KAJALA AFUNGUKA YA HARMONIZE “PASSWORD ZA ATM, SIO KWELI, NIMETREND HAJAJA MJINI, SIJAUZA GARI”

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 сер 2024

КОМЕНТАРІ • 212

  • @user-sn6dc9gh8k
    @user-sn6dc9gh8k Рік тому +7

    Duh kama alimsaidia baba yako mzazi ndugu pungunza kmsema🙌🙌

  • @zuweinaalhabsya8773
    @zuweinaalhabsya8773 Рік тому +9

    Ila Kajala mzuri Mashaallah ❤

    • @TZ123_king
      @TZ123_king Рік тому

      kajala sio mwanamke mzuri unajua anaweza kuficha mambo aliyoyafanya

  • @MagrethThobias-fm8bm
    @MagrethThobias-fm8bm 4 дні тому

    🎉yes of course aliwahi ❤❤❤nimeipenda hiyo😂😂

  • @zahrayusuf5985
    @zahrayusuf5985 Рік тому +22

    People have some respect kuwa mzee is not a crime any human being atazeeka tu labda ufe so leave her alone she's beautiful and healthy keep it up Kajala ❤you

    • @JacklineNamundengozi
      @JacklineNamundengozi Рік тому +1

      I think she's been disrespected because of her lifestyle and behavior does not go with her age , whow can a mother and daughter be prostituting together it's very embarrassing .

    • @vanessastafford6426
      @vanessastafford6426 Рік тому +4

      Hajazeeka hata kidogo, Mimi najuwa wazee wanafananaje. Wazeee Wana miaka 70 na sio 40. Yani kajala ana miaka mingine 40 ya kuishi. Tatizo la watu wanapenda watu wawe na tabia zao wao. Mungu anampenda hivyo hivyo ulivyo hiyo inatosha.

    • @dianajohnson7268
      @dianajohnson7268 Рік тому +1

      sasa miaka 40 ni mzeee🙄🙄🙄?

    • @zahrayusuf5985
      @zahrayusuf5985 Рік тому

      @@vanessastafford6426 thank you

    • @Kayumba-ie1vu
      @Kayumba-ie1vu Рік тому

      Ni kwel kbx 🥰

  • @jaysun8600
    @jaysun8600 Рік тому +10

    Uko sawa mama... Imejibu kiutu uzima sana,, nakupenda

  • @lelarubea6405
    @lelarubea6405 Рік тому +11

    Kumbe hamo anamfatilia kajala alijuaje kama hatumii range

  • @angelsblackboard8008
    @angelsblackboard8008 Рік тому +16

    nilichopenda dada hajaharibu sana hali ya hewa, anawaza na kesho pia. amekua

  • @boniphace6405
    @boniphace6405 Рік тому +71

    Haya maisha huwa sio Sawa ukishakuwa na mwanamke au mwanaume ukiachana nae sio vizr kutangza mabaya ya MTU ambae mmetumiana wote kwahy sio pouwa nimtazamo wangu tu lakini🤸🤸🏃

    • @saidbakari2408
      @saidbakari2408 Рік тому

      Ushamba tu wawasumbua hawa

    • @GeofreyKalo-ot3we
      @GeofreyKalo-ot3we Рік тому +3

      Sio vizuri kusema mtu vibaya na ukiangalia umesaidiwa nae vitu vingi ndo ushamba huo

    • @joojombi2341
      @joojombi2341 Рік тому

      Hawana maadili hao ni wahuni watupu wazinifu wakubwa hao

    • @redemptervictor5006
      @redemptervictor5006 Рік тому +3

      Kweli kajala age goo!😂 Check shingo lilivomsimama alitukomazia konde wetu😢

    • @joojombi2341
      @joojombi2341 Рік тому +2

      @@redemptervictor5006 mlevi mkubwa huyo badala atafute wa kumuoa akaacha uhuni amrudie mola wake. Mpka mwanae anazini tu bila ndoa

  • @QueenLyimo-hu4dj
    @QueenLyimo-hu4dj Рік тому +12

    Kajitahid lakin hajajibu vibaya hivyo harmonize anaweza asilewe, ila akilewa leo jmn...tutaenjoy😅😅

  • @ErastaJonasy
    @ErastaJonasy 10 місяців тому

    Mwanamke nikiongoz ❤nimependa majibu yako

  • @user-mp3vu3gg3e
    @user-mp3vu3gg3e Рік тому +2

    Umejib vzur sana dada

  • @lilamaganga2690
    @lilamaganga2690 Рік тому +15

    Watu badala kuuliza Mambo ya Luna Sanitary wanauliza maswali tofauti na walichoitiwa Hii Nchi Ñgumu Sana

