R.I.P MAGUFULI,Asante kwa ujasiri wa kuanzisha mambo makubwa kama haya kupitia Kodi za wananchi sasa tunaenda kifaidi maono yako, Asante mh raisi SAMIA kwa kuendeleza usimamizi wa miradi hii ya kimkakati, thank you.
As normal Kazi za connection. Wazee wenye watu wao in government offices ndo wanapewa kazi wakati vijana wengi wako mtaani hawana ajira. Angalia wanaotoa mafunzo na wanaopewa mafunzo. Two different generations.We make one step ahead then three steps back. We will never go through. Mtakuja kuona.
Tufahamu kwamba hao wanaoonekana hapo ni viongozi wabobezi walioaminiwa kwa zoezi la majaribio na mafunzo kwa ajili ya kuangalia uwezo na kubaini kasoro na changamoto kama zitakuwepo zirekebishwe yaani commission team upande wa mwekezaji na commissioning staffs upande huu ikijumuisha madereva wazoefu na waalimu, wahandisi mitambo na njia, mafundi, wahandisi toka serikalini nk hukutana pamoja katika kutoa na au kupata mafunzo na zoezi litaendelea kwa vijana wote walioandaliwa kwa kazi hiyo na kisha kukabidhiwa jukumu.
Watanzania wenzangu naomba tuwe Wazalendo na kumuungauunga mkono Mheshimiwa Rais Dokta Samia katika Utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo Nchini. Kidumu Chama cha Mapinduzi Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kazi Iendelee 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Tatizo lipo kwenye shirika. Loose cargo ikifika tu siku ya kwanza siku ya pili wanaanza kuiongezea gharama na kwenye lisiti hicho kitu akijahainishwa. Hawa watu wakupeleka mahakamani.
Tunaomba kujua umri wa kuendesha treni ni miaka mingapi maana Hawa Madereva naona kama walisha staafu au wanakaribia kustaafu au ni wa mkataba na kwann hamna vijana tunaomba mtuelezee kwann vijana hamna na wanawake hatuja waona mlizingatia criteria gani kuwapata hao Madereva wa Treni.
Pongezi kwa Mheshimiwa Rais Dokta Samia sasa Tanzania tunaelekea Uchumi wa Viwanda kwa maboresho katika Sekta hii ya Uchukuzi. Uchumi utakimbia kwa Kasi kubwa. Kidumu Chama cha Mapinduzi Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kazi Iendelee 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Mmechemka sana TRC kuajiri madereva wazee hawawezi kuwa Na uwezo mkubwa kwenye kuelewa, wazee wanasahau rahisi Na baada ya muda watastaafu au kuwa wagonjwa magonjwa ya uzeeni
Hapo siyo kuuza mandazi, huu ni uwekezaji mkubwa unao taka uziefu wa kuanzia mika 15 kazini, nenda merini uone kama kuna kijana anaendesha meli kubwa za abiria
@@kambanimwanyulu7570 Mimi nakaa ughaibuni Na vijana kibao wanaendesha meli Na huku first priority ni vijana , wazee hao akili imechoka macho kuona kwa shida wengine hata kumbukumbu inaanza kupotea hawako sharp na mawazo mgando baada ya miaka michache wamestaafu na sio watu wa kujifunza wakaelewa vizuri technology vizuri , huko ndio maana mnakuwa masikini kwa kujaza wazee ambao kama hao wamejichokea hawana hata idea mpya na you can’t teach an old dog new tricks! Tembea duniani uone na kujifunza wazee sio watu wa kuwapa kipaumbele kama nchi inataka iende mbele kimaendeleo!
@@kambanimwanyulu7570 sasa hao wana uzoefu gani wameendesha magari moshi ni tofauti Na treni za umeme vijana wange adapt vizuri ukute hao wazee hata smart phone ishu kutumia computer hawajui kutumia yaani zero kwenye technology Na kiingereza chenyewe cha shida au hizo instructions ziko kwa kiswahili au kisukuma?? Mwisho wa si mtakuja kuuwa watu wakorea wakiondoka kwa kuwakumbatia hao wazee !
Akili za matope za kibonge yaani watanzania huko waliopewa dhamani wana upeo mdogo sana wa kufikiri hata haifikirii hawa wazee wamechoka hata ku adapt new technology issue Na soon watastaafu , ila imejaza wazee wakati wako vijana smart sijui akili hii imetoka wapi
@@mayaally2512 sio kweli vijana akili zao ziko fast na wanafundishika kiurahisi ni watu wa ku adapt kirahisi technologia mpya, wazee wamepitwa na wakati
Mshazoea kupeana peana kaz kijomba mnachukua wazee waliozeeka na kuendesha tren za mizigo mnawapa tren za umeme kwani vijana waliosemea udereva wa tren hakuna???kenge kabisa
@@saidsobongo912ishu sio kufika, ishu ni hio technology ibaki tz isije wakorea wakiondoka na taaluma yao,wazee wanasahau mapema na wanachelewa kuelewa mambo ya kisasa
@@nassirpemba9763 uko sawa kimawazo lkn hao wazee ndio wanao ongoza nchi hao wazee ndio watoaji ushayri katk mambo y kijmii hao wazee ndio wanazngtia kazizao na kujal watu kuliko vijn Naukizungatia mtu alie wateuwa hao wazee kwa hajzngtuia umr bal amezngtia elimu zao py umahri wao tkta kz Hao Vijana lazma watakuwo ktk madereva 30 walio fundishwa kwahvo hao niwazee we tusiwe na sha
uyo deleva mwenyewe mbona mzee ataona macho kweli sema ndio ivo kama alivosema roma wanapeana kindugu mwanangu kua uyaone uje umtunze mama ako kweli hii ndio tanzania ❌🚯
Wewe mzee na weee ni chawa hivyo vichwa akili yako inakutuma kuwa no vichwa vya kisasa kweli acha upumbavu wako wewe unatufanya sisi wapumbavu Kama wewe?
This reminds me of magufuli. I so wish he was still alive to see. Long live the spirit of magufuli✊✊
Amen 🙏
Mc him too so much. Lala mahala pema baba Magufuli
R.I.P MAGUFULI,Asante kwa ujasiri wa kuanzisha mambo makubwa kama haya kupitia Kodi za wananchi sasa tunaenda kifaidi maono yako,
Asante mh raisi SAMIA kwa kuendeleza usimamizi wa miradi hii ya kimkakati, thank you.
Mambo Safi Sana !,.
Mngeajiri vijana wanaume na wanawake na kuachana na wazee, mkiwekeza kwenye vijana itakuwa na faida sana kwa taifa!
all respect to MAGU
Dah huyo jamaa wa mwisho kaua 😂
As normal Kazi za connection. Wazee wenye watu wao in government offices ndo wanapewa kazi wakati vijana wengi wako mtaani hawana ajira. Angalia wanaotoa mafunzo na wanaopewa mafunzo. Two different generations.We make one step ahead then three steps back. We will never go through. Mtakuja kuona.
JPM huko uliko mambo yako uliacha hayajakwama pokea maua yako
WAPIGA deal wamerudi kwa spidi ya kimbunga
Hili toleo la treni la mwaka gani model gani. Land cruiser 80,100,200,300
HAINA SPEED.KLMETA 160 KWA SAA 1. IMESHINDWA UWEZO NA V8.
Umeme wenyewe usije ukatukatia njian 😅
Yeah! Big up TRC.Big up the URT.
Kwani gari likiwa na uwezo wa kutembea km 200 kwa usalama ni lazima uende zote 200. Zingatisni usalama pia. Hakuna mwenye haraka kiasi hicho.
😂utaki kuwai
waTrain vijana, wazee wapumzike
Vichwa vya kuchomgoka viko wapi?😂😂😂
Tufahamu kwamba hao wanaoonekana hapo ni viongozi wabobezi walioaminiwa kwa zoezi la majaribio na mafunzo kwa ajili ya kuangalia uwezo na kubaini kasoro na changamoto kama zitakuwepo zirekebishwe yaani commission team upande wa mwekezaji na commissioning staffs upande huu ikijumuisha madereva wazoefu na waalimu, wahandisi mitambo na njia, mafundi, wahandisi toka serikalini nk hukutana pamoja katika kutoa na au kupata mafunzo na zoezi litaendelea kwa vijana wote walioandaliwa kwa kazi hiyo na kisha kukabidhiwa jukumu.
Nashauri huduma itakapoanza kutolewa mashabiki wa SIMBA tutengewe mabehewa yetu ili tusijichanganye na UTO
Utakua chizi
kazi zenyewe mnagea geana geana kijomba jomba 2
Je umeme ndo umekatika ghafla?
Bora muache,tunataka usafiri sio maneno
Serikali ipewe maua yake 🇹🇿
Rest in peace Magufuli
Nawashauri TRC muongeze picha ya mnyama kama ville swala kwa mbele kwenye nembo yenu. Tuendelee Kutangaza vivutio vyetu
Watanzania wenzangu naomba tuwe Wazalendo na kumuungauunga mkono Mheshimiwa Rais Dokta Samia katika Utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo Nchini. Kidumu Chama cha Mapinduzi Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kazi Iendelee 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Tatizo lipo kwenye shirika. Loose cargo ikifika tu siku ya kwanza siku ya pili wanaanza kuiongezea gharama na kwenye lisiti hicho kitu akijahainishwa. Hawa watu wakupeleka mahakamani.
Kwendraaaa zaakoooooo
Unatafuta iteuzi au? Hili ni wazo la magufuli sio mama
Anaye liongoza Gari la moshi anaitwa kandawala
R.i.p JPM
Gari sio tren
Tunaomba kujua umri wa kuendesha treni ni miaka mingapi maana Hawa Madereva naona kama walisha staafu au wanakaribia kustaafu au ni wa mkataba na kwann hamna vijana tunaomba mtuelezee kwann vijana hamna na wanawake hatuja waona mlizingatia criteria gani kuwapata hao Madereva wa Treni.
Madreva wa treni wanawake wako wengi sana tu labda wewe ndio hujawaona
@@josephstephen2047 wako wapi madereva wanawake si wawaonyeshe, ona madereva hao ni wazee ukute hata uwezo wa akili Na kuona umepungua
mzee kasema hii gari sio train.
Pongezi kwa Mheshimiwa Rais Dokta Samia sasa Tanzania tunaelekea Uchumi wa Viwanda kwa maboresho katika Sekta hii ya Uchukuzi. Uchumi utakimbia kwa Kasi kubwa. Kidumu Chama cha Mapinduzi Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kazi Iendelee 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Kwanini musifundishe vijana wadogo . Madereva wakuwe wazee
Mlizoea kuiba Diesel hapo mtaibanini mottor au!!!?
Mbona wazee,,,vijana wako wapi???
Dar - Moro safari zinaanza lini?
Train ya mizigo au!!?
Kumbe madereva wenyew ni leaner
mtu kaachwa na mke wake uko mnampa aemdeshe tren subilini muone
Sawa vijana hamna?
Madereva wanawake wako wapi ?
Madereva wazee sanaa
Wow
Mmechemka sana TRC kuajiri madereva wazee hawawezi kuwa Na uwezo mkubwa kwenye kuelewa, wazee wanasahau rahisi Na baada ya muda watastaafu au kuwa wagonjwa magonjwa ya uzeeni
Hapo siyo kuuza mandazi, huu ni uwekezaji mkubwa unao taka uziefu wa kuanzia mika 15 kazini, nenda merini uone kama kuna kijana anaendesha meli kubwa za abiria
@@kambanimwanyulu7570 Mimi nakaa ughaibuni Na vijana kibao wanaendesha meli Na huku first priority ni vijana , wazee hao akili imechoka macho kuona kwa shida wengine hata kumbukumbu inaanza kupotea hawako sharp na mawazo mgando baada ya miaka michache wamestaafu na sio watu wa kujifunza wakaelewa vizuri technology vizuri , huko ndio maana mnakuwa masikini kwa kujaza wazee ambao kama hao wamejichokea hawana hata idea mpya na you can’t teach an old dog new tricks! Tembea duniani uone na kujifunza wazee sio watu wa kuwapa kipaumbele kama nchi inataka iende mbele kimaendeleo!
@@kambanimwanyulu7570 sasa hao wana uzoefu gani wameendesha magari moshi ni tofauti Na treni za umeme vijana wange adapt vizuri ukute hao wazee hata smart phone ishu kutumia computer hawajui kutumia yaani zero kwenye technology Na kiingereza chenyewe cha shida au hizo instructions ziko kwa kiswahili au kisukuma?? Mwisho wa si mtakuja kuuwa watu wakorea wakiondoka kwa kuwakumbatia hao wazee !
Mbona madereva ni wazee sasa
TRC mnatapeli watu mizigo ya Mwanza inayokuja pale yard yenu
Mkimaliza kutest mkizime maana umeme hautoshi
Ongezeni madereva wenye umri wa kati wawe wengi maana naona wengine wanakaribia kustaafu
Akili za matope za kibonge yaani watanzania huko waliopewa dhamani wana upeo mdogo sana wa kufikiri hata haifikirii hawa wazee wamechoka hata ku adapt new technology issue Na soon watastaafu , ila imejaza wazee wakati wako vijana smart sijui akili hii imetoka wapi
Kumbe the Tanzanian Train is as ugly as that of Kenya ..i thought it would be something better as the PR potrayed in TZ ...lol!
mjinga chacha wabongo wasipewe jamani aya
Wasipewe na train ni yakwao hapa na mimi najiandaa kuisomea kajinyonge nyoko wewe😂
Shida umeme wenyewe
Hao waendeshaji ni wazee ndio maana shirika linakuwa hakiendi kwa muda muafaka
Akienda kijana wa miaka 25 na mzee wa miaka 55 kuomba ajira ya udereva, yupi unadhani atapata kazi kwa haraka?
@@mcback4384 mzee automatically ndio kajadi kao waliko kaanzisha
@@mcback4384nchi zilizo serious wangeajiri kijana wa miaka 25 ndio wako vizuri kiakili na wanafundishika
Good
Safi sana hongera mama Samia Suluhu Hassan
Impressive
lot 3&4 imesimama mjue
Umeme wa mgawo
Mmmh
NAOMBENI KAZI NDUGU ZANGU
Mmmmmmh
WA TZ TUACHE ICHOKO KILA KITU KULALAMIKA TU DAH
Madelev wenyew wazee watapotez uwezekano wa kuona
Kabisa mkuu wangeajiri vijana wanaume Na wanawake na kuachana Na wazee
Nyie TRC hamna hata maana mbona kundi hilo la madereva ni wazee Na kwa Mimi wote ni wanaume , madereva wanawake wako wapi ?
Unataka kijana aendeshe huku anawaza kuma
@@mayaally2512 sio kweli vijana akili zao ziko fast na wanafundishika kiurahisi ni watu wa ku adapt kirahisi technologia mpya, wazee wamepitwa na wakati
Mshazoea kupeana peana kaz kijomba mnachukua wazee waliozeeka na kuendesha tren za mizigo mnawapa tren za umeme kwani vijana waliosemea udereva wa tren hakuna???kenge kabisa
Mbona ma dreva wa zee vijana wapo wangapi maana hii nchi 😢😢😢
Muhimu usafr naufika hyo habr ya wzee iache...maana hata baba yako nimzee lakn anakutafutia kula nawaenda choon kwahyo wacha makasiriko
@@saidsobongo912hapana sio sahihi wazee akili yao imechoka
Na sikuona madereva wanawake Pia yaani imejazana mizee tu itakuwa wapeana ajira kindugu
@@saidsobongo912ishu sio kufika, ishu ni hio technology ibaki tz isije wakorea wakiondoka na taaluma yao,wazee wanasahau mapema na wanachelewa kuelewa mambo ya kisasa
@@nassirpemba9763 uko sawa kimawazo lkn hao wazee ndio wanao ongoza nchi hao wazee ndio watoaji ushayri katk mambo y kijmii hao wazee ndio wanazngtia kazizao na kujal watu kuliko vijn
Naukizungatia mtu alie wateuwa hao wazee kwa hajzngtuia umr bal amezngtia elimu zao py umahri wao tkta kz
Hao Vijana lazma watakuwo ktk madereva 30 walio fundishwa kwahvo hao niwazee we tusiwe na sha
Mbona madereva ni wazee mngeajiri vijana ambao akili yao bado Iko imechangamka na uwezo wao wa kuona ni mzuri . Mbona hatukuona madereva wanawake ?
uyo deleva mwenyewe mbona mzee ataona macho kweli sema ndio ivo kama alivosema roma wanapeana kindugu mwanangu kua uyaone uje umtunze mama ako kweli hii ndio tanzania ❌🚯
Nenda wewe ukapate mafunzo
@@elinamilyatuu7337 ata enda mama ako kum* mamako 🖕
Wewe mzee na weee ni chawa hivyo vichwa akili yako inakutuma kuwa no vichwa vya kisasa kweli acha upumbavu wako wewe unatufanya sisi wapumbavu Kama wewe?
Wabongo tuweni na akili kidogo muundo wa kichwa ni kwa ajili ya kupamba tuuu kuchongoka kwa kichwa sio uwezo wa treniii
@@jumaabas6837kinachowashinda kuleta treni za mchongoko ni kipi hasa?!
@@jumaabas6837pia wengine wanataka vichwa vya kuvuta Mabehewa ya Mizigo viwe Kama vya Mabehewa ya Abiria.
Wapuuzi hawa wamejaza wazee wangeajiri vijana