVTANZANIA
      @TRCRELITVTANZANIA  6 років тому

      Ahsante sana .Mtazamaji watu tunashukuru sana..kwa kukubali kazi zetu

    • @samateryussuf5938
      @samateryussuf5938 5 років тому

      good presentation msenge wewe , kuishia Pugu ?

  • @zabronlameck1073
    @zabronlameck1073 6 років тому +4

    Tanzania yetu one love

  • @mainaimma1114
    @mainaimma1114 6 років тому +6

    mnafanya kazi kwa upendo sana kwawel sitamani kupanda usafir mwingine kwenda tabora.naipenda njia ya reli naipenda treni

  • @davidreuben8770
    @davidreuben8770 6 років тому +8

    Mmejipanga vizuri sana. Hasa kwa habari ya huduma ya kwanza hiyo nimeishuhudia baada ya kuhudumiwa vizuri sana. Mini nawapongeza sanaa. Reli yetu kwa maendeleo yetu.

  • @madundod1
    @madundod1 5 років тому +1

    chaneli nzuri sana na ina elimisha sana sana...hongera sana mtangazaji mwanantala utabaki kuwa juu mawinguni....Pongezi pia kwa serikali yetu kwa kuboresha huduma nyingi za wananchi wa kipato cha chini..Mheshimiwa Rais, tuko nyuma yako asilimia mia moja!

  • @HASASON
    @HASASON 6 років тому +14

    Kwa kweli Tuna kila sababu ya kumpongeza na kumuombea Rais watu JPM kwa juhudi zake hizi madhubuti za kuipaisha Tanzania

    • @samateryussuf5938
      @samateryussuf5938 5 років тому

      mjinga wewe embu rudi shamba

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 5 років тому

      Hii treni kaiacha jk we wawapi?

    • @samateryussuf5938
      @samateryussuf5938 5 років тому

      @@josephwilliam5813 deluxe train ilikuwepo nimepanda toka DSM-Kigoma 2015 sasa sidhani kama jiwe lako lilikuwepo ingawa wote ni majiwe wa ccm

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 5 років тому +2

      Ni kama vile ziara ya wasanii kumsifia magu wakati wako juu ya treni ya jk na reli ya mkoloni ni unafki wa hali ya juu

    • @samateryussuf5938
      @samateryussuf5938 5 років тому +1

      @@josephwilliam5813 thank you Brother

  • @neemakilomoni4258
    @neemakilomoni4258 6 років тому +2

    🙏🏾Mungu ibariki Tanzania 🇹🇿

  • @fahadfahmy
    @fahadfahmy 4 роки тому

    Kama umemuona Mpishi anavopika wali mfano wa Ugali nipe like zangu.

  • @athumanomary1438
    @athumanomary1438 6 років тому +6

    Ewe mwenyez MUNGU tunazidi kukuomba enderea kuripa mafanikio makubwa san taifa ritu na zidi kuwaongoza viyongoz wetu

  • @valentineougo1111
    @valentineougo1111 5 років тому +1

    oooh I miss our old train from Kenya

  • @nuurinkluge7584
    @nuurinkluge7584 4 роки тому

    Ohoo magufuli his are very good prezisent ❤❤🙏

  • @uledimtumwa2406
    @uledimtumwa2406 6 років тому +6

    Ile ya Zamani ilikuwa na 1st class na 2nd sleeping, tulienjoy sana. Yale mabehewa wajanja wameyauza. Njia ya Tanga na moshi kulikuwa na mabehewa mazuri sana, ila Wabongo sio kabisa yaani.

  • @babenealoyce889
    @babenealoyce889 5 років тому +2

    Nakumbuka nilikuwa nataka kukata ticket kwenda kigoma, lugha za kebehi na za hovyo kutoka dirisha la ticketi. Hakuna ncustomer care na unalipa pesa, uwabembeleze kuwapa pesa? Business administration ni mbovu mno kwenye huduma zetu. Nafikiri vijana wa biashara na house keeping wapewe ajira kwenye train.

  • @antoinea.katembo5326
    @antoinea.katembo5326 4 роки тому +2

    Aisee kama kwenye ndege vile tena zile ndege kubwa akina A380 au Boeing 747, 777, etc...

