MAMA B: NAJUTA KWANINI SIKUWAHI KUMJUA NABII MKUU - GeorDavie TV

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 679

  • @jamalmohamed3400
    @jamalmohamed3400 Рік тому +3

    SUBHANALLAH.....maslahi ya kidunia yatatuangamiza .....hapa DUNIANI KABURINI na KESHO AKHERA. HUYU MAMA KWELI NI MPUMBAVU

  • @ummohammed8380
    @ummohammed8380 2 роки тому +16

    Inalillah wainailahi rajioun
    Subhana allah
    Mwanamke wa kiislamu
    Allah akusamehe
    Na akuongoze njia iliyonyooka

  • @biashasuleimanabdalla481
    @biashasuleimanabdalla481 Рік тому +1

    Pole mwanangu mwenye Enzi mungu akuongeze. Tamaa uwache usione ni sifa hiyo. Ulikuwa unakazi ya kufanya uwache kujipendekeza.

  • @saidikhalphan
    @saidikhalphan 2 роки тому +8

    Subhanallah,hapa naanza kupata picha kama vile mama b anatumiwa na makafir kuvuruga uislamu alikua kwa mwaka na alhadi kisha kishki hatimae kanisani,tusifate nyayo za shetani

    • @salimusalim3610
      @salimusalim3610 2 роки тому

      Pandikizi la mbegu ktk uislam

    • @kisangageorgethomasi2830
      @kisangageorgethomasi2830 Рік тому

      Kama ww ni bora kuwaita wenzio kafiri kwa dini zakuletwa nawe watenda zambi pia

    • @mwajumamohd7930
      @mwajumamohd7930 Рік тому

      Huyo mama B ni kafiri Wala hatuoni aibu kumsema kwa Sababu hata akirudi kwa uislamu Sasa hivi mpaka asilimu upya. Ni mpumbavu Sana anagombana na sheikh Kishki kumbe ni mpuuzi elimu Hana alafu anatumiwa na makafiri

    • @kisangageorgethomasi2830
      @kisangageorgethomasi2830 Рік тому

      @@mwajumamohd7930 ww unamwita mwanadamu mwenzio kafiri ww unauakika upi kama matendo yako nimazuri kwa Mungu

  • @hassaniabdullah6413
    @hassaniabdullah6413 2 роки тому +2

    Subahana Allah ewe mgeuza nyoyo dhithibitishe nyoyo zetu ktk dini yako kama ulivyosema ktk quraan enyi mlioamini ingieni ktk uislamu moja kwa moja Nawala msifate vinjia vya shetani kwa hakika ya shetani ni hadui aliyekuwa.

    • @hassaniabdullah6413
      @hassaniabdullah6413 2 роки тому

      Wazi

    • @hassaniabdullah6413
      @hassaniabdullah6413 2 роки тому

      Anasema Allah kwahakika dini mbele ya Allah ni uislamu .ewe ndugu mislamu shikamana nadini yk baada ya maisha haya kunamaisha baada ya haya

    • @hassaniabdullah6413
      @hassaniabdullah6413 2 роки тому

      Usiuze dini yako kwa thamani chache za dunia usipende kusifiwa wala kutaka umaalufu shikamana nakitabu cha Allah na sunna za mtume muhamadi sw nakuwafata maswahaba Allah awalidhie

    • @hassaniabdullah6413
      @hassaniabdullah6413 2 роки тому

      Dini ni kupeana nasaha Dada yangu lejea kwa Allah nimetanguliza Dalili zenye kuonenesha uislamu ndio dini ya Allah. Allah akuongoze

  • @osodowilberforce2321
    @osodowilberforce2321 Рік тому +1

    Wonderful,wonderful,wonderful,wonderful Mama B.