    • @Bin_Slyim
      @Bin_Slyim Рік тому

      Ww ndo hujaelewa kabla ya press alisema nitazungumza yooote Kwahy shida Iko wapi

    • @UzalendoNaUtu
      @UzalendoNaUtu Рік тому

      Ni kwaajili ya kubust hiyo habari ya Luna

  • @beatricejohn1659
    @beatricejohn1659 Рік тому +2

    Kiboko ya Harmonize ❤️❤️❤️❤️

  • @malosnsenga1764
    @malosnsenga1764 Рік тому +30

    Kajala kweli kashazeka picha nyingi zinaboreshwa lakini Leo ndo nimeona kashazeka

    • @ikouwasi7644
      @ikouwasi7644 Рік тому +1

      sasa kwani ukijaliwa kuishi miaka mingi unataka umri ushuke omba Mungu na wewe uishi miaka mingi tuone kama utazeeka au utarud utotoni

    • @malosnsenga1764
      @malosnsenga1764 Рік тому

      @@ikouwasi7644 nikushauri unyamaza kuliko kuongea sawa?

    • @wisperfect5320
      @wisperfect5320 Рік тому

      Kipi cha ajabu sasa

    • @mwitaagness455
      @mwitaagness455 Рік тому

      Hivi mna nini wewe hapo ulipo una miaka mingapi na mwakan utakuwa na miaka mingapi???

    • @malosnsenga1764
      @malosnsenga1764 Рік тому

      @@mwitaagness455 mwaka huu niko na moja mwaka ujao nitabaki na kipande

  • @constancekarisa1605
    @constancekarisa1605 Рік тому +4

    Kwaiyo kila kitu hamo alisema ni kweli basi sioni haja ya kumzungumzia vibaya kuweni na shukrani😅

  • @MagrethThobias-fm8bm
    @MagrethThobias-fm8bm 4 дні тому

    😂😂😂yes of course aliwahi 😂😂❤ nimeipenda hiyo

  • @vicentmlumba591
    @vicentmlumba591 Рік тому +6

    Waandishi Apoo mpoo kwa Ajir ya Luna pads ayoo masuala ya Kondee ilibidi baadae nje na hapoo Aaaah mada nzima imehamia kwa konde na sio Tangazo husika

  • @QueenLyimo-hu4dj
    @QueenLyimo-hu4dj Рік тому +14

    Ifike mahali tuwaheshimu wanaume waliowahi kutuvua chupi. Ipo faida ya kukaa kimya jmn...kwann ushindane na mwanaume aliyefanikiwa mpk kukuvua chupi....❤

    • @noelyrajabu105
      @noelyrajabu105 Рік тому +3

      @QueenLyimo chukua maua yako🙌🙌🙌🙌🤣🤣

    • @sankawila2689
      @sankawila2689 Рік тому +1

      totoo unaakili sana

    • @SudyKamonongo
      @SudyKamonongo Рік тому +3

      Ukwel Toka moyon nitumie namba yako nikutumie Hela ya soda

    • @SudyKamonongo
      @SudyKamonongo Рік тому +1

      Queenlyimo nitumie namba yako nikutumie vocha

    • @QueenLyimo-hu4dj
      @QueenLyimo-hu4dj Рік тому

      Asanteniiiii kwa mauaaa...na chodaaaa

  • @user-qh7up8dc7c
    @user-qh7up8dc7c Рік тому +2

    Dada anatesek vibaya mno 😂😂😂😂😂😂 Dunia hii inazunguka

  • @rorostratton8163
    @rorostratton8163 Рік тому +2

    Smart move Luna…using trendy gossip to promote the product 👌

  • @estherminnahboaz6956
    @estherminnahboaz6956 Рік тому +12

    Shingo inaonesha ni mkubwa na sura pia mnatudanganya anaonekana mdogo ila kumbe zile filter 😂😂 ...