  • @kingsam473
    @kingsam473 4 роки тому

    Naomba kuuliza vip safari za treni kuelekea moshi ni siku gani na je bado zinaendelea

  • @charlesgodguard8441
    @charlesgodguard8441 6 років тому +3

    Najivunia kuwa mtanzania

  • @theophiligaare9498
    @theophiligaare9498 5 років тому

    Hongera Tanzania

  • @kingfrenk5230
    @kingfrenk5230 4 роки тому

    Tuongezeen behewa moja kwajili ya kuchezea disco

  • @ernestsinje9532
    @ernestsinje9532 6 років тому

    duh hongereni

  • @manmacho6529
    @manmacho6529 5 років тому

    safi sana

  • @jerrykikuli3700
    @jerrykikuli3700 6 років тому

    saafi saana

  • @machakayohana9200
    @machakayohana9200 4 роки тому

    TRC mmetisha na hii naona ni Traler picha kamili mwendokasi itafunikasi itafunika zaidi

  • @kenyanson9179
    @kenyanson9179 5 років тому

    Majina ya kiafrica amuna nyi majirani

  • @machakayohana9200
    @machakayohana9200 4 роки тому

    Kwakweli TRC mpya nimpya kweli imejipanga kila idara naona kwenye kuitangaza na sikuitangaza tu lakini wanamaanisha

  • @beatuskulwa2912
    @beatuskulwa2912 6 років тому +4

    Mnajitahid ....VP maendeleo ya ufufuaji njia ya reli kupitia Tanga had Arusha umefkia wap

    • @ktravel3527
      @ktravel3527 5 років тому

      Nahisi umeshajibiwa swali lako

  • @clementhiddi1486
    @clementhiddi1486 4 роки тому

    Mtangazaji utamshi wake wa maneno hovyo.

  • @duthedj
    @duthedj 6 років тому

    rahasana

  • @nsiamassawe3075
    @nsiamassawe3075 4 роки тому

    Kwa hali hii jamaa waondolewe kinga ya kushtakiwa kipengele cha wahujumu uchumi kiwahusu

  • @samateryussuf5938
    @samateryussuf5938 5 років тому

    treni ya deluxe ilianza awamu ya nne na sio mnagufuli alioanzisha

  • @oliverwabwire2836
    @oliverwabwire2836 4 роки тому

    Kenya Railways, this could be us.......but of course you're 6ft under, why even bother!

  • @simbamdaki2773
    @simbamdaki2773 6 років тому +3

    daraja la pili kukaa viti ni vichafusana jamani tafuteni namna ya kusafisha

    • @davidreuben8770
      @davidreuben8770 6 років тому +2

      Shirika tunaomba mfanyie kazi hili kwa kuwafikishia ujumbe idara husika ili kuleta ufanisi zaidi na huduma bora..

  • @babenealoyce889
    @babenealoyce889 5 років тому +1

    Tayari viti vimejaa jasho, hivi hamuoni au ni utamaduni wa uchafu?

    • @babenealoyce889
      @babenealoyce889 5 років тому

      Ukijiji unatusumbua, ukijiji hutengeneza tabia ya mtu. Mtu hata asome vipi ukijiji kupungua ni ngumu. Sasa rais akitimua mtu ofisini utasikia lugha za hovyo.

  • @diffrentperspective-z7t
    @diffrentperspective-z7t 5 років тому

    hivi tuseme marais waliopita wao walikua wanaishi kusogeza siku au??

  • @samateryussuf5938
    @samateryussuf5938 5 років тому +2

    reli yenu mnayoimba sasa ilijengwa na mkoloni (mjerumani) hizi treni zilikuwepo kila siku miaka ya sabini daraja moja mpaka tatu , huyu jamaa anasema buffet car kama vile waTZ hawajawahi kusikia , mungu anawaona na uwongo wenu , upuuzi mtupu

  • @ramadhanurassa2410
    @ramadhanurassa2410 4 роки тому

    hivi ihatumiaga mafuta

  • @hakikazitv419
    @hakikazitv419 6 років тому +2

    vipi Ben sehemu za kuchajia cm zipo?

    • @TRCRELITVTANZANIA
      @TRCRELITVTANZANIA  6 років тому +1

      Zipo aisee

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 6 років тому +1

      TRC RELI TV yaani yale mabehewa ya zamani yamefyekelewa mbaali ama?
      Na yale yaliyoanguka kwenye njia ya pugu vipi?!

    • @kabefiramadhani7610
      @kabefiramadhani7610 6 років тому

      Zipo za kutosha

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 6 років тому

      Kabefi Ramadhani sijajibiwa

    • @kabefiramadhani7610
      @kabefiramadhani7610 6 років тому

      @@mnzavachris5423 Sehemu za kuchajia zipo ndani ya mabehewa mwanzo mpaka mwisho wa safari bureeeeeeeeeeeeeeee

  • @Electri-ambi
    @Electri-ambi 5 років тому

    Nauliza kila behewa Lina mgahawa au ni mmoja tu?

  • @valentineougo1111
    @valentineougo1111 5 років тому

    behewa ni nini??

    • @zumbaabiyah3184
      @zumbaabiyah3184 4 роки тому

      ....tafuta kamusi/dictionary ya kiswahili, itakufahamisha BEHEWA n nn hasa.