  • @abdallahmdiliko8088
    @abdallahmdiliko8088 2 роки тому +7

    Huyu mama B. Dàaaa astaghafir llah. Allah muonyeshe NJIA ya kheri huyu mama mpotevu Allah amuhifadhi

  • @MwanjelwaMwakyusa
    @MwanjelwaMwakyusa Рік тому

    Baba nakukubali sana kwa upendo wako kupenda watu wote ❤

  • @zainabuibrahim4766
    @zainabuibrahim4766 Рік тому +1

    Subhaallah Wanawake mwende kwenye Madrasa mkasome.nWatoto wet pia.

  • @janetnjobvu2871
    @janetnjobvu2871 Рік тому +3

    Njaa mbaya sana mama b mungu akusaidie

  • @aishaarusha894
    @aishaarusha894 2 роки тому +25

    Inalilah wainailah rajiun

  • @hassanndaro1766
    @hassanndaro1766 2 роки тому +16

    Tulishafundishwa ktk dini yetu sisi tunautaratibu wetu wa maisha na wao wanautaratibu wao wa maisha
    Waislam hatutakiwi kushiriki chochote kisichokuwa ktk utaratibu wa dini yetu
    Na ikitokea ukashiriki basi umeusapoti mfumo wao wa maisha asioutambua mungu
    Na tayali umejitoa ktk mfumo wa maisha aliouridhia mungu
    Kwahiyo mama b
    Amejitoa ktk dini

    • @husnaally6776
      @husnaally6776 2 роки тому +1

      duh hatari wallah 😭

    • @samwa9496
      @samwa9496 2 роки тому

      Wote pumzi ni moja tusibaguane kwa dini zetu.

    • @lidiabimbiga3017
      @lidiabimbiga3017 Рік тому

      Jaman ,, hapo hatahajatusi jaman kweli kuna dini zajiona nkama Mungu wao ndo wanammiliki na sie wengne kama watazamaji kama Mungu angechagua katika kutoa riski basi wengne tusingekua nazo ,,,,, Huyo Allah unaemzungumzia ndie huyo huyo alokupa pumz nakumpa pumzi hata asokua na dini z,,

    • @furahinimbwambo
      @furahinimbwambo Рік тому

      Amegundua kilichobora zaidi.

    • @rithaurassa
      @rithaurassa 8 місяців тому

      Hakuna din inampeleka mtu mbinguni ni ulivyoupanga moyo wako na Mungu ty.

  • @amissisamley7398
    @amissisamley7398 Рік тому +3

    Uyo mama ananjaa sana hadi anajiuza online ni malaya mkubwa sana

  • @tvomanlive
    @tvomanlive 2 роки тому +25

    Qulman anyafan wayabuka dhurijalali waliikram 😭😭😭 endelea Kumfata sheitwani kesho Utalia 🙏🙏

    • @namnam3771
      @namnam3771 2 роки тому

      Na wewe unashidagani kuiita dini ya wezio sheitwani ....badilika usije ukalia kesho na wewe

    • @Titostanzaniasafaris
      @Titostanzaniasafaris 2 роки тому +1

      Kwaiyo waikristo ni mashetani??

    • @namnam3771
      @namnam3771 2 роки тому

      @@Titostanzaniasafaris Hawa majamaa sijui wanakuja kuwaje dakika za mwisho hizi no wander wao ndo hao mashetwani maani ukiangalia vizuri kwadiniyao wanatulizaga na kuwasikiliza na kuwatii mashetwani mtu akipandisha .....and that's weird as f...k yet wanaita wenzao mashetani

    • @moseshaule586
      @moseshaule586 2 роки тому

      wewe mwenyewe kila siku unalia, vipi na wewe unamfata shekh twani? unamaanisha shetani Yuko kanisani?