    • @estherkimario7940
      @estherkimario7940 Рік тому +1

      Na kwel hapa kawa mzeee

    • @mwitaagness455
      @mwitaagness455 Рік тому

      Mlitaka abaki 20 kila siku, na kila siku masherehekea new years, bila mama ako kuzeeka wewe usingekuwepo,

  • @bakarirajabu2521
    @bakarirajabu2521 Рік тому +14

    Sema kakonda kichizi😂😂😂😂😂

  • @judiththobias5132
    @judiththobias5132 Рік тому +3

    Namuonea hurumaaaa huyu Dada anajikazaa tuuu

  • @chesterbrand6723
    @chesterbrand6723 Рік тому +15

    Serious huyu Ni mzee nimependa vile kijana alikula kifaranga...

  • @emerencianalazaro3339
    @emerencianalazaro3339 Рік тому +1

    Mimi naamini kajala ua a good mamy still, hata ufanyeje mamy is mamy to her daughter na naamini Paula she will be better than u now why wameface challenge, after solving hiyo challenge watakuwa better than other women, belive this Paula is good women .

  • @allthingdranabeauty
    @allthingdranabeauty Рік тому +1

    Ila kajara mzuri tumbo flat shep kiuno yuko vizuri kuliko sie wenye umri mdogo tuache wivu mzuri hapo ajavaa wigi kanyoa tu

  • @happymerry8675
    @happymerry8675 Рік тому +1

    Maswali yamekuwa too personal sio lengo la press kabisa😂😂😂

  • @joojombi2341
    @joojombi2341 Рік тому +13

    Wazinifu wakubwa nyote nyie hata hamuogopi mungu mmeyafanya mauchafu mengi tu kwakweli mrejeeni mungu wenu kwa kuyatupia mmeyafanya

    • @MagdalenaMathias-lw5bh
      @MagdalenaMathias-lw5bh Рік тому

      Hongera yako wew msafi

    • @joojombi2341
      @joojombi2341 Рік тому

      @@MagdalenaMathias-lw5bh al hamdulillah nashukuru mola njoo Zanzibar wakusilimishe na upate mafunzo upate yajua mazuri na mabaya

  • @frankngoloka5416
    @frankngoloka5416 Рік тому +3

    Hivi kwanini waandishi wetu mnapenda umbeya sana,hongereeni ubalozi wake

  • @mosesjackson_tz
    @mosesjackson_tz Рік тому +1

    Vido vidox nakukubali sana

  • @user-og4wh1xr2c
    @user-og4wh1xr2c Місяць тому

    Hapa daa k...ulikpnda kiasi...mapenzi yanauma

  • @dakihamaluta4159
    @dakihamaluta4159 Рік тому +4

    Ila harmonize kamu trendisha Kajala tofauti na mwanzo na ndo ilivo Paula Kwa Rayvany Paula alikuw hajulikan kabsa ila wakijulikana wanawasahau walio wakuza majina

    • @ikouwasi7644
      @ikouwasi7644 Рік тому

      Acha uongo nyie ndo mmezaliwa mwaka 2000 kajala kaanza kujulikana kitambo kabla hata huyo hamo wenu hajazaliwa

  • @vanessastafford6426
    @vanessastafford6426 Рік тому +5

    Huyu ni suoer woman, haitaji ndoa kuishi maisha yake. Kupanga ni kuchagua, uzuri yeye ana mind maisha yake. Mzeee mzeee Ana uzee gani wazee wana miaka 70 na sio 40

    • @rerisamba
      @rerisamba Рік тому +1

      Wamkome mwanamke wawenyewe miaka 40 ati Mzee sasa sijui wazazi wao watawaitaje

  • @user-cy4qu5qk9h
    @user-cy4qu5qk9h Рік тому

    My dear najua kwenye maisha kila moja anapambana kivyake lkn acha na maneno ya walimwengu angalia heshima yako na life yako

  • @neemapraigory8832
    @neemapraigory8832 Рік тому

    Nakupenda

  • @user-nt3cl5ng3q
    @user-nt3cl5ng3q Рік тому +1

    KAJALA❤

  • @richardkunambi
    @richardkunambi Рік тому +3

    Kajala kwel umekua mm nimeipenda speech yako sio vizur kuongelea mambo ya chumban uko vizur

  • @datty.wozaah865
    @datty.wozaah865 Рік тому +1

    Kajala mbona analikunja lisula sanaaaa khaaaa 😂😂😂😂

    • @MagrethThobias-fm8bm
      @MagrethThobias-fm8bm 4 дні тому

      Anampenda Harmonize anjikaza tu masikini wewe sikia jibu la mwisho yes of course aliwahi 😂😂😂

