MAMA B KAWACHANA WAFANTAKAZI ZA NDANI UARABUNI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 жов 2024
  • #harmonize #kajala #utupu

КОМЕНТАРІ • 359

  • @aishasaid2691
    @aishasaid2691 2 роки тому +30

    Mdomo uliponza kichwa, na riziki hatoi binaadamu, kumbuka unaweza lala Tajiri ukaamka masikini, mshukuru mungu kwa riziki anayo kupatiya siyo kwaujanjawako

  • @omanmobile5746
    @omanmobile5746 2 роки тому +20

    Dada wewe dada wewe chunga kauli zako.mungu anakuona

  • @ibraheemqassim3018
    @ibraheemqassim3018 2 роки тому +7

    Mungu wasimamie dada zetu wanaofanya kazi huko nchi za waarabu maana vita ni kali 😥😥😥

  • @husnaabbas7762
    @husnaabbas7762 2 роки тому +10

    Allah akujalie dada uwe nakaulihizo hizo uwazarau wafanyakazi wa rabuni mpaka mwisho wamaisha yako

    • @KhadijaKhadija-di6ch
      @KhadijaKhadija-di6ch 2 роки тому

      Amzidishie sana Allah ila ajue tuu kama hujafa hujaumbika

    • @azizaaziza7996
      @azizaaziza7996 Рік тому

      Labda mwenzetu amekamilika sisi tumesha jijuwa ni mashangala

  • @mwajumakweli6774
    @mwajumakweli6774 2 роки тому +10

    Hila ukweli usio jificha uyu mdada ana zarau sana wallah omba MUNGU ufikirie wap ulipo kosea uwaombe ladhi mahana dh!!!

  • @homemohammed3244
    @homemohammed3244 2 роки тому +19

    wewe dada wacchana wa huku wanalipwa pesa ya kukulisha wewe na ukoo wako mzima acha dharau wewe

    • @zainabzain3434
      @zainabzain3434 2 роки тому

      Na. Hiyo kudraivu sio kitu kigeni mie ninae hapa mmoja ameshapata leseni anaenda popote na maboss zake (kalaga baho na ubwezi wako

    • @yassintaibrahim3541
      @yassintaibrahim3541 2 роки тому

      Hahaha 😂😂😂

  • @AlAl-sd9pl
    @AlAl-sd9pl 2 роки тому +7

    Inna Lilah waina rajiaun umejisahau sana dada kumbuka mtoa rizq ni mungu aliekupa wewe ni mungu na Alietunyima sisi pia ni mungu kua makin na maneno yako hutozikwa na duka la viatu

  • @hidayajuma3068
    @hidayajuma3068 2 роки тому +16

    Kutukana watu. Huna hofu ya mungu. Mwanamke wa kiiisilam. Hovyoo

  • @HappynesMsihi-qw4hy
    @HappynesMsihi-qw4hy 7 місяців тому

    Shahaara mama ako

  • @everever2807
    @everever2807 2 роки тому +2

    Mshenzi ww mwanaume co wakujivuna sana anaweza akakuhanisi

  • @umazinada9666
    @umazinada9666 2 роки тому +5

    Dunia inazunguka mama usikione umefika hayo ni maisha

  • @neemaherman5684
    @neemaherman5684 2 роки тому +23

    Wewe siumefika kwenye hii dunia ipo siku Mungu atakufundisha nini maana ya maisha nyoooooo tena minyoooo ya choooni tuu

  • @gh7naa
    @gh7naa Рік тому +1

    Bora hao mashaghala kuliko ww pesa zai za halali ww huna lolote mjinga maher zein hambi uchafu yule ana dini umbaji wake wa mmungu mpumbavu ulitaka wapost nyimbo za matusi hana uislam wala hajui kitu juu ya uislam

  • @bintiothmani5369
    @bintiothmani5369 Рік тому +1

    Sio kwa ubaya dada acha mdomo m.mke sio sifa nzr kuwa na mdomo ivo heeeeh usidharau watu ivo sio vzr hujafa hujaumbika Allah anakuona Allah anaweza kukupiga pigo wallah ukajishangaa ukasem umerogwa c vzr ivo jmny akaaaaaaa uclazimishe ngo'mbe kuvaa hand bang akat ngo'mbe kawaida yak kuvaa shemere