    • @mwajumamohd7930
      @mwajumamohd7930 Рік тому

      Kuwaambia sherwani,anamaanisha nyie mnachokiabudu mnakijua wenyewe lakini si Mungu mmoja,nyie mnaabudu miungu,yaani mna mara Yesu,mara roho,mara Mungu hamueleweki. Mashetwani humo humo

  • @asiakheir8684
    @asiakheir8684 2 роки тому +29

    Yaa Allah nifishe nikiwa muislam nisikukufuru mola wangu,njaa yangu niiweze kwaajili yako mola wangu

  • @ainesymsofu6537
    @ainesymsofu6537 2 роки тому

    Nyie mwenyez mungu anawaona mie mkristo akini huyu pastor sijawahi muelewa kwakweli hakuna nabii WA kweli kwa oizazi hiki

  • @alzawahirabdallah2299
    @alzawahirabdallah2299 2 роки тому +11

    Pesa hizo zinawaponza ndugi zetu

  • @خديجةالمعمري-ج2س

    Loo subhanallah muogope mungu unataka umaarufu kwa ujinga

  • @shurweryimanagrace2158
    @shurweryimanagrace2158 Рік тому +7

    Innalillah wainalillah rajun 😭😭😭😭 Mungu nipe mwisho mwema🙏🙏🙏

  • @malugukushaha6764
    @malugukushaha6764 Рік тому +4

    Subhanallah Yaa rabbi ...✍

  • @eastafricaqualitychickenfa9916

    Mungu yupo kufa kupo na kuesabiwa kuko pepo IPO na mto upo Mungu tunusuri na familiya

  • @dullaseif8742
    @dullaseif8742 2 роки тому +5

    Ushasema Mama B,,, inamaanisha Mama Bonzo...ipo cku atajuta hii clip n ushahid mbele ya Allah

  • @hawaramadhani6954
    @hawaramadhani6954 2 роки тому +2

    Allah atupe mwisho uliomwema shetani anatufukuzia sana

  • @AbubakarMtiro
    @AbubakarMtiro 2 роки тому +4

    Pole mama b , pumbavu zako umejitahidi kutafuta njia rahisi y kupata Hela fanya kazi mama , mtelezo mmbaya

  • @hamiskipuka2090
    @hamiskipuka2090 2 роки тому +7

    سبحان الله عما يشركونmungu akuongoze mama bi Rudi ktk mstari wa dini yak hayo unayo fanya ni kwa ajili ya nn na nani Kam kw ajili ya Allah Allah aelekez ivyo Kam shida yak ni umarufu bas endelea ila tambua adhabu ya Allah ni kali mno kwa wanao mshirikisha

    • @khamissiniyonkuru6616
      @khamissiniyonkuru6616 Рік тому

      Huyu Kesha ritadi inapaswa atamke shahada kwa mara nyengine la sivyo atakufa nakuingia motoni

  • @zaytunacom
    @zaytunacom 2 роки тому +25

    Huyu mama b ni mpuuzi Sana khaa😢Allah atujaalie mwisho mwema njaa hizijaman

  • @ummuramadhan1842
    @ummuramadhan1842 2 роки тому +12

    Dada muogope ALLAH siku Moja utakufa 😪

  • @LidyaSalum-qb7il
    @LidyaSalum-qb7il Рік тому

    Ina lilah waina Lilah rajuun Allah akuongoze ujue unachofanya ikibidi ushahadie Tena🥲🥲🥲na uitafakari sana kesho yako

  • @babazungu3180
    @babazungu3180 Рік тому +1

    M/mungu ameweka moto na pepo kwa hiyo lazma watu wa sehemu hizo 2 wapatikane.

  • @MansouryVanman
    @MansouryVanman 2 роки тому +11

    Hajampa pesa hadharani ili isigundulike Innalillah wainnailaih rajiun. Yaah ALLAH nijaalie mwisho wangu uliomwema Inshallah😢

    • @shukulutumaini
      @shukulutumaini 2 роки тому +1

      We mjinga jalibun kuwa na hakil mbona kelele

    • @fatumamwalimu5765
      @fatumamwalimu5765 Рік тому

      Nikweli, njaa usipo ongea nayo utajikuta unamtumikia shetani na ndio huyu mwanamke anachokifanya, alipiga kelele ili achotewe kiasi kidogo bila kujua mwisho utakuaje!!! Hiyo pesa inayomfanya kujitoa ufahamu kuna dhima mbele ya Allah