    • @datty.wozaah865
      @datty.wozaah865 3 дні тому

      @MagrethThobias-fm8bm hahahhaha yes ofcoz aliwqh hahaq

  • @florianhenry7198
    @florianhenry7198 Рік тому +3

    Mim napambana na BABA YANGU ANIPE URITH NIJARIBU GAME KWA KAJALA TUONE

  • @millenium-tz7151
    @millenium-tz7151 Рік тому +1

    Sema frida kaanza kuzeeka

  • @user-og4wh1xr2c
    @user-og4wh1xr2c Місяць тому +1

    Kajala kapunguwa

  • @kitejamayunga7645
    @kitejamayunga7645 Рік тому +3

    Sasa hapa waandishi mnaharibu. Mmeitwa kutangaza biashara ya pedi Kwa ajili ya mabinti zetu, lakini mmehama Kwa kutaka kujua maisha ya kajala, hakuna journalism hapa

  • @mongai001
    @mongai001 Рік тому +5

    To be honest tanzanian journalist please go to the point and ask a revelant question don't jump the bushes you should not attack and asking personal

    • @rasmissionary7518
      @rasmissionary7518 Рік тому

      mi nashangaa mtu amekuja presser ya pads inageuzwa kuwa story za kuachwa...these guys need to revisit media ethics

  • @maymur19scales
    @maymur19scales Рік тому

    Hizo Luna ped ni nzuri sana

  • @ReynaMrema-qy3fw
    @ReynaMrema-qy3fw Рік тому +1

    Proud of you mama P❤❤❤

  • @Vel42
    @Vel42 Рік тому +6

    Wacha YESU arudi haraka social media imeharibu wengi juu naona kila mtu anaringa na kujipendekeza kwa watu na kujiona wa maana kuliko wengine,Mungu okoa watu wako😢😢

  • @OmanOman-dn6dj
    @OmanOman-dn6dj Рік тому +3

    Angekaa kimya angepungukiwa nini

  • @Baruti-ofice
    @Baruti-ofice Рік тому +1

    Wabongo amuwezi kutobowa tatizo mko wasenge

  • @Eventjekonia-kt4rn
    @Eventjekonia-kt4rn Рік тому +1

    kazeeka

  • @iddykarimbi-we8qe
    @iddykarimbi-we8qe Рік тому +1

    Kabla ya hamo alikua anafaamika so kwel kwanza mm ni memfaam kwasabab ya konde

  • @epamgaya4024
    @epamgaya4024 Рік тому +7

    Ilaa tuseme tyuu ukwel kajala anajutia kuachana na konde coz alikuwa anauwezo wakupata pesa yamatumiz Bila kuhangaikia na alikuwa na MTU mwenye nguvu anayeweza kumfikisha hata kilelen😂 hata kama Hakuwa na mapenz nae ili kama alikuwa ana mjali it's the best things ss wanawake mwanaume akiwa ana kipato na anakujali it's all about Swala la sex na vingine Ni extra

    • @ikouwasi7644
      @ikouwasi7644 Рік тому

      Kweli ukikosa akili unabaki utatumia matako kuwaza wewe umetumia matako kuwaza ujinga

  • @iddykarimbi-we8qe
    @iddykarimbi-we8qe Рік тому +1

    Alaf kumilik range sii ushamba bali nimafaanikio naaa kingine aache unafki mwenye sifaa yake mpe

  • @hassanal6283
    @hassanal6283 Рік тому

    Mmakonde kazinguwa sana

  • @princemercury5824
    @princemercury5824 Рік тому

    Fanya ulewe harmo utoboe

  • @alexHussein-sy3br
    @alexHussein-sy3br Рік тому

    Yuho ni mjinga sana kajala

  • @afisamipango005
    @afisamipango005 Рік тому

    Ukimuangalia vizuri Kajala utagundua kweli anafanana na age yake japo anapambana kuji-sichanisha😁😁

  • @2pacFreeStyle96
    @2pacFreeStyle96 Рік тому +1

    Wakwanza like

  • @gabrielmnozya8881
    @gabrielmnozya8881 Рік тому +1

    We ni kunguru hufugiki Kajala

  • @mercypeter162
    @mercypeter162 Рік тому +2

    Wanawake wazee muache mahisiano ya kimapwnzi Na watoto rika ya watoto wenu. MUNGU alimuumba mwanaume kwenza hivyo Ni vyema mwanaume awe mkubwa Kwa mke.