  • @yasmeenaal4191
    @yasmeenaal4191 2 роки тому

    Kwani wew kuwa shaghalla unaona ajabu ,wew mwenye shaghalla mumeo anaenda kitafuta mpk anakuletea pesa na wew pia shaghalla wew mwehu sana , mwanamke wa kiislam unakuwa hivyo

  • @iloveoman7515
    @iloveoman7515 2 роки тому +1

    Uyu dada anamdomo na uawarabuni atutoki

  • @aaminaasljbgbvf745
    @aaminaasljbgbvf745 10 місяців тому

    Kuma wewe eshim watu msenge wewe sisi tunafanya maisha yetu mjingaujielewi sana unamume aumalaya tuuu mbwa weeeeeeutataingia tuuukwanekunane yawatu pumvavu

  • @fatmayusuf4401
    @fatmayusuf4401 9 місяців тому

    Mungu akuongoze

  • @saidasaid5855
    @saidasaid5855 2 роки тому +2

    Huna lolote usijidai na mumeo asingeowa ungewanyanyasa wote wenye uke wenza lkn usisingizie uislam unamdomo sana na huna lolote ucjibrand bure ovyoo

  • @darsinana2647
    @darsinana2647 2 роки тому +3

    Wanaume kazi mnao mwanamuke anaeza kua na sura nzuri ila mdomo ukamufany kuonekana mbaya

  • @haarunsaidabdillahi4082
    @haarunsaidabdillahi4082 2 роки тому +7

    Mama B ana mdomo sana ,huyu akamatwe kama Mr.Pimbi afundishwe adabu.

  • @naimamohammad8870
    @naimamohammad8870 2 роки тому +1

    Asant sasa.mum , kuwakubali wake wenzako , masha Allah Allah awape penzi la dhati Amin Amin 💕💕 jibebe mamangu jipe Raha

    • @enterenter7798
      @enterenter7798 2 роки тому

      Subutu hakuna cha mke mkubwa hapo tunaomjua ndio tunaelewa we endelea kuongopewa

  • @shamsakiobia6421
    @shamsakiobia6421 2 роки тому +2

    Kwa hiyo kosa lao nini kufanya kazi, kama wewe Mungu kakujalia umepata mume mwenye kipato shukuru mungu.

  • @salummzee9739
    @salummzee9739 2 роки тому +12

    Dunia imesha upumbuvu mtupu, watu wataipenda dunia kuliko Akheira ndio muda huu wajinga wote hawa

  • @saleemadhiyabalkhatri7800
    @saleemadhiyabalkhatri7800 2 роки тому +5

    Sasa shaghala maana yake jamani nimfanyakazi wandani lugha ingine nimsaidizi khadama pia nihivyohivyo nidada wakazi kwakiswahili sasa shaghala ni kwakiarabu siowanawadharau maana yake ni dada wandani

  • @mwanaishamwamapemba4049
    @mwanaishamwamapemba4049 2 роки тому

    Hajielewi huyu mama b

  • @gh7naa
    @gh7naa Рік тому +2

    Laana ww mpaka haoni punzi zinakudanganya muogope mmungu mahir zein ni mcha mungu haimbi ujinga Anamtaja Allah

  • @zulfahamissi9266
    @zulfahamissi9266 2 роки тому +7

    Haya ni maisha2. Mtafutaji hachagui kazi, hongera yako umejaaliwa

  • @shufaaattass1920
    @shufaaattass1920 2 роки тому +2

    Mdomo kaa mkund wa bata juzii tuu umesema mume wamtu utamchukua shenzi huna mume na miwani yako kama mchomelea viumaa mshamba mkubwa

  • @زينببورندي
    @زينببورندي 2 роки тому +5

    Yani unavyo ongeya kwakujiamini unahisi wewe NI ZAMU WA duniya

  • @TatoOman-s5t
    @TatoOman-s5t 7 місяців тому

    Chamuhimu Maokoto ata tukiitwa nani chamuhimu Maokoto 😂😂😂😂

  • @zuhuramuhanga5400
    @zuhuramuhanga5400 2 роки тому +1

    Ni kweli huku tuna ajiliwa udereva kama una leseni ili kuwa tembeza watoto na kwendea sokoni