  • @KhadijaMohammed-z8c
    @KhadijaMohammed-z8c Рік тому

    Inalilah wainalilah laj uni hajijui uyu mama muislam mzima dunia imeisha

  • @omarabdallah372
    @omarabdallah372 2 роки тому +8

    Inna lillaah waina ilaihi rajiu'un Allah akuongoze sijui nn mbaya na waislamu. 😭😭😭

  • @habibamura5255
    @habibamura5255 2 роки тому +25

    Tatizo ni umasikini😭😭😭😭😭

    • @saidymoto3889
      @saidymoto3889 2 роки тому +1

      Janna inatafuta hapahapa duniani na jahannam inatafutwa hapahapa unatafuta umaarufu wa motoni hayaaaa ngoja ufe

    • @comsmkemwa2671
      @comsmkemwa2671 2 роки тому

      Wakristo kuna aya inasema, Yesu hatarudi mpk wanadamu wote wamejuwa kuwa Yesu ndiye Bwana na hakuna mwingine, lkn pia kila ulimi utakiri bila kujali dini, sasa haya yanayotokea sijui wenzetu mnajifunza nini,? Wale Mashekh mlisema sio waislam labda wamepangwa, lkn katika wale mmoja alijitokeza kuomba radhi kuwa alipotoka (lkn ni mwislamu na hakukataa kuwa wenzake hawakuwa waislamu, na hawakujutia) Leo tena anajitokeza huyu mama B , ambaye mnamshambulia, sasa hao wametoka hadharani, je kuna waislam wangapi wapo humo kanisani, wamejificha kwa kuogopa kushambuliwa? Wangapi wapo kwa Mwamposa?? Wangapi kwa Nabii Musa Temboni?? Wangapi kule matembele ya pili? Hamuoni kuwa huu ni unabii tu unatimia, ? Kwa nionavyo watakwenda wengi zaidi.

    • @asiakheir8684
      @asiakheir8684 2 роки тому

      Tajiri ni mwenye kukinai

    • @AsdDsa-fi5qk
      @AsdDsa-fi5qk 2 роки тому

      Ndio unao msumbua

    • @emmymshomi8893
      @emmymshomi8893 2 роки тому

      njaa inaponzaaa jamani mama b mh

  • @muhamadyabubakary6750
    @muhamadyabubakary6750 2 роки тому +6

    Subuhana الله tunakuonea uruma ndugu yetu huwo ukafiri una ufata kwa ajili ya pesa unauza dini kwa ajili ya thamani ndogo ya kidunia yuko mfalme maliki jabar halali anakuona

    • @kisangageorgethomasi2830
      @kisangageorgethomasi2830 Рік тому

      Unaposema mwanadamu mwenzio kafiri ww unauakika upi kama matendo yako nimazuri kwa Mungu tambua dini zote zililetwa afrika je ww kama mwafrika nikipi kilichoenda kwa watu weupe wazungu na waarabu waniakiabudu adileo

    • @iddymbwana18
      @iddymbwana18 Рік тому

      Mjingatu huyu

    • @SociedadeSust1234
      @SociedadeSust1234 Рік тому +1

      Allah Akbar 😭😭

  • @nimohussein9781
    @nimohussein9781 2 роки тому +3

    Subhana Allah May Allah guide us

  • @swahilitherapytv3846
    @swahilitherapytv3846 2 роки тому

    Haijui dini ya Kiislamu huyu dada na ndiyo ana mdomo sana kuzingumzia mambo ya uislam.
    Mche Allah wewe Achana na umaarufu

  • @davidkainonge8153
    @davidkainonge8153 Рік тому

    Nakupenda sna baba mungu akulide sna uko 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @aishaissa2512
    @aishaissa2512 2 роки тому +17

    Dada amefikia pabaya sana misiba kwa waislamu

  • @mwanashasjambia8572
    @mwanashasjambia8572 2 роки тому +3

    Subhanallah,

  • @mamawamireille4872
    @mamawamireille4872 2 роки тому +4

    Innalillah waina illayih rajiun
    Sifa zitamu ponza hawakua ma sheikh nyinyi muliwapanga sifa hizo zitakuponza in shaa Allah