  • @elidiustudoy2640
    @elidiustudoy2640 Рік тому +1

    Kuusu iloo nikwel sisi wazee wa cuba. Tukishampenda demu atuangalii tuna poteza nn bali tunaangalia tunaingiza nn ivo password nikwel😊😊

  • @reubenshaban6488
    @reubenshaban6488 Рік тому

    Badala ya kuongelea pedi mmekomaa na maisha ya watu

  • @JemaFideli-rl7we
    @JemaFideli-rl7we Рік тому

    Jaman kajala uzeee uwooo

  • @kelvinemelia5189
    @kelvinemelia5189 Рік тому +2

    Kumekucha Kumekucha 😅😅😅😅

  • @lukebazil5531
    @lukebazil5531 Рік тому +1

    Mmmh me sikuamin nasubiri jeshi alewe atuambie ukweli😅

  • @agwalubifaridah7079
    @agwalubifaridah7079 Рік тому +1

    Napenda anavomjibu yule Kenge maneno alioyaongea tu no adding up some cooked stories

    • @karimjuma4019
      @karimjuma4019 Рік тому +2

      Ukumbuke kajala na mwanae ndio walianza acha kuropoka tu km huna meno ya mbele mbuzi ww

  • @michaelnehemia4932
    @michaelnehemia4932 Рік тому +1

    Umezeeka Ila unalazimisha

  • @emmanuelkabetile3022
    @emmanuelkabetile3022 Рік тому

    Tatizo nililo liona hapo ni kuto jitambua ama kutotambua ni wakati gani uongee nn am kuongelea nn kwa wakati upi, yupo kwenye tangazo ama mahojiano ya pedi howcome hizo vitu zingine,,, hakupaswa kuvijibia alikuwa sahihi.

  • @mirabelle174
    @mirabelle174 Рік тому +1

    SIPENDI WATU WANAVOONGELEA UZEE AS IF NI KITU CHA AJABU SANA. HIVI NYIE HAMNA WAZAZI? AU NYIE HAMTOKUJA KUZEEKA? YAANI WABONGO KWA WIVU BHANA.

    • @mwitaagness455
      @mwitaagness455 Рік тому +1

      Yaan, utasikia flan mzee, utafikir yy alitoka shambani, wkt ana wazaz, ana dada, ana kaka, ana watoto wanakua, mapuuz

  • @faridamohammad004
    @faridamohammad004 Рік тому +1

    Tbh with her facial expression she didn't like the question and she got a serious rage about his ex and yada yada..Anywho 😅

  • @allthingdranabeauty
    @allthingdranabeauty Рік тому

    Ila Makonde kadi ya bank ni yako mwenyewe au mke wako sasa unamtuma kila mtu unategemea nin lazima wakulize😅

  • @chesterbrand6723
    @chesterbrand6723 Рік тому +1

    Vile mishipa ya shingo inatoka huyu Yuko over 47 yrs....

  • @worldhappiness1181
    @worldhappiness1181 Рік тому

    Sijajua alitaka athaminiwe vipi kumbe, kama ni kuchepuka, zile kaz za wasanii lazma ukubali yote. As long as alkua anakuthamini

  • @xboxgamer-easleygaming-ke
    @xboxgamer-easleygaming-ke Рік тому +4

    Huyu shosh anasumbuana na kijana ya 28 😢😢 wallai asikiange aibu na hatoke qwa social media

  • @gasparlubaga5866
    @gasparlubaga5866 Рік тому

    Hayo ya kutrend hajaja mjini ya Nini sasa,kwani umri wako na Harmonize mnalingana,we sikibibi long time ago

  • @kennethbenjamin275
    @kennethbenjamin275 Рік тому

    Aise,ameita waandishi wa habari ehh

  • @hassanbakari4525
    @hassanbakari4525 Рік тому

    SURA ISHAGOMA,,,NYIE WA MAKAMERA NYIE 😀😀

  • @bellazara6448
    @bellazara6448 Рік тому

    Munatuchosha kajala n harmo

  • @Zeelao
    @Zeelao Рік тому

    Wanawake hawahitaji kuringa, mmesikia kuhusu pedi hapo?

  • @Vel42
    @Vel42 Рік тому +25

    Huyu mwanamke ako over 45years ni makeup imekupunguza miaka but ukiwa minus makeup wewe ni shosho.