  • @fatmaalwiy7651
    @fatmaalwiy7651 2 роки тому +1

    Shaghalla manake ni mfanyakazi

  • @msabahakiberiti6908
    @msabahakiberiti6908 2 роки тому +1

    Acha aoe hiyo redio Nani anaweza kukaa nayo kila mda🤣🤣

  • @sacg9783
    @sacg9783 2 роки тому +2

    Nahuwezi kujua kuwa wafanya kazi wa nnje wanaitwa mashaghala,huenda nawe pia umetokea huku kufanya kazi mwehu ww,peleka ujinga

  • @titosilayo7550
    @titosilayo7550 2 роки тому

    Ana tuzalilisha waislam hatuko hvy huy dad hovyo sana

  • @jeennn5031
    @jeennn5031 2 роки тому +1

    Mdomo ndomn kaletewa wenzke😂

  • @zamzam9815
    @zamzam9815 2 роки тому +3

    We Dada huna adabu ipo siku mungu atakulipa kuwadharau wa Tanzania kama wanavyozarauliwa na baadhi ya waarabu

  • @asiaiddi2476
    @asiaiddi2476 2 роки тому

    Mdomo mrefu Kama kunguru

  • @tarisillahtemba7439
    @tarisillahtemba7439 2 роки тому +4

    Halijielewii.. Chefuuuu...😏😏😏🙄🙄

  • @felistersmejumaa5188
    @felistersmejumaa5188 2 роки тому +9

    Yaani wewe dada Mungu yupo kwa kauli zako hki

    • @najmahali296
      @najmahali296 2 роки тому

      Stakafirullah🤨🤨Allah akusamehe kwa kauli uliyoitoa...maaana ujui unachokiongolea ....

  • @sudymgeni701
    @sudymgeni701 2 роки тому

    Umetokwa na povu duhhh hatari Shem wangu.baba b anajuta ila anavumilia

  • @rosegayokasembe4393
    @rosegayokasembe4393 2 роки тому

    Kuma mama wewe mama nyoko msenge sana ujielewi

  • @aminaamina-xj6qs
    @aminaamina-xj6qs 2 роки тому +5

    R .I.P mama B umelala yooooo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @mashamgaharo3881
    @mashamgaharo3881 2 роки тому +2

    Wewe hayo maneno ya mkosaji eti mume wako siyo wa kawaida kwamba ana kipi cha ajabu kwendraaaa huko

  • @fatimamv2723
    @fatimamv2723 2 роки тому +2

    🤣🤣🤣🤣🤣umefanywaje tuache wee Sisi ndo tuko huku warabunii mume kajiletaa wee tutakula sn pesa zake

  • @منىالشيباني-د1ث
    @منىالشيباني-د1ث 2 роки тому +3

    Halafu ukizungumzi kipato mtoaj n Allah pekee naye anajua nan ridhik za waja wake watazipata kwa njia gan hivyo usiwadharau wengine kama ww umefunguliwa mabiashara kaa kwa kutulia na umshukuru mungu wako na jaribu kuwaheshimu na wengine kwan kaz n kaz kama zilivyo nyengine hivyo heshima ifuatwe et mwanamke wakiislam unaongea upuuz mitandaon kwanza watake msamaa wafanya kaz wote ulo watolewa maneno ya kukera na urud kwa mola wako dada angu ridhik hutoi ww na huyo alokeambia mfanya kaz haendesh gar nan acha ulimbuken

  • @jamilajamila4572
    @jamilajamila4572 Рік тому

    Wee pumba kweli

  • @rehmahamishamismkande4348
    @rehmahamishamismkande4348 2 роки тому +2

    Ndio maana sipendi TikTok wengine wamefanya sehemu yao ya kutaka kujulikana walimu ndio wao kwanza hilo jina la shahala ulijuaje kama wewe haukufanya kazi za ndani

  • @kakasosoo5648
    @kakasosoo5648 2 роки тому +2

    Maisha hayana hodari usijisahau

  • @naomifikiri5601
    @naomifikiri5601 2 роки тому +1

    Nitumien izo video

  • @totmohammedtotmohammed2982
    @totmohammedtotmohammed2982 2 роки тому

    Nimecheka sana 😂😂😂ety tuje kufanya kz kwako kwenye nyumba ya mwanaume unashindwa kumlidhisha mumeo ili asiwe Ana oa oa ovyo unakuja kugombn na ss mama kaa kwa kutulia ngoja uwachike uje kudeki vyooo vya mashoghara mpumbavuuu ww juu ya ushoghara wetu yetu yana tuendea nyumba tuna jenga family zetu haziyumbi kiuchumi tupo vizur so paka km ww mpk mumeo aende kupuyanga ndo akuletee ndani km mzukule wa kuzimu shenz zako nibola ukafunga uwo mdomo wako maisha magumu watu tupo bize na kutafuta maisha plz usitutafute