    • @fauziakhaify5462
      @fauziakhaify5462 Рік тому

      Allah akuongoze n sie pia .acha dunia wewe umeongea ujinga gni hpo

  • @omangalaxy1657
    @omangalaxy1657 2 роки тому +10

    Innalilahi wainalilahi lajuun yarab tu nusuru navizazivyetu yarab astaghqfilulahi

  • @hakizimanamariam8566
    @hakizimanamariam8566 Рік тому +2

    Innaalillahi wainnaailaihi raajiuun wedada muokope Allah ukumbuke ipo siku utakuja kujuta siku utakapo kufa ww uta kuja kujuta uyu dada namuoneya huruma siku atakapo kuja kukutana na mola wake

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 Рік тому +1

    Dada kama muislamu basi umefikia hatua mbovu sana rudi kwa allah haraka sana

  • @minahabubah2191
    @minahabubah2191 2 роки тому +8

    Hasbiya Allah waaneemal wakil😢

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 2 роки тому +1

    Huyu anatafuta Kiki kupitia dini ya kiislam, ni muhimu sana waislam wakamuacha kwasababu dini ya Mungu haiko kwaajili ya Kiki, kwahiyo kuendelea kumnasihi ndio kunamuongezea Kiki zake za kipumbavu, ni vema waislam mkampuuza, na kuendelea kushughulikia Mambo ya Msingi kuliko kushughulika na huyu mpuuzi mmoja anayesumbuliwa na njaa na ufska!! Najua wengi wamekwazwa na huyu mpuuzi sio Kwa kutoka kwake kwenye uislam Bali kwa unafiki wake wa kujifanya muislam huku akiwa na chembe za kikafiri, Allah awape subra !! Malipo ya mpuuzi huyu atayapata, Kwa kuanzia hapahapa duniani na mwisho huko aendako!! Kwahiyo apuuzwe!!!

  • @elishamafulu106
    @elishamafulu106 7 місяців тому

    AMEN AMEN AMEN

  • @martinwesley7339
    @martinwesley7339 2 роки тому +1

    Mama b nakupenda sana,ningependa sana ungekuwa mwalimu wa watu wote

  • @marianajoseph1892
    @marianajoseph1892 Рік тому

    Mama B kiboko, more mama B Tanzania

  • @sheengazi4245
    @sheengazi4245 2 роки тому +7

    Duh,Allah atujalie mwisho mwema,njaa nimbaya sana,imani dhaifu hii

  • @samwelmollel602
    @samwelmollel602 Рік тому

    Karibuni Sana tena

  • @durraharuna4000
    @durraharuna4000 2 роки тому +3

    Allah atakufedhehesha

  • @msaysha5886
    @msaysha5886 2 роки тому

    Aliye muona hamorapa agonge like hapa

  • @assadyabdull5146
    @assadyabdull5146 Рік тому +5

    Huyu mwanamke ni balaa kubwa sana anajiona anaweza lakn mungu anamuona

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 2 роки тому +21

    Inalillahi wainailahi rajuun. . Msibamzitohu Allah atujaalie mwishomwema maana hu mtihani

  • @mariasmith4301
    @mariasmith4301 Рік тому

    Ubarikiwe sanaaaa Mama B

  • @manieayoop7165
    @manieayoop7165 2 роки тому +7

    Innalillahi wainnailayhi rajiun
    Subhanallaa

  • @aboujanomarion6121
    @aboujanomarion6121 2 роки тому

    Mmi nimefurahi mama b kufanya ivyo kwasababu hujaangusha chini maneno ya Mungu so usingefanya hivyo bado tungesubiri kuona Wale waliotabiriwa wanawake waovu watakao acha haki wafate batwil ww ndio kiongozi wao wallahi sitamani hata urudi kwenye swiratul mustakim ukamchezea Mungu shere baki huko huko kwa huyo mokozi wenu ajiitae nabii ukitaka tafuta wafuasi pia uwaingize huko ila usisahau Allah asema Wale awapendao hawaezi danganyika kama wewe kwahiyo nakupa hongera Mungu hana haraka na waja wake siku itafika tu inshaAllah