    • @ikouwasi7644
      @ikouwasi7644 Рік тому

      we ni mkenya kama mwanaume umeendika hivi lzm wewe choko 😂

    • @Vel42
      @Vel42 Рік тому

      @@ikouwasi7644 maanisha nn

    • @Vel42
      @Vel42 Рік тому

      @@ikouwasi7644 ukweli usemwe

    • @mwitaagness455
      @mwitaagness455 Рік тому

      Acheni ungese kwan akiwa over 45, wewe hutafika huko, ebu jaribuni kujua siku hazigandi

    • @leahzuu6468
      @leahzuu6468 Рік тому

      Wewe ni dada😂😂😂

  • @idrisadalluc4498
    @idrisadalluc4498 Рік тому

    Ok lakini Hamo ndie Alie mrudisha kajala mjini nabila Hamo Paula Leo hii asingejulikana shukurani muhimu nduguzangu

  • @zamalisaide3209
    @zamalisaide3209 Рік тому

    Wewe au

  • @FredyMachota-xq2gv
    @FredyMachota-xq2gv Рік тому

    Dah filter shikamoo 😂

  • @user-zb9lj1hh9w
    @user-zb9lj1hh9w Рік тому

    Hawa nap tumewachoka Kila sehem wao TU

  • @theChiral
    @theChiral Рік тому +1

    Kwa Nini anajibu hayo maswali? Mdhamini naye hayuko serious. Interview haihusiani na Luna pads

  • @estherkimario7940
    @estherkimario7940 Рік тому

    Umezeeka mama sura na shingo kwisha habar huna lolote

  • @lameckshija5676
    @lameckshija5676 Рік тому +1

    Ila c alipotea kabla ya konde kumfufua

  • @beatricechillewa2806
    @beatricechillewa2806 Рік тому +1

    Dah umaarufu ni mzigo

  • @akidamohamed7759
    @akidamohamed7759 Рік тому +3

    Wanawake wamekosa haya kabisa siku hizi.
    pesa hizi Mtihani.

  • @samiramawby1257
    @samiramawby1257 Рік тому

    Nyie hao wanatufanya wamama then wanawafata watoto wetu WASHA TAA hili ni funzo dogo tu ulimwengu ujifunze,,,magari na pesa unalia je utu wetu wamama wa kitanzania kutudharirisha kwa kulala na mama na mwana unafaaa???Igeni kupitia ma superstar wenu then mkome uasherati

  • @bigirumanalululouise4540
    @bigirumanalululouise4540 Рік тому

    ❤❤❤❤❤❤❤

  • @nyabahailani3169
    @nyabahailani3169 Рік тому

    Heeeee kawa mzeee hivyo lo asee hujaacha kubleed mbona umezeeka hivyo umejaliwa nini uturuki hio na mnuko tu maana hio barabara wamepita wengi sana ,poo puuu pweee

  • @Eventjekonia-kt4rn
    @Eventjekonia-kt4rn Рік тому

    Mzee huyo

  • @gaudenciamallya9779
    @gaudenciamallya9779 Рік тому

    Mwanamke kutafuta siyo kutafutiwa.

  • @maimunaulotu2075
    @maimunaulotu2075 Рік тому

    Dah leo ndo unaonekan age imeenda mgoz inashuka

  • @schuwa66
    @schuwa66 Рік тому +1

    Again contect creater bongo bado ni ishu😂😂😂 hivi hii si ilikua press Conference ya hiyo kampuni kunadi bidhaa yake lakini the how press Conference imeishia kujadili wimbo wa hamonize na presented anakazana kutuma vijembe vya nyimbo huna maswali ya msingi mfn Kajala hii padi kupitia wewe itawafikia vip mabinti wa hali ya chini ...je kupitia jina lako kuna sehemu utatoa au mkataba wako una kipengele gan cha kusaidia jamii 😮 interesting presented anakaza kwann hutembelei range rover

  • @TZ123_king
    @TZ123_king Рік тому

    unaona watu wanampiga teke tu huyo Harmonize nasema pia anadanganya sana unapiga story zake kwa kweli😂😂😂

  • @geraldgerrytrump254
    @geraldgerrytrump254 Рік тому

    Wacha nikaskize dear x tena ...

  • @zillawakitaa7140
    @zillawakitaa7140 Рік тому

    Mwamba akilewa tu kaisha😂

  • @mwinyisarai-rm5oo
    @mwinyisarai-rm5oo Рік тому

    Kakonda kweli

  • @Buddah_decorations
    @Buddah_decorations Рік тому

    Leo ndo namuona kajala n bibi kabisa hv huyu mmakonde alifuata nn hapo kwa kikongwe.....kiukwel kakomaaa daaah