Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Kakaz sio maandazi hongereni sana team fumbua macho tupo pamoja sana na sana
Jamani ee cjamaliza kuangalia hii clip jamani warda Masha allah
Shukran
Wa awali ni mieeeee
I ❤❤❤❤
🤣🤣🤣🤣Adnan ni huyu nnaemjua mie au mwengine huyu?
cjui uyo unomjua ww ni yupi
Dah huyo mtoto warda sio poa. Mzuri sana. Dongo acha kupaka wanja. Unaremba.
Jana mliandika "baada ya mwezi mmoja" badala ya kuandika "baada ya miezi mi3." Leo" kiswaswaswadu" badala ya kiswaswadu.....editor jitahid kipenz uicheki Tena kabla hamjaapload mana kazi zenu nzury mashallaah....tunazfatilia kila kipengele❤❤❤
Hamja upload!
First comment
Kaz Safi sanaaaaa
Mi sikoment mpaka nione dhamira
Wataka goe!! Cwezi goe😂😂😂 kipemba kitaaaam wallaah
I appreciate sana Kazi zenu
Twende kazi fundi
Mau amwambia naomba macho mabuma yeye je🤗
Wasanii wetu allah awaweke inshaallh by ati shaa kutoka dar ilalaa jdg
Shukran munaekt kwenye mazingira ya uhalisia kabisa
Hyu dongo vp maan Kwa vitot vizur alhamdulillah
Mwandishi umekosea, umeandika "KISWASWASWADU" na mm nipeni milike yangu kwa kuona kosa 😅😅
Mashallah xaivi mumeweza mumebadilika kufikia hatua nzuriii..jitahidini kuelimisha jamii
Haaaaaaaaaa wanaume hiyo ndio kazi yenu mukikuta mtoto mwari munamisitari ka ma dongo
Well and good Mr Dongo
Dongo ni imamu ety🤗🤗😄
Hhhhhh
Watatu mm leo
Mpokee ana umuhimuwe🤣🤣ah we dongo weeh 🙌🙌
Hhhhh naomba noma eti ntakupiga ngumi uchekee hanjifu
Pemba hiyo Jaman dahhhh
Pemba Kuna wasichana wazuri sana MashaAllah
Hatupoi
UDONGO si una nkewe😂😂😂
Akuna Ata alie alibu wote mmetisha
shukran kwa burdan wadau
Duh wote viswaswadu
Kazi mzur sana
Ukionja sana mwiko utautia koya ....koya ina maana gani nielezani
Chakula/ mabaki ya meno
@@dashuu5295 asante
Fundi Mau leo you made my day. "Ety yule Mwenye macho makubwa Kama kokwa ya parachichi" 😂😂
Na macho yke hyaoni mau😂😂😂😂
Et si haba kupigwa usifungwe😅😅😅😅
hii dongo yakumpima imani umeuwa
Hizi ishu zipo sana lkn mara nyingi huwa mwanamke anajua ila kuna vitu anafuata
ILA NAOMBA, AMWITA MAU MIJICHO ILA NA YEYE MASHAALLAH JICHO LIPO.
So kubwa jamni lakwangu
Mpo vizur mashaAllah 😂😂😂😂😂😂😂
Big up
Moyo wangu uuweke kwako
Ma Shaa allaha ❤
😂😂😂😂😂 mie nabaki cheka tuuu
Dongo unafurahisha sana asee
Eti sitaki nife na deni la mahari😂😂😂😂😂 dongo shida jamani
Dongo umekuwa imamu?😅
Nampenda sana naomba😅
Minampenda shuu
Kwakweli
Nakupenda pia tamima
Dongo kumbe huna mojaa?hahahaha😂
Mm napenda kazi zenu ila nadhaur kachara km co uzito mue nae
😂😂😂😂😂 imeweza
😂😂😂😂😂 akaa ila miyeee
Nc
Mau unamuharibia mwezako 😂
Dongo hap katuvuruga
Mashaallah
Mau said majumba al marufu kake sai kachara muhim
Uyumrembo warda hajaolew ama
Mizoga itikisayo mikia
Ila dongo ana mistari hatari 😂😂
mistari ndio nini?
I.miss naomba
Hamida yupo
Ila huyu msichana hasinati pia mmepatia
W 226😂
Siri yafichuka😂😂
Dongo mwana haramu sana😅
Pambe
Viswaswadu vimpatana😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣😂😂
Dongo asema kwel ala mizoga ila kwenye hesabu zake hayumo
Dongo unatisha baba
Ntakubiya kibao uchekee hanjifu 😅😅😅😅😅😅
N'nan aibae!!?
Nice
Hahahaha😂
Hongeren San t
Hapa mnatusumbua muku dongo alimuacha naomba baadae hichi kipande chengie nimpenzi wake mwatuvuruga
Ili uelewe anza alifu
Imamu dongo weeee
😂my wife 2b
Wa 225
nakuja mm kwa mkopo
WARDA
Dongo😂
Imamu dongo 😂😂
❤😂😂😂
Imamu dongo😂😂😂😂
Dongo kayakanyaga kapeleka madawa police alafu anaomba suluhu😂
🤣🤣🤣
😅
Hii haijanoga dongo anatuchanganya
Kila kipande kinajitegemea kikianza chengn bc kinaanz upya
😂😂😂mtaalam dongo

Mwandishi umekosea, umeandika "KISWASWASWADU"
na mm nipeni milike yangu kwa kuona kosa 😅😅