  • @ibrahimsuleyman9465
    @ibrahimsuleyman9465 2 роки тому +1

    Fitina ya umma huu ni MALI!! Amesema mtume wetu Muhammad (saw)

  • @asiamohd5516
    @asiamohd5516 2 роки тому +7

    Innallillah wainna ilayhi rajiun. 😭😭

  • @khayriyamussa682
    @khayriyamussa682 2 роки тому +3

    Subhanallah Yaa Rabbi

  • @kijakazinyalinga7003
    @kijakazinyalinga7003 2 роки тому +4

    Njaa mbaya sana 😭😭

    • @mtzhalisi2232
      @mtzhalisi2232 2 роки тому

      Anapambana kwa njia yake ili familia yake iende...endelea kulala

  • @khadidjasuleiman8006
    @khadidjasuleiman8006 2 роки тому +21

    Innalillahi wa inna ilaiyhi Rajiuun Allah amuongoza atakae na ampotosha amtakae Allah atujaalie mwisho mwema 🤲

    • @dahirgacamey
      @dahirgacamey 2 роки тому +1

      Aameen ya Allah

    • @fadhilarashid0628
      @fadhilarashid0628 2 роки тому

      Innalillaah

    • @mwanaikaomar8628
      @mwanaikaomar8628 2 роки тому +1

      Las haula Walaa quwwata illa billahi laaliyyu laadhwiim.

    • @sorwetv961
      @sorwetv961 2 роки тому

      Subbhana llah... Allah akuongoze..

    • @HakikaTvOnline
      @HakikaTvOnline Рік тому

      Yaaani allah umuongoza anaetaka kuongozwa na humpoteza alie chagua kupotea

  • @SafiaSeif-gw4ut
    @SafiaSeif-gw4ut Рік тому

    Inslih

  • @aftatymussa1993
    @aftatymussa1993 2 роки тому +2

    Innalilai wainalilai rajaun kwetu sisi waislam

  • @fatumahassani6987
    @fatumahassani6987 2 роки тому +9

    Yaraby nijaalie mwisho mwema kabla L'mauti😥😢

  • @Boyhoodking
    @Boyhoodking Рік тому +1

    Njaa mbaya sana Wallah.

  • @aminaomar1520
    @aminaomar1520 Рік тому +1

    Subhanallah tatizo njaa haramu kuingia kanisani kama ww n muisilamu haifai subhanallah

    • @anwarmohd2498
      @anwarmohd2498 Рік тому

      Kuna mwingine aitwa madiha Ahmed pia😏Huyu dada hana imani ya dini ya kislamu ameingia kanisani kwa huyu nabii wa urongo 😏😏 zama za mwisho nafikiri ameritadi😏😏😏

  • @suphiantwahiru6093
    @suphiantwahiru6093 Рік тому

    Allah atupe mwisho mwema, huu ni msiba

  • @salminisaleh9249
    @salminisaleh9249 2 роки тому +2

    Pumbavu Kabisa Hii Takataka. Innalillah wainna illah Rajoon 🥲

  • @seifserenge3340
    @seifserenge3340 2 роки тому +3

    Huyu mama B atafuta umaarufu wa dunia, na anayetaka umaarufu wa dunia Allah atampa, lakini Akhera hana chake. Allah amuonoze mama B katika njia ya sawa, pamoja na sisi pia. Aamiin

  • @الزغويالزغوي-ض3ن

    سبحان الله العظيم 😭😭😭 !!!

  • @elwad6878
    @elwad6878 2 роки тому +14

    Innallh wainnallh rajughuna,,😭😭😭 mwanamke wa kiislamu unaenda kusimam mbele ya M2 ambaye siyo muislamu mama B mama B rudi kwa ALLH,😭😭

    • @lucyalto7320
      @lucyalto7320 2 роки тому +2

      Kwani ni dhambi kwani siwanamtangaza Mungu

    • @dismaboytz4849
      @dismaboytz4849 2 роки тому

      Acheni wivu wa ajabu

    • @namnam3771
      @namnam3771 2 роки тому

      Baadhi yawaislamu embu jifunzeni kujua kwamba mungu Ni mmoja na anasema tupendane sasa tukianza kubaguana si tunamkosea mungu jamani

    • @johngerald4677
      @johngerald4677 2 роки тому +2

      Et uislam dini ya aman mmejaa chuki ndo mana amuendelei

    • @namnam3771
      @namnam3771 2 роки тому +1

      @@ladislausngoyinde4384 weacha tuu Mungu mwenyewe ndoanajua tusiseme sana

  • @duliokechannel6199
    @duliokechannel6199 Рік тому +1

    Ili shkaj linajiona kama mungu. Linapenda sifa sana

  • @drmsange652
    @drmsange652 2 роки тому +12

    Innalillah waiinna ilaih rajiun

    • @mbilamTv
      @mbilamTv 2 роки тому

      mganga wa Jadi na wewe Unatamka Innalillah wa Inalillah fajiun???😂😂😂

    • @floraflora5964
      @floraflora5964 2 роки тому

      @@mbilamTv namimi nimemshangaa huyu mganga wajadi 🤣🤣

    • @mbilamTv
      @mbilamTv 2 роки тому +1

      @@floraflora5964 hawa watu hawajitambui yaani wanaamini muislam kuingia kanisani basi kakosea pakubwa sisi hatunaga ubaguzi. tunajenga nyumba moja ya nini kugombania Fito.

    • @floraflora5964
      @floraflora5964 2 роки тому +1

      @@mbilamTv yani wao ndo wanajua watauona hufalme wa Mungu lkn hawajui napale wanapo mwonyesha mtu kidole nidhambi

    • @mbilamTv
      @mbilamTv 2 роки тому

      @@floraflora5964 Amen

  • @abrahmanirashidi3052
    @abrahmanirashidi3052 2 роки тому +7

    Uyo mama biii ana njaaa

  • @sultaking8719
    @sultaking8719 Рік тому

    Subhana Allah ewe Allah msamehe huyu mama njaa mbaya sana

  • @hamismussa428
    @hamismussa428 2 роки тому +5

    😭😭😭😭😭😭😭😭wallahi njaaaaa zitawaingiza watu wengi Moto I ونعذباله من هاذ

  • @isacksteven1403
    @isacksteven1403 Рік тому

    Mungu akutangulie kwa kila hatua

  • @GitongaM
    @GitongaM Рік тому

    Na mm hapa najuta bona sikumjua kitambo nabii maisha yangu hayangekua yalivyo lakini maisha yangu tangia nilimjua maisha yangu yamebadilika nakupeda bure baba yangu

  • @sharifamakawa9900
    @sharifamakawa9900 Рік тому

    Kwani Sada ungeenda na mambo yako tu ukamwambia uyo Gdevii umpenda na una shida ya hela si mngemalizana tu kivyenu " Mashekh wetu hawanaga Nyege mshindo wako bisy na Swala na wake zao mwaya

  • @Jamila-cz5ge
    @Jamila-cz5ge 2 роки тому +1

    Pete haipo katika uislam.

  • @عائشة-ص5ي
    @عائشة-ص5ي Рік тому

    innalillah😮

  • @arttilioemiliam2419
    @arttilioemiliam2419 Рік тому

    Waooooo mamab

  • @Atijasumail
    @Atijasumail 3 місяці тому

    Inna lilah wa Inna Ilahi rajiun mama b

  • @rbdmusic3985
    @rbdmusic3985 Рік тому +1

    Jambo ,mimi naitaji maombi kwa mwanangu anaumwa nabii mkuu muombee mwangu uponyaji kwa jesu. Mwanangu anasumbuliwa na pepo ambayo ikija inamtowa pofu kinywani na macho yote yanapanda kwa juu naomba msaada wa maombi ndugu zangu wa katika kristo

  • @Rastermirish
    @Rastermirish 2 роки тому +1

    Karibu kuwa yesu kristo

  • @salehekinui2975
    @salehekinui2975 2 роки тому

    Hivi huyu mama b kweli ni muislaam au maana uislam ni dini yenye utaratibu hususan ktk Jambo Zima la mamma ya kuamini mungu wetu ni mmoja hakuzaa Wala hakuzaliwa na hashikiani na yeyote ktk uungu wake hawi muislaam Ila kwa Imani hii na wakristo imaan yao mungu 1 anayeishirikiana na mwama na roho ni mmoja ktk nafsi3 hizi ni Imani 2 tofauti inawezekana vpi Imani hizi ziweze kukaa pamoja

  • @fatmaahmed8637
    @fatmaahmed8637 2 роки тому +1

    POLE SAANA MAMA,UISLAM SIO KIFUNGO,NI NEEMA KUBWA KUBWA MUISLAM WA KWELI

  • @abdulazizsharif2984
    @abdulazizsharif2984 2 роки тому +10

    Subhanallah inna lillah wa inna ilaih rajiuna

  • @shammhagama2527
    @shammhagama2527 2 роки тому +4

    Mama B wewe ni super woman !! na Mungu atakulinda siku zote, msemakweli ni mpenzi wa Mungu, utabarikiwa uingiapo na utokapo. big up!

  • @yasinomary2147
    @yasinomary2147 Рік тому

    MUNGU akujaalie DK Geordavie 😍😍😍😍

    • @rogerabdallah439
      @rogerabdallah439 Рік тому

      Sana

    • @mwajumamohd7930
      @mwajumamohd7930 Рік тому

      Amjalie kwa lipo?? Kwa swala ipi mfano wewe unayomuombea ??? Upumbavu wa kiasi hiki Mwenyezi Mungu asinijalie

    • @rogerabdallah439
      @rogerabdallah439 Рік тому

      @@mwajumamohd7930 wewe kwani katika hii dunia wewe mungu acha kujifanya mungu mtu matako wewe

  • @schoolofsuccess666
    @schoolofsuccess666 2 роки тому +8

    Mama B, hapo kwa mahusiano na watu wa ndoa hongera sanaaa!! umeupiga mwingii

  • @AsilahHamad-e4f
    @AsilahHamad-e4f 5 місяців тому

    Innalillah wainna ilahi rajiuuni msiba mzito

  • @swariotibi6134
    @swariotibi6134 2 роки тому +6

    WW mama b aki hizi njaha zetu tuseme Nazo hii ndunia ntapita tu jamani muhongope allah

    • @nestarnestar4520
      @nestarnestar4520 2 роки тому

      Ala ndio nan

    • @kutailass6671
      @kutailass6671 2 роки тому

      @@nestarnestar4520 alie kufanya ww uweze ku comment hapa

    • @kutailass6671
      @kutailass6671 2 роки тому

      @@nestarnestar4520 halafu siyo ala, heshima itumike

  • @binbadru8408
    @binbadru8408 Рік тому

    Innallillah,huyu mm nilimjua nabniliwahi kummpakayia

  • @hasbinhajjhassan8055
    @hasbinhajjhassan8055 Рік тому +2

    Subhanallah 🤯😵‍💫

  • @asiakheir8684
    @asiakheir8684 2 роки тому +4

    Wewe mama b huwezi mfundisha mtu kuhusu ndoa mbaka uwe na imani ya Allah

  • @mkambamaulid447
    @mkambamaulid447 2 роки тому +4

    Inalilah wainailaih rajiun 🙏🏼Hiii style ya kupata pesa2 Nothing else 🤔🙄 Mwenyezi Mungu tusaidie

  • @abdullahihussein408
    @abdullahihussein408 Рік тому

    Njala

  • @alexisnema3551
    @alexisnema3551 Рік тому

    Saudia baba mana wewe mungu kamushusha