  • @fatmaalwiy7651
    @fatmaalwiy7651 Рік тому

    Huyu dada anaongea lkn hajui wasanii wa bongo fleva na mahr zeen nyimbo za kina daimond na za mahrzen zinatofauti gani anaropoka tu halafu hajasoma dini anajinguza tu nada za Dunia zote anazijua mtihani kwakweli

  • @fathimadaid3429
    @fathimadaid3429 2 роки тому

    Sasa hapa kuna picha ya kajala na hamo iweje sitori za mama B wee mtangaza chizi nini

  • @fatumahaji5635
    @fatumahaji5635 2 роки тому

    Mpumbavu wa Kwanza Ww bichwa kama shipa LA kurogwa nyokoliko weeee

  • @abdallahali1665
    @abdallahali1665 2 роки тому

    Mh. Pemba. Usiende changu ww.

  • @msulwaabeid5679
    @msulwaabeid5679 2 роки тому +2

    Ni sehemu ya kutafta maisha tu dada,kua umekaa ndani kama ivo sio kupata ujui wenzio wanachangamoto zao,wew una wivu tu kuona wenzio wanafuraha huko walipo kwani kua mfanyakazi wa ndani ndio nin inaonekana hata ibada zko zna mashaka.hakuna uislamu wa ivo majivuno si sehemu ya waislamu.JITAFAKARI

  • @gh7naa
    @gh7naa Рік тому

    Mpumbavu mahir zein ni muimbaji wa dini sio kama kina dimond Na wanamjua ndio mashagala ni kaxi manake

  • @zaipazzi9490
    @zaipazzi9490 2 роки тому +2

    Maneno mengine kaongea tu kama ujuavyo wanawake kulingana na majibu ya hao walio mjibu na yeye akalipuka😂😂😂.

  • @uwesurwambo3666
    @uwesurwambo3666 Рік тому

    Uyu dada anaongea San mpaka mdomo umechubuka aunuki uwoo ???

  • @dgffydyeu4014
    @dgffydyeu4014 2 роки тому +2

    Mpuzi huyu😢😢😢😢ww mwanamke kuwa n adabu

  • @zulfasalim2527
    @zulfasalim2527 2 роки тому

    Mhh kazi ipo huyo mume kamuaxha aongee Ili asimsumbue na wake zake😆😆😆😆😆

  • @amosnicodemus2009
    @amosnicodemus2009 2 роки тому

    Dhhh kua na hera tukujue tabia

  • @samiramawby1257
    @samiramawby1257 Рік тому

    I LIKE YOU MAMA B

  • @dotogiving9293
    @dotogiving9293 2 роки тому +1

    Wwe mbona mshambaaaa wa wapi weweee ,

  • @zaynbnwala8537
    @zaynbnwala8537 Рік тому

    Ajicambe mwenyewe uyo kuma mishezi mukubwa mujinga tunaweza kukulisha mujinga wewe

  • @زينببورندي
    @زينببورندي 2 роки тому +2

    Sasa nini mbaya alijifanya mwarabu kwani kosa mbona wewe unaongeya kingereza kwani wewe muzungu ata Duka Hana nikujiiamini bure

  • @hafidhali3020
    @hafidhali3020 2 роки тому +1

    Shaghala maana yake ni mfanyakazi, haina maana mbaya

  • @husnajumah6201
    @husnajumah6201 Рік тому

    Ali kupea wee ni yule alie mpea yule shangala Soo usionge kumaliza bakisha maneno dunia ni duara hata wee IPO siku utakuwa shangala alie juu mgoje chini

  • @bahatimapendo9194
    @bahatimapendo9194 2 роки тому

    Mwanamuke pumbavu

  • @zenabali568
    @zenabali568 2 роки тому +2

    Halafu mrembo tuu.hila Moja kuongea sana bila kujua hanaongea nini.

  • @TatoOman-s5t
    @TatoOman-s5t 7 місяців тому

    At mfany biashara😂😂😂 unauza nn viatu 😂😂😂 ujing

  • @salmanaser
    @salmanaser 2 роки тому +4

    Yani ww mama B mungu anakuona malipo hapa hapa nduniani kesho hisabu inshaallah 🙏

    • @abbybby5982
      @abbybby5982 2 роки тому +1

      Dada ujichunge mungu hatoki kijijini kwenu chunga kauli zako

  • @susanejd7775
    @susanejd7775 Рік тому

    Leo umeregeza hijabu kesho utavua kabisa. Ndio utuonyeshe rangi yako ya ukweli. Na jengine hao mashaghala ni bora kuliko wewe. Hivi unaona hiyo ndo njia nzuri ya kujitongozesha mfyuuuuuu

  • @zuweinaally2413
    @zuweinaally2413 2 роки тому

    Duuuuuuh waandishi na watangazaji hatari huyu Kajala kahusikaje

    • @azizaaziza5453
      @azizaaziza5453 2 роки тому

      afu utakua nawewe ulikua kadama mbona unatamka vizur

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 Рік тому +1

    Mama b chapa kazi mkweli huwa hapendwi

  • @evakasegenya9577
    @evakasegenya9577 Рік тому

    WEWE. ACHA. TUHANNGAIKE NA MAIISHA YETU KWANINI. UGOMBANNE NA WAFFANYAKAZI WA NDANI??????? KAGOMBANE. MAAAGOTI. NA WALE. MAALAYA. WANAOUZA. MIILI. YAO. ACHANA NA. SISI. WEWE. UNAKUNYAA. DHAHABU????????

  • @bdvc7107
    @bdvc7107 2 роки тому +1

    Msenge unatafuta kiki pesa huna wenyepesa awaongei icho ku baba b chenyewe tunakio pub uko akuna ichu

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 4 місяці тому

    Akhaa😂😂

  • @binesiharun6637
    @binesiharun6637 2 роки тому

    Kwa bwana ngani bac wacha kutupigia kelele shezi ww

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 4 місяці тому

    Sasa kasema nzeni kuna tatizo tumekaa muda mwingi lazima useme hivo atutolee ujinga wake mbwakoko nayeye anatamani kasema hivohivo binti kigoma nipatie number yako nikufafanulie maana yahuo ushaghara

  • @aishafrancis7714
    @aishafrancis7714 Рік тому

    Sasa ww kama mzuri mumeo kwa nini akuongezee kuma zingine msenge ww huna maajabu ww tulia mboo ya kushea😂😂😂

  • @OdriaKabati
    @OdriaKabati 7 місяців тому

    Kwanza hauna lolote malaya
    Mkubwa tenanimshamba
    Pia Mungu akulaan kwakaulizako
    chafu mpumbafu mkubwa

  • @AsiaHassan-r7f
    @AsiaHassan-r7f Місяць тому

    Jamanio.wwwwnhuyu ni mbwaaa kokoo na aendeee tuuu SS tunatafutaaa maishaaa umalayaaa tutaufanyaa kwetyyu

  • @jamilahjamilah4157
    @jamilahjamilah4157 4 місяці тому

    Mama b wee nisewa na mwanamke malaya ss mashaghala tuna kuzindi kila kituu wee unamtegemea mme ss tunajitengemea wenyewe ww ndio mpumbavu moja tena mwanamke usinye jielewa na huna uwezo wakumlipa shaghala hata moja yani huyu mama natamani nimuone uso kwa macho hawanajishaua ndio tunawataka ss kusema hatuwezi utanzania ndio nn usitulazimishe kuwapenda wanamziki

  • @jamilahjamilah4157
    @jamilahjamilah4157 4 місяці тому

    Ww mwanamke acha kusema uongo unahakika ngani km wanatupwa kwenye ngazi nje huko tanzania waua wafanya kazi wee mwanamke jitambuwe hii nidunia naunazaa hujui utawaaja vp tumsaptiy msaanii kwa kipi wanaendengeza umalaya wee mshezi tuu watabia ila lumbuka hii ni dunia tena duwa za wengi zitakuja kujibu kwa hiyo na wewe unajifanya mwarabu acha kujisifu na upumbavu

  • @FathimaFathima-yq1xv
    @FathimaFathima-yq1xv Рік тому

    Bac mpk umeolew wak wengin bac nikwamba ww mshenz tuu huna lolot mdomo tuu ndio kaz yak unakut ndan huna lolot kifo cha mende goli kipa unasubiria uletew udake nyoo

  • @ashahaji477
    @ashahaji477 Рік тому

    Maqadama ndo Nini hujui kiarabu nyamaza mtume amesema kunyamaza nibora ila pole

  • @Jamila-cz5ge
    @Jamila-cz5ge Рік тому

    Je wewe mbona unawaongele mashekhe. Sasa mùmeo ni nani? Muongo mkubwa kelba wewe utawapa nn mashaghala waomani wewe wewe namumeo hampati MSHAHARA wanao kata dubai. Mnakazi gani nyie. Shika adabu mbwa wewe muislamu gani mdomo wazi uislam unakataza mke kupaza sauti ilautjutia maisha yako baadai

  • @IssaMbaru-qw6ug
    @IssaMbaru-qw6ug 2 місяці тому

    Onaa wewe mama sijuwi mama b walla mama d shika heshmaya ko tena ikushike saw wewe kama itatukana ungetukana uyoo anae tembea na mumewe tuu sohutukane waschana wote wako warabuni kisa uyuu memeweee sawa wewe sio wakwanza kuholewa ata sisi tuna ndoa wa mume zetu walibaki africa nawako wanatembea na wengine sasa mama wewe mtukane umoja alie namahusihano na mumewee saw acha kutukana watuwote ata wewe ujihamin mume ukonae ukoo kinachokufanya unalalamika nikip tulia mtoto wa kike

  • @Rehema-h6t
    @Rehema-h6t 2 роки тому

    Fala wewe usojielewa nibola sisi tunao pambana kuliko wewe unadangatu japa nahiyo ndowa layaya usojielewa wewe usituzalau sisi tuna mijengo magali ninguvu zetu na hatutengemei waume tena kaa kwa kutulia pumbavu zako sasa ulitaka tumposti baba dyi malaya mbovu wewe

  • @mwanaishaathuman7342
    @mwanaishaathuman7342 2 роки тому

    aliyekupa wewe ndiyo aliye wanyima hao mashaghala acha kudharau wenzako usikute nawewe umetokea kwenye ushaghala mpaka mtoto wa mtu kakuhurumiya kakuweka ndani ufue boxe basi wachonga mdomo kama sumbululu kudhalilisha watu sasa hao mashaghala unao waona wakiendesha magari wamewekwa ndani kama wewe ulivyo wekwa nyaubaa wewe m2 aliye busy na biashara ataanzaje kukaa mitndaon kusimanga wattu

  • @saedomari3341
    @saedomari3341 2 роки тому +1

    Bwana ee dada kama ulishindwa na kazi, acha wenzio wafanya job hatufanani kimaisha

  • @aaminaasljbgbvf745
    @aaminaasljbgbvf745 10 місяців тому

    Kuwanahadabu kumawewe

  • @evalinenyangara5332
    @evalinenyangara5332 2 роки тому

    Ajuza ww kajala hii ni nn Unafanya mtandaoni ww sio Rika ya harmonize ww ni mkogwe ww wachana Ujinga kumbafu ww

  • @fuadshell5188
    @fuadshell5188 2 роки тому +1

    Shemfull

  • @gh7naa
    @gh7naa Рік тому

    Huna uislam ww yule alikuja tz ina mana kacha nchi ngapi kuja huku na akasaidia mchango mkubwa ndio mana wa tz walimpokea na kumheshim ongeni mambo yenu msingilie mambo ya wageni wa tz

  • @hamidakondo3458
    @hamidakondo3458 2 роки тому

    Uongo muwache kuchafuwa wenxenu ni edit hizo

  • @halimambarouk4612
    @halimambarouk4612 2 роки тому

    Mhhh mwanamke wakiislam uislam gani unaokuwambia ufatilie ya wenzio ww jiangalie haiwi nabii Ayoub mungu alimpa mtihani seuze

  • @mouzaseif1099
    @mouzaseif1099 Рік тому

    Ikiwa hawapendwi hao watanzania jee unwalizimishia nn hawana hadhi bwana yakupostiwa wanann kikubwa niaibu kuambiwa niwatanzania wenzetu ebbo