ABIRIA WAFURAHIA UJIO WA MABEHEWA MAPYA YA TRENI YA DELUXE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 55

  • @oklahommy9838
    @oklahommy9838 Рік тому +9

    Kuna watanzania wengine akili zao ni nzito sana haya mabehewa ni ya reli ya zamani (MGR) na yale kumi na nne ni ya SGR sasa watu kwa uzuzu wao huchanganya vyote pamoja

    • @allyhassan8357
      @allyhassan8357 Рік тому

      ndani kwenye siti za abiria pamoja na screen maandishi ni SGR

    • @oklahommy9838
      @oklahommy9838 Рік тому +2

      @@allyhassan8357 angalia ndugu kuna tofauti kati ya SGR na MGR hakuna siku mabehewa ya SGR yanaeza pita kwa MGR sasa ukiniambia kuwa kuna maandishi ndani ya hayo mabehewa yanaonesha kuwa ni SGR ninakuwa sikuelewi kabisa ....halafu nukta ya pili ni kwamba haya mabehewa ya MGR ni 22 na yale yalioshushwa ya SGR ni 14 kama hatujui mambo ni busara kuuliza wanaojua na sio kujitia wajuaji kupita kiasi au vyema kunyamaza kabisa.......karudie video za mabehewa ya SGR 14 kwa umakini utaelewa

  • @brilliantanimator
    @brilliantanimator Рік тому +1

    Safi sana, lakini nina maoni kidogo tuu, Hili ni shirika la Umma, na mngependa habari kama hizi vyomba vya habari vingine viweze kutumia, so sijaona sababu ya TRC kuweka logo kila mahali as if wana compete na na media house nyingine kupata habari Exclusive. Tuwaombe msiwe mnaweka logo kila mahali esp ya katika katika. Ili mrusuhu media nyingine kutumuia materials hayo kuzalisha habazir zaidi na kupromote shirika letu zaidi.

  • @alexissangali8650
    @alexissangali8650 Рік тому +4

    Very nice mashalaah,

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ Рік тому +2

    Hongera kwa Uongozi huu wa awamu ya 6 kwa kujali wananchi, Mwenyezi awape nguvu ,maharifa na uadilifu viongozi wote wanao msaidia Mhe Rais , tukiwa na iman na tukishirikiana tunaweza kufikia malengo yetu

  • @amirizongoloshabani8717
    @amirizongoloshabani8717 Рік тому +2

    Huu usafiri nimzuri Sana nawapongeza viongoziwetu Sana mungu ibariki tanzania

  • @saimonijonas1471
    @saimonijonas1471 Рік тому +2

    Haya mabehewa nimazuri Ila ustaarabu ukikosekana tu yatachakaa ndani yamiezi mitatu.

  • @husseinmramba
    @husseinmramba Рік тому +4

    Hongera kwa awamu ya 6 kufanikisha mradi huu, natumaina bado mengi makubwa yanakuja🙏🏿

  • @CohaLevelcrossingsChannel
    @CohaLevelcrossingsChannel Рік тому

    Wow nice movie !! 🚂🚃💈🚃💈🚃💈🚃💈🚃💈🚃💈🚃💈🚃💈🚃🚂🚂

  • @majaliwaking4500
    @majaliwaking4500 20 днів тому

    Mkiwa na viongozi mnapeleka treni kwa wakati ila bila viongozi mnaturefushia muda kweli

  • @smeena3447
    @smeena3447 Рік тому +1

    Kupiga rangi Station ya Kigoma ita cost kiasi gani? kuendana na mabehewa mapya

  • @alexnalitolela5961
    @alexnalitolela5961 Рік тому +1

    Watu wengine wanachanganya kati ya mabehewa ya SGR yaliyoletwa hivi karibuni na mabehewa haya ya MGR. Watoa habari fafanueni hili basi

  • @alexissangali8650
    @alexissangali8650 Рік тому +4

    WATANZANIA WAKATI MWINGINE TUWAGE NA SHUKRANI JAMANI,KILA JAMBO NA WAKATI WAKE HUKO TUNAPOPATAKA TUTAFIKA NAAMINI.

  • @alexambrose4722
    @alexambrose4722 Рік тому +1

    Mlituchanganya mlipo tuambia kuwa ni sgr watanzania walistuka kidogo so kwa Sasa tunapo ona Ina fanya kazi kwenye mgr hapo tuko sawa ila sgr tulisha ambiwa na Mzee Magu ni ya umeme.

  • @smeena3447
    @smeena3447 Рік тому +1

    Kupiga rangi station ya Morogoro ita cost kiasi gani?

  • @crershawmafia1009
    @crershawmafia1009 Рік тому +1

    Magufuli asingenunua uchafu kama huo kwa billion 2 kila coach. Humo kuna kitu gani cha ajabu cha kununuliwa kwa 2Billions?

  • @rasheedabby2871
    @rasheedabby2871 Рік тому

    Masaaa Manne Mpaka Morogoro

  • @isackbukulijoro7223
    @isackbukulijoro7223 Рік тому

    MUNGU anawaona kwakweli
    mara ooooh! ni za mwendokasi ng'ong'ong'o kumbe niza kwenda kigoma ooooh! MUNGU wangu watazame watu hawa hawajui walitendalo wana shindwa kuwa wakweli

  • @mangimosha95
    @mangimosha95 Рік тому +1

    Ile ya kaskazini Iko wapi? Nauli ya basi ipo juu maisha magumu

  • @rashidkambi4584
    @rashidkambi4584 Рік тому +2

    Mngesema mabehewa ni ya mgr mapema Wala msinge laumiwa mngesifiwa kinomaaa

    • @berthatz
      @berthatz Рік тому +1

      Sana

    • @Ali-nl2du
      @Ali-nl2du Рік тому +1

      Kweli kabisa. Communication ni muhimu, na timing yake ni muhimu zaidi.

    • @josephatn5040
      @josephatn5040 Рік тому

      Shida ni kwamba wewe siye msikilizaji makini. Ungekuwa makini tangu mwanzo wakati mabehewa yanashushwa usingeshangaa!

  • @adamsengo1869
    @adamsengo1869 Рік тому +1

    SAWA TUNASHUKURU ILA UKWELI UTABAKI KUWA "ANGEKUWEPO JPM BASI UNGELETWA USAFIRI WA VIWANGO ZAIDI YA HUO"

    • @Ali-nl2du
      @Ali-nl2du Рік тому

      Hatuwezi kujua. Tumwache apumzike mzee wetu JPM.

  • @RamaManda-f7f
    @RamaManda-f7f 9 місяців тому

    Masaa manne Moro si bora upande bus amna kitu apoo

  • @eaglecrown6470
    @eaglecrown6470 Рік тому

    Amina 🙏🏿

  • @yahyasaloummvyongo3536
    @yahyasaloummvyongo3536 2 місяці тому

    WEKENI first ambayo ni kwa akili ya familia au mtu mmoja pekee hata kama itakuwa bei kubwaa

  • @majaliwaking4500
    @majaliwaking4500 20 днів тому

    Huu ujinga treni haina muda maalumu waninga kweli

  • @hamisimussa5238
    @hamisimussa5238 Рік тому

    Washaanxa kuning'iniza mikate ikilidu chupi za watoto

  • @ShakiraTossa
    @ShakiraTossa 3 місяці тому

    Ratiba zasafali

  • @sajigwelunogelominga2446
    @sajigwelunogelominga2446 Рік тому

    Yote kwa yote basi mkarabati basi na stesheni zenu TRC ziwe za kupendeza hata kama majengo ya mkoloni mnaweza kuyaboresha yakawa ya kuvutia kama stesheni ya Tanga daah

  • @mkuluwaukae2221
    @mkuluwaukae2221 Рік тому

    Shida wanasema hayo mabehewa ndio ya SGR
    Hapo ndio tatizo

  • @majaliwaking4500
    @majaliwaking4500 20 днів тому

    Hakuna deluxe wala nini ni ujinga tu

  • @abdallahkihanza482
    @abdallahkihanza482 Рік тому

    Watu wa Kigoma ni washenzi watayaharibu tu, Yale mengine wameshayaharibu pamoja nakuwa yalikuwa recondition

  • @alexnalitolela5961
    @alexnalitolela5961 Рік тому +1

    Nadhani hizo karatasi za nylon kwenye viti zilifunika kwa muda tu hivyo wafanyakazi TRC mziondoe

  • @nguruwekikwete1635
    @nguruwekikwete1635 Рік тому

    Uchafu mtupu ..hivyo ni vyuma chakavu vilivyo pigwa polish

    • @zahirmurji
      @zahirmurji Рік тому

      Are they not new carriages? Are they refurbished?

  • @johnwillingstone3121
    @johnwillingstone3121 Рік тому

    NAOMBA KUULIZA, KWANI HAYA MABEHEWA NI YA SGR au MGR?

  • @abdallahkihanza482
    @abdallahkihanza482 Рік тому

    Behewa sio mpya, ni recondition, muwe wakweli

  • @h.alshidhani8971
    @h.alshidhani8971 Рік тому

    Mambo yote ni mapya. Ninaomba ombi langu badala ya mabehewa kuandikwa TRC ipatikane jina tofauti ili kubaini chombo hiki ni mfumo wa kisasa.

    • @rubenprince8990
      @rubenprince8990 Рік тому

      Washauri waandike LONDON QUEEN ili ufurahi na akili ya kutawaliwa huwezi kubadirisha jina la kweli kisa behewa. mpya jamani amkeni huku ulaya wazungu wanaish tofauti na munavyowaona kwenye TV

    • @josephwilliammnyune5464
      @josephwilliammnyune5464 Рік тому +2

      TRC maana yake Shirika la Reli la Tanzania (Tanzania Railway s Corporation,) kwa kimombo. Wabadili liitweje? Pendekeza.

    • @chumamasunga8855
      @chumamasunga8855 Рік тому +1

      @@josephwilliammnyune5464 bongo wanajua Kila